Huyu lugano ni utopolo lialia. Asante Gb64 kuhimili vishindo vya huyo mamluki. Lakini nawaasa Mashabiki wenzangu tutafute amani na watu wote ndani ya Simba. Tusifarakane. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Tumweke Mungu mbele.
@MohdAli-fl2ef4 ай бұрын
Duh awa waandishi wa kwetu Vbali wanatolea wapi yan wapo kiuchochezi zaidi
@bulengwamisiri56304 ай бұрын
Gb64 huyoanayekuhoji hajitambui
@revocatusmalimi45254 ай бұрын
GB 64 uwemakini na huyo mwandishi anaonekana kuwa ni pandikizi la upande wa pili.
@maliadii48294 ай бұрын
Acha ujinga we ndo umegeuka chawa 😂😂
@ramadhanichubi91394 ай бұрын
Hakuna maadui zaidi ya ninyi waandishi wahabari
@yunusimchala65694 ай бұрын
Usigombane na watu pia Acha kutaja majina ya utaishia pabaya huyo kigwangaka ametoa naoni yake km ww so uwe makini huyo kigwangala ipoh cku atakuwa kiongozi mkubwa ndani ya Nchi hii so simba sio ya mama yako na ulishafukuzwa kwenye tawi ooh utaishia jela fala ww
@fredrickipembe81884 ай бұрын
Wewe ndio fala tena k kubwa
@jamesjames23684 ай бұрын
Nani anaandaa mkutano huo? kwa kifungu kipi cha katiba? . Hata hospitali ya Milembe kuna wachambuzi na waandishi wa Habari.
@nasseralshaibani69954 ай бұрын
Kwani wanachama ni watumwa? Hawana haki ya wao wenyewe kukutana wakashauriana nini cha muelekezo?