Christopher Mwahangila _Nimeweza_ ( Official Music Audio)

  Рет қаралды 34,111

CHRISTOPHER MWAHANGILA Official

CHRISTOPHER MWAHANGILA Official

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@JumaMaluko-g1o
@JumaMaluko-g1o 28 күн бұрын
God bless you so much 🙏
@AmisSimba
@AmisSimba Ай бұрын
Ubarikiwe sana❤️nimeweza❤️ kuiona mwaka mpya 2025 ❤️ Mungu amenivusha salama 🙏🎉
@SnaiderKhavayi-kf1gu
@SnaiderKhavayi-kf1gu 25 күн бұрын
Kama mungu amekupitisha kwa Yale maisha ambayo ulikataliwa na kudharauliwa na familia mpka marafiki na akakuinuwa na ukaweza plz like my comment 🙏🙏🙏
@zenashida7288
@zenashida7288 29 күн бұрын
🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏 Asante mungu ,nimeweza;2025
@harrisonmbogo5585
@harrisonmbogo5585 29 күн бұрын
good one
@helenamtwale8845
@helenamtwale8845 28 күн бұрын
Hakika ni mungu tu ndiye kanivusha
@MercySomoire-xt2kg
@MercySomoire-xt2kg Ай бұрын
Asante Mungu maana kama sio kunisaidia mwaka wa 2025 singeweza kuufikia
@enlessbanda2141
@enlessbanda2141 29 күн бұрын
That's true
@RehemaKomba-d6t
@RehemaKomba-d6t Ай бұрын
Asante Mungu nimweza kuvuka mwaka salama mimi pamoja na familia yangu sina neno lingine yakusema asante jehova
@SabrinaMuchene
@SabrinaMuchene 27 күн бұрын
Amen nimeweza kuona mpaka 2025 ubalikiwe mtumishi MUNGU azidi kukutumia nabarikiwa na huu wimbo
@gadipatrick6513
@gadipatrick6513 Ай бұрын
Mungu akulinde na familia yako akuinuwe kiroho
@JudithKarima
@JudithKarima 29 күн бұрын
Chris napenda wimbo huu I'm a Zimbabwean naerewa I have your song in my phone,I like the way unaimba asante Mungu akubari nahakiri zakuimba mubarikiwe mutumishi waYesu Amen 🙏🙏
@sianagodson3690
@sianagodson3690 29 күн бұрын
Asante Mungu kwa kunishika Mkono katika majaribu niliyopitia 2024.hakika Asante sn
@nancymmbone9035
@nancymmbone9035 Ай бұрын
Nimeweza Kwa sababu umekua pamoja NAMI Amen man of God 🙏 be blessed
@GodfreyMsangawale
@GodfreyMsangawale Ай бұрын
My God of mercy is only your hand done for me ,to cross the border from 2024 to 2025 ,l thanks very much to you my God for this is not my knowledge but is because of your grace be blessed Christopher mwahangila✅✅✅
@ALENMBUNDA-m6j
@ALENMBUNDA-m6j Ай бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu, Mungu na azidi kukushika mkono ungali upo duniani
@FrançoisMishambul
@FrançoisMishambul 29 күн бұрын
Que Dieu soit loué
@abiyudimbega4037
@abiyudimbega4037 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤Amina kubwa
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 29 күн бұрын
Mtumishi sisi mashabiki zako tunakupenda sana bs tunaomba unapopata mda ata u like tuu comment zetu tujue km ata sisi unatupenda km tunavyokupenda Christopher baba asante Mungu akubaliki km ulivyotubaliki
@PatriciaMuingi
@PatriciaMuingi 29 күн бұрын
Your songs are true testimonies of the gospel, good work, God bless you in everything.
@FarajaamaniMtua
@FarajaamaniMtua 27 күн бұрын
amen,
@EstherCharo-lc3md
@EstherCharo-lc3md Ай бұрын
Ameeen 💃💃💃💃💃
@danphordcosmas
@danphordcosmas 28 күн бұрын
Balikiwa sana Mtumishi kwa ujumbe huu ulioamriwa na Bwana kwa wakati na majira yake
@EugeneKyongo-z6n
@EugeneKyongo-z6n 29 күн бұрын
Bwana asifiwe sababu mimi na jamaa yangu tumeweza kuingiya mwaka mpya 🎉🎉🎉🎉🎉. Mungu aku jaliye mema. Nimewezaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤.
@BeatriceEchusa-nh5cd
@BeatriceEchusa-nh5cd Ай бұрын
Hakika kama si mungu singeweza mungu amekuwa upande wangu
@اريناارينا-ق3ط
@اريناارينا-ق3ط 29 күн бұрын
Asante mungu kwa kunivukisha mwaka mpyia. Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu uzidi kuinuliwa pamoja na familia yako❤❤❤❤❤
@BenjaminSimpasa
@BenjaminSimpasa 29 күн бұрын
Asante mungu sana
@AsanteMiriam
@AsanteMiriam Ай бұрын
❤❤❤❤ Asante Yesu
@JudithKarima
@JudithKarima 29 күн бұрын
Happy new year Chris miniko muzima Mungu ametifikisa 2025 kwaajiri yake sisinyote habari hahuko Tanzania ninawapenda Amen 🙏🙏♥️
@nicosinkolongo4532
@nicosinkolongo4532 Ай бұрын
Yaani nilikuwa mgonjwa navuka mwaka na hali inabadirika naanza kujisikia afya njema nmebarikiwa sana na wimbo mzuri
@adhiambootiang6710
@adhiambootiang6710 28 күн бұрын
Asante Yesu kwa mwaka mpya
@ElizabethSalama-pg1bq
@ElizabethSalama-pg1bq Ай бұрын
Ni Mungu amenipaginia nashukuru ,barikiwa kwa wimbo wa kumtukuza Mungu
@sabasminazi5169
@sabasminazi5169 Ай бұрын
Kweli mungu hashindwi ANAWEZA
@DidierFat
@DidierFat 29 күн бұрын
Oui oui 🙏🙏🙏que serai je sans lui 😢😢merci à Jésus Christ qui est le bon berger
@MaryShayo-q3k
@MaryShayo-q3k Ай бұрын
Hakika ni kwasababu umekuwa upande wetu Mungu.tunashukuru Mungu
@DIEMEMUGISHA
@DIEMEMUGISHA Ай бұрын
Nimu ngu yeye peke mungu ana tujali kikasiku Amin
@TheophileGrace
@TheophileGrace Ай бұрын
Mwenzetu m Congo
@danielmzae8005
@danielmzae8005 Ай бұрын
Amen,,,mtumishi wa Mungu kwa wimbo mzuri huu,,,,maana Mungu ndiye aliyeniwezesha kuwona mwaka mpya 2025,,,be blessed in your ministry❤❤❤
@TantineZuzu
@TantineZuzu Ай бұрын
Kama siyo Mungu siningeingia 2025 salama "NIMEWEZA" nasema asante Mungu wangu 🙌🙏❤️
@EmilyIsayaJoseph-d3p
@EmilyIsayaJoseph-d3p 27 күн бұрын
Hakika Yeye ndiye Atulindaye MUNGU kuweza Ahsante MUNGU
@robertnyangasa3758
@robertnyangasa3758 Ай бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri #NIMEWEZA
@NyambehNicholas
@NyambehNicholas 28 күн бұрын
I'm a Zambian l really love your songs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Christopher Mwahangila amen Man of God🙏🙏🙏🙏🙏
@getoijames393
@getoijames393 28 күн бұрын
Asaaante asaante asaante mungu 🎉 kweli imeweza
@mwitendejeanmarievianney6963
@mwitendejeanmarievianney6963 27 күн бұрын
ASANTE Mungu
@heavenlyprincess1122
@heavenlyprincess1122 Ай бұрын
Kama MUNGU kakuvusha salama,umeweza kuona mwaka huu 2025,sema Amina nzuri kwa YESU wetu🇰🇪🇰🇪
@EmmanuelNyendwa-r9e
@EmmanuelNyendwa-r9e Ай бұрын
Amina🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@RAIVONMWAKALANJE
@RAIVONMWAKALANJE Ай бұрын
Good my friend
@PaulinePahe
@PaulinePahe Ай бұрын
Asante sana ❤❤❤ nimeweza kuvuka mwaka Happy new year 🎉🎉🙏🙏
@AndrewGodsend
@AndrewGodsend Ай бұрын
Ameeeeeeeeen🗣️🗣️ kwa sauti kuu....! Mwaka huu ni mwemasaaanaaaa.. Nasema, asaaante asaaaante asaaante MUNGu! Barikiwa kaka mungu azidi kukutumia
@emmymwakabana
@emmymwakabana Ай бұрын
Hongera sana kaka wimbo mzuri sana
@IanMausishamala
@IanMausishamala 29 күн бұрын
U really blessed us at kayole man of God be blessed more on 31st kesha ahh Nairobi tulibarikiwa sana
@NIKODEMMWAHANGILA-v5w
@NIKODEMMWAHANGILA-v5w Ай бұрын
Kwakweli ni kwa uweza wa Mungu tu tumeweza
@mutambabil
@mutambabil 29 күн бұрын
Nzuri, big up !
@carolyneinjeni1582
@carolyneinjeni1582 Ай бұрын
Asante mungu nimeweza kuvuka mwaka salama
@rizikinaftary8105
@rizikinaftary8105 Ай бұрын
Hakika MUNGU nimeweza🎉❤❤🙏🙏👏👏🙌🙌🙌
@RehemaKomba-d6t
@RehemaKomba-d6t Ай бұрын
Amen nimebarikwa sana na wimbo huu barikwa sana mtumishi
@ollenmlangali2867
@ollenmlangali2867 Ай бұрын
Asante baba msafwa wa kwanza kupanda ndege + msafwa wa kwanza kutuwakilisha vzr ktk utumish na uimbaji mzuri MUNGU akutumie adi mwsho mwema + naomba collabo na wewe
@josephmwaifwani
@josephmwaifwani Ай бұрын
❤❤❤❤❤kweriii
@RAIVONMWAKALANJE
@RAIVONMWAKALANJE Ай бұрын
Wakenya Ndungu zangu naomba like APA naomba comment apaaa na Mungu atawabaliki sana kwa sapoti yenu wapenzi wangu wakenya good good good
@Hilderkarema-r8i
@Hilderkarema-r8i 29 күн бұрын
Mungu ni mwema kwangu nasema asante mungu nmeweza🙏🙏🙏
@adililukama3753
@adililukama3753 Ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@achiadennis8056
@achiadennis8056 Ай бұрын
Good music from servent of God this new year blessed from Kenya wapi likes
@RAIVONMWAKALANJE
@RAIVONMWAKALANJE Ай бұрын
Ubalikwe sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@agustautenga9490
@agustautenga9490 27 күн бұрын
Kaka Mungu huyu akupe nguvu Dunia mimi Mungu amenishika mkono...kaka sana barikiwa nimeweza pare nilipo chekwa nimeweza..kiukweli.by mwanetu Michael..
@BelvineLumbu-g6d
@BelvineLumbu-g6d Ай бұрын
Mungu azidi kuku bariki mtumishi wa mungu 👏 kwa kazi unayo endeleya kufanya ❤🎉
@Ursain.IKE.jesuis9365
@Ursain.IKE.jesuis9365 29 күн бұрын
🙏🙏🙏👏👏👏 ASANTE YESU UMENIWEZESHA
@PriscaLiunga
@PriscaLiunga 29 күн бұрын
❤🎉
@cesiliasanjah4119
@cesiliasanjah4119 29 күн бұрын
AMINA MTUMISHI UBARIKIWE SANA HONGERA KWA HUDUMA NA KWA KUVUKA MWAKA SALAMA
@rachaelnjue7452
@rachaelnjue7452 27 күн бұрын
My best gospel minister ❤❤❤Mungu azidi kukubariki🙏🏿 na akuzidishie neema yake🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@PaulMusonda-z3q
@PaulMusonda-z3q 29 күн бұрын
Nimeweza kwa sababu umekua pamoja nami Amen God bless you all
@cynthianoela1350
@cynthianoela1350 Ай бұрын
❤️❤️❤️❤️
Ай бұрын
Aksanti sana. Nimeweza. Nina yiona 2025.
@zakayokilumile
@zakayokilumile Ай бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi
@joyobungu-rm7xf
@joyobungu-rm7xf 26 күн бұрын
Thanks Lord for this song nimebariki kutoka kwangu kuingia kwangu am blessed Mungu akubariki zaidi Christopher higher to higher level
@LuciaSamsonimsuka
@LuciaSamsonimsuka 28 күн бұрын
Nayaweza mambo yote kwa yeye atutiaye nguvu Amina nmeweza Kuingia mwaka 2025
@AmaniStephano-d8g
@AmaniStephano-d8g Ай бұрын
Ameniii
@matwigaofficial9920
@matwigaofficial9920 27 күн бұрын
Hakika ata mimi nimeweza. Ubarikiwe mtumishi
@AlfayoMukaka-k8n
@AlfayoMukaka-k8n Ай бұрын
Hii ni moto Christopher 🎉
@Jean-louisMawaya-gs6po
@Jean-louisMawaya-gs6po Ай бұрын
❤❤❤ Nimeweza Yesu wangu
@Sante_bienetre
@Sante_bienetre Ай бұрын
Aksante sana.
@GiftGilbert-i2c
@GiftGilbert-i2c Ай бұрын
Nimeweza akika god bless you congo uvira inakupenda sana
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 22 күн бұрын
Mungu akuinue viwango mpaka viwango unafanyika baraka sana kwenye maisha yangu🙏
@owenmmanga
@owenmmanga Ай бұрын
AMEN 🙏 IN A VIDEO MY BROTHER DON'T FORGET TO TRASLATE IN ENGLISH AS ALWAYS. GOD CONTINUE TO BLESS YOU & YOUR TEAM🙏
@annamchela
@annamchela 29 күн бұрын
Mungu azidi kukubari na aibariki kazi yako njema sana kiukweli napata faraja sana sana naposikiliza nyimbo zako
@patricksyaluha499
@patricksyaluha499 28 күн бұрын
Mungu ni mwema sana
@AbokooMagella
@AbokooMagella Ай бұрын
unbarikiwe sana mutumishi wa mungu ❤ naku penda sana. Mwaka mupia kwako
@AthamanRamadhani
@AthamanRamadhani Ай бұрын
Nimeweza kuuona mwaka 2025 kwa nguvu za MUNGU wala si kwa nguvu zangu
@mosessimkoko9364
@mosessimkoko9364 Ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉kaka ❤
@gracemunderu9502
@gracemunderu9502 Ай бұрын
Kama Mungu ungenishika mkono 😢😢singevuka mwaka singeona 2025 asante jehova
@noahmutuainteriors1462
@noahmutuainteriors1462 Ай бұрын
Amen it's God up to date, thank you Lord
@jjmwakajinga1043
@jjmwakajinga1043 Ай бұрын
Amina baba
@victorkwemboi3725
@victorkwemboi3725 Ай бұрын
Sweet Christopher
@RobertGriffin-q1j
@RobertGriffin-q1j Ай бұрын
Asante my God for this new year 2025 uwe nasi sote
@JafariMaluli
@JafariMaluli Ай бұрын
Nilikuwa nasubili kwa hamu kazi yako maana ni mda sasa huja tuhudumia so moyo WANGU umefurahi mnooooooooo
@carolinetoto8706
@carolinetoto8706 Ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeen❤❤
@SubyMwaisumo
@SubyMwaisumo Ай бұрын
Kawimbo katamu as usual.hujawahi kosea
@SubiraAyubuYohana
@SubiraAyubuYohana 27 күн бұрын
Asante sanaa mana paspo ww sis si kitu
@NgasiakiLenaiyasa-wn5gx
@NgasiakiLenaiyasa-wn5gx Ай бұрын
My role model again 🙌!!! Nimeweza 🙏
@VickSimon-c3r
@VickSimon-c3r 26 күн бұрын
Amen mungu akubari kwakazi unayo hifanya
@dominicnyabuto714
@dominicnyabuto714 Ай бұрын
🎉🎉🎉 ni tamu sana n EV DOMINIC NYABUTO
@demlydia692
@demlydia692 25 күн бұрын
Asante...... Mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@isakashega6056
@isakashega6056 Ай бұрын
Ubalikiwe sana nimekua wakwanza
@EmmanuelNyendwa-r9e
@EmmanuelNyendwa-r9e Ай бұрын
If it is not God holding my hand, I can't be there, indeed asanta Mungu, akubariki sana mutumishi wa Mungu,
@sizbentahatieno9635
@sizbentahatieno9635 Ай бұрын
Amen 🙏
@mapachawayesu
@mapachawayesu 29 күн бұрын
Barikiwa sana mkuu🙌
The Best Of Christopher Mwahangila Songs 2021
1:35:00
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 9 МЛН
10 GREATEST SONGS 2023 OF SIFAELI MWABUKA- SKIZA DIAL *837*2293#
57:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 2 МЛН
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Christopher Mwahangila - Mungu Hawezi Kukusahau (Live Music Video)
8:13
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 333 М.
BEST LIVE SWAHILI PRAISE & WORSHIP GOSPEL MIX 2025 | FT ISRAEL MBONYI, DR.IPYANA.
1:50:08
AKIDA by Zabron Singers (Official Music Video)
5:07
Zabron Singers.
Рет қаралды 586 М.
Christopher Mwahangila  - SIMAMA NAMI (New Music Video) .SKIZA 5441394 to 811
6:16
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 3,2 МЛН
METHOI MA MWISO - WILBERFORCE MUSYOKA ( skiza Dial *860 *277# ) official video
5:41
Wilberforce Musyoka Official
Рет қаралды 1,9 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 658 М.
Christopher Mwahangila - Yesu Yuko Hapa - Official Video Song SKIZA *860*653#
8:04
CHRISTOPHER MWAHANGILA Official
Рет қаралды 16 МЛН