No video

Chumo (Swahili with English Subtitles) - 2011

  Рет қаралды 468,017

Swahiliwood

Swahiliwood

Күн бұрын

SUBSCRIBE SASA: goo.gl/cR0mA
Juma ni mvuvi maskini anayependa sana kupiga hadithi. Amina ni msichana anayependa kusikiliza hadithi zake . Wanatamani wawe pamoja, lakini baba yake Amina, Ali, anataka binti yake awe na maisha mazuri. Ali anamwona Yustus, kijana tajiri, mwenye kujituma kuwa ndiye anayefaa kuwa mchumba.
Inambidi Juma atumie nyenzo zake zote kuliokoa penzi lao, lakini ni lazima ajitoe mhanga zaidi ya alivyopatana ili afanikiwe.
Imetayarishwa Tanzania na kufadhiliwa na JHU-CCP kupitia Mfuko wa Rais wa kutokomeza Malaria na USAID. Chumo inawasilisha ujumbe wa malaria wakati wa ujauzito kupitia hadithi ya kusisimua ya wapenzi wenye bahati mbaya.
-----------------------
Juma is a poor fisherman who loves telling tales. Amina is the girl who loves to hear his stories. They long to be together, but Amina's father, Ali, wants a better life for her. Ali finds this in yustus, a rich but self-serving young suitor.
Juma must put everything on the line to save their love, but he must sacrifice more than he bargained for in order to succeed.
Produced in and around Dar es Salaam by Media for Development International (Tanzania) and funded by Johns Hopkins University in association with USAID, Chumo communicates around malaria prevention through the dramatic story of star-crossed lovers.
-----------------
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.
Tanzania Bongo Filamu | Bongo Movie | Tanzania film

Пікірлер: 272
@sabybaalveel7007
@sabybaalveel7007 Жыл бұрын
Keep rest in peace sharo wanao endelea kuitazama muvie hii in 2023 gonga likes hapa
@sahallabaraka2762
@sahallabaraka2762 5 жыл бұрын
Kwanini BONGO MOVIES wengine hawajifunzi chochote kotoka kwenye hizi Movies? bado wanatutolea takataka ambazo bado wanaCopy from Nigeria. This One is among the Best
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Shida ni ulimbukeni na tabia za pupa pua pamoja na tamaa ndio maana wao wanakwenda kwa upepo wakuigaiga bila kijikubali katika kuigiza katika uhalisia wao wanakwenda kwenda tu sikuizi kama wanyama wa mwituni
@fikaflix3713
@fikaflix3713 Ай бұрын
Kaangalie panya wa jiji bonge seties
@SaimonKalemera-im5dq
@SaimonKalemera-im5dq 4 ай бұрын
Any body here 2024
@ameknews2315
@ameknews2315 5 жыл бұрын
Really sichoki kuitazama hii movies imebeba asili ya mwambao pia imebeba dhamira ya upendo wa kweli pia imebeba dhamira ya kujituma na kubwa zaid imebeba dhamira ya kuijali afya ya mama na mtoto hongera mh jokate mwengelo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Ni kweli na je ni unafahamu sehemu ambayo waliyoigizia ilo igizo
@hussenmaulidi5508
@hussenmaulidi5508 4 жыл бұрын
Rest in peace juma, your Amina is now a DC. Life goes on
@sadamshabani6435
@sadamshabani6435 3 жыл бұрын
😭😭
@solomonosemeke2761
@solomonosemeke2761 2 жыл бұрын
I'm from Nigeria and I love this film, nice one. I like Tanzanian films generally. It's so sad to discover that the lead role (Juma) died a year or two after this film. May his soul rest in peace.
@neemadaud7470
@neemadaud7470 2 жыл бұрын
Amen nice to know that yes he died I'm from Tanzania welcome to my country we love Nigeria
@peter-jamesmmbago8721
@peter-jamesmmbago8721 Жыл бұрын
So young ...Sharo a great actor, May he rest in peace
@swahiliwood
@swahiliwood 11 жыл бұрын
Juma's name is Hussein Mkiety, better know as Sharo Millionea. Sadly he passed away earlier this year.
@augustarcher6407
@augustarcher6407 3 жыл бұрын
You prolly dont care at all but does anybody know of a method to log back into an Instagram account..? I somehow lost the account password. I appreciate any assistance you can give me
@davidmaugo9602
@davidmaugo9602 7 жыл бұрын
Filamu hii ni nzuri imevaa uhalisia wa Jina lake,Chumo;Pia inatumainisha kuwa Mpaji ni Mungu pekee,Na alilo lipanga Mungu Mwanadamu atalichelewesha tu hakika Mwisho mwema na wa Amani upo,Hongereni wote mlio husika kwa namna yoyote kufanikisha Kazi nzuri.
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 жыл бұрын
Rip bro sharo mpk Leo hii 2020 naitazm movie
@ALPHAROYCE
@ALPHAROYCE 4 жыл бұрын
i'm south african learning swahili. i'm just here to understand the language better
@juliem1674
@juliem1674 3 жыл бұрын
Well done. Am Kenyan, raised abroad, parents stopped speaking swahili to me😣 but that's still no excuse...so am trying to learn it again. Looord help, am sooo bad at this.
@MathTravels
@MathTravels 3 жыл бұрын
I'm a native Serbian speaker. Also here to understand the language better.
@neemadaud7470
@neemadaud7470 2 жыл бұрын
@@juliem1674 wow I'm happy to know that me I'm from Tanzania
@hasinasalumu3299
@hasinasalumu3299 9 жыл бұрын
movie nzuri mungu amlaze mahal pema peponi sharo
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
hasina salumu Asante kwa kuitizama washirikishe na ndugu na Jamaa.
@maryamkyando3956
@maryamkyando3956 7 жыл бұрын
+Swahiliwood mmetisha sinema nzuri sana
@chidiomari.65
@chidiomari.65 7 жыл бұрын
R .I.P sharo..hii movie Naipenda sana siku zote
@winqueen8462
@winqueen8462 3 жыл бұрын
Dah saiv tunatolewa utopolo tu Yani Mimi narudiaga movie za kanumba na hii tu ndo ziko zinafundisha r.i.p sharo
@abelchikula7076
@abelchikula7076 4 жыл бұрын
Tusipoangalia 2020 tujuwane
@wabberu
@wabberu 10 жыл бұрын
Na zalewa Nakuru, 1949. baba yangu, Scottish pa moja na mama. Ni me rudi ku funya kazi ku jenga Barabara, Deraja. Na uwanja wa ndege. Na taka rudi haraka qua sababu na penda watu wa, Kenya, Zanzibar,Tanzania na Uganda..
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Karibu Ralph Simpson. Tafadhali tembelea video zetu zingine kupta burudani zaidi na kuelimika hapahapa Swahiliwood.
@a3logistics14
@a3logistics14 7 жыл бұрын
nataka movies ya dume jike
@daudifrenk1930
@daudifrenk1930 3 жыл бұрын
Wanawake wa dizaini hii walishakufa Vita vya Kwanza vya dunia wamebaki pasua vichwa mkwanja mbele
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Hiyo ni sehemu gani waliofanyia maigizo ni mazingira mazur sana
@EastCoasTGorilla90
@EastCoasTGorilla90 9 жыл бұрын
This is the best quality of tanzanian movie i ever have seen, so big up to swahiliwood even the production was impressive... salute!
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Aboo Ally Asante sana tafadhali wakaribishe ndugu na Jamaa waze kuona pia.
@unclejj9753
@unclejj9753 6 жыл бұрын
exactly
@abuukaligambe9399
@abuukaligambe9399 6 жыл бұрын
Aboo Ally kijjn go
@husseinramadhan2549
@husseinramadhan2549 5 жыл бұрын
sema joketi ni mzur,Sana jamani toka mda tu!yani namkubali sana huyu mdada!
@user-wk1ix1gm1p
@user-wk1ix1gm1p Жыл бұрын
Yaan story nzur sana
@ancientstaffpub
@ancientstaffpub 10 жыл бұрын
I'm in love with the language. What a pretty language. This will be our official language when Africa becomes one united country... as it MUST!
@Shookieofminecraftia
@Shookieofminecraftia 10 жыл бұрын
That won't happen haha. Too many people hate each other.
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Hamitic Bloodline. Unadhani kuna filamu gani nyingine imekuvutia zaidi hapa Swahiliwood ?.
@rahimahassan5808
@rahimahassan5808 7 жыл бұрын
Swahiliwood mbona usiwekee jada
@Bigal92024
@Bigal92024 6 жыл бұрын
I believe it'll happen... One day Africa will unite and use Swahili as a common language..
@KamgishaAbeid
@KamgishaAbeid 10 жыл бұрын
Binadam wote uwa na fursa iliyo sawa ila tatizo uwa ni jinsi gani wanaweza kuzitambua nakuzifanyia kazi.
@exaverychristophenganda3751
@exaverychristophenganda3751 2 жыл бұрын
Rip sharo unapendeza ukiwa serios 2022 am watching
@ambassadorvideoproduction9815
@ambassadorvideoproduction9815 Жыл бұрын
Am from Malawi I like Tz movies you guys your are very serious to act
@firstname600
@firstname600 6 жыл бұрын
Jamani hii move wameitendea haki #AMEZING
@abdulrahmansalim3016
@abdulrahmansalim3016 10 жыл бұрын
great Talent shown by our Bongo stars inaelimisha na kuburudisha, hongereni nyote muliofanikisha
@andrewlawrenceclinard3637
@andrewlawrenceclinard3637 10 жыл бұрын
hii filamu siyo mchezo!! hongera sana
@moulyidabdallah7223
@moulyidabdallah7223 9 ай бұрын
Mungu hawalaze wote walio tutangulia kifo ni fumbo tusi iishi kwa kuJisahau walio kufa n watu n walio baki ni watu mungu atupe mwisho mwema tusiJione we nye bahat kufika 2023 sio kwa uwezo wetu daaah sharon...😭😭 Jack simela... Mmeniliza leo..2023 5 November Uku simba kafungwa tano..😭😭
@fridaytv3818
@fridaytv3818 11 жыл бұрын
napenda hiyi film nayi penda sana sana congruaduelation juma
@enockbeda632
@enockbeda632 10 жыл бұрын
Nzur wamejitahd vijana wetu.
@zainabboss5619
@zainabboss5619 5 жыл бұрын
Sichoki kutizama
@sirgomahojoa969
@sirgomahojoa969 9 жыл бұрын
move tamu sana Mungu amlaze mahala pema peponi sharo
@timothymagugudi1260
@timothymagugudi1260 5 жыл бұрын
The matter of Tanzanians' reputation are within the best of quality real life as drawn wisely in this Swahilimovie! Big up for both participants. R.I.P Sharo.
@DjLeoNeo
@DjLeoNeo 7 жыл бұрын
I love Swahili movies like this. Asante saana for sharing. so professionally done!
@ajaank7057
@ajaank7057 11 жыл бұрын
Best swahili film ever
@jazilambaji2789
@jazilambaji2789 Жыл бұрын
Amina uzungumzaj wake wa mwanzo hadi sasa ktk u DC niwa utaratibu mpk unafurah
@maimunaponza593
@maimunaponza593 8 жыл бұрын
move iko pow nimeipenda coz inaelimisha kwa vijAn
@mikaeli741
@mikaeli741 10 жыл бұрын
The first best TZ movie big up..man
@ramagogodo7260
@ramagogodo7260 7 жыл бұрын
move nzur na ina mafunzo mazuri hongereni wote mlioshiriki move hii
@fahimuhamadi6439
@fahimuhamadi6439 6 жыл бұрын
Sijutii mb zangu, story nzuri quality bora kama wameshoot 2018. big ups
@neemakulwa8168
@neemakulwa8168 5 жыл бұрын
Safi sanaaa
@abumoyo840
@abumoyo840 6 жыл бұрын
Rip my brother na hongeraa mueshimiwaa jokate
@kiswahiliworldwide
@kiswahiliworldwide 4 жыл бұрын
This is instantly one of my favorite films now.
@mejubaraza6515
@mejubaraza6515 7 жыл бұрын
R.I.p @Sharo umetuachia ukumbusho wako usio tuchokesha kuutazama the great est movie I like it at all
@zainabboss5619
@zainabboss5619 5 жыл бұрын
Haina paty 2
@aisharashid6241
@aisharashid6241 4 жыл бұрын
Move nzur sana na inamafunzo sana
@gemmagema7406
@gemmagema7406 7 жыл бұрын
jameni nimeipenda bure asanteni
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 4 жыл бұрын
jokate mwegelo 2019 love yuo
@heavenonlinetv4111
@heavenonlinetv4111 5 жыл бұрын
my best movie of all time
@everlynemisiko6002
@everlynemisiko6002 7 жыл бұрын
movie nzuri lakini fubi sana mngeongeza part two plz
@morganventure292
@morganventure292 5 жыл бұрын
Yaan hii movie ipo vzur video imetulia kama vile ya sass...mlela u got new fancy
@randanomar2914
@randanomar2914 7 жыл бұрын
Masha Allah Movie iko tamu mpaka ina kaa fupi.congrats nyote
@johnbarasa9929
@johnbarasa9929 7 жыл бұрын
Rest in perfect peace Legend sharo
@swahiliwood
@swahiliwood 11 жыл бұрын
Beach is called Mbuyuni. South of Dar es Salaam and Kimbiji.
@hotniggablock1436
@hotniggablock1436 6 жыл бұрын
Swahiliwood
@mduduk9mduduk949
@mduduk9mduduk949 5 жыл бұрын
R I P Sharo
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Aisee kumbe
@lovemanzacharia2112
@lovemanzacharia2112 6 жыл бұрын
Hongera sana juma aka sharo kwakaz nzur nimefarijika kidogo nilihis bongo hamna kitu kumbe mnajuaga eeeee
@MK-ps2gw
@MK-ps2gw 10 жыл бұрын
Very good film. Amina very prity
@majaliwaabdalla5844
@majaliwaabdalla5844 11 жыл бұрын
ITS A NICE MOVIE I BELIEVE THIS WILL GO ON
@eatwellnesshalalalternativ4602
@eatwellnesshalalalternativ4602 8 жыл бұрын
Amina Amina Amina
@kennedymaliva6313
@kennedymaliva6313 10 жыл бұрын
i liked it,,,love u jocket & r.i.p sharo
@fodahainurunishida4739
@fodahainurunishida4739 5 жыл бұрын
Aya maisha2 tunazariwa 2nakufa r. I.p my brother
@tambwe
@tambwe 3 жыл бұрын
Napenda sana kabisa
@davismdula1517
@davismdula1517 4 жыл бұрын
Naipenda kwer hii muvi
@chantalmulasi5663
@chantalmulasi5663 6 жыл бұрын
R. I. P 😭 😭 😭 😭 juma
@kifurugomselem509
@kifurugomselem509 2 жыл бұрын
Kizuri hakidumu
@popinobabylon1725
@popinobabylon1725 Жыл бұрын
Ni movie yang bora ya mda wote sichokagi kuiangalia
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema Sharon millionaire
@ashajumbe9039
@ashajumbe9039 2 жыл бұрын
Named nua mikono juu kwa movie hii nimetizama 2022 I like it so Mach
@KTMediatv
@KTMediatv 2 ай бұрын
Movie Tamu Sana Production imesimama ina Mafunzo siichoki Kuiangalia Rest in Peace Sharo Milionea
@ummywazir4358
@ummywazir4358 5 жыл бұрын
Uo mnanda htaree
@robinedson
@robinedson 7 жыл бұрын
Rest In Peace Sharo....you were talented brow....
@nasorombonye7620
@nasorombonye7620 7 жыл бұрын
Duuuuuuu movie nzuri sana
@amapparatistkwabena
@amapparatistkwabena 5 жыл бұрын
RIP, Sharo. :( Such a beautiful film. How aesthetically appealing! Well done. :)
@swahiliwood
@swahiliwood 5 жыл бұрын
Thank you.
@saidykihoma1918
@saidykihoma1918 4 жыл бұрын
Rest easy sharo millionea
@mossesngalomba9961
@mossesngalomba9961 4 жыл бұрын
Who watch this :2020
@shabanimakubi9321
@shabanimakubi9321 5 жыл бұрын
Chumo ni bonge ra muvi
@raphaelackim43
@raphaelackim43 9 жыл бұрын
For sure movie nzur sana au mnasemaj wadau
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Raphael Ackim Asante sana tafadhali washirikishe ndugu na jamaa zako.
@juliafields4072
@juliafields4072 8 жыл бұрын
Swahiliwood n
@maanasheikhsiri7577
@maanasheikhsiri7577 7 жыл бұрын
Raph콠ael Ackim
@serazmilioneaz3865
@serazmilioneaz3865 5 жыл бұрын
Quality movie wajin wng
@serazmilioneaz3865
@serazmilioneaz3865 5 жыл бұрын
Republic milioneaz ...Seraz milioneaz
@rahmatumam357
@rahmatumam357 8 жыл бұрын
filamu nzuri japo fupi
@alimohandoam
@alimohandoam 8 жыл бұрын
I like this movies
@agneshiza7229
@agneshiza7229 4 жыл бұрын
move nzuri sana
@Lumegilemukata
@Lumegilemukata 3 жыл бұрын
Sharo milionea
@ommie_nyzer
@ommie_nyzer 4 жыл бұрын
Good movie.. R. I. P sharo🙏
@ramadhansaid5179
@ramadhansaid5179 6 жыл бұрын
2018 Innah lillah wainah illah rajiun,bonge la muvi uhalisia 100%
@sniperislam4547
@sniperislam4547 5 жыл бұрын
sie wte tutalia ila mheshimiwa wew ukiangalia hii movie utalia zaid kwa ukarb ulokuwa nao ktk hii movie na sharo
@joanitarita1568
@joanitarita1568 10 жыл бұрын
RIP Sharo
@mwakaathumani4793
@mwakaathumani4793 3 жыл бұрын
Movies safii shukran wausika
@oumamichael621
@oumamichael621 9 жыл бұрын
very touching,inspiring n loving short film.i like the idea cz tz very powerfull.
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Asante sana Ouma Michael. Tafadhali endelea kufuatilia video zingine hapahapa Swahiliwood.
@fatmakanizyok9831
@fatmakanizyok9831 4 жыл бұрын
Pumzika kwaamani sharo
@YusoufMjr
@YusoufMjr 4 жыл бұрын
anyone 2020!!!
@rizikisam6481
@rizikisam6481 Жыл бұрын
Sharo Jamani 😭😭😭
@hussenbuko744
@hussenbuko744 9 жыл бұрын
Aisee ni movie nzuri sana hii ya CHUMO
@swahiliwood
@swahiliwood 9 жыл бұрын
Hussein s Buko Unadhani ni vyema kwa mzazi kumchagulia binti yake mchumba?.
@hussenbuko744
@hussenbuko744 9 жыл бұрын
Hapana sio vema kwa mzazi kumchagulia mchumba kwani kufanya hivyo ni kumnyima uhuru wa kuchagua kile akipendacho.
@jojee.bubonkoungou5019
@jojee.bubonkoungou5019 8 жыл бұрын
+Hussein s Buko saloni
@aishamashaka7935
@aishamashaka7935 8 жыл бұрын
nzuriii saaanaaa mnooo teenaa
@Lumegilemukata
@Lumegilemukata 3 жыл бұрын
R.I.P Hussein Mkiety🙏🙏
@maryshiny2459
@maryshiny2459 2 жыл бұрын
I can't stop to watch this movie because educate the society but movie of now drama of love 😏
@fatumamacharia9465
@fatumamacharia9465 6 жыл бұрын
Nice movie and rest in peace Sharo
@jacklinedastani6112
@jacklinedastani6112 8 жыл бұрын
nzuri kweli jamani
@wakwabibi5423
@wakwabibi5423 Жыл бұрын
Mpaka Leo mwezi wa 5 2023 naitizama
@hassanisalimpulo2223
@hassanisalimpulo2223 Жыл бұрын
My best move ever
@mohamedinshallah933
@mohamedinshallah933 7 жыл бұрын
waoooo zat I like women of principle
@jannetfuraha924
@jannetfuraha924 11 жыл бұрын
Nice movie I can't belive jokate is an actress
@sandymakunja7697
@sandymakunja7697 Жыл бұрын
Sharo bhana 💔
@fulviaali8366
@fulviaali8366 7 жыл бұрын
Its. A nice movie
@janvierjacob2529
@janvierjacob2529 3 жыл бұрын
Kweli mpo vzr hata kama nimechelewa kuiona.
@suzantaymer8187
@suzantaymer8187 5 жыл бұрын
R. I. P brother movie nzur
@fatumamassamba4699
@fatumamassamba4699 4 жыл бұрын
RIP sharo
@francofdj3922
@francofdj3922 9 жыл бұрын
bongo moves mpojuu
@leilaabdulkadir2003
@leilaabdulkadir2003 7 жыл бұрын
r.i.p sharo
Neria (Swahili Version)
1:37:38
Swahiliwood
Рет қаралды 417 М.
14 DAYS (SIKU 14) Part 1 Official Bongo Movie
1:00:21
Zuuh Ally
Рет қаралды 45 М.
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 6 МЛН
Kisa Cha Mchimba Madini (A Miner's Tale - Swahili)
39:21
Swahiliwood
Рет қаралды 77 М.
AISHA | Inspiring Tanzanian Drama about a strong women | TidPix
1:52:24
TidPix - Authentically African
Рет қаралды 93 М.
Salama Na Jokate Ep 3 | KAMISHNA Part 1
26:24
YahStoneTown
Рет қаралды 319 М.
Ngoma ya Roho - Part 1 (Bongo Movie)
1:07:18
Swahiliwood
Рет қаралды 550 М.
TETE (Official Swahili/Bongo Movie)
1:02:07
36 Pictures
Рет қаралды 147 М.
Nirudie Maskini Moyo Wangu - A Swahili Movie
1:07:30
RIVERWOOD BONGO MOVIES
Рет қаралды 582 М.
Naima: Mwongofu Mpya - Latest Bongo Swahili Movie
1:03:02
SWAHILI HUB
Рет қаралды 188 М.
SIKUJUA (Swahili Feature Film) - FULL MOVIE
1:05:49
Mararu Film Production
Рет қаралды 74 М.
Mdundiko (with English Subtitles)
2:09:46
Swahiliwood
Рет қаралды 199 М.
Renegade Part 1 - Hemed Suleiman, Elizabeth Swinny (Official Bongo Movie)
1:29:19
I'm Excited To see If Kelly Can Meet This Challenge!
00:16
Mini Katana
Рет қаралды 33 МЛН