Jamani Leo nimekuwa wa kwanza naombeni hata like 10 tyu team clam tujuane
@OfficialDior-z7dАй бұрын
Nomaaa🎉🎉🎉🎉
@ENIperitoBakarАй бұрын
Unataka kuzifanyia nn
@KifutubrandfilmАй бұрын
Pole sana kaka kwa changamoto ya msanii ira apo kitu kipo kk si bure kwa uyo Sarah kua makini
@ChershAbdallah5-tz8xoАй бұрын
Shida wanatoa vipande kimoja Moja ndo shida
@FaudhiaRamar19 күн бұрын
Unazipeleka wapi ukishapewa
@sijemoct1216Ай бұрын
tumpeni pole Mr Clam vevo', kama na wewe unampa pole kwa hayo anayo pitia gonga like ili aone kama tunampenda sana
@AnoldA.Square-e1lАй бұрын
Pole sana mr.Clam ila wasanii ndivyo walivyo kikubwa, dada aisha avae uhusika vizuri.. Good filam and god bless for person katika majukumu yako.. Nipo TZ-CHANIKA NGUVUKAZI
@gloiregloirekamirigadoАй бұрын
Ongera Sana clam Vevo ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mohammedkidody5618Ай бұрын
❤❤❤
@prof_rasАй бұрын
Kazi nzuri. Story na maudhui vipo vizuri. Much congrats to #Clam na team nzima...💪🏻💪🏻💪🏻
@rabikasekue3555Ай бұрын
Ila weee ikopoa sana❤❤❤❤
@prof_rasАй бұрын
@@rabikasekue3555 🤝
@fundiseif1096Ай бұрын
My daughter inazidi kupamba moto 🔥🔥🔥 umetisha sana clam vevo 🙌
@OmanOman-ru4euАй бұрын
Daaaaa pole sana clam 😢😢 watu wakishaanza kujipata wanariga jmn mungu akutie nguvu kwa kila changamoto na amini aisha atafanya vizur zaidi
@MwanneRashid-d2p6 күн бұрын
My daughter inazid kupamba Moto hongera sana👏👏
@marthesifa-5803Ай бұрын
Nimejitaidi leo sijachelewa sana 🤩 kazinzuri clam vevo 🎉🎉
@BijouxBuloseАй бұрын
Ila sara alikuwa naiendecha hii muvi vizuri ila clam kuna mtu nyuma ya hii ile tu wewe ufeli ila mungu yuko upended wako tunakufata na sisi tukiwa congo❤❤❤
@JAMESONMBIRO-mz7ebАй бұрын
Sana
@msouthdablackАй бұрын
Nampendaga sana aisha ,, naweusi wake mashaallah,, nimzuri haswa kwenye uigizaji
@MagrinhoKingZGАй бұрын
Clam upewe maua yako 🎉 Likes zangu from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Mwana85Mwana85-wz1ol28 күн бұрын
Nimeami. Useheme wa wa binadamu kikulacho kipo nguoni mwaka baba ndyo adui yako p Moja n mama duuh VEVO pole San hum 🔥🔥🔥🔥
@aganzerogerАй бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Congo bukavu nipe like zangu asheni ushoyo clam🎉🎉🎉🎉❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@kevy254Ай бұрын
Kazi nzuri mkuu, movie haitasimama ju ya mtu mmoja lazima twendelee. Ahsante kw kutujulisha ju tungedhani umemfuta Sarah kazi❤❤❤❤
@almaskarahkenya5533Ай бұрын
Clam napenda movie zako sana from malindi Kenya ubarikiwe bro
@LaughKey-f8xАй бұрын
Nmepata home boy apa Soweto muyeye vipi nawee
@shaklaomar697Ай бұрын
Perfect ✅
@almaskarahkenya5533Ай бұрын
@@LaughKey-f8x mbona fresh tu tuna burudika na move pole pole tu apakzbin.info/www/bejne/enKzi5KYbM-Gotksi=e0Be3F47f9jVSzoi
@DaniellahLavine-h7rАй бұрын
Tupo hapa
@LaughKey-f8xАй бұрын
@@shaklaomar697 home boy pia🔥🔥
@ZalhaMustapha-yj4osАй бұрын
Kwanzaa hyo hyo Aisha nampendaaa snaa kuliko hyo Saraah anaringaa snaaa achana nae we endelea kupga kaziii kwa niaba ya wezang wote wa KZbin tumemkubali Aisha na tunampendaaa mnooo❤❤❤❤❤
@Yatosher_Der_Golden_voiceАй бұрын
Au bhasi acha tufanye kama nalinda MSIKITI😂😂
@tabithamutisya6664Ай бұрын
😂😂😂 kipara kwa majibu
@alhajjabdoo625Ай бұрын
Umeisikia 😂
@vvipdnamahaja5901Ай бұрын
Kaka toa kazi maana kama haujui Moja ya kampuni Inayotoa na kuzalisha kazi Bora na Nzuri ni hii ya kwako ndg yangu, Umeinua wasanii wengi sana wanajitahidi kufanya vizuri lakini wewe ndiyo Kaka Mkubwa🎉
@JudcBenАй бұрын
Au bas tufanye kama nalinda msikitin😂😂😂😂
@morriske3974Ай бұрын
😂😂😂 imenifurahisha sana hii
@othmanali5799Ай бұрын
😂😂😂😂 siooooo poa iyooooo
@ThomasWilliam-k5hАй бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣@@othmanali5799
@finegatwiri2597Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂anabambisha sana😂😂😂
@yasinramadhan7315Ай бұрын
😂😂😂😂
@DullaNamanАй бұрын
Broo ikitokea kitu Kama hii Tena ww uwa mtu kwa scene uweke mwengine bila watu kujua💪💪mbele daima broo from 254🇰🇪
@gidenprotzАй бұрын
Wa kwanza kutokea drcongo❤❤❤ wa Kongo na wapenzi wa clam vevo naomba like zenu ❤ much love na mungu awabariki🎉🎉🎉
@Sharifaliuma-gb3vtАй бұрын
Wameanza kulewa usta usijali Mungu akuongozo tafauta watu wapya ufanye nao kazi nazani kunawatu wengi tu wanaitaji iyo nafasi na awajaipata
@TeshmonyAntonioАй бұрын
usihukumu mtu we sio Mungu na huezi jua amepatwa na nn ndo akose hata kujibu simu bila shaka itakuwa mtu usiyeelewa kuhukumu mtu bila kujua sababu Kwa saabu kama hakuwa anahitaji kazi angepokea japo akatae jamani tuwe tunafiiria kwanza kabla ya kucomment
@yasinramadhan7315Ай бұрын
@@TeshmonyAntonioata kupokea cm kwa maana amefariki au watu tunasahau tulipo toka
@TeshmonyAntonioАй бұрын
@@yasinramadhan7315 acha kuongea kama mjinga ww
@GracieTynoАй бұрын
Ana ustar gani 😂😂😂😂
@abasgregory3371Ай бұрын
@@yasinramadhan7315may be anadai
@linconndedaАй бұрын
Mm wakwanza Leo kutoka Kenya wapi like ya clam
@FatmaRashid-q7jАй бұрын
We tuwekee huyo ajae ndo atafanya vizuri zaidi ya Sara akishapokea simu mwambie Jimbo lishachukuliwa😂😂😂😂😂
@JAMESONMBIRO-mz7ebАй бұрын
Sana
@furahakenga6619Ай бұрын
Wakwanza kutoka kenya naomba like 🎉❤❤❤
@KhadijaOmar-x1pАй бұрын
Omba omba likes tu,,,itakutoka hio kitu😂😂
@RenatoAlbert-t1zАй бұрын
Ila angel yupo vizuri jamani; na ndo kwanza katoto🎉❤❤
@skmovies-m8fАй бұрын
kama unamini vevo kaludisha tasinia ya bongo movie gonga like
@Derevamkongwe6864Ай бұрын
Mbona hilo swala rahisi sana, vile move yenyewe yakichawi we Fanya kama Anger amembadilisha tu Mama yake, yani baada yakufika tu kijijini akabidilika kuwa mtu mwengine na tutaelewa.
@chrissbwalya4513Ай бұрын
Au afe tu tujue kafa
@SolutionsSammyАй бұрын
Mimi wa kwanza leo nipeni like jamani sisi wa congo 🇨🇩 tunapenda sana iyi movie 😮😮
@aggreyanyangoАй бұрын
Clam vevo naenda nyumbani Kula chapati maragwe Hapana weka police Kwa cambi mwaka atazoeyana na majambazi Don't give up be strong 💪💪 Movie zako nikali nawapenda wote from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EspoircubakaBisimwaАй бұрын
Wa kwanza kutoka Congo naomba likes zangu.aka katoto dah!🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ShaziMuhammed-c6eАй бұрын
Jaman kipala anajuwa sana kama munamuelewa kama mimi like apa❤❤❤❤
@AngelJosiah-v7y28 күн бұрын
Hahahahah ety analinda msikit jaman 🎉🎉🎉
@HarunaDanielmbanzeofficialАй бұрын
Hio colour sio nzuri rudisha mwanga ndipo movie ionekane vizuri
@SheilaOmar2007Ай бұрын
Ilikuwa kumbukizi ya kipara ndo mana colour ikawa na mwanga wa kupauka
@HarunaDanielmbanzeofficialАй бұрын
@SheilaOmar2007 oooh hapo nimekuelewa kidogo
@ewoiekaaleАй бұрын
Flash back. To make it look different
@kassimgambere2382Ай бұрын
Kabisa
@sashasasha9253Ай бұрын
DUNIANI hupo ahera unatafutwa wewe
@Sotto-k3jАй бұрын
And so here comes Kenya. Your work is so wonderful. God bless you 🙏 Clam...
@FlorenceWABIWA-v8eАй бұрын
Poleni sana mutowe uyo Sarah. Kazi nzuri Clam ongera sana na huyo mtoto nampenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@AleluiaNampindo-c9zАй бұрын
guus
@MariamAhmadaMwikaloАй бұрын
Ana shida gani mbona iko poa
@TeshmonyAntonioАй бұрын
think twice before you comment
@TeshmonyAntonioАй бұрын
think twice before you comment
@MaryamMubarak-lw8kwАй бұрын
Pole sana clam wetu❤❤❤ ulipo tupo team clam🎉🎉🎉
@JUMASELEMAN-o2lАй бұрын
Kazi nzuli hongereni washiriji❤❤❤❤❤
@faizamohamed6993Ай бұрын
Mungu akutangulie clam ila wabongo kwa husda. Bora utafute watu wapya hawa wazamani wana husda sana. Wanataka wakuangushe makusudi. Usife moyo ❤❤❤❤
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
Hatahivyo nimefurahi umepobadilisha muhusika, yule Merisa hakuendana kabisa na nafasi yake. Huenda yeye mwenyewe kajishtukia. Huyu Abinimbi ( AISHA ) ndio anapendeza kukaa nafasi hiyo. ❤🎉 Sasa twende kazi
@smartdesignandprinting6474Ай бұрын
Nilichokiona mimi kwa jicho langu la "KIJASUSI" Melisa Amekimbia huo uhusika kwasababu mbeleni hapo atatakiwa awe kwenye uhusika wa yeye KUFA so anaogopa huo uhusika. Sitaki kuamini kuwa lengo lake ni kukwamisha kazi yenu. Nakuhakikishia kuwa baada ya kupatikana huyo muhusika mwingine now simu zenu atapokea. Amehofia "Kuumba vitu kwenye ulimwengu wa Roho". Ombi langu kwenu musimchukulie kama ni Adui wa Movie yenu. Muendelee naye kufanya kazi kwenye movie nyingine ambayo haina uhusika wakutisha sana. Ahsante haya ni Maoni yangu tu.
@Miss_Zia95Ай бұрын
Huyo merissa anact aje. Je ni yule kama mgonjwa ama rafiki wa madam
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@@Miss_Zia95 mke wa Clam
@dicksonguraidiАй бұрын
@@Miss_Zia95 ni yule mke wake clam vevo.
@Tanzanian_lydiaАй бұрын
Mkewe@@Miss_Zia95
@DieudonneFabien-r4hАй бұрын
Kama umeona Ile clip ya clam vevo akitongozwa na mbibi tujuane apa 😂😂
@ZariaRamadhaniАй бұрын
😂😂😂😂
@Mzawa12Ай бұрын
😂😂😂
@EliasPosianoАй бұрын
😂😂😂😂😂
@KisagaJohn-o6bАй бұрын
Nomaaa😂😂😂😂
@JasperMakaleOkamuАй бұрын
Jaman mnafurahisha mungu awalinde kwa kazi nzuri.😂😂😂😂
@SanifuTz-n4zАй бұрын
Duuh hizo hila za wanadamu bwana cris
@chanceowden4845Ай бұрын
Pole sana Clam, hii ni Vita ya kazi zako, lengo wakufelishe, ila tuko na wewe! Pole saana, tunaipenda kazi yako!
@PendezaPendo-k6iАй бұрын
Chukua maua yako mtoto mzuri🌹🌹🌹 kama mchawi kweli ivi😂😂😂😂
@MmMm-tt1wiАй бұрын
🤣🤣🤣🤣
@JosephomariMaishaniyamunguАй бұрын
Pole nisana brow kazi nzuri ❤❤❤❤ kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mohamedlopa8410Ай бұрын
Yeyote atakayesoma hii coment mungu akubaliki uweze kufika mwakan saalama🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤲🙏🤝🙏🤝🙏🤲🙏🖤
@mohamedlopa8410Ай бұрын
❤
@Zaburi-Ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@ZariaRamadhaniАй бұрын
Inshallah
@DeboraJones-d3dАй бұрын
ameen
@Celina-t4jАй бұрын
Sarah mashi anaonekana mjeuri nilifikiri ni movie kumbe ata kwa uhalisia pia😂😂😂pole clam 🎉🎉🎉mauwa yako kwa kutoa siri kama hiyo mi nae mmoja wapo wa kulalamika nikiona mtu amebadilishwa bila taarifa ila sasa naelewa asante sana
@RendinaaEliabiАй бұрын
Kuwa na mwanaume asiekuskiliza pia ni hatar uweza kufa mapema mno mungu atusaidie
@fatumaselemani3807Ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
@bahozisaidiradjab4902Ай бұрын
Pole sana clam vevo...tunakuunga mkono toka Congo mji wa Goma
@JuliusJembelayexu-dh5mmАй бұрын
Pole xana bro kwa hayo unayoptia xaiv ucijali mungu yuko pamoja na wewe jamani meliza ako na roho mabaya xana c angexema ma tu ctaki kuliko afanye iv❤❤❤❤❤❤❤❤
@Cheusi_mediaАй бұрын
MY DAUGHTER 🎉🎉 BIG UP MA BROTHER VEVO 🎉🎉
@mwemakhatibu1754Ай бұрын
Clam usiwaze wala usikate tamaa huyo dada ametapeliwa amelubuniwa kwa hy majuto ni mjukuu atakuja kukukumbuka aise pole sana mzee wa kazi kazi iendele i wish good jobs.
@IgweezysirleemАй бұрын
Nampenda angel ana kipaji kikubwa sana🎉🎉🎉
@sihingerejePrudentАй бұрын
Bro tusaidiane pamoja
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa kwa uwezo wa mungu atafika mbali
@muksinarchard6496Ай бұрын
Sarah kaogopa kufa na kula nyama za watu... angel sio mtu mzuri
@AbdulJuma817Ай бұрын
Sara ni nani
@omaryjuma5204Ай бұрын
Dar kipara eti au basi tufanye kama nalinda mskiti 😂😂😂
@amanimataligana2734Ай бұрын
Enjooo wangu aka suda yanga 💚💛💛💛kwanini asifanye jambo kwa hiyo anae tuyumbisha😂😂
@MuhammadWariraАй бұрын
Wa kwanza kutok pemba naomben like zng🎉
@juumediaАй бұрын
Ushauri wangu. Mngembadilisha kwa njia za kichawi kwamba amevaa mwili wa mtu mwingine af mkamaliza naye kama mlivyofanya kwa kakoso na yule Dada kwenye snake boy
@chris-c3j9rАй бұрын
Wapi like zangu from kenya
@mohamedmanga8391Ай бұрын
Pole clam haya aliyapitia simba, Mombasa twasubiri ijayo tusha adopt huyu mwengine kwenye mindset zetu, unapigwa na ka....
@SalmaMgeni-h7oАй бұрын
Bora umeweka wazi na sababu za kubadilisha muhusika❤. Jithamini utathaminiwa
@ARONPaul-bz3wsАй бұрын
Poleee sana mwambaaaa kwa changamotooo vevooo munguuu akupe wepesi wa kazii zako
@SunduliThwalibАй бұрын
Naam brother I was just waiting ✋️
@yasinmzuka3328Ай бұрын
Bro ww fundi sana mwanangu unajua kutunga storry ❤
@J74251Ай бұрын
Mimi hapa watatu kutoka Kenya nilikua nasubiria hii🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
@sifainantoreАй бұрын
pole sana clam wetu kumpotez sara.lakini Mungu yuko pamoja naw sara kafanya ujinga atajutiya badaye tunakupenda sana.from.burundi
@salumuwembo-fo5rr365Ай бұрын
Good luck, I'm watching this video from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉💯💯💯
@AllyNyundo-j6yАй бұрын
Dah usijali mungu atakusaidia aisha atacheza vizuri tu wala musiwe na mashaka nae ❤❤❤
@babynaashАй бұрын
My daughter ni ya moto🔥🔥🔥
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
Kwenye kumbukumbu ya kipara haijakaa sawa, anakumbukaje sehemu ambazo hakuwepo!?.
@MarystiveSaraАй бұрын
😂😂
@HijraJuma27 күн бұрын
lla clam anajeur sana ajarb kuwa peace kdg kwenye hii tamhlia
@abudailamy2577Ай бұрын
Hilo koti lifue..... Mama kasema nisilifue yuwapenda hiyo harufu,,,,, 😂😂😂😂
@AdamOman-n2sАй бұрын
Sawa ss tunakukubali sana Kaz zako 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@HamisiSalimu-d1nАй бұрын
Uwezi kumtoa na kumueka mwengine kazi iyendelee alafu uyo mpya nampenda Atari
@Alex07scotАй бұрын
Bila shaka hamisisalimu jieke katika miguu ya bwana Clam kisha utoe maoni yako maana pia mm imeniudhi kupingia mtu mara zaidi ya tisa bila kupokea simu hata bila sababu ya msingi
@HamisiSalimu-d1nАй бұрын
@Alex07scot unajua izi ni kazi sa mtu kama hataki unasema kuliko kumpotezea mwenzio muda na pesa ina kera sana ila utafanyaje ndo changamoto zenyewe na maisha lazima yaendelee kafanya maamuzi mazuri mbona
@Alex07scotАй бұрын
@@HamisiSalimu-d1n bila shaka ila Abinibi atakaye ichukua nafasi ya sarah "kwa movie Melissa" ako sawa bora flow ya movie ibaki
@zhaomanajer1644Ай бұрын
Tujuwane hapa watu wa Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunaho ifwatiliya My Daugther ❤️
@BlessingSorekorerimanaАй бұрын
Toka DRC mjini Goma 🇨🇩
@aishamkongo1484Ай бұрын
Hiyo nafasi ingemfaa yule mama angel alie kufa
@ChimumyClassic-xq7dkАй бұрын
Kabisa anajua sanaa yule dada na angefit sana sana
@RenoMashalaАй бұрын
ukute na yey kn ktu kazngua nd mna kapew io seen fupi
Dah hongera kwa kutuwek waz ila tulimkubali na kumpend melisa original anachez uzur sini yake il acha tumtazame uy wasasa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@H-GROUPАй бұрын
ongezeni ubunifu kwenye beat maana zikifanana kwenye movie
@AyshaAysha-s5gАй бұрын
Ooh mm natamani kupigiwa hta limoja tu yy anaringa kweli, hana adabu asha kuzirwa ,fb,tiktok....🎉🎉🎉😂😂
@prince001tv5Ай бұрын
Na umpe Mwakatobe nafasi anaeza kufanyia kazi nzuri Kwa hii series
@racheluwda6552Ай бұрын
Daaah uyu mtoto ni noma😂😂😂🙊🙊
@MarshMarshy-e4uАй бұрын
Duh hapana kwel kwasabab movie ikiwa ni yule yule actor but movie ni kal Sanaa na nimeanza kufatilia tang mwanzo Jaman mmetukosea ila Sawa tumuone uyo wasasa
@baracksylivester4209Ай бұрын
Tupo naww ata ubadili jina tutaenda ulipo 👊👊👊🙌🙌
@Naema-x7pАй бұрын
Kiparaaaaa eti unanizunguuusha kma dawa ya mmbu au eti acha tu tufanye nalinda msikiti 😂😂😂😂😂vevo uko vizuri ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Hatma-g8uАй бұрын
Kazi nzuri sana mungu awabaliki mvuke mwaka salama
@mayaashassan3918Ай бұрын
Pole sana kwa changamoto za kaz
@saidmsonjo4884Ай бұрын
Nilikumiss sana my queen Abinimbi since snake boy bora uje na huku 👏🏽👏🏽👏🏽
@salumuSabiti-ssvАй бұрын
🎉🎉 Niko wakwanza🇨🇩
@SonOfJack255Ай бұрын
Tumempokea Aisha ingawa tulimzoea Sarah. Tuko na daughter wetu mpaka mwisho hata utuletee Melissa wa kiume. Kazi nzuri! 👏🏿
@aishaomar2287Ай бұрын
😂😂 wa kiume tena
@mariammuslim29874 күн бұрын
😂😂😂😂
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
😢 nimeumia sana, hizo changamoto za wasanii kukimbia kazi ikiwa bado haijaisha zipo sana. Inaumiza sana kwaupande wa madairekta.... 😭😭
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
Nani huyo mkuu?
@wardagogodigo1111Ай бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rjhuyo aliyeangukiwa na njiwa
@GeorgeAkasha-zx2rjАй бұрын
@wardagogodigo1111 Duuh ila hawa wametoka mbali sana aisee shida sijui nn au kapata udhuru nn?
@DonMooFILMES_ExpressАй бұрын
@@GeorgeAkasha-zx2rj sababu zipo nyingi, ingekuwa udhulu angepokea simu akasema changamoto aliyonayo. Hata asingepokea angetuma sms au kumwambia mtu aliyekaribu yake ampigir simu Clam. Unajuwa hawa wasanii wanamatatizo sana. Hauwezi kuyaelewa kama haujawahi kuwa muongozaji wa filamu....
@NASRAZOMBEАй бұрын
Tucmlaumu uwenda anatatizo ndomaana
@ButoyiRukiyaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Kipara eti unanizungurusha kama dawa ya imbu 😂😂😂😂
@ByrclossLhommedesAutreАй бұрын
Wacongo tujuwane Leo🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@SwabriNihaniАй бұрын
Bas hizo episode za chelewa sana. Kutumwa
@Akili820Ай бұрын
Tujuwane apa kwa like, mwenye kumkubali clam 🇨🇩🇨🇩☝️
@KadiriAthumani-u6pАй бұрын
Nakubali Tena nyengine basi maana siku zinazidi kuenda😁😁😁
@SaynB_officialАй бұрын
Wakwanza leo vevo to the top ndo kwanza trellar picha kamili linakuja my daughter 🎉🎉😊😊