MUNGU MUUMBA MBINGUNI NA DUNIA, tupe macho ya rohoni tujue kweli yako, na tukae ktk njia zako Amina...... 🙏
@user-sv6zy3hc8oАй бұрын
Kwaio humu ulikua unasoma biblia au imeingiliana VP na maombi 😂😂😂😂
@user-jc1og5cr3iАй бұрын
@@user-sv6zy3hc8o😂😂😂
@AweiyBeautyАй бұрын
Jaman jaman jaman watu hahahahahhhh!hayo majb sjui wp tunayapata wallah
@MohammadSwaghirАй бұрын
Wewe ndo umesema la maaana
@MosesKahindi-ys2xbАй бұрын
Amen🙏
@user-rl4cf6tc5nАй бұрын
mi mpk nilshakata tamaa kbs ya kuifuatilia snake boy mnakawia sana mpk nilihamia zangu kwa kp na zeb mnaboa sana au kwa kuwa tunasifia kazi nzuri ndio maana mnatucheleweshea
@MoneyKey247-fk4oyАй бұрын
Kweli😂😂😂
@NawaliKassimuАй бұрын
Mpaka unasahau uliishia wapi
@fahadfaraj6474Ай бұрын
Inahitaji akili ndogo tu kujua mwanzo mlikua mnalalamika inakua fupi sana muda mdogo sasa Hivi wameweka ndefu zaidi maanayake lazma watakua wanatumia muda mrefu kuandaa bado tena malalamiko
@LovenessPaul-yf7rzАй бұрын
Kwakweli😢😢
@MaulidMrisho-hk2viАй бұрын
usilaumu kukawia angalia wanatumia muda mlefu kuandaa maana siokitu chalaisi2 kiivyo wanatumia malifa mengi
@EphrahimIlomoАй бұрын
Daaa tumesubiri sana mnakaa mno mpaka tunasahau kama Kuna snake boy anyway kazi nzuri sana@clam vevo
@Kaloki-hv7dxАй бұрын
Sijui mm ni wangapi naombeni likes hapa...mwenyezi mungu haibarki snake boy...clam vevo hatariiii..
@PatrickAntony-w4dАй бұрын
Mm. Wakwanza udugu
@user-mm3ri2up9cАй бұрын
Kazi nzuli jaman naomba like from burundi tujuane
@_Wayiva_mukuta_jeanАй бұрын
Clam vevo the number one ☝️ mpaka apa Congo 🇨🇩 na kubali équipe clam vevo.
@YoungblackPeople-qf7vxАй бұрын
Mwenyezi mungu akubaliki wewe na familia yako muwe na maisha malefu kwa wewe unaye soma comment hiii
@EverinRobert-cg6cxАй бұрын
Amina
@mrsinia3064Ай бұрын
Amiina
@user-ed8nq6ve7qАй бұрын
Amini❤
@user-jq5lh9mo1vАй бұрын
Amiiiiin 😊
@gakozimartinvalentin2763Ай бұрын
Amina
@KibweOnlineTvАй бұрын
Nimekuwa wa Mia mbili na 53, Naomba likes zangu, snake boy ni motooo 🎉🎉🎉
@HudhaimaYussufАй бұрын
Afadhali umesema kweli mana kila mtu wa kwanza humu😂😂😂😂😂
@officialgvanny8334Ай бұрын
@@HudhaimaYussuf😂😂😂😂
@TajaIssaАй бұрын
Kama unamkubali mtanzi gonga like
@NdohoAudАй бұрын
@@HudhaimaYussufhhhhhhh😂😂 nihatal
@Mashenene_RobertАй бұрын
Wewe adimin 😅😅😅
@adidjahassan6046Ай бұрын
From burundi ❤❤ napenda sana snake boy clam apewe maua yake jamani kama tukopamoja gonga like apa ❤❤
@filexingutia3620Ай бұрын
Mimi ni miongoni mwa first 80,000 waaah! Si watu mnawai jamani... Yaani karibu nianguke😂❤🇰🇪KE🇰🇪NYA🇰🇪
Snake boy 🐍 inazidi kua hatariiii umetisha sana clam vevo 🔥🔥🔥💪
@nestorykakatv7526Ай бұрын
Ushauri wa bure msiwe mnakaa siku 10 jaman mjue tunapenda xn hii kazi
@professor1992Ай бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tangu nianze kufuatilia snake boy sijawai pata likes, jameni naombeni likes mukinifuata youtube
@Kib-jsanleyАй бұрын
Mombasa😂😂
@DuniaMayomboАй бұрын
Nilisha kupa likes ambayo uliomba❤
@collinsmlay1438Ай бұрын
Nimekupa dislike moja aisee nataman nikuongezee zaidii
@AshaMussa-r4zАй бұрын
Kazi nzuri kaka Allah akulinde uzidi kutoa kazi nzuri ila munachelewesha sana
@RifatiJeshiАй бұрын
Mkishajua tunawafatilia na kuwakubal mnatuchelewesha sana kutoa muendelezo!! Jirekebshen bhac
@rashidkwengwegu6876Ай бұрын
Kuchelewa kwao ni kuandaa kitu kizuri kitakacho kuvutia
@ramadhanmbai648Ай бұрын
WA Kwanza kutoka Kenya. I love Tanzania bongo movies .. big up Tanzania ❤
@yassatv2129Ай бұрын
Naomba wote mnaoangalia snake boy mwenyezi mungu awape afya njema na mafanikio makubwa katika maisha yenu🙏
@NadzuaMremaАй бұрын
Amen 🙏 🙏 nawe pia
@Dogs-jg3mgАй бұрын
Amina
@mulhathamadomar4451Ай бұрын
Amiin kwak piA
@abedysteven4930Ай бұрын
Amen
@user-ib5gg4kb5cАй бұрын
Amina
@PuchuanitzАй бұрын
Jaman me nataka mwakatobe ak zinga team zinga dondosha like
@mosesashikoye3288Ай бұрын
Clam siku hizi unachekewesha sana hadi nasikia nimeanza kukosa hamu tena, imarikeni kwa hilo. Tunawapenda sana huku Kenya
@amothedecorationiw9iwАй бұрын
Kigongo kinachelewa mpaka napata hasira kiukweli sijafurahia kabisa week mbili tunakaa kinyonge aaaahhh director amezingua
@FeydhullahTwalibАй бұрын
Kiujumla vevo na team yako mupo vizuri tena mupo vizuri sana
@Jeremiahc224Ай бұрын
Kazi njema inaitaji watu hodari na nyinyi nyote ni mahodari kabisa 🙌🙌🌹❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉.
@sarahnjeri-tz8euАй бұрын
Wenye kufuatilia hizi episodes tujuane 😂😂😂mimi ata ikifika episode 50 lazima niifuatilie team Clamvevo wapi likes 👍👍👍
@PatrickAntony-w4dАй бұрын
Tunawaombea sana❤
@sarahnjeri-tz8euАй бұрын
@@PatrickAntony-w4d 😘😘😘
@Akili820Ай бұрын
Clam noma sana 🇨🇩🇨🇩☝️
@FrankLuhaha-dt5shАй бұрын
Watu waliokubaliii kaziii hiii ya CLAM VEVO gonga like hapa❤❤❤❤ movie iko unyamaaa sanaaa
@qaltumsaid3095Ай бұрын
Najaribu kufanya mazoezi ila najikuta kukosa mueleko😢... Kama umeamka Salama sema Asante mungu Kwa Kila pumzi ninayopumua.... team strong hapa kutoka Tanzania 🇹🇿🇶🇦
@FrankHakizimana-rb3zsАй бұрын
Upo sawa
@qaltumsaid3095Ай бұрын
@@FrankHakizimana-rb3zs Welcome
@rizikladyherson8451Ай бұрын
Asante Mungu
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Asante mungu ww umeongea la maana kuliko kuomba like
@qaltumsaid3095Ай бұрын
@@mohammedkidody5618 ubarikiwe sana
@BakariNgare-v8zАй бұрын
Duuh Clam vevo watueka sana wachelewesha mzigo but ongera Kwa kaz nzuri naona next kanumba miaka inayo kuja karibu Mombasa Kenya.
@eggysulle7988Ай бұрын
Dakika 40 pia umegewa
@BakariNgare-v8zАй бұрын
Hahahaha 40minutes n sawa but anatueka sana Vevo best wishes to this guy is very genius@@eggysulle7988
@MagrethDaniel-cu5fgАй бұрын
Aisee huy dada urembo unamtesa jaman kaqa kama mpira ahahahaha!!! Ungekuwa na sura ngumu ka me akaaaah! Hata ukitupwa pale mbwa hanusi😂😂😂😂😂
@Monystar01Ай бұрын
Aisee kama kuna mtu alikua anaumia Snake 🐍 boy kuchelewa kama mimi Gonga likes 👍
@saidpolish1988Ай бұрын
Unachoka mtu kuifatilia inavochelewa sana
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa inachelewa sana mpk tunakata tamaa
@Big-studios255Ай бұрын
inakuja ndugu zangu 😥😥😥😥 kazi ni nyingi upande wetu sisi ma producer
@SaidiHemedi-ug6qwАй бұрын
Wewe nimshamba tu
@DamarisDammieАй бұрын
Wakwanza from 🇰🇪🇰🇪 ila mnachelewesha sana hd tunasahau pale tulipoachia ila kazi nzuri sana Clam vevo tunaikubali ❤
@user-dh5wh9ts2iАй бұрын
Safi Dama Mkenya wangu
@edwardngugi3537Ай бұрын
Ii kiswahili yko c ya Kenya 😂😂😂 buana
@DamarisDammieАй бұрын
@@edwardngugi3537 hiki n Cha wapi kipenzi
@DamarisDammieАй бұрын
@@user-dh5wh9ts2i good ❤️
@user-qz2dn3qb1xАй бұрын
Naomba unicheki bax
@yonamaduma6284Ай бұрын
Tujuane tunao fatilia snake boy kwanzia season one kama mimi ngonga like hapa
@AsmaEdgarАй бұрын
Gonga na kwangu basi
@user-hn6co1ul8lАй бұрын
Naku kubari kazinzuri sana Ila muna cherewa jitaidini ata muwe munatoa vipande vitatu kwawiki 🎉
@JackyTarimoАй бұрын
2po kimoja
@wamboiwambohАй бұрын
❤❤❤si mnipitie akh😂
@KigabiChancelineАй бұрын
Niko
@NancykerushАй бұрын
Naipeda xana na watch nikiwa Nairobi Kenya wapi likes zangu jamen
@AishaAbdallah-lm4icАй бұрын
From Kenya..🇰🇪🇰🇪 watching from Qatar 🇶🇦 🇶🇦 Nikiwa Moja Wenu🤝💕💕💕
@Dorcasmwende764Ай бұрын
Maandamo ni Tuesday CBD tupatane 😅
@AishaAbdallah-lm4icАй бұрын
@@Dorcasmwende764 Inshaallah mpenzi pamoja 🫂
@khajiathuman-zq4bjАй бұрын
tunaemuona tanu ajulikan yupo upande gani 😂😂 tien like ap
@LysonMshan-kf7rgАй бұрын
tanuu bwanaa Mii simuelewii yanii 🤣🤣🤣🤣
@mohammedkidody5618Ай бұрын
😂😂😂
@stephanmpangire4741Ай бұрын
Alooo 😂😅
@saumbliz8983Ай бұрын
Medick,mbwela,mwasi, Zumba,sengo,kipara ,na kakoso, nawakubali sana na team nzima 🎉🎉🎉🎉hongereni sana washirika nyote wa snake boy mwaitendea haki kabisa hii move 🌹🌹🌹🌹
@Shacky665Ай бұрын
Kazi nzuri Tim vevo hamjawahi niangusha🎉🎉🎉🎉
@ShizoMsosaАй бұрын
Kukudadakei one number
@MellanierChristian-wn9mwАй бұрын
Movie intufundisha hii dunia kuna watu wetu wa karibu ni wanafikii saana si mnaona rafiki ake mtukufu anavojifanya hajui alichokifanya yaan mtu anakupa msiba af anakusaidia kuliaaa 😢
@amilahmuta7586Ай бұрын
Maana kuu ya kikulacho ki nguoni mwako
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa yn na utawala wa kimabavu
@EstherShania-u8iАй бұрын
Leo nmechelewa lkn naomba like hta 2 tuh
@KIBETLOTIPOАй бұрын
Watching live from the capital city of Africa 🇰🇪 KENYA,wapi like zangu,ila mnachukua muda mwingi kutoa episode
@qurthummrabdllh3635Ай бұрын
Mtoe maoni basii kazi wsicheleweshe sana 😂😂😂 kuomba like tu 😂😂😂
@judithpendo9985Ай бұрын
KWANI watu mko n sim kwa mkono jmn 😂😂 nawapenda 🥰 Bure Genz 👊 team strong team clam vevo🇸🇦🇰🇪❤️❤️❤️
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo❤
@siafuonlinetvАй бұрын
Kama kuna mtu kila siku alikuwa anaangalia kama clam kaaploud au laaa gonga like kwangu
@hashimuomary4569Ай бұрын
Kwan mnaoomba like zinawafaidish nn nyie vibwengo watoto wa mwakatobe
@MwabuJacksonАй бұрын
Hi cast of the snake boy, we are really enjoying your wonderful movies. Please keep it up, I wish you the best in your remaining seasons. I'm Zambian.
@user-dw3dz2zt4iАй бұрын
Hiii movie inaongelea Uongozi mbaya kama vile Kenya viongozi wengine wanavo wanyanyasa Wana Himaya ,,,,,ndio unakuta kuna wenye wanakufa ndo wengine wasaidike baadae,,,,,halafu kuna wakina Raila apo kina Kipara huku Yuko na kule yupo
@user-gw1tc8tf5jАй бұрын
Kwel ina mafunzo Meng San y kujifunza hpa
@hamisikamanda9933Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Kabisa yn😂😂😂
@user-wq2np3dm3dАй бұрын
😂😂😂
@SallyMateruАй бұрын
Hatimaye baada yakusubiri kwa muda mrefu😂😂
@crazykea2032Ай бұрын
Eeeeh wanakawia sana adi mtu huchoka😂
@SallyMateruАй бұрын
@@crazykea2032 yaani mpaka unaanza kusahau ilipoishia 🤣😂😂 ila Ndo tunaipenda Hata iweje hatuachi kufatilia
@salhkiyagiАй бұрын
Kazi nzur san ila punguzen baadh ya vitu move iende vizur mtuletee nyingne mwaka sasa unaenda tunafwatilia move iyo tu mwiso itakifu ipoteze ukwality tulio elewan tujuane kwa like
@HASHIMMAKUNGUHAMDANIАй бұрын
Kweli kabisa
@salhkiyagiАй бұрын
@@HASHIMMAKUNGUHAMDANI unaweza ukasahau hata ilianzaje
@HASHIMMAKUNGUHAMDANIАй бұрын
@@salhkiyagi yaani jamaa anazingua sana yaani mpaka hamu inaaza kuondoka
@DianaBoniphace-bh7drАй бұрын
Unyama sana👏👏
@JumaRajabu-gg7ibАй бұрын
Yanii mov ishee kwann usi🎉🎉🎉🎉😅 iishee ww
@MahadiMusa-b1zАй бұрын
Sasa nyie mnao like amuwaambii kua ii igizo saivi adisi aeleweki nini inamaanisha wamalize2uuu
@shamiraramadhani3145Ай бұрын
Mnakalia kuomba like tu na wakati wanachelewesha saana hii move clam acha kuchelewesha hivyo bhn
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Ww umeongea mpk tunakata tamaa
@kizzydaniel4388Ай бұрын
umetucheleweshea sanaa mzee sisi huu ni zaidi ya ulevii
@BensonNtahombayeАй бұрын
Kweli kabisa wana tuchelewesha
@medytrueboytz8450Ай бұрын
Kweli kabisa Yani mpaka nime boeka
@eggysulle7988Ай бұрын
Umegewa pia dakika kibao za kuona
@NyamweruAlexАй бұрын
Umeona
@davidnyolo1668Ай бұрын
Walai manze
@husseinmohamed1380Ай бұрын
Anguka nayo clam vevo,much love from 254🇰🇪.
@RaymondMahadiАй бұрын
Alright thanks for your work bro 🙏 Good morning our lovely videos I'm Raymond mahad from Kenya Mombasa or Nairobi I'm so happy for this channel
@diva_20162Ай бұрын
Sema kipara anaupiga mwingi sana aseee maua yake,, hachezi mbali na fursa 😂😂
@BeatriceMussa-y4bАй бұрын
😂😂😂😂😂 umbea wa faida
@ErickyTz-ku7dtАй бұрын
Why this young boy clamvevo doesn't trending although he is the best and large number of pure views any way much love from Toronto canada
@IssahBrightonАй бұрын
Oy
@IssahBrightonАй бұрын
❤
@Rigobertpanga9Ай бұрын
Jamani ndugu zangu kama Kuna aliyesubiri snake boy Kwa hamu kama mimi agonge like apo 🐍
@Misheckkazilist-cv2hbАй бұрын
Kazi nzuli sana ongeren ila maoninyangu kazi inachelewa kwa siku nyigi sana jmn fanyeni malekebisho kwamuda sahihi na dakika za kutosha ❤❤
@BarnizeboyАй бұрын
Wa kwanza leo naomba like zangu toka dr Congo 🇨🇩💪💪
@mwajumaahmed9888Ай бұрын
Hakuna kazi ndog jmni wanajitahid sana na kutoa ndefu ndefu had rahaa mungu awabariki kwenye kzi zenu
@SaidesimbaSimba-sm1xxАй бұрын
Mambo
@CostaTandeАй бұрын
Santé sana kwawangizadji yote wa muvi snack boy mungu awabariki wote clam vevo n'a Kim Nadayrecta Kakoso mungu amulinde kwakweli ni Costa Tande Justin kutokeya Congo
@aminielenock2050Ай бұрын
Huo mziki bonge moja la ubunifu 🔥🔥
@aminielenock2050Ай бұрын
Mnachelewesha sana kazi wakuu pia nzinga ni tumemiss misemo yake na timbwili
Nipeni likes za wakenya, nampenda vevo na kazi zake
@user-bi9pl4eu2oАй бұрын
Kazi nzuri bro mbwela big up sana
@idrixalumany5902Ай бұрын
Wana mzengo mko moto sana😂😂
@isharaganechi6616Ай бұрын
Mimi wa kwanza kutoka kongo naomba munilae kibas kidogo sababu naikubali hii muvi na imecheleweshwa ila tunaipenda tu
@mwanaidisaidi1101Ай бұрын
Sijawahi kucoment acha leo nikomenti unatucheleweshea sana mzee yan unafanya mda wote tushinde KZbin maana unawaza inatoka saizi au laah,,,,hongera kwa kuitoa maana tumeisubili kwa hamu sana tunashukuru kwa kutuongezea dakika bigup utafika mbali kijana
@VictorObethАй бұрын
Namuona ndugu yangu ibra mbwera au chif safi kaka kazi nzuri
@fatumahashimmcheni9610Ай бұрын
Ku edit Videoo ni kazi ngumuu sana kupangq vipandee na kuandaa kazi nzur
@DianaRose-kh7srАй бұрын
Watu mko vizuri mapema mshawahi 🧡🧡🎉
@SUraxPalmaboyАй бұрын
Vip
@SUraxPalmaboyАй бұрын
Ol❤❤❤
@user-yk3cf6jp2yАй бұрын
Nakubari unyama huu apa nisubiri kwa hamu sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@ronzevannyboychui1661Ай бұрын
ila namie sija chelewa sana nipo kabisa namie naomba like zangu 15 hapo ila nawapongaza sana kitu kizuri kabisa jaman ila Clam vevo 🎉🎉❤
@VarraneOmjoАй бұрын
Naomba like ata 2 jamani
@shabanbachane7318Ай бұрын
Kuwa wa mwisho naomba like 5
@PatronizeNgomboАй бұрын
From kenya 🇰🇪 254 naomba like hata 5
@user-dh5wh9ts2iАй бұрын
Safi mkenya mwenzangu 😊
@ngoyaboy1590Ай бұрын
Tuambie kama ni Genz kama sio Genz hupati like uku tzz tunawakubali Genz
@MoisesmoceyaАй бұрын
@@ngoyaboy1590😂😂
@user-ts2pv6db3eАй бұрын
😂😂
@ryankoechАй бұрын
Tuko pamoja bro
@dismasjuma7440Ай бұрын
aura4aura nikiwa kenya kazi bro clam.wakenya wenzagu like natukutane tuesday CBD kwa mapambano
@Boshbriz3344Ай бұрын
😂😂😂
@UserOkelohansi85Ай бұрын
Kuwa wa Kwanza naomba like ata 2
@graffinamisiАй бұрын
Like hupeleke wapi
@MosesBakari-mh5ofАй бұрын
🎉
@HelmankilosaАй бұрын
Za nn
@MichaelMwemezi-y4fАй бұрын
Kenge wewe
@user-pw2sw1sk1bАй бұрын
Omba mboo tujue moja
@topaztz7601Ай бұрын
Nakubali kazi nzuri sana team Clam Vevo, bila kumsahau Director Kakoso na Mganga wa taifa anaependezesha Movie yetu.. Mwakatobe.. Hongereni kwa kazi nzuri tuko pamoja mwanzo mwisho.. KAMA UNAIKUBALI HII SERIES NA ULIKUWA UNAISUBIRI KWA SHAUKU TUJUANE HAPA KWA LIKE❤
@Mr.bossrivMr.bossrivАй бұрын
Nami wa kwanza jamani naomba link hata kumi tu🎉🎉
@MartinLazaro-zj6keАй бұрын
Clam VEVO. Sterling wa snake boy umekuwa Bora sana. Season 1 na season 2. Kazi nzuri sana ❤❤❤❤
@hamisimbwana-yf3zeАй бұрын
Wakwanza leo Fedha boy Aka Hamisi Mbwana from kenya mombasa kenya
@SylvesterMwinga-ff5iyАй бұрын
Safi kazi nzuri>Team strong tujuane
@mustafamwendaАй бұрын
Ila wadau saiz watanzania tumepiga hatuwa kwenye movie camera saiz zina hd ya kueleweka unaona mpak chunusi kwakweli tujipongeze wote tz❤❤❤❤
@user-yy6fx8hm4gАй бұрын
Ila kipala anaogopa kufa 😂😂😂😂
@MARIAKANIMEDIA_254Ай бұрын
Wapi wale wakenya🇰🇪 nataka kuona nguvu ya 1k likes
@zamirhassan81Ай бұрын
🐍 Boy ya Motooo
@peterleonidasofficial3135Ай бұрын
Itumie hii series piah kujifunza..make vipo vingi sana vya kujifunza...naomben likes bhas😇
@NurdinAthuman-lw7ycАй бұрын
Yaani inayofata toeni hata mwakani basi maana mnachelewesha tuu bhana 😢😢😢😊
@ARONPaul-bz3wsАй бұрын
Nomaaa sana kwa movie tamuu vevooooo ila nisimsahauu director kakosooo anafanya kaziii nzuriiii sana
@aganzerogerАй бұрын
Wa kwanza Leo kutoka Congo nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉
@MaicoKaniqueMaicoАй бұрын
From mozambique 🇲🇿 tunakubali sana snak boy
@sandulutu8635Ай бұрын
Mnachelewa mpaka tunasahau mlipoishia
@othmanali5799Ай бұрын
Toeni sikuuu maalum tuu ya kutoa kama baba Oliver tunajua ni ijumaaa mtu unasubiri mpka unachokaaa
@sundaymarwa9322Ай бұрын
Tatizo mnaforce sana ati kila EP ifike laki saba ndo mtoe ingine mnadhani ati hii ni wrong house ya R.K😂😂😂😂😂