Рет қаралды 1,808
Leo kwenye CHUMBA CHA SIRI Episode 21 tunaona namna binti SARAFINA mtoto wa mzee Kikoti anavyohangaika kutafuta SIRI iliyojificha kati ya baba yake mzee kikoti na Sheila.
Je, Sarafina atakuja kuujua ukweli? na je nini kitatokea?
Endelea kufatilia kipindi kinachofuata.......
• CHUMBA CHA SIRI _ EPIS...
@specialoneentertainment