Clam hii movie nikali sana kaa mnakubaliana na mm naomba ulike
@ButoyiRukiya18 күн бұрын
Kwakweli nikali saana ila sasa muda mdogo jamani😊
@MasterTulo18 күн бұрын
Mm naona movie hii sio kali sana ila zilizopita zilikuwa za moto
@joelnyaga198517 күн бұрын
Nakubaliana nawe,iko so boring@@MasterTulo
@tiffahbby369717 күн бұрын
@@MasterTulo mie ndio anipungi kabisaa Kwa kweli sielewi Bora zile zengine
@MasterTulo17 күн бұрын
@@tiffahbby3697 hii movie mm kipande tu kimoja siwezi kukimaliza wakati zilizopita nilikuwa naludia mara nyingi sana maana zilikuwa zinanishawishi ila hii ya sasa tuongee ukweli hii movie ni butu haina mvuto
@Shukurubigirimana-g5s18 күн бұрын
Wa kwanza kutoka Congo RDC les congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 manifester vous
@prophetferuzi752018 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🎉🤸💃
@AugustinWilly-h4w18 күн бұрын
Tozali
@Amidaqueen-p9l18 күн бұрын
I love my country 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪
@ndagijimanavianney687718 күн бұрын
Uyomwamba namkubalisana❤🇧🇮🇧🇮
@MosesBakari-mh5of18 күн бұрын
Courage mon frère je vous remercie
@Hellen-l9o17 күн бұрын
Haaa😮😮 mbona hivo Tena muda kidogo sana jaribuni kutuengeza Kaa muda tupate mautamu zaidi
@DonMooFILMES_Express18 күн бұрын
Kipande cha huyu mzee anaeishi na kivuli kimeongeza mvuto na uhondo ktk tamthilia hii ❤
@RemmySanga-e6o17 күн бұрын
Na vp kuhusu miguu ya huyo jamaa aliyedondosha kuku
@nurumasha17 күн бұрын
Kuna yule mlevi, kuvuli aaah! wananikosha
@fundiseif109618 күн бұрын
My daughter inazidi kupamba moto sio poa 🔥🔥🔥umetisha sana kaka 🙌
@Mwanamisi-q2v18 күн бұрын
Yaani dakika saba tu hamchelewi😂😂😂
@Manyanya-film18 күн бұрын
Sisi sote ni family ya Clam VEVO gonga like my all friends
@Manyanya-film18 күн бұрын
♥️♥️
@shabsoomary251418 күн бұрын
Kim sasa hivi umepata mwili ase pesa nzur😂😂😂😂😂😂
@ZenaKambi-d6n18 күн бұрын
sio mwili to na kuji criim ana jicriim 😂😂😂
@rehemajulias-p9c18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 na brichi anapaka@@ZenaKambi-d6n
@Baenaah118 күн бұрын
@@ZenaKambi-d6n na breach ya pacome😂😂 ila Kim
@tommyokillah17 күн бұрын
Nyash😂😂
@sadicksamuel200516 күн бұрын
Nyash ya maana kabisa 😅😅😅
@Denoohcomedy18 күн бұрын
WA kwaza tena tafathali naomba nafasi ya kuigiza kwako clam Kutoka Kenya
@RickshabyVlogs18 күн бұрын
Wakenya jipambanieni bro
@Wagondo2618 күн бұрын
Njoo uigize
@LettyLussi17 күн бұрын
@@RickshabyVlogs😂😂 duuuh nimecheka
@JacklineGodfrey-y8y17 күн бұрын
😂😂😂umemnyimia nafasi@@RickshabyVlogs
@RickshabyVlogs17 күн бұрын
@@LettyLussi wakenya wana kamdomo sana
@FattyDapetty-tj9vr18 күн бұрын
Mapema sana tunaluka nayo❤❤❤🎉🎉🎉
@nobletz18 күн бұрын
Clam video zako zimenyooka sana kaka nakuona mbali sana upewe maua yako ❤❤❤❤
Pia mm hapa nmewakilisha kutoka Kisii,embarambamba mwenyewe 😅😅
@robamba18 күн бұрын
tuko wengi, Meru nimewakilisha
@erickmeshac313518 күн бұрын
Karina ingutia
@Deekebbie17 күн бұрын
😂😂😂😂@@sipiliankwamboka5193
@NajmaNdakala17 күн бұрын
Apo sasa
@hamzaIlunga17 күн бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team vevo❤❤
@salumualoyce562018 күн бұрын
Huyu jamaa Clam Vevo jaman movie zake zinaelimisha mno, haya maisha ya humu yapo live kabisa kwenye jamii zetu.
@MrCchadogi18 күн бұрын
kuna clip yake 1 nineona akisimulia kuwa aliamka makaburini wakati akicheza filamu ya big boss, wabongo konyo
@salumualoyce562018 күн бұрын
@MrCchadogi Hayo mambo yapo sana. Chili aliwahi kusimulia walienda Bagamoyo kushoot filamu ya kichawi wakakutana na mauzauza wakatoka mbio na mwenzao mmoja aliumwa ghafla mpaka akafa.
@Jozuine18 күн бұрын
Waaaaaaattttttt ,,,,,kuna mengi ya kukifunza sana hapa😢😢😢
@KelvinBaraka-io7yb18 күн бұрын
Clam hatar sanaa🎉🎉🎉
@DonMooFILMES_Express18 күн бұрын
ABINIMBI usije kutumia mikorogo 🙏 weusi wako ni zawadi kubwa kwako 🤝🏆 unapendeza kama Wahindi wa Kusini
@aishaomar228718 күн бұрын
Mashallah
@DonMooFILMES_Express18 күн бұрын
@aishaomar2287 🤝 Tatizo dada zangu sijui nini kinawasumbua. Kuna mtu kama AUNT EZEKIEL alikuwa mzuri kwa rangi yake mala ghafla akajiharibu. Sasa huyu Abinimbi awe makini na dunia maana rangi yake imempendeza sana.
@aishaomar228718 күн бұрын
@DonMooFILMES_Express hua wanashawishika ma ulimwengu maskin...Allah Atuongoze
@DonMooFILMES_Express18 күн бұрын
@aishaomar2287 Allahumma Aammiyn
@ZawadiMohamedi-vr2de18 күн бұрын
Pata pesa tujue tabia yako
@FelixTarimo-wr4uf18 күн бұрын
Mm naitwa felix tarimo clam naomba nafasi ya kuigiza nipo Moro mjini, kazi zako zimenyooka ndg.
@calebkiprotichjelulesenior201718 күн бұрын
Wapi like zangu the first to watch from capital city of Africa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@maimunfaridah544818 күн бұрын
😁😁😁😁🤣😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i love my country
@innocentakili88918 күн бұрын
Jamani wakwanza from Kenya nipeni zangu Aki
@EusébioisaiaspauloPaulo18 күн бұрын
Wa kwanza leo..good job vevo in moz
@calebkiprotichjelulesenior201718 күн бұрын
Ongera bna clam watching from bomet, Kenya
@mohammedkidody561818 күн бұрын
Napenda sana clam vile hucheleweshi kazi❤🎉
@Ticah_Tz18 күн бұрын
Ngoja nijaribu kuwahiii😂😂😂😂
@HudhaimaYussuf18 күн бұрын
Nilijua wamwanzo kumbe kama wote 😂😂😂😂
@ziro-creativity18 күн бұрын
I say pongezi sana naipenda sana kazi yenu
@DjsimpleAlitchoki6718 күн бұрын
Na comment toka congodr mwaka mpya kwa wote
@JacksonNgede-k4q18 күн бұрын
Nakubalii huyu dada pia apew maua yake anawezaa
@MrishoPazi18 күн бұрын
Leo wa kwanza mm kutoka to like za vevooooooooo apa
@Ashiruna-yq5vh18 күн бұрын
Mnaompenda vevo like mingi apa ♥️♥️♥️
@kipandezegreat765218 күн бұрын
Hii bora zaidi yaoooo🎉
@JosephomariMaishaniyamungu18 күн бұрын
Clam Vevo unatisha sana brow kazi nzuri natokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunamikubali sana
@KalumeSergio16 күн бұрын
Totonga mboka congo
@bongoherbstv689318 күн бұрын
Sawa wote humu nyinyi wa kwanza hakuna wa mwisho..haya faidini
@Esthermalamba18 күн бұрын
eee kumbe na sisi wa mvumi mungu ametuona hongera singam🎉
@FredrickNdyamkama18 күн бұрын
Uchawi ni ujinga sana😁😀😃😄 et kaolewa na wanaume 24😄😃😀
@titusmwange498818 күн бұрын
Kazi safi nikiwa Nairobi Kenya wabongo mnatufraisha Sana na kazi zenu
@RommyDekizzy72918 күн бұрын
Aya ngoja niseme namimi nimewahi sasa 😂😂😂
@cristaezekiel103618 күн бұрын
Abigail ana sauti nzuri mnoooo ❤❤❤❤
@monysanga751618 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Hamjatucheleweshea leo
@amirigasper393918 күн бұрын
🎉❤❤
@jumamohamedi838818 күн бұрын
Mnooo
@Bizbabillon18 күн бұрын
Nyege mbaya sana
@mwajumaseifu21618 күн бұрын
Hata me nampenda
@Gaki_0118 күн бұрын
Daaah nikajua me ndo wa kwanza kuiangalia😢😢
@Rukua-i3o18 күн бұрын
Umetoka kwa CHADO ukaenda kwa Donta tv umerud kw my daughter 😂😂😂😂😂😂hd raha ❤❤❤❤❤ ety nimeolewa na wanaume 24 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@abuyunusmohamed696118 күн бұрын
Clam mwanangu kamwangukie sarah mashy.kipindi kimepooza sana.
@aishaomar228718 күн бұрын
Uongo
@DonMooFILMES_Express18 күн бұрын
@@abuyunusmohamed6961 kuwa mpole kijana 😁 hakuna msanij wa kike asiye na ushawishi ktk uigizaji kama yule 😁😁😁 kuna mashine inaitwa SANDRA ile inatakiwa kupewa nafasi kubwa kubwa kwenye kazi za Clam uone itakavyoishangaza watazamaji. Yule Sala daaah nilikuwa nampinga kuanzia kwenye SNAKE BOY nafasi yake angekaa SANDRA
@@aishaomar2287 wakati movie ndio imezidiii kupamba moto
@jerominalfonce18 күн бұрын
Hapo mwishon na hisi itakuwa ndoto huyo dada anaota 😂 ila movie 🎉🎉
@ramakinjoi406318 күн бұрын
😂😂😂umeonaee
@RAPPERVAM4718 күн бұрын
At m nais
@sadamuall824918 күн бұрын
Ndiio
@lucakakuru313817 күн бұрын
Iko wazi
@Joramkatana16 күн бұрын
Kama vile unaongea point...ila lets wait for the next episode
@MC_STAR-W17 күн бұрын
Skuizi umepotea clam uezi fananisha dunia na hii wewe si clam wa 2022
@NathanLukambinga18 күн бұрын
hatari sana hapo mwishoni😀😀😀
@kinarachimbi509518 күн бұрын
Kazi safi claam🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@SalamaTaura18 күн бұрын
Mwenzio kaolewa na wanaume 24 😅😅😅😅we huogopi
@mouna692018 күн бұрын
Ile yule mtoto wa 2000 anavibe lake😅😅😅😅
@JacklineGodfrey-y8y17 күн бұрын
Nawote kawala nyama😂😂
@Naema-x7p18 күн бұрын
Mm nko kwa hawa wazee nimapacha kweli au ni editngi mzee zumary begap clamu vevo ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Imanpasco-r1n18 күн бұрын
Jamn move kali adi nachanganyikiwa kama mnakubaliana na mimi naomba like zenu
@JofreyMillinga18 күн бұрын
Mchawi anaitwa asifiwe 😂😂😂😂😂😂😂
@KevinOnchwari18 күн бұрын
😂😂
@MariaYohana-f2q13 күн бұрын
😂😂
@rashidibakary18 күн бұрын
Moza Umeuwa Kinoma Yani
@MondeMunsubi16 күн бұрын
Mimi APA mu Congo wa pili! Toujours likolo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AimanAimanRashid-gq3gc18 күн бұрын
Kama unamkubali clam gonga like apaaaa
@MashaMaitha-q5w8 күн бұрын
Achimelemele,,achimelemele machipato😂😂😂😂😂😂 hii nikali ya mwaka wenzangu lets like each other 😂😂😂😂😂😂 achimel.......❤❤😂😂😂
@wafulathevillageboy18 күн бұрын
Good job vevo..wapi likes za wafula movies Kenya
@marthamwanyiva181418 күн бұрын
Kali Sana 🤗ongera Vevo 👌🎉🎉🎉
@Shukurubigirimana-g5s18 күн бұрын
Naombeni like mimi hapa wa kwanza kutoka Muji wa Goma
@SatienMzs-cp4rz18 күн бұрын
Nafurahi sana kabisa kwa i move clam ni Simba kama nikweli naomba like za washabiki woteeeee wa clam mimi natokeya RDC Lubumbashi🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@Rizikialiamechannel76318 күн бұрын
Happy new years vipenzi nawapenda wte 🎉❤❤❤
@JosephMutembei-y2n18 күн бұрын
Wakwaza kitoka Kenya 🇰🇪 ❤❤❤ nipee like zangu banaaa😅😅 CLAM NAKUPENDA SAANA BROO WANGU GOOD JOB SIR LIKE ZANGU KUTOKA KENYA NAIROBI ❤❤PLEASE
@JustinBonaneharerimana-zg1td18 күн бұрын
wakwanza mimi toka congo🇨🇩🇨🇩 Goma
@RehemaKawaka-o5m11 күн бұрын
Kram kram nakuita tena kram utafika mbari san chapakaz kak
@FahimuFarao18 күн бұрын
Daah hii move mi ata siiyelewi yaani ni tofauti na ilivoanza kbsaaaa ilivoanza ilikuwa nzuri saiv naona ndvy sivyo
@AyshaAli-f7q18 күн бұрын
Umeona eee mm nilizani mm tu naona imebadirika
@priscamsetti231518 күн бұрын
Kabisaaa itakuwa labda wamebadilisha story
@sniperislam454718 күн бұрын
Kutokana na yule dad kutolewa humu ndomn story imebdlika
@AyshaAli-f7q18 күн бұрын
@@sniperislam4547 ohoo hapo sawa
@JolinoPeter18 күн бұрын
Mtoto mwenyew yuko wap
@neemakoi663518 күн бұрын
Waaah aky next episode itakua moto sana🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@salmasalam326818 күн бұрын
Tunasubiri mwka mapya tujuane🎉🎉🎉
@hasanitwaha-nt5dl16 күн бұрын
Wote tunao angalia hii my daughter mungu atuvushe huu mwaka salama 🙏🙏
@muzihilipiusdaudi679218 күн бұрын
Na mm wakwaza Leo second ya 12❤❤❤
@MasackPoromosha-d8u18 күн бұрын
Moza _money umecheza ka pele😂❤
@MiujizaNiyonzima18 күн бұрын
Achaniwe wakwanza leo okay 👍 🎉
@JescaMarykarisa18 күн бұрын
Safi sana kwa kazi yenu nzuri sana 🎉🎉🎉
@JumaEniester18 күн бұрын
Clam tuingizie mwinyi mkuu humu tumemsi na yy. Weka like za kutosha😅😅
@ErvinMaridofu-f1l18 күн бұрын
Nami na furai Sana Ku Pata mwenzangu toka Congo Rdc
@Kifutubrandfilm18 күн бұрын
Noma sana kazi imekua yamoto kuriko alivyokua yule pimbi sarah😂 like 200 kwao
@Kurtcmfalme18 күн бұрын
Alafu mniambie mwakatobe mlimpeleka wapi😂😂😂
@DavidMgaywa-zd5kd18 күн бұрын
Amefinywa na wachawi wa himaya tayali 😂
@aishaomar228718 күн бұрын
@@DavidMgaywa-zd5kd😂😂😂
@mkariwanyota522218 күн бұрын
Nakubari kaka 👊👊🇹🇿
@AbedyJuma16 күн бұрын
Wanao angalia my daughter hongereni tujuaneeeeesee
@fatumaselemani380718 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika
@enah-j9w18 күн бұрын
Mtu unajitutumua kwenda kwenu kusalimia ukifika kafara inakuhusu 😂😂😂 pôle Kim kimekuramba 😂😂😂halooo
@ibrahimmalata41818 күн бұрын
Mimi wa kwanza leo jamani nioneni hapaaaaaaa😅
@TimaBofulo18 күн бұрын
Napenda snaa calm vevo n wenzko kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🎉🎉🎉❤❤
@Mzewakaliua18 күн бұрын
Dah leo kwa mara ya kwanza 🎉🎉🎉😊
@SaidMahaa15 күн бұрын
niko tanzania pia mimi clam vevo ❤🎉😊
@DavidIssa-hj2oz18 күн бұрын
Wa kwanza nipeni like zangu tafadhali 🎉🎉🎉
@RizikiDjuma-j4c18 күн бұрын
Courage Clam vevo na juwa aliye kukoseya Ku ingiza likes mingi ni Sarah ila Sisi wa Congo RDC 🇨🇩 Tupo nyuma yako❤
@RizikiDjuma-j4c18 күн бұрын
Apo powa
@ميريم-ط1س18 күн бұрын
Wachawi wanasema asifiwe sjui ni yup huyo asifiwe 😂😂😂
@annaki31818 күн бұрын
Angel nae kapotea kama Sarah mashy au😂😂😂😂
@mametemokili436318 күн бұрын
Wa kwanza from Kenya 😊
@MwanamkuuMumbe-q2y18 күн бұрын
VEVO NAMBA 11 NIMEIPENDEA BURE❤❤❤❤
@AllyBabu-kr6lg18 күн бұрын
Suda vevo punguza uchawi😅😅
@tet-mediake16 күн бұрын
Our roll model kazi safi Sana keep it best one ❤❤❤❤
@MasauShida18 күн бұрын
Kazi nzuri Clam vevo🇹🇿
@Husseinradjabu-n7n18 күн бұрын
Kutoka RDC Congo hii picha tamu.
@ZawadiMohamedi-vr2de18 күн бұрын
Ila huyu bibi noma 😂😂 et tunachotakaa nyama tu
@TausiJuma-z9e18 күн бұрын
Mwendelezo mbaya 😢
@lifemistake0418 күн бұрын
Hakika clam vevo ameshindikana. Anae kubali hilo basi aniachie like zangu apa
@Rehema-h6t18 күн бұрын
From oman gys like zangu jaman 🎉❤wa kwanza leo
@متعةالمشاهدة-خ2ظ18 күн бұрын
From Oman tupo sambamba daar
@Rehema-h6t18 күн бұрын
@متعةالمشاهدة-خ2ظ 🫶🤝
@HUpendo18 күн бұрын
Ixhilini na nne wana umee kwa xhimo moja😂😂😂😂
@Cheusi_media18 күн бұрын
Big up kwa Wote tunaozid kitoa saport kwa BIG BROTHER CLAM VEVO 🎉🎉 mimi Cheusi naomba tuwe na moyo wa kuzidi kutoa support kwa kila kaziii .. MUNGU atuvushe huu mwaka LAHAULAAA ❤❤
@mohammedkidody561818 күн бұрын
Lahaula cheusi nakubali sana unavosapoti wenzako❤🎉
@aishaomar228718 күн бұрын
Cheusi media 😂
@johnsabu-co7fb18 күн бұрын
Huyu Mzee ananogesha sna movie mzingatie ila nakukubali sana vevo hakuna kupowa
@kalebeMmangyu18 күн бұрын
Nimechelewa leo naomba like nipo usa🇺🇸
@solomonaden534118 күн бұрын
Dakk ya 50 hii ndo naingalia ila km unamkubal clam naomb ht like 7 tu