Amen ✍️ inabidi subira ili upate baraka zako Mungu hajawai shindwa kamwe barikiwa Sana dada toka congo Bukavu 🇨🇩 umetubariki sana
@issamagabiro316224 күн бұрын
27.12.2024, na mimi naisubiria ya kwangu. Mungu ni mwema maana baraka zake ni za milele
@mbakaboyferdinandmukamba3685 Жыл бұрын
Jambo Christina mbilinyi WIMBO nasubiri Mimi naipenda sanaa ♥️ nataka na mimi ni.imbe iyi wimbo kwako irudiliye🙏 nifanye rex ya WIMBO wako sijuwi Kama unaniambiya je? Juu naipendaka sanaa wimbo iyi mimi ni muimbaji kutoka uganda 🇺🇬 nitumiye kwanza namba yako whstp
@anointed115 Жыл бұрын
Nitumie namba yako nitakucheki kwa whtsp
@anointed115 Жыл бұрын
+255688824787
@anointed115 Жыл бұрын
+255688824787
@APOSTLEPROPHETNDENDYAM.L.E.R Жыл бұрын
Nyimbo inaishi na ujumbe wake
@VeronikaMtega Жыл бұрын
Nyimbo zako nzuri nimezipenda
@SuleShabani Жыл бұрын
Mama yangu una kaz mbaya mungu akuweke maisha marefu kwenye uwimbaji
@hudsonmatthewchanda6398 Жыл бұрын
Have been listening to this song since 2015 until 2023❤ it's kinda song that that I'll never get tired of it
@onesmorobert3054Ай бұрын
Asee ilikuwa kaz nzuri sana enzo hizo dada hongera sana
@mosesokwalinga681117 күн бұрын
Is my favorite song, listening from Uganda
@anointed11517 күн бұрын
Amen
@FeythiyonaАй бұрын
Ukiwa unampenda yesu neno lake hua halikomi kinywan ❤❤
@MathayoMathayo-c6y2 ай бұрын
Mm niulize tu hii himbo mbona ya muda kidogo lakni nikiangalia ndo wameiachia 2023 ama ikoje hii wapendwa tunaosubiri baraka kutoka kwa muumba wetu
@ezekiaibrahim8187 Жыл бұрын
Mungu yu pamoja nas, God bless you ❤❤❤
@obadiadaniel7274 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Christina mbilinyi
@malakimapunda010 Жыл бұрын
Tunaendelea kubarikiwa2 zaidi na zaidi 🙏 "MUNGU AKUBARIKI SANA" 🥰
@elijahnyamwange3520 Жыл бұрын
Amen God bless you
@OlipaJames5 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 ubalikiwe sana
@BadSteve-c8g6 ай бұрын
Hongera dada unafanya vizuri
@AbdujanahTz74756 ай бұрын
Hongera Dada Kwa nzuri
@MauwaLubembelaАй бұрын
Amen ubarikiwe Sana 🎉🎉🎉
@deusdedithmwanzalima81046 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana ina mafundisho pia
@ViateurGirukwishaka2 ай бұрын
eban iheshimiwe kweli unaweza mbona ya kutosha
@barakakassobi66162 ай бұрын
tulio sikiliza hii nyimbo 2012 hapa
@ChrsitinaChrsitinaa5 ай бұрын
Napenda nyimbo zako wa jina wangu❤❤❤
@anointed1155 ай бұрын
Asante sana
@JacklinMhema5 ай бұрын
Dada unafanya kazi ya Mungu vizuri
@BishopVioleth3 ай бұрын
Hongera kubwa mtumishi wa Mungu,safiiiii sana
@CharlesBashir2 ай бұрын
Naipenda sana hii nyimbo nasubiri na mm
@JanetMachuma4 ай бұрын
Wow wow wow nice job kakangu na uinuliwe kwa mungu
@AnkalWake7 ай бұрын
Kazi njema sana by Emola mbilinyi hapa 🙏🏾🙏🏼🙏
@MARYLUMUMBA-v2l Жыл бұрын
Aminaaaaaa
@joelalphoncebanka-ky6yu5 ай бұрын
Na barikiwa sana na huu wimbo mungu azidi kukuinua mama❤❤
@anointed1155 ай бұрын
Amina kubwa
@JacquelineMarwa-p4x9 ай бұрын
On my playlist all the time, barikiwa Sana Dada
@IRDavidChrisArobase-pf9ve4 ай бұрын
Naipenda iyi nyimbo saana 🎉
@Joyceisaka17 күн бұрын
NASUBIRI BARAKA ZANGU LEO IKIWA SIKU YA PILI YA MWAKA2025 NIPO HAPA KWA HUU WIMBO NASUBIRI NASUBIRI
@FanuelMatunda Жыл бұрын
Ubarikiwe
@VeledianaKalolo6 ай бұрын
Mungu akubariki mama hii nyimbo huwa inanibariki sana
@anointed1156 ай бұрын
Amina karibu kwenye Chanel yangu ujiunge nami kwa subscribe
@mpandukagracempanduka36012 ай бұрын
Nasubiri ya kwangu BWANA kutoka kwako
@IsaacMwitula4 ай бұрын
Kweli nasubiria na yakwangu
@MichaelCharles-q7d5 ай бұрын
Hongera sana dadaangu
@roberttemba6164 Жыл бұрын
Mungu akubariki Christinabilinyi
@WitnessPhiri-zr9uf8 ай бұрын
Naipenda Sana hiyi song mungu akubalike Dada
@anointed1158 ай бұрын
Amina kubwa
@HavyarimanaGodefroid-y5dАй бұрын
Wimbo nzuli sana
@AvelinaDamasi2 ай бұрын
Wimbo unatubariki sana
@NathanaelKornery-ht4gv6 ай бұрын
Nahitaji kwaya ya KUOKOKA NI LAZIMA
@joycechaula745911 ай бұрын
hongera mwanangu
@GRACENyanda-cn3pg8 ай бұрын
Ni siku nyingi jmn tangu nisikie huu wimbo kwenye redio ya shangazi yangu