Chris Mwahangila - Kwa Mungu Yote Yanawezekana (Official Music Video)

  Рет қаралды 1,708,856

CHRISTOPHER MWAHANGILA Official

CHRISTOPHER MWAHANGILA Official

3 жыл бұрын

#KwaMunguYoteYanawezekana#ChrisMwahangila#255716620000#255756068844

Пікірлер: 485
@sarahnambuva3153
@sarahnambuva3153 3 жыл бұрын
Amen amen nyimbo zako hutubariki sana hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi likes za wakenya
@mussavictor4648
@mussavictor4648 Жыл бұрын
Amen
@marykisiangani2470
@marykisiangani2470 Жыл бұрын
Amina
@joshuasamson8747
@joshuasamson8747 Жыл бұрын
I love this song it really encourages me
@PaulletHarry
@PaulletHarry Жыл бұрын
Very nice 👍🙂👌🥰❤️
@RoseIrankunda
@RoseIrankunda Ай бұрын
Bone mayiteh 2:02
@nemestarimo2922
@nemestarimo2922 2 жыл бұрын
Mtumish huu mstar wa niite nami nitakuitikia naupenda sana na unanipa matumaini kwana nilishawahi kuumwa mpaka nikakata tamaa ila nilimwita mungu na gafla ikatokea sauti na baada ya sauti kuondoka nilipona palepale. Mungu ni mkweli na anaponya. Mwite bila kuchoka utaponyeka na hitaj utapokea
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 2 жыл бұрын
Amina kwa ushuhuda
@esthermutua1287
@esthermutua1287 3 жыл бұрын
Amen yote yanawezekana be blessed man of God chris much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukiendaga
@celestineachieng573
@celestineachieng573 3 жыл бұрын
Yu
@celestineachieng573
@celestineachieng573 3 жыл бұрын
Uy
@esthermutua1287
@esthermutua1287 3 жыл бұрын
@@celestineachieng573 yess
@barikisaid1007
@barikisaid1007 3 жыл бұрын
Nice song
@youngresearchkenyalimited3183
@youngresearchkenyalimited3183 2 жыл бұрын
Wimbo wenye tumaini. Kongole sana ndugu Mwahangila. Mungu azidi kukutumia kuwasilisha ujumbe wake.
@ELATI-Tv.
@ELATI-Tv. Жыл бұрын
Nyimbo zinatufurahisha sana hapa Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 mbarikiwe sana
@user-un9ie3hh6y
@user-un9ie3hh6y 11 ай бұрын
Bwana yesu Kristo akutumie Siku zote za Maisha yako n'a pia akuongezeye Siku za kuishi kaka
@davidnjenga9292
@davidnjenga9292 4 ай бұрын
I have listened to Christopher mwahangila inspiring songs i love❤❤❤❤❤❤❤ them, i like his dressing code (lukuu) iko juu !dress for success to God be All the Glory Amen 🙏.
@lucymsindamika4526
@lucymsindamika4526 3 жыл бұрын
Ameeen. Niite NAMI nitakuitikia na nitakuonyesha mambo magumu usiyoyajua barikiwa Sana mtumishi. Hakuna gumu kwako Jesus🙏🙏
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 3 күн бұрын
amen hallelujah yesu wangu torch me amen very powerful song may God bless you amen 💪💪💪
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 4 күн бұрын
hallelujah very powerful song amen may God bless you this morning Chris hallelujah yesu wangu well done 💪💪💪👍🏽
@GraciamwakuMwaku
@GraciamwakuMwaku 8 күн бұрын
Mungu akulinde baba nimbo Zako zinanipa neuvième🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@samwelkasebele6153
@samwelkasebele6153 3 жыл бұрын
Kwa MUNGU yote yanawezekana hata yaliyoshindikana kwa upeo wa wanadamu Ubarikiwe sana kaka angu nimebarikiwa
@marcelotshilewu
@marcelotshilewu 8 ай бұрын
Nampenda sana ndugu mpendwa Christophepher Mwahangila maana ananifariji sana Je vous suis depuis la RDC Congo 🇨🇩
@mweshmwesh1841
@mweshmwesh1841 Жыл бұрын
Nakupenda YESU,,,,,, kwako yote yanawezekana
@opk3943
@opk3943 3 жыл бұрын
Amen🙏kwahiyi hari ya corona tunahuzuni kwakweli japo kuwa tunajifariji Ila yote yatawezekana yataisha magonjwa haya💃💃💃💃💃💃💃
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 6 күн бұрын
hallelujah amen amazing songs amen may God bless your for good songs Chris ❤❤❤❤❤❤
@happyjonh4587
@happyjonh4587 5 ай бұрын
Daaah ninakosa cha kusema juu ya huu wimbo we kaka Mungu azidi kukuinua juu ya karama yako katika uwimbaj 🙏🙏🌹
@pastorstevenmwasilembo3135
@pastorstevenmwasilembo3135 Жыл бұрын
Nimetafuta neno zuri la kuandika hapa ili kukupongeza nimejikuta nafuta niseme tu Mungu akutunze na kukuinua zaidi
@matundumgweno4533
@matundumgweno4533 3 жыл бұрын
Amen ..Bwana sitaacha kukuita ktk maisha yangu...Kama ambavyo nimekuona mwezi huu wa sita.umenionyesha Mambo magumu sn na makubwa ambayo kwa akili zangu sijawahi kufikiri
@mukankusibeatrice1951
@mukankusibeatrice1951 2 жыл бұрын
Tunakupenda kabisa kwasababu unabyo imba ni ukweli na unapana mfano mzuli, Kwa kupenda mke wako, Ubalikiwe Sana mutumishi
@winnychepkemoi5826
@winnychepkemoi5826 19 күн бұрын
Hakika mungu hua anakutumia zaindi mungu awabaliki sana mutumishi wa mungu naakunzindizie neema yake zaindi
@silviachoge2272
@silviachoge2272 3 жыл бұрын
Feeling blessed althaway from Nairobi Kenya😇😇😇😇
@JoanLucia-yz9gr
@JoanLucia-yz9gr Жыл бұрын
Nyimbo zako hunibariki sana ..huniregeshea tumaini wakati nmefika mwishow
@congomaka2515
@congomaka2515 3 жыл бұрын
MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI TENA SANA MTUMISHI. Hata Apa Dr .congo tunabarikiwa sana na nyimbol zako.
@emilychichi7517
@emilychichi7517 3 жыл бұрын
Amen mungu anajibu kwa kweli 🙏🏾🇳🇴🇰🇪🇹🇿ubarikiwe mtumishi 🙏🏾❤️hii nyimbo sabuhi inanipa amani.🙏🏾🙏🏾
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
@MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 10 ай бұрын
MUNGU azidi kukuinua Kaka kwa huduma yako na unyenyekevu na hekima zako, wewe ni mfano wa kuigwa sana,
@MohammadJoji
@MohammadJoji 8 ай бұрын
Asante mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri unaongea kwenye miyoyetu 🇧🇷🇧🇷🙏❤
@isayasangija8587
@isayasangija8587 Жыл бұрын
Ameen wimbohuu umekua falaja kwangu umeni bariki sana kipindi Cha mtoto wangu samweli akiwa hosipitali akiwa hawezi kupitia wimbohuu Mungu ameonekana balikiwa sana
@lemyjere8126
@lemyjere8126 Жыл бұрын
Amen Amen kwakweli waliemwamini watabalikiwa Aksante saana kutuelimisha
@obothchristopher5925
@obothchristopher5925 Жыл бұрын
Please Kenyans these songs are for us Ugandan, am blessed. Thanks Chris.
@safikitenge254
@safikitenge254 Жыл бұрын
Nashukuru sana Mungu kwa nyimbo zako ubarikiwe sana na Mungu wangu nyimbo zako zimenibariki sana Mungu akubariki
@tabitha28songa62
@tabitha28songa62 3 жыл бұрын
Amen,ndugu,2021 nina imani ya kwamba yote yanawezekana ubarikiwa
@jacklinechao8109
@jacklinechao8109 11 ай бұрын
Kwa Mungu yote yanawezekana.Nyimbo zako hubariki moyo wangu tuu sana
@jacquesbomera2598
@jacquesbomera2598 3 жыл бұрын
Mwenyezi mungu aku bariki tatika enjili wako mzee wangu
@user-qq8ph2de8g
@user-qq8ph2de8g 11 ай бұрын
Man of God full blessings haki watubariki sana,,,mama samwel kakuyuni mahindi Kenya
@Mervakayake
@Mervakayake 12 күн бұрын
Amen mungu anaweza yote n'a Amini ayo
@dorcasmwakio5011
@dorcasmwakio5011 Жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu kwa Mungu yote yanawezekana hakuna jambo gumu la kumshinda.
@maryamhassan7000
@maryamhassan7000 Жыл бұрын
Amin yaan nyimbo zako mzr sana naomba mungu baba nibariki na mm nitowe kwenye mapito hy 😭😭😭😭🙏🏾🙏🏾
@catherinemathayobajuta8893
@catherinemathayobajuta8893 2 жыл бұрын
Kweli kwa mungu yote yanawezeka ameen barikiwa mtumishi wangu
@stephenmaina9070
@stephenmaina9070 3 жыл бұрын
Kwa Mungu yote yawezekana hakuna LA kushinda Mungu. Chris nakupenda Bure, nyimbo zako ziko na uguso wa Mungu
@ruthwanjiru4965
@ruthwanjiru4965 3 жыл бұрын
Amen... Call unto God and will answer.. Nothing is difficult to Him🙏🙏🙏
@alvineomondi3872
@alvineomondi3872 3 жыл бұрын
Kweli yawezekana, God show me your hands on my job hunting😭🙌🙌
@simondavidjoseph
@simondavidjoseph Жыл бұрын
amen kaka yetu ukiamini Mungu kila kitu inakuwa xawa unarikiwe xana
@ona_cedric
@ona_cedric 3 жыл бұрын
Asante sana mtumishi, umefanya IMani ya wengi isimame imara, kupitia nyimbo zako. ASANTE 🙏
@NihorimberChad-w6d
@NihorimberChad-w6d 21 күн бұрын
Baba munguu kubarikiw nyimbozak nitamu
@christophermsapuka5451
@christophermsapuka5451 3 жыл бұрын
Amen kubwa kk barikiwa San kwa kaz nzur
@janetkalu3870
@janetkalu3870 Жыл бұрын
Barikiwe saaaaaana baba kwa Mungu hakuna jambo gumu
@asiamdachi9385
@asiamdachi9385 3 жыл бұрын
MashaAllah mwenyezi mungu akujaze khema
@cavinlughano9835
@cavinlughano9835 3 жыл бұрын
Ninajua Mungu Atanipigania, Sitaogopa ...🙌🙌🙌
@shiko.17
@shiko.17 10 ай бұрын
Nazidi kibarikiwa, much love from Kenya 🥰🥰
@emilykithome1036
@emilykithome1036 2 жыл бұрын
Kweli hakuna jambo gumu linalomshinda Mungu Israel Amen Amen.
@sifauwajeneza77
@sifauwajeneza77 2 жыл бұрын
Nagupenda sana ukonanguvuzamungu🙏💖👏🙌🙌 napenda nyimbo zako sana
@dorcasmwita8555
@dorcasmwita8555 9 ай бұрын
Amen hakika huu wimbo unanitia moyo sana, Mungu akubariki bro
@user-di5sv2yf5v
@user-di5sv2yf5v 10 ай бұрын
I love your music sir very much top fan from Zambia🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@erastuschirchir1179
@erastuschirchir1179 3 жыл бұрын
Amen amen,,,hakuna Jambo ngumu mbele ya mwenyezi Mungu🙏🙏,,,a nice song brother,,, keep moving in Jesus name 👌👌,,wakenya mko wapi,,,nipe ata likes kumi tukisonga mbele kuabudu Mungu🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@janoneks8091
@janoneks8091 3 жыл бұрын
Kabisa, kwa Mungu vyote vinawezakana 🙏🙏 AMINA
@elizabethbulabo8562
@elizabethbulabo8562 3 жыл бұрын
Ameen, Ameen, kwa MUNGU yote yanawezekana. Ubarikiwe Sana Kaka.
@thedykyaruzi8628
@thedykyaruzi8628 3 жыл бұрын
Hakika kwa MUNGU yote yanawezekana, Ubarikiwe kaka🙏
@dorothhokororo5301
@dorothhokororo5301 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana ña mahubiri yako kupitia nyimbo zako hakika wewe jemedari.
@tigergets9428
@tigergets9428 3 жыл бұрын
Barikiwa Baba
@etonyemyaesau1433
@etonyemyaesau1433 Жыл бұрын
😭😭😭😭 machozi nimengi kwangu nisaidie namimi nijibie baba
@harrisonayodi3579
@harrisonayodi3579 Жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa huu wimbo, Harry from Kenya
@user-jn8gb9rp8u
@user-jn8gb9rp8u Жыл бұрын
Wimbo huu unanibaliki Sana Mungu azidi kukuongoza mtu mishi
@geraldbusiku9770
@geraldbusiku9770 6 ай бұрын
I am Gerald Busiku Omulokole from Uganda. I enjoy your songs
@CatharineNasipwondi-lk2hl
@CatharineNasipwondi-lk2hl 8 ай бұрын
Amen 🙏 amen nice one for song am watching from 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 wow you are amazing man Christopher
@user-kh1hc8ux2e
@user-kh1hc8ux2e 3 ай бұрын
MUNGU mwenye nguvu hakuna kama yeye 🙏
@arthakasiba4360
@arthakasiba4360 3 жыл бұрын
Napenda Sana..nabarikiwa Sana na uimbaji wako.sauti nk... very unique..God bless you
@hapinesphilimon8127
@hapinesphilimon8127 3 жыл бұрын
Kabisa kwa MUNGU kila kitu kinawezekana nmeamini ilo na nnaamin sku zote 🙏🙏
@kubwimanaerick5523
@kubwimanaerick5523 3 жыл бұрын
Amen kwakutupa matumaini Tena nagupenda saaaana na nyimbo Zote zako ni nzur
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
Amen.. Nice song kweli yotr kwa Mungu yanawezekana.
@priscahpriscah2806
@priscahpriscah2806 3 жыл бұрын
Nahisi uwepo unashuka, Kwa mungu yote yanawezekana amen
@user-zq4fk4dl9s
@user-zq4fk4dl9s 11 ай бұрын
Nasisituna kupenda Sana nyimbozako zinatufurahisha hapa canada
@carolinekagendomputhia1254
@carolinekagendomputhia1254 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mtumishi. Nyimbo zako unijenga sana. Natoa machozi nikizisikiza.
@zakayelias4645
@zakayelias4645 3 жыл бұрын
Kaka safi San bwan akubaliki kwa ujumbe mzur. Kazi nzur San
@wemamhagama3586
@wemamhagama3586 3 жыл бұрын
Mwenyez mungu azidi kukuinua katika karama ako
@BrenderLelei
@BrenderLelei Ай бұрын
Amen Mungu wangu sitawacha kukuita Amen
@bramwelrobert2384
@bramwelrobert2384 3 жыл бұрын
Amebarikiwa namungu mweshimiwa
@phoebeanyoso7005
@phoebeanyoso7005 3 жыл бұрын
Wimbo umenigusa..umenitia nguvu..l know God will answer my prayers..God bless you so much akuinue zaidi
@lajoieinnocent7781
@lajoieinnocent7781 3 жыл бұрын
No one like God. May God bless you papa Chris✊🏾🙏
@hakizimanasaintpaul9649
@hakizimanasaintpaul9649 Жыл бұрын
Ahasanteni sana kwakutuimbia nyimbo nzuri zamngu.
@safinakarani5735
@safinakarani5735 3 жыл бұрын
Kweli kwa Mungu yote yanawezekana ubarikiwe nyimbo nzuri
@gladyschelangat9267
@gladyschelangat9267 2 жыл бұрын
Hakuna jambo gumu la kumshinda mungu,namwamini mungu!
@0nesmomisalaba416
@0nesmomisalaba416 2 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu.wimbo uko vizuri sana.
@credo3914
@credo3914 Жыл бұрын
Huu wimbo unaifanya Mimi niokoke amina
@Cyrus001.
@Cyrus001. 3 жыл бұрын
Kwa Mungu yanawezekana, hakuna la kumshida
@jairasmathia4038
@jairasmathia4038 Жыл бұрын
Ni jairas mathia mutsoli kutoka Kenya kakamega caunt be blessed 🙏🙏 man, of God.
@dororoclaude8483
@dororoclaude8483 2 жыл бұрын
Amen, kweli mungu anaweza kila jambo.
@Vince-kw9hu
@Vince-kw9hu 3 жыл бұрын
Wimbo mzuri,Sauti nzuri,video nzuri,message nzuri Namaanisha kila kitu kizuri 😍
@ellyyaola7574
@ellyyaola7574 7 ай бұрын
Such a powerful song God bless this man he's such a vibe nice music 🎉🎉🎉 rate 10/10
@paulodeuschugulu6707
@paulodeuschugulu6707 3 жыл бұрын
Ameeeeen ubarikiwe mtumishi na kazi nzuri
@stanleymshihiri3605
@stanleymshihiri3605 3 жыл бұрын
Mtumishi wamungu napenda sana nyimbo zako mungu akubariki
@prosperlilian1371
@prosperlilian1371 3 жыл бұрын
😢😢😢😢 Mungu njoo kwangu
@daudierastomlangi2218
@daudierastomlangi2218 3 жыл бұрын
Ameen 📖🙏🏻... Kwa Mungu yote yanawezekana
@faraimaname3292
@faraimaname3292 2 жыл бұрын
Kwa Mungu Yote Yanawezekana is my best song so far... Well arranged with the chorus coming three times... The video is just killing.... Glory be to Jesus Christ
@milcajkamanda8118
@milcajkamanda8118 Жыл бұрын
Kweli Mungu amenijibu kwa wakati wake and I will testfy of His doing.yamewezeka kwake
@salmasanga191
@salmasanga191 2 жыл бұрын
Ameen !Ameeni...kaka napenda sana kuakiliza myimbo zako..
@philippebahizire5103
@philippebahizire5103 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni akuwezeshe kabisa
@sarahlyne7058
@sarahlyne7058 Жыл бұрын
Napenda juu wimbo during my lowest moments I oftenly listen to it God is able
@joyann985
@joyann985 3 жыл бұрын
I will never give up in praying.
@user-uj5iv2oi2g
@user-uj5iv2oi2g Жыл бұрын
Oh mungu umesema nikuite jeremie 33:3, amina
@mcdamson_classic
@mcdamson_classic 3 жыл бұрын
Nimependa mnooooo hii nyimbo....
@DevotaMashirima-js3zn
@DevotaMashirima-js3zn 11 ай бұрын
Mimi pia napenda sana. Nyimbo. Zako. Kweli. Sinanibariki sana. Amina
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 8 МЛН
Christopher Mwahangila  -  UNIINUE (Official Music Video)
8:00
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 1,4 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 6 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
Now THIS is entertainment! 🤣
00:59
America's Got Talent
Рет қаралды 39 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 19 МЛН
🔴Taarifa ya Habari ya Saa Mbili Usiku, 25 Julai 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 2 М.
Christopher Mwahangila  - Mungu Wa Ajabu (Official Music Video)
6:37
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 1,7 МЛН
Christopher Mwahangila  - MUNGU NI MUNGU TU (New Music Video)
8:40
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 1,2 МЛН
Bony Mwaitege - 'Neema Imenibeba' (Official Music Video)
7:51
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 670 М.
Christopher Mwahangila  - Yesu Ni Jiwe (Official Music Video)
5:39
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 501 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI VIDEO  WORSHIP SONG NONSTOP 2024 VOL 3
2:03:27
NYIMBO ZA KUABUDU
Рет қаралды 210 М.
Christopher Mwahangila  - SIMAMA NAMI (New Music Video) .SKIZA 5441394 to 811
6:16
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 812 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 15 МЛН
Alisher Konysbaev - Suie ala ma? | Official Music Video
2:24
Alisher Konysbaev
Рет қаралды 897 М.
Malohat
3:35
Xamdam Sobirov - Topic
Рет қаралды 992 М.