Music video by Bony Mwaitege performing Mke Mwema. Bony Mwaitege vevo.ly/iRckdy
Пікірлер: 147
@janejanet65922 күн бұрын
Who else come to watch after death confirmation 😢😢
@oscarkiogara15792 күн бұрын
Me here.😢
@user-sy7pr4if2d2 күн бұрын
Me
@Janet-uy5by2 күн бұрын
Ni uongo hajafa
@janerosemuthonimuthoni-wi7mt2 күн бұрын
Me
@janejanet65922 күн бұрын
@@Janet-uy5by Doh nmeona kwa kasolo,,aki watu
@EdwinJohn-vo8uf5 ай бұрын
2024 tujuane hapa kwa like 😊
@presidentofafrica.50384 ай бұрын
nipo mkuu
@amaniritte5443 ай бұрын
Mke mwema
@user-ji7sy2wi7bКүн бұрын
Bonny uishi milele kwa ajili yetu❤❤❤, Jana tuli shitushwa na habari za kifo chako ila Mungu alisaidia we ni mzima, zilikuwa habari za upotoshaji
@EliaMongo-vx1km4 ай бұрын
Urinipa mke mwema rkn akurudi kwako Asante kwa yote mungu wangu 😭😭😭🙏
@user-ks7tr1fd5d2 ай бұрын
Pole sana 😢😢😢😢😢 MUNGU mwema
@MellineWanyonyi-kg2zp6 ай бұрын
Kupitia huu wimbo nipokee mume mwema kutoka Kwa Mungu
@hancybeny4 ай бұрын
Please, contact me
@Bonieking6 ай бұрын
This song has been a timeless blessing! Today, I make this prayer earnestly. May our Good Lord bless me with a good Wife. I believe one day I will come back and testify.
@lucywatson61526 ай бұрын
Amen pastor..May God answer you Bonnie..
@user-kb4tu2cq1t5 ай бұрын
Amen may God open ways for you🙏🙏
@carohkavuu80444 ай бұрын
Am here as mke mwema 4 you
@JamesNyawanga7 күн бұрын
Huu wimbo ninanikupusha my mum alipofariki nikikumbuka huu wimbo nataaza kukumbuka my mum
@rodgersmwagu239Ай бұрын
2024 Leo maisha yamenipiga nikaikumbuka hii nyimbo nikaitafta , acha tu nioe nimechoka
@Joyceisaka13 сағат бұрын
Nimechekaaa
@lucynyaga842918 сағат бұрын
Mtumishi no worry nakuombea maisha marefu ya Amani na afya njema ktk Yesu
@Kathureelosy-wc8ru5 ай бұрын
Mungu wangu pia mume mwema anatoka kwako,,,na nimekuomba nangojea huu mwaka mungu tenda tu kwa ajili yangu am 24years and I need a home,,a family 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@user-vu2tl9yx4e5 ай бұрын
Hello kathuree
@Kathureelosy-wc8ru5 ай бұрын
Hello too
@hancybeny4 ай бұрын
Please, contact me
@user-vu2tl9yx4e3 ай бұрын
I want you to be my wife😊
@user-tm4ff1ix1c3 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-pb2zd5gz3fАй бұрын
Mwanamke bira mume hajakamilika mungu nasubir mume bora kutoka kwako mwaka huu😢🎉
@tonywatony50916 ай бұрын
Thank you Bony for this song..Be blessed from Kenya..Mimi hujiuliza mke mwema hutoka wapi..nimejua sasa..Asante..barikiwa..
@user-bt2pl1iv5m8 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha. Marehemu babaang alipoachana na mamaang akawa anashnda kutwa anacklza huu wimbo😢
Nakupenda Sana kaka yangu.maana baba yangu alikuwa unaupenda Sana me nikiwa sijuwi maanayake kumbe baba anamuimbia mama❤ nasasa nipo 2024 namuomba mungu namimi snipe mume mwema❤
@hancybeny4 ай бұрын
Please Sasha, contact me
@user-mo9je6pf6n7 ай бұрын
Hii wimbo ni mzuri sana kwa wale wote tuko nyumbani tujue kwambia ni mungu atatupa mwaume mwema kw hivyo tuanjie mungu kwa Kila jambo
@sylusouma62317 ай бұрын
Bwana get out and look for a husband. Usikae hapo ati Mungu atakuletea bwana.
@KambaletavisamadanielKizzd-q6p6 күн бұрын
Jina la Mungu lapewa sifa kuupitia uu wimbo wako mama,ubarikiwe milele bukuku
@user-vy6hz5ri6t18 күн бұрын
mungu tuzaidia pia tupate mume mwema
@ErickRwiza8 ай бұрын
Mungu akutieee nguvu Bony mwaitege, Wimborne mzuri sanaaa
@SilasBundi-zg2et2 ай бұрын
Wow my one and only ❤️⭐⭐
@raphaelkomba3644 ай бұрын
Asante sana bony najickia Raha sana ninaposikiliza 😅uy wimbo
@robertjoseph896820 сағат бұрын
Mungu anipe make mwema
@ProsperKindole4 ай бұрын
Nabarikiwa na huo mwimbo🔥🔥🔥
@augustaveniyonagize6141Ай бұрын
Kupitia wimbo huu mke Mwema_Nimekuomba Mungu wangu pia mke Mwema anatoka kwako Bwana!!
@user-jj7fg1cw9e9 ай бұрын
Bonsoir serviteur de dieu je suis vraiment dans la joie pour avoir s'aboné à vous je suis à Kinshasa
@CollyBendera-jz3bt2 ай бұрын
Munguu mwaka 2024 naomba mume bora na sioo bora mume
@msondajunior39354 ай бұрын
Nimemuomba Mungu nangojea mke mwema 🙏
@user-lq7rz4rz6w6 ай бұрын
❤ I love this song and I will continue waiting
@user-uq3jf7su8u6 ай бұрын
Vraiment gloire à Dieu tout puissant maître de l, univers pour moi je ne s, aurais qui est la bonne femme,or la belle famme viens de Dieu, c, est une faveur que Dieu accorde aux hommes une fab
@EmmahNekesa-bj6rn3 ай бұрын
ata afya njema vivyo hivyo mungu nimekuomba afya njema kwangu na kwa uzao wangu na Nina Imani Kuwa nitapata
@paulkyalo40205 ай бұрын
This song has made me cry.i never realized it's symbolism until now
@Magwalozcomedymacha4 ай бұрын
Kweli kaka ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ignaschengula25692 күн бұрын
Nimekuja hapa baada ya kusikia umefariki kumbe ulikuwa uzushi
@venahonwonga7102 күн бұрын
Pia mimi imgn
@user-bx2pl4wh2zАй бұрын
Daaah asate boni mwatege mm ninamke lakini kama sina mke napata tabu kiukweli tuombeane ila mungu anakusudio lake
@EbraniaMgowole2 ай бұрын
Kupitia wimbo huu nahamn mungu utatenda nipate mke mwema mcha mungu
@francisomondi927411 ай бұрын
Kweli mke mwema anatoka kwa Bwana 🙏🙏
@ProfessorShangabile-gc8ey11 ай бұрын
We thank God. Wonderful.
@bizijohn9494 ай бұрын
thanks Kwa message nzuli ulontumia nmejifunza kitu kabisa🙏 be blessed
@user-bc1fv2kv7h7 ай бұрын
Enzi za nyabatango oyeeeeeh daaah siku ni Habari sana
@BettyMremia-bj8ix6 ай бұрын
Aki nimejifunza kuwa mke ni wa mhimu sana katika nyumba
@waringafredrick55058 ай бұрын
It was hit song ...I can remember this song my mom liked it until she died
@user-si2ny3ov7c3 ай бұрын
mimi pia Mungu nipe mke mwema nangojea
@sellyraps20572 күн бұрын
May his soul Rest in Peace
@felixmwanzia2 күн бұрын
are you mad
@ruthlucia-q3k20 күн бұрын
Mungu nibariki na mume nimechoka KUKA pekee yangu
@kelvinmghanga18408 күн бұрын
Kweli,?
@rodriguesvictorvalerio6886Ай бұрын
Bony nyimbo hizi mbona zilitubariki sana, kiasi cha wengi kuokoka kuliko matoleo yako mapya?
@JoelBalidja-qt9pt4 ай бұрын
ASante kaka bonny napenda sana nyimbo tamu❤❤❤
@user-bc1fv2kv7h7 ай бұрын
Wimbo unanikumbusha nikiwa mdogo sana nakati ya musoma
@paulmsape163 Жыл бұрын
Inanikumbusha sn hii nyimbo
@ApostleBRIAN-qe2hv3 ай бұрын
May God bless u so much Am from kenya
@user-ix5ig4ux5j8 ай бұрын
Huu wimbo unanikumbusha nikiwa primary,nikiiba sony teki yabuda nikiizikiliza huu wimbo
@KairichiMutethia11 ай бұрын
Mafanikio ni mungu 100%
@apostlelukumay1856Ай бұрын
Leo nimekukumbuka huu wimbo
@zackh97225 ай бұрын
I will play it on wedding day
@alextorah92375 ай бұрын
my prayer nipate mke mzuri🙏
@georgewaweru92587 ай бұрын
This make me cry....
@postaronald37082 ай бұрын
Thanks brother for this
@user-js9bq4ru7lАй бұрын
Kwanini hu wimbo haikufika 10million views😢sually
@SilasBundi-zg2et3 ай бұрын
Lovely wife
@loiceloi94715 ай бұрын
Still blessing this song
@FrathaPhilipo-pe2nl7 ай бұрын
Mwanamke ni mashine ya kusaga na kukoboa kwer
@enizemwayingatv51965 ай бұрын
Baba pati wa vwawa yumba yako eyapoti ya zamani hari yahewa duu
@monicandanu56429 ай бұрын
Nice song
@ShadrackKigeni4 ай бұрын
unanikumbusha mbali san
@DelightfulBoardGames-mk5lx4 ай бұрын
Boni hapa ilikua bado mshamba sieti
@user-iv4sf7yl4d7 ай бұрын
Nabalikiwa sana na uu wimbo
@user-ef4ck4vp7e11 ай бұрын
Wimbo mzur sanaa asilimia 100
@user-ce9rf7id7c6 ай бұрын
Ubarikiwe ndugu.nyimbu nzuri
@ibraah54292 ай бұрын
2024 ❤
@maximillaachieng72142 ай бұрын
Mume mwema hutoka kwa bwana
@user-ee9ye3qt6l10 ай бұрын
Waaaah,wanikumbusha mbali sana.😅😅😅
@jeanneleya13162 ай бұрын
🙏🙏🌸🌹 for real keep it up
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
🙌 🙌 🙌 ,,safi kabisa
@officialblacktown2549 ай бұрын
Ni maandiko matakatifu.amen
@EdsonBonifas3 ай бұрын
Unahuzunisha pia unafurahisha but all in all nimuzur
@mrdodoki931611 ай бұрын
Kwema mchungaj❤
@ramskiller38107 ай бұрын
Ndio kwema
@joshuaindeche61305 ай бұрын
Ooh God help me
@presidentofafrica.50384 ай бұрын
😁😁😁, hapa hatupangishi vijana ambao hawajaoa ...mmh, hapa katupiga na kitu kizito
@user-fo7zs1ib1v11 ай бұрын
Hata Mimi nakumbuka mbali sana
@user-pb2zd5gz3f4 ай бұрын
Emeeeni❤
@Beatriceandeyo10 ай бұрын
Ameeeeeeen ameeeeeeen
@user-dr9tg6rf9d3 ай бұрын
Thanks God thanks Jesus and u brother God bless you with this song 🙏🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋🙋