wimbo wa nne(4) wa Nuru choir Bethsaida kwenye mkutano wa Christmas 2024 pa BETHELI section nyarugusu FMCT.
Пікірлер: 35
@KashindBikyeombe15 сағат бұрын
Amena kubwa mbarikiwe sana watumishi wa mungu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@BahatiMkyambaАй бұрын
Mungu awabariki sana ❤❤❤❤❤❤
@EtonganoBashilwangoАй бұрын
wafundi mitambo muache alimbaya mutufundishe na sisi pia tujuwe kazi❤❤❤❤❤❤
@AlendweByaombeАй бұрын
🎉🎉🎉🎉 kwaya yangu🙌🙌
@SecileNaloebaАй бұрын
Milijuwa kunifurahisha kweli ❤❤❤
@NEOMEMWENEBATUАй бұрын
🎉🎉🎉🎄🎄🎄
@chalengosmmbingya-ns7teАй бұрын
Hongereni vijana wetu kwa kazi nzuri mnayo ifanya. Ila waalimu badilishe huo mfumo wenu wa uimbaji wa kibend,huo si mfumo wa kikwaya. Ndugu pendelelo na mkwe wa kokyo,hacheni Huo mfumo mlio nao. Ni Hayo tu ila tuko pamoja.
@PhilipoBikyeombe-km5wmАй бұрын
Wajumbe wa bwana wametumwa Sasa Amina wajumbe wa bwana kutoketea Abari njema mahana rohoo wa bwana yu juhuu yenu muwatangazie mataka Abari njema.
@nuruchoir9058Ай бұрын
Asante sana ndugu philipo tuko pamoja
@EtonganoBashilwangoАй бұрын
naipenda iyo pretre solo na kukubali sana mdogo wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@FMCTMETHODISTJIMBONYARUGUSUАй бұрын
Sadi TV
@AseleMilebaАй бұрын
Kazi njema sana napenda sana
@jamesmwene5085Ай бұрын
James mwene mwalimu nuru choir for professional expérience ❤❤❤