Рет қаралды 4,133
Ndugu wafatiliaji na watazamaji wa tamthilia hii ya wa chumba cha siri, sasa tumewaletea muunganiko wa episode ya 16 - 20. lengo la kufanya muunganiko huu kuwapa mashabiki zetu kile wanachokitaka kutokana na maoni yenu.
Muunganiko huu pia unatupa mwangaza wa story nipoazia, tulipo kwa sasa na tunakoelekea.
Ndugu zangu niwaombe wote kwa pamoja tushirikiane kusambaza kazi hii na kwa marafiki zetu wengine walioko ndani na nje ya nchi ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi, maana tukisambaza kazi hii mnatusaidia sisi waandaaji ili kututia moyo kwa kazi nzuri tunayoifanya ya kuelimisha jamii.
Mwisho niwaombe mSUBSCRIBE channel yetu, pia tunaomba COMMENT zenu kwa wingi ili tuweze kuboresha zaidi.
• CHUMBA CHA SIRI _ FULL...
@specialoneentertainment