Murtaza Mangungu kwenye Sports Xtra ya Clouds FM akijadili kinachoedelea ndani ya timu hiyo ikiwa ni baada ya tamko la muwekezaji Mo Dewji #sportsxtra
Пікірлер: 299
@righitkileo2 ай бұрын
Kiuunqana tu mmninqekuwa ndo huyu mzee Ninqejiuzulu mapema sana. Unaweza jiuzuu.kwa hwahima yako ukabakia mwanachama wa kawaida inqekuwa.safi saba
@mwasunga2 ай бұрын
Jaman ivi mnamuojije uyo atoke tu atumtaki
@rahplenyengerahplenyenge7222 ай бұрын
Mangungu aondoke
@faidathomas8362 ай бұрын
Acha mihemuko
@Nestorympika2 ай бұрын
Wewe mangungu Toka bwanaa,, HATUKUTAKI
@williamreuben48662 ай бұрын
Kwa nn haumtaki?
@vibetz99912 ай бұрын
Kawakosea nn uyu babu,, Kwan yeye ndo anasajili wachezaj?
@SurprisedFullMoon-gg9vu2 ай бұрын
Alafu tumuwekee bibi yako awe mwenykitii???
@salimmalaka2562 ай бұрын
NYIE VIBARAKA WA MANGUNGU MNAFIRWA NYIE SHENZISTAN KABISA
@PaulMasolwa-ir4fp2 ай бұрын
Unaweza kumpongeza mtu aliyefeli
@user-ps2om3fg8x2 ай бұрын
Mo alisema, yeye aliongoza miaka mitatu akaiona timu imesimama vizuri akaamua kuwakabidhi wewe na try again ikiwa na vikombe vyote, yaani kama ni biashara ilikuwa imeshasimama vizuri, mategemeo yake nyinyi mtaitoa pale alipoicha yeye na kiipeleka juuu zaidi, sasa mnatakiwa mjiulize biashara mliyoachiwa mnaikuza au mnaiua? Miaka 3 duka limebaki jeupe ata kipande Cha sabuni hakuna na timu imeshika nafasi ya tatu tuwaeleje? Tumia busara achia ngazi.
@user-yz6ds9hn9l2 ай бұрын
Hao wote wanaosapoti kukupongea hao ni yanga yanga, tunachotaka mangungu ondoka tutakufanya vibaya, kama ni vita naive vita, mama samia hatutakuelewa kama usipoingili kati kutuondolelea mangungu,
@johnsonsabanya58602 ай бұрын
Kikweli Sina Imani na huyu mzee aache tu timu atupishe
@user-ex9xv4bl7u2 ай бұрын
Mangungu toka acha siasa we mzee mshowe tutakutukana
@jamesmohamed46122 ай бұрын
Mzee shida transformation mbna inakuwa haifikii mwisho
@madukaj.j.69992 ай бұрын
Ngungu Boy tokaaaa
@rwegoshoramichael31442 ай бұрын
Mzee wa hovyo sana
@user-tx1yb3my3m2 ай бұрын
Kwann hamkumuuliza alikuwa wapi mudawot mpaka aje saiv interview
@jumandaturu9542 ай бұрын
mim namkubali bwana mangungu for life
@abdallahmdiliko80882 ай бұрын
Huyu mzee mpiga dili tu pale.. huyu mla pesa sanaaa za usajili
@BadruSaid-jz9xh2 ай бұрын
Naenda mangungu hufai kabisaas
@user-bn8oy2qm7r2 ай бұрын
Toka bwana nenda clab nyingine mbona inaingania Sana Simba babu toka
@emmasonanjawe90422 ай бұрын
Hatukutaki mzee acha maneno mengi
@johnsonsabanya58602 ай бұрын
Ondoka we mzeee
@user-qr4wv2cm7q2 ай бұрын
Mangungu na triy gan hawa ni niwahuni sana
@erasmusleonidas67292 ай бұрын
Wahuni kabisa
@mathayojoseph52282 ай бұрын
Magungu your best kuliko una vision sana mzee natamani ungekuwa Yanga but hawawezi kuhelewa KBs kwa sasa but watakuhelewa siku moja mo nikwasababu hana toa pesa kwa watu ndio maana unatakiwa usichoke hata kdg mzee wangu
@fatumasophu58552 ай бұрын
Tokaaaaaaaaaa
@bakarimhina64372 ай бұрын
Mangungu Uliikuta Simba Sports Club ikiwa na Heshima Zake KITAIFA na KIMATAIFA. Leo Mikononi Mwa Uongozi Wako Mbovu Sasa Hivi Simba Sports Club Imedodora KIUUNGWANA JIUUZULU Usijekuondoka kwa Aibuuuuu.
@S.Mwambapa2 ай бұрын
We mangungu umetumwa nn😮
@willysonmaliatabu18152 ай бұрын
Uondoke ky mangungu
@mack_vita_onyango84092 ай бұрын
Wanachama wenye ushawishi wapo Daresalam ambao hawa ndio miziz ya wengine kwahiyo ukipedwa hapa mjini basi ndio umefanikiwa nchi nzima
@zeddybass66722 ай бұрын
Mangungu now kaa nabibi tu nyumbani tuachie Simba yetu
@SandaliSaid2 ай бұрын
Mpuuzi tu mangungu
@BenMudy2 ай бұрын
Kwani kadi ndio ushabiki au ushabiki ni moyoni
@deniskaaya11172 ай бұрын
Huyu ni tapeli tu😂
@brunomchalla44392 ай бұрын
Acha woga Mangungu, itisha mkutano wa dharura wa wanachama ueleze matatizo ya club . Sio kukimbilia mahojiano na waandishi. Hujiamini . Club iko I C U tunamuhitaji MO Kuinusuru , utaratibu utafuata baadae.
@saidbakari24082 ай бұрын
Mangungu atokeeeeeeeee
@RahimMahadi2 ай бұрын
Tuoneshe iyo kadi ya 93
@EbenezerReuben-jx5sg2 ай бұрын
Ulikuwa wap mzee at kwenye mech huonekan
@fabiandanford35722 ай бұрын
Mangungu upo vzr piga Kazi apo shida ni mwekezaji ndio yupo kiupigaji tu toka lin muhimdi akaendesha tim
@yousirsports74822 ай бұрын
Mangungu ni mwanasiasa na hata alivyochaguliwa kwa kumleta manzok ni siasa
@frankmwinuka62982 ай бұрын
Mzee wa hovyo
@MathiasNicolaus-ff1hy2 ай бұрын
Hv we Mzee unang'ang'ania nn hv ,ingekuwa Bure ucngeng'ang'ania madaraka yaaani elewa kuwa watu hatukutaki Tena Mzee achia hyo nafac we mzeee
@ramadhaniharuna54412 ай бұрын
Madrid ilishawahi kusajili wachezaji wote wazuri, miaka ya 2000 mpaka 2004.
@RahimHussein-oy5ks2 ай бұрын
Hawa waondoke tu
@Alute-son20032 ай бұрын
Shida sio kadi ya uanachama wa Simba tunasemea uhujumu
@user-tu8tl2lg4b2 ай бұрын
Mangungu jiuzulu utaaibika Hali hii sio
@drankskhally70192 ай бұрын
Tangu Simba umechukuwa mwenyekiti unatufelisha hakuna maendeleo yyt
@IssaAbdallah-rt2sh2 ай бұрын
Hawezi kua sahihi Tim imeshindwa vikombe vyote ni sahihi yeye kuondoka hiyo ndio kawaida
@shukuruiddi822 ай бұрын
yaani huyu babu hajui chochote ni wazi anakaa tu ktk cheo chake anaulizwa wapi wanafanya kitu yeye anajibu venue au dah km ataendelea huyu tutasundana mangumi siku zijazo kwa kweli
@christopherjoseph99812 ай бұрын
MANGUNGU tuna imani kubwa sana na ww
@faridaamenye84052 ай бұрын
Saana
@MussaHajikimwaga2 ай бұрын
Mangungu jipange pamoja na wenzio tunataka simba.bora achana na wapiga kelele watanyamaza TU kinacholeta shida ni matokeo ya uwanjani hicho ndiyo tunachohitaji mashabiki
@Sidemkondo2 ай бұрын
Vip kuusu b.20
@nicolausmollel62122 ай бұрын
Mangungu piga kazi achana na hao wambea na wanafiki
@profs.a54122 ай бұрын
Wewe banaaa ni Yangaa banaaa, acha kutuzugaaaaa banaa
@user-ui5xc6sb5m2 ай бұрын
Mangungu yupo vizuri Sana piga kazi
@thiemmlelwa24552 ай бұрын
Ww Yanga
@NoelKiwike-wc8wh2 ай бұрын
Jamaa hadi.amekonda toka
@user-py3mz6xd2t2 ай бұрын
Wewe mzee nikiongozi unaona mupo sawa tulitengemea munaleta mabadiliko umekalia malubano naupiga dili
@ghoyelamhagama15042 ай бұрын
Ngungu toka kwenye timu waachie wengine ulipo paongoza panatosha
@ismailmasoud60012 ай бұрын
Mangungu usiondoke , yaani ww ndio mtu muhimu hapo
@worldwidemedia04102 ай бұрын
😂😂😂😂Ila mangungu
@user-ki3gt6gy1l2 ай бұрын
Mangungu kwa dhambi uliyo ifanyia Simba hutakuja kufa vibaya
@hafidhnzota21422 ай бұрын
Yanga wote wame Crick
@user-uo9kk7kn9z2 ай бұрын
Mangungu tokaaa hapo Simba hatukutakii
@mustaphawelder70222 ай бұрын
Tena aondoke hatumtaki
@user-ie1jh2eu7b2 ай бұрын
Mangungu tuachiye Tim yetu kwani Simba imekuzaa
@mafikrahamza-lm4yp2 ай бұрын
Hatuitaji siasa katika mpira,tuachie simba yetu,we ni kirusi,siasa kafanyie kwako.
@leonardlunguya71122 ай бұрын
We Mangungu kwani huna kazi nyingine ya kufanya zaidi ya kuing'ang'ania nafasi ya uenyekiti wa Simba? Unachokitaka Hapo Simba ni kipi?
@Is-hakaRamadhani2 ай бұрын
Mangungu muongoo
@sethstiven33932 ай бұрын
Hatukutaki Mangungu
@drankskhally70192 ай бұрын
Unalazimisha nini hapo Simba kwann unatufelisha alafu unafaida gani hapo Simba tumekuchoka sana Mara unamleta mazoki
@user-vm9pw4el5d2 ай бұрын
huyo ni mamluki wa watu huyo ila atajuwa mwenyewe mungu yupo
@RashidMwasiposya-ck6py2 ай бұрын
Liningaww toka
@petro80102 ай бұрын
Magungu uko sahihi mengine ni fitina tu. Piga kazi Boss wangu. Cha msingi kuwa makini tu na usajiri
@saidbakari24082 ай бұрын
Tokeni na mangungu wenu
@fatumasophu58552 ай бұрын
Mangungu mangungu 😏😏😏😏hivi hiyo confidence unaitoa wapi we baba wewe kwani si utoke tuu shida Nini mwisho uje ufe kweli kisa simba tokaaaaa baba wewe hawakutaki
@user-fg1fn8wi1m2 ай бұрын
Muajili ww afany Kaz kwako
@jamesmohamed46122 ай бұрын
Upole huu wa mangungu ni kutokana na presha ya watu na jiulize mabadiliko kama hayaishi he hizo pesa za mwekezaji anaziweka kwa namna fan?
@FRESHNEWS1712 ай бұрын
Endelea kuamini mwanasiasa😅😂..uyo ni mwanasiasa mwaka 2010 alikua mbunge Muongo muongo
@bulengwamisiri56302 ай бұрын
Mangungu tuachie timu yetu mangungu
@petermilol21042 ай бұрын
Huyu Mhuni alileta Manzoki kwa ajili ya Kampeni
@user-td1yn9dt7p2 ай бұрын
Uyo atoke mjinga kwanza anafanyaja kazi na GSM
@godwinkasaizi8822 ай бұрын
Mangungu your very smart. Piga kazi
@erasmusleonidas67292 ай бұрын
Ndani ya miaka 3 amefanya kazi gani ili tuone usimart wake?
@SurprisedFullMoon-gg9vu2 ай бұрын
Hatuangalii mabaya tu"nayey ana mazur mengi kayafanyaaa
@jumaomy-is1ez2 ай бұрын
NI hivi "you are very smart"😢
@AliiMkobe-en7df2 ай бұрын
Utopolo mnamfurahia mtu wenu kazi mliyomtuma anaifanya kwa Uaminifu mkubwa lakini bahati nzuri tumeshtukaaaa.Atang'okaaa
@shadrackkibona71782 ай бұрын
Mangungo aondoke tu
@user-no2ut7yd3e2 ай бұрын
Kujivisha umwenyekiti unafanya wanachama tukutoe Kwa nguvu.
@user-ki3gt6gy1l2 ай бұрын
Wewe uli sitahili ukaongoze mashoga siyo Simba huna sura ya kuongoza
@samsonmwaipaja52312 ай бұрын
mangungu bado yupo sana
@Ambwene2 ай бұрын
MIMI KAMA MWANA SIMBA NAKUKUBALI SAANA MANGUNGU, WATU WANAKULETEA UNAFIKI TUU KOMAA NAO BABA HAKUNA KUTOKA HAPO 😊😊😊😊
@nashirkamugisha94252 ай бұрын
Unazengua Wewe sio Simba 😂. Hakuna mwanasimba ana hamu na huyo mzee
@kasimuhamidu84672 ай бұрын
We Sema tu sisi atukutak
@allywaziri13432 ай бұрын
Akina mzaramo siwasikii na wala siwaelewi au ndio walewale tusiwe mamluki natusiishi kwa ajili wa watu Tuwe Simba nguvu moja
@user-zf2kf3ik5z2 ай бұрын
Yan ww hifai kwa nn unatutesa si utoke Yan wengi wanaumia kwa ajili yako si uachie ngazi ka we mzalendo kwel afu tuone wengine watafanya nn ukiendelea mwakani hata shirikisho hatuooni
@allywaziri13432 ай бұрын
Mangungu huna jipya nini unangangania kunanini ndani ya simba ? Hutakiwi siutoke kama huna maslai? Ondoka hawakutaki
@abdull_hafidh2 ай бұрын
Huyu mzee anaihujumu simba hatumtaki atoke tu
@SurprisedFullMoon-gg9vu2 ай бұрын
Piga kazi baba"tunajua kuna watu wanatumwa"kwa maslah yaoooo"piga kaz babaaaaa
@Raphaelchacha-wo6xq2 ай бұрын
Mangungu mxenge ww
@makamelila2 ай бұрын
Hujamaa hana jioya aondoke tu kama wenziwe wanasimba hatumuamini kwanza kiingia hapo kwwnye uongoI kaingia kwa fedha kwamsikiyizo aondoke hatakiwi kuwepo hapo hana analoliganya
@user-lz1lj9qg8e2 ай бұрын
Yaan kiongozi unatakiwa kuonyesha dira yake ipi sio kushutumu watu nikuficha mapungufu na madhaifu
@sethstiven33932 ай бұрын
Akili yako imechoka Mzee achia vijana wapambane
@mwajabuYusuph2 ай бұрын
Mangungu piga kaziiii sisi wana chama wa Tanzania tuko pamoja usitishwe na mapimbiii piga kazi sisi serikali na wanachama tuko pampja na mooo ukiondoka simba itashuka daraja 😢😢😢😢😢😢
@salimmalaka2562 ай бұрын
ATOKE TUONE KAMA SIMBA ITASHUKA DARAJA
@UNKNOWN-np7qp2 ай бұрын
Nyinyi mbwa ndio mnaokula pamoja
@SurprisedFullMoon-gg9vu2 ай бұрын
Mangungu piga kaziiiii"huyoo anae jiita cjui docta moo ni chawa na anatumwaaa
@salimmalaka2562 ай бұрын
KAMA WEWE ULIVYO TUMWA
@jeromemmary91922 ай бұрын
Mangungu anajibu maswali kisiasa tuu
@user-md7sd3hk6l2 ай бұрын
kumbe yupo uyu ali kuwa wapi uyu toka apa
@danielelikana26152 ай бұрын
Kama watu wengi hawakutaki si uondoke tu mzee?? Unang'ang'ania kuna nini mzee??..uachie ngazi ukakae na wajukuu wako huko kijijini!
@drankskhally70192 ай бұрын
Nikisikia hata sauti nakereka kabisa
@mosesmajogoro8632 ай бұрын
Mangungu unakitu usitoke mpaka wakuue....hahahaaaa
@user-tg7vq3ty8p2 ай бұрын
Mbona waandishi mnamuuliza maswali ya kumpamba huyo mtu?
@FracsisiSiwale2 ай бұрын
Magugu acha ujinga kwanini ukatarie kiti
@azizajamary5762 ай бұрын
Kwani ngunguz huna kwenu
@bakaribakari1672 ай бұрын
Toka mbona mnang'ang'ania yapo maisha dhidi ya hapo
@GibsonNtamamilo2 ай бұрын
Huyo dogo anayehoji kichwa ni Buyu kweli kweli hajui chochote amekuja na vitu vya kukariri. Arudi shule huku kwetu Kigoma tuna madarasa ya MEMKWA😂😂😂
@khadijayusuph58152 ай бұрын
Wewe achana na kadi usitagulize kadi kadi yako ni yamchogo ondoka