😢huyu chris si binadamu wa kweli...hua namuona kama ni malaika juu anaimba wimbo wa kukuza mioyo ya watu ...ndugu naomba mungu aendelee kutumikia kwa ajili yetu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya nipee likes za chris💪
@RoseMarry-r9u29 күн бұрын
❤❤
@RoseMarry-r9u22 күн бұрын
❤❤
@ValantianeKayaviliАй бұрын
Hii song imeniweka uhai...yesu Asante 2025 tunakutegemea,amen
@florahgodfrey77893 жыл бұрын
Nikiwa katk wakati wa vita sasa, nimeamka nimejaa hofu hata sijui cha kufanya nipate kushinda yote kwa amani. Baada ya kuusikia huu wimbo nimepata ujasiri mkubwa na kujua kuwa napaswa kumwamini na kumtegemea Mungu... Hata sasa nnakutegemea Yesu.
@Charlesnyoni-hp4vh Жыл бұрын
Okay
@SmilingRubberBoots-mf3xz Жыл бұрын
Barikiwa sanaaa
@SongsAbelpatrius4 ай бұрын
❤
@DainessSowela2 ай бұрын
God is my defender always
@PenuelJonas2 ай бұрын
❤❤❤❤ameeen ubalikiwe
@lizadel-d3o6 ай бұрын
I heard this song when I was heart broken for a period of 7months till I healed😅 God this was my strength when I was fighting my depression alone.. When I was at work ,home I listened to this song it gave me so much strength in 2023..MM NATEGEMEA KUTOKA KWAKO MUNGU🙏🙏
@lemayantv9513 жыл бұрын
Kama unapendeswa na nyimbo za uyu mtumishi wa Mungu nipe like zake
@angellahmokeira1052 жыл бұрын
Yaan nyimbo zako Baba zimenitoa mbali Sana Acha m Mungu abaki kua mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@dianemadenge36372 жыл бұрын
Christopher mwanangila
@alexjulius63542 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@eddamwasenga2 жыл бұрын
Nyimbo nzuri na Zina ujumbe mzuri Zina ufarij kuwa yupo anaekupigania katikat mapito yako
@nidekilasi2484 Жыл бұрын
Sana,tu! Nazipenda
@bettybless691410 ай бұрын
2024 nani mwengine anatengemea Yesu❤
@kimutaidenis476610 ай бұрын
Mimi
@sheilamakhanu45317 ай бұрын
tupo
@kelvinbinda87674 ай бұрын
Mimi
@USHINDIMANENO2 ай бұрын
mm pia namtegemea yesu
@RoseMarry-r9u29 күн бұрын
Mimi
@CaralBosibori-zz7yz2 ай бұрын
Team strong tunao mtegemea Yesu baba yetu gonga like tutafika kwetu tukiwa salama
@alosadubailifeofficialpage Жыл бұрын
Kama unategemea yesu weka like🙏
@AishajumaHssani10 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@LandKanongesh8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@TittoMholwa7 ай бұрын
Mwamba ameimba kwa hisia sana
@franckramazani22626 ай бұрын
😊 pp@@Ministry-vty
@OlivierAsung-ks9jf6 ай бұрын
Papa courage que DIeu de l' expérence soit loué ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EvalineKessy Жыл бұрын
The first time nimeijua huu wimbo nilikuwa kwny vita vikali sana hata nilikuwa sijui cha kufanya but nilisikia huu wimbo tu kwny gari la jirani yangu alinipa lifti nikausikiliza ndo ikawa muendelezo wangu wa kusimiliza kwny cm yangu nikasha gaaa nimefunguliwa kabisa nikakutana na miujiza yangu kiurahisi kabisa na vita vikaisha vyote. Mungu akubariki sana Baba
@RoseMarry-r9u22 күн бұрын
🙏🙏
@sicilysasika555710 ай бұрын
Sometimes having a father physically but cares nothing his 4girls and 1 son. I thought it was because we were girls but after our last born brother and nothing changed mmmmh... his brothers and sister(uncles and aunt) abusing us and quarelling us before him and he still join them to frustate us. I tuned this song and i cried dearly while listening to this. I realised i have a FATHER, DAD who sustains me,my mom, my siblings and him-dad. I thank Him for blessing us with a good, caring mum. Though we stay with both parents but everything in the house and school is provided by our mum. I thank God for giving mum a persevering heart. She's still with us despite the ill treatment she gets from dad. One day things will be okay. AMEN🙏
@regnaldobadia7533 жыл бұрын
Nakupenda Sana mtumishi unaimba kwa kutumia unabii wa roho mtakatifu ubarikiwe mnoooo
@VelthyMoraa10 ай бұрын
Kwa wakati najipat katika magumu huu wimbo hunitia nguvu ,nauimba hadi siku iishe na mungu anatenda jambo jipya ,Amina .
@AishajumaHssani10 ай бұрын
Amen
@bonkeoriogofounderanddirec4037 Жыл бұрын
Some of us we have no words to say, we have gone through tougher moments, hard and evil situations. But again if it was not this Jesus Christ our lives would not be the same again today. Thank you my Lord for paying the prise🙏🙏🙏😭😭😭. Thank you Brother Mwangila this magnificent ditty gives me a great hope
@DavidGKasaba3 жыл бұрын
Wimbo umenitia moyo nizidi kusonge mbele hakika Nimegundua kuwa ninaye Baba yangu asiye Shindwa Nibaba yangu sina wasi wasi
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Amen ubarikiwe kasaba
@papebosenga50975 ай бұрын
Tunakualika Kinshasa mtumishi wa Mungu
@samwelkasebele61533 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka yangu wimbo huu unatia nguvu sana najifunza mengi sana kupitia unyenyekevu wako Mungu azidi kukuinua zaid mtumishi wa Mungu
@richardmwendwa9843 жыл бұрын
Umekuwa wa baraka kwangu mutumishi wa Mungu barikiwa sana
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Amen
@Paul-kl4vr4 ай бұрын
God is the way man of God ❤@@christophermwahangilaofficial
@nsengiyumvaceleatin8146 Жыл бұрын
Hakika nyimbo zako ndugu huamsha moyo kuumia kutokana na hari ya mazingila hasahasa ya kiroho.Wasikilizaji makini miyo huburudhika pia machozi ya upendo hudondoka.Endelea na usipo kata tamaa utapatana nafasi nzuri Kwa Muokozi unayoshuhudia na kumtapa yaani "Yesu Kristo" Mfalume tukufu " aliye kufa Kwa wenye Dhambi kubari.Nakupenda Rafiki
@luganomwakibinga217911 ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu napenda sana nyimbo zako ubarikiwe
@annointamani32853 жыл бұрын
HALLELUJAH HONGERA KAKA ANGU,UTUKUFU APEWE BWANA YESU, KATI YA WATU WA KWANZA KWANZA KUBARIKIWA NA WIMBO HUU NI MIMI, NI WIMBO WENYE UPAKO NA NGUVU YA KUMUOKOA MTU MOJA KWA MOJA KIFUNGONI.
@jacksonmpondo29033 жыл бұрын
Amen
@jacksonmpondo29033 жыл бұрын
Amen
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@mbozyomwashinga62143 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@susanmwangi37983 жыл бұрын
Yesu wewe nakutegemea wewe Dio baba yangu ...... barikiwa sana mtumishi ...
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@annebelchemutai468425 күн бұрын
2025 tutazidi kutegemea Mungu
@24habari3 жыл бұрын
Barikiwa sana Mtumishi, nyimbo zako zimekuwa baraka kwa kila anayezisikiliza, zina huisha.
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@ptheservant89743 жыл бұрын
Hallelujah wimbo wa kutia nguvu na kufufua tumaini tena sana barikiwa Mtumishi Mwahangla. Upendo mkubwa toka hapa Nairobi 🇰🇪
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@DjoTshingetshi-dm5kh Жыл бұрын
Vraiment courage
@magdalinejuma20286 ай бұрын
Wangpi bado tunasikilix 2024
@joyboke74122 жыл бұрын
Amen,yesu nakutegemea wewe nipiganie hata katika kipindi hiki kigumu na univushe katika majaribu.tengeneza njia kwa ajili ya watoto wangu waweze kusuma hata Kama baba yao amekataa majukumu.yesu fanyika baba kwa watoto wangu
@sherlynemwendwa95352 жыл бұрын
He is always faithful he will do it for you be strong
@raelkitari-cp5yr Жыл бұрын
The song that comforted me the day that I finished laying my son to rest,it gave me hope to live again.
@elizabethmdoe5394 Жыл бұрын
The song that gave me hope in life while I was down 3:22
@edwardkisusuofficial3 жыл бұрын
Amen my only brother Yesu ni Baba yangu
@annesamwel8930 Жыл бұрын
Sima yesu nimpigie hawa nimpigie hawa, maana nakutegemea😢 thank you Christopher God bless you more
@mratiscanaog10573 жыл бұрын
Nyimbo NZURI Sana na Ina Ujumbe it's me Director ati From England my broo Christopher u are the creativity of new Gospel
@lyontheblessed82003 жыл бұрын
Ati kzbin.info/www/bejne/Y4STiHSXrZdpitk
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@jamesonungaofficial7433 жыл бұрын
Waw! This is wonderful Mungu asidi kukupea nguvu
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@scolasalim82442 жыл бұрын
Kķmk77
@ibeleaveinyoukallaghe64492 жыл бұрын
Nafarijika na huu wimbo, Mungu akutie nguvu uendelee kutufariji
@carolsuzycarol77412 жыл бұрын
I love your songs may our God continue to bless you and using you to bless and encourage many souls 🙏🙏🙏
@eliachalamila22593 жыл бұрын
Hongera sana mtumishi, huu wimbo ni mzuri. Mimi ni mdau wako mnoooo. Ila huu wimbo ndio the best kuliko zoooteeee...
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@dorcasayoo92533 жыл бұрын
Hapo kwa jela imeninguza Maana nishapitia jela alikuja na kuniokoa huyu mungu kweli alinishughulikia na akasimama na mimi,nilikuwa nimepoteza matumaini lakini kwa sababu ni Baba wa wanyonge alinitetea Kweli mungu hawezi kutuacha
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Amen uabrikiwe sana
@perezokeyo40833 жыл бұрын
Niko hapa kutoa shukurani.Nimekua nikiimba huu wimbo na wimbo wa 'Nitetee Mungu'kwa siku tatu nikiwa kwa maombi na kwa Kufunga , Jana nilipata majibu, Mungu alijidhihirisha, ameexpose walioniendea kwa mganga, nimewakemea Katika jina la Yesu.akanipea wimbo mpya, nauimba ,nimekua Free katika jina la Yesu. Barikiwa Bw.Christopher.....Mungu abariki huduma zako.Amina
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Ubarikiwe Mungu akubariki nakuku tunza
@agnesmatau99532 жыл бұрын
Wonderful messages!!! Be blessed Mtumishi wa Mungu!!!!!!Bado wewe ni baba yangu!!🙏🙏
@masterkey5362 жыл бұрын
Wimbo huu hainichoshi
@shillahsanaipeikotikot79473 жыл бұрын
I find myself praying for this song to reach millions of souls out there to the Glory of my father Jesus Christ.Lets win more soul to Christ kingdom through this song ..Highly anointed through the blood of Jesus Christ 🙏 Amen.
@JOSEPHPSOKO3 жыл бұрын
And it has reached me 🙏 Amen
@suzanw82643 жыл бұрын
It has reached me dear
@shillahsanaipeikotikot79473 жыл бұрын
@@suzanw8264 amen
@shillahsanaipeikotikot79473 жыл бұрын
@@JOSEPHPSOKO Amen
@oseaguymaliro9363 жыл бұрын
a
@heximichoro2 жыл бұрын
Yohana 14:6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Mathayo 21:33-40 Sikilizeni mfano mwingine. Kulikuwa na mtu mwenye nyumba, naye alipanda shamba la mizabibu, akalizungusha ugo, akachimba shimo la shinikizo ndani yake, akajenga mnara, akapangisha wakulima, akasafiri. Wakati wa matunda ulipokuwa karibu, akawatuma watumwa wake kwa wale wakulima, wapokee matunda yake. Wale wakulima wakawakamata watumwa wake, huyu wakampiga, na huyu wakamwua, na huyu wakampiga kwa mawe. Akawatuma tena watumwa wengine wengi kuliko wa kwanza wakawatenda vile vile. Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu. Lakini wale wakulima walipomwona yule mwana, wakasemezana wao kwa wao, Huyu ni mrithi; haya na tumwue, tuutwae urithi wake. Wakamkamata, wakamtupa nje ya shamba la mizabibu, wakamwua. Basi atakapokuja yule bwana wa shamba la mizabibu, atawatendaje wale wakulima? Mathayo 21:37 Mwishowe akamtuma mwanawe kwao, akisema, Watamstahi mwanangu. Yohana 14:2 Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambia; maana naenda kuwaandalia mahali. Luka 18:19 Yesu akamwambia, Mbona unaniita mwema? Hakuna aliye mwema ila mmoja, naye ndiye Mungu.
@florenciabenedict2932 жыл бұрын
Sichoki kusikiliza huu wimbo maana umenitoa hatua moja kwenda nyingne nikisikiliza wimbo huu natiwa nguvu sana Mungu wa mbinguni ainua zaidi kipawa chako man of God nabarikiwa mno na jumbe zilizo katika nyimbo zako.....✍️💪
@stewartmwakasege3 жыл бұрын
Kaka MUNGU AKUBARIKI.. Video NZURI MNO... Creativity Ya Hali Ya Juuu
@claudinematundu53683 жыл бұрын
Wimbo mzuri Sana mtumishi wa mungu ❤️💖🇨🇵🇨🇩🎤🎤🙏🙏
@jacintamusembi608711 ай бұрын
Been in a very hard situation I tell Jesus Ni ww nakutengemea
@SifaK1113 жыл бұрын
Fundi sana huyu mtu, nyimbo zako zina upako na mguso wa Roho wa Mungu, this is my favorite now in my playlist, not only about the way you sing but the message always so touching, Mungu azidi kukuinua viwango zaidi.🙏🙏
@pulikisia7963 Жыл бұрын
Kabisa huyu Kaka ni muimbaji,mwanamuziki,Mtumishi,msanii yaani Yuko full packaged kwaajili ya ufalme wa Mungu.👌🏿🙌🏿💪🏿👊🏿
@PerischariMwakughu Жыл бұрын
Bwana Yesu ni Baba yangu katika kila jambo na hali ngumu ninayopitia😢😢😢...Yesu ni tumaini langu...Mungu akubariki na akuinue zaidi mtumishi wa Mungu 🎉🎉🎉
@kideifaith71333 жыл бұрын
Always your songs never disappoint.. I'm blessed
@lyontheblessed82003 жыл бұрын
Faith kzbin.info/www/bejne/Y4STiHSXrZdpitk
@luckyenock37176 ай бұрын
Asante papa tunakushukulu kbs
@shedywamumo26533 жыл бұрын
Nehema ya MUNGU ikutoshee mtumishi... Kumtegemea YESU hatutahaibika kamwe🙏. Keep the fire burning
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@sophias33346 ай бұрын
Jaman niwangapi wimbo huu wauwachoshi maaana unanieka kwenye hatua nyengne jaman hua unanipa nguvu yakuomba roho mtakatifu Yuko ndan ya huu wimbooo🙌🙌🙌
@paulodeuschugulu67073 жыл бұрын
Mungu ni Mungu, farao, neno la Mungu, Yesu yuko hapa, nitetee, ni huruma, za Mungu, hakuna kama Mungu, uniinue, kwa Mungu yanawezekana....na nyimbo nyingine nyingi kutoka kwa mtumishi wa Mungu. Mungu wetu alie hai azidi kukuinua kwa jina LA Yesu AMEN
@GILDAMLINGI11 ай бұрын
Dah eeh Mwenyezi Mungu unanijuwa vyema eeh Mungunaomba ukajibu hitaji la moyo wangu
@robiimatiko2 жыл бұрын
I love this song coz my sister was involved in a terrible accident from school bt the faithfulness of God she got injuries in the back and hand. When I listen to this song it gives me hope ❤️
@carolyneomare69732 жыл бұрын
Amen
@penueldjuma284511 ай бұрын
Wimbo unao nipaga moyo mda wowote ninapo uskilizaga 😢😢😢😢😢🎉🎉
@beththetallest57293 жыл бұрын
This song is a blessing to me, when i listen to it i usually gain more strength and i feel am secured by Jesus.. Be blessed 🇰🇪🇰🇪
@kalukielizah98472 жыл бұрын
xkfhk
@esthermapendo1433 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana za Ku fariji Moyo iliyo vunjika
@christineachieng74833 жыл бұрын
I can't count how many times I have listen to this songs today......it has made me remember that I need to put my prombles to God not human beings 🙏🙏😭
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@francisisalamba6810 Жыл бұрын
Huu ndio wimbo ambao nikama ni ushuhuda wangu huu mwaka
@darriea34083 жыл бұрын
This song!!!! It’s a true and earnest prayer. Thank you Christopher, may God always be with you. ❤️❤️
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@shangweremiofficial41243 жыл бұрын
Waooo Wimbo Mzuri Sana Barikiwa Sana Kaka.tusonge Mbele kwani BARAKA BADO ZIPO.Tukimtegemea Mungu
@elizabethmbogo71563 жыл бұрын
Wewe tumaini langu yesu.... Ninakutegemea
@joykapaya1970 Жыл бұрын
Yesu wewe ndiye baba yangu🙇♀️
@phennymarura58593 жыл бұрын
This song has been on repeat mode in my house today ...I love it .
@philisiamsinga85343 жыл бұрын
Me too,too powerful
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye Channel yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box.Tap on a clip to paste it in the text box.hggfru? To in fgu
@enockmwambepo3 жыл бұрын
AMEEEN MTUMISHI WA MUNGU UJUMBE UZURI VIDEO NZURI KAZI NJEMA SANA BARIKIWA
@christinmulongo84833 жыл бұрын
God bless you so much pastor I am watching from Bahrain country mimi ni m kenya 🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯🙏
@viomum37043 жыл бұрын
Thanks my brothe for good song god bless 🙏🙏 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@hillaryodhiambo19092 жыл бұрын
This song encouraged me when I lost my mom in 2021 ,much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 man of God
@deogratiusmgina24393 жыл бұрын
Amina..Amina! Nyimbo zako siku zote ni nzuri na zinatia nguvu🙏
@ntinyariesther66512 жыл бұрын
What a coincidence thank you Jesus Christ Holy name today I receive my testimony card from the kakande ministry and before I open it I came across this powerful song ,,Jesus I will leave for you all the days of my life I will live to proclaim ur goodness wherever I go
@Cyrus001.3 жыл бұрын
Hallelujah another soul lifting one, utukufu Kwa Mungu
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@diffencewakio18402 жыл бұрын
Yesu ni wewe ninakutegemea kutana na maitaji yangu🙏🙏 yesu nina kutegemea😭😭
@haikamremi48653 жыл бұрын
Kaka Tunakuombea.Nabarikiwa Sana na Nyimbo Zako
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Amen Asante sana
@dandola93233 жыл бұрын
Kazi safi baba nakusikiza kenya bado nibaba yangu
@faithproff46003 жыл бұрын
You are always a blessing on every single song, New annointing New Impact.... You have personally impacted my life with you music ministry🤝🤝.....God grant A new dimensions every new morning 🕊️🕊️🕊️ More Blessings 🌻
@lyontheblessed82003 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y4STiHSXrZdpitk FAITH 🙏🏼🙏🏼
@fridayuda95773 жыл бұрын
Umebarikiwa sana
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@laurinechepngeno Жыл бұрын
Ur my God I trust in you Almighty
@pendonnko32173 жыл бұрын
What a touching song😭 it has indeed revealed what im going through, but i trust in Jesus that he is my father and he gonna provide a way for me🙏
@lyontheblessed82003 жыл бұрын
Pendo kzbin.info/www/bejne/Y4STiHSXrZdpitk
@kennedysasi87753 жыл бұрын
Ur great man of God, keep the power of the gospel go on shalom shalom
@nyambelilonga5553 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@mutintamichelo509811 ай бұрын
Indeed yesu Nina kutegemea indeed nimwilimu yangu I love this song please God bless you servant of God you are doing the work of your father, am a zambian
@danielpaulbwagegeganguye86413 жыл бұрын
de song gave me new hope,,in difficults times, broken hearth/financial,relationship,,NEW HOPE IS JESUS,,WEWE YESU BADO NI BABA YANGU😭😭😭😭😭
@melisetimoth57742 жыл бұрын
Pole lakin Mungu Bado Ni baba wala hawezi kutuacha
@danielpaulbwagegeganguye86412 жыл бұрын
amen tanx,🙏🙏
@LOJ1232 жыл бұрын
Be strong our God is always here for us
@kemigisharonah43772 жыл бұрын
Ooh God I trust you all my life
@shambiraghasi27773 жыл бұрын
Mwahangila wewe ni commander of Gospel songs🔥🔥i love the Beats...# For those who lost their beloved ones in the family listen to this song kinely.bado yesu ndo tumaini letu
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@lizjoro8902 Жыл бұрын
Keep on man of God 🙏
@RozinaMlagho2 күн бұрын
Yesu nakutegemea kila wakati uzidi kunitia nguvu nakunipa Amani Kwa moyo wangu
@josephinenzioki88193 жыл бұрын
Yeess..nakutegemea💥
@thedykyaruzi86283 жыл бұрын
Yesu we ni Baba yang nitakutegemea siku zote za maisha yang, Ubarikiwe kaka, Nimebarikiwa🙏
@Limmieofficial2 жыл бұрын
Oooohy my God ..this song is new everyday in my heart.. My all time music MENTOR..keep blessing us🙏🙏
@tifhanynelwan97052 жыл бұрын
please God help me to get here in saudia Arabia alive for your seek keep me alive for my children and my mom 😭 Amen 🙏❤️
@tifhanynelwan97052 жыл бұрын
Amen 🙏
@dianaderck55603 жыл бұрын
Unanibariki sana Kaka chriss,,,,Nakuombea Mungu azidi kukubariki
@christophermwahangilaofficial3 жыл бұрын
Amen
@masterkey5362 жыл бұрын
Thanks for your song
@exaucetresor80982 жыл бұрын
I'm really blessed with your songs every time when I'm in trouble your songs help me a lot and give me hopes when everything is not going well
@mcdamson_classic3 жыл бұрын
Wimbo mzuri mnooooo MUNGU akubariki mnoo katika wimbo huu hakikaaa. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏💥💥💥💥
@ruthmambo24853 жыл бұрын
Wow ...Jesus is Lord....Kweli Baba ni Baba....Mungu akubariki saana kaka
@inuacinema Жыл бұрын
Amen. Hakika Yesu nitegemeo langu katika mambo yote.
@omigaiamasi98293 жыл бұрын
Huwa nafarijika Sana nikisikia nyimbo zako🙏🙏
@samwelmwandoboka75333 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wimbo uko vizuri saana ,MUNGU azidi kukutumia zaidi na zaidi
@leontinebinlydi94593 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana, Ndiyo iyo nikweli kabisa yesu ndiye tumaini letu 👏🙌🤲🙏🤲🤲👏🙏🙏
@mariamhumphrey46222 жыл бұрын
Adui zangu watakuja kwa njia Moja nao watatawanyika kwq njia saba
@julienne37182 жыл бұрын
Amina Na iwe hivyo hivyo
@hizerpeter20703 жыл бұрын
I feel holy spirit moving in this song Be blessed man of God
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini. Ntashukuru ukifanya hvo Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@Melvinemoraa-c3p8 күн бұрын
Mungu kama sisi wenye tunapitia mengi tumaini letu kwako 🙏🙏🥰
@MariahG9593 жыл бұрын
Your songs always bless my soul....more Grace all the way from 🇰🇪
@sifamwakaniemba4432 жыл бұрын
Ndgu na rafiki yangu mpendwa Naomba nisaidie KUSUBSCRIBE, KUSHARE, KULIKE NA KU COMMENT kwenye nyimbo yangu youtube kwa kubonyeza link hapo chini Ahsante na MUNGU akubariki 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs 👉kzbin.info/www/bejne/aJecoGWAjNZsbbs
@pastorndabilajembelayesu20633 жыл бұрын
Hongera Sana wimbo Mzur Sana Mtumishi
@israelbangul89063 жыл бұрын
Je t'aime JÉSUS ma vie!
@LiveToSingMusic3 жыл бұрын
Na atabaki kuwa baba, ubarikiwe mtumishi
@adammnyenyelwa59963 жыл бұрын
"Yesu ninakutegemea, wewe ndiwe baba yangu"
@dianachelagat8443 Жыл бұрын
Maw Kl L L Ppp Pp Ppo 9😊
@SolangeKabila-ov6zb5 ай бұрын
J'aime beaucoup la chanson ❤❤❤❤❤❤
@jacksonkavoi42213 жыл бұрын
Am always blessed whenever I listen to songs of this great servant they are full of annointing God will lift you and continue using you as a vessel of blessings to many
@wilfredmugo3004 Жыл бұрын
This song is really comforting alot right now my life seems like everything is in a mess.but tegemeo langu ni kwa Mungu,i have been listening since morning with tears on my eyes.to those of us going through thinhs we cant tell anyone,,i pray that may God see us through.