Pole Sana na MUNGU bado una nafasi na muda uliopewa na MUNGU shukuru na jipende zaidi ya awali💜💯
@benedictinelusambo069 Жыл бұрын
Kuna funzo hapa always so vzr kumzoe mtu mapema na kumpa nafasi ya kuwa karbu naww pasipo kumchunguza vzr kwamba n mtu wa aina gan but all in all pole sana kijana mwenzetu😢😢
@hatiamfaume-qo6zd Жыл бұрын
Pole sana wajina wa mwanangu allah akuponye inshallah
@cadabra7402 Жыл бұрын
Pole sana mzee baba , sema nini jamaa Ana voice ya utangazaji kama vipi mpeni kipindi apo atatisha sana apo.
@epifaniamboya8861 Жыл бұрын
Kabisa
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
Upo sahihi sana
@jacklinmacha2964 Жыл бұрын
Utangazaj ni umependeza san
@mwanah3643 Жыл бұрын
Sana
@floranusgwau7122 Жыл бұрын
Umesema kweli
@westchugagang5323 Жыл бұрын
MPENI JAMAA KAZI ANATANGAZA POA SANA 💪💪💪💪💪💪🙏🙏🙏☑️☑️☑️ APEWE KAZI YA UTANGAZAJI
@benernest5125 Жыл бұрын
Asome kwanza Journalism!
@ruthminja8605 Жыл бұрын
sauti yake nzuri naweza kumlinganisha na millard 🔥
@FatmaMbarouk-zp3ev Жыл бұрын
Kweli kabisa saut yakekm ya miladayo
@fatmayusuph6490 Жыл бұрын
Pole sana tarick allah atakuaf ishallah but una bonge moja la vokal
@KevinDeus-fw6bs Жыл бұрын
Pole sana kaka utakuwa sawa me kelvin from bukoba
@patricemichael6743 Жыл бұрын
Poleee sana mshikaji nasauti nzuri san ya kutangaziaaa
@faridajuma8872 Жыл бұрын
Alaisallahu biahka mil hakim (hasbillahu waniimal _wakil)
@nusrathmanyawa4501 Жыл бұрын
Pole sana kakaangu Tariq kwa mapito yako, But ALLAH ana makusudi ya wewe kupona kama kuna mabaya ulifanya au ni husda za watu basi rudi utubu kwa Muumba wetu .
@paschaziaignas6984 Жыл бұрын
Maskin he is very handsome jaman Mungu ambariki hyu kaka na ampe aman ya moyo
@jrsaid4270 Жыл бұрын
Yupo single mbaya vp washa Bluetooth nikuunganishie
@vumiwilly5625 Жыл бұрын
Ameanza kurudi kwenye uwalisia tena bado mzuri tu🙏🏽❤️
@fathmamwkto9250 Жыл бұрын
Pole kkaa mmm Jamani binadamu twajisahau wamfanyia mwenzako unyama kanakwamba utokufa pole kakaa
@ZainabHamza2 Жыл бұрын
Pole Sana mpendwa Kwa yaliyokukuta
@Agneskiki1 Жыл бұрын
Nifikisheni hata 200 subscribers watu wangu ❤😢 love you guys ❤
@LuCyAloyce-ty9mu Жыл бұрын
Pole Sana Kaka utapona
@elizabethmapunda Жыл бұрын
Alifanya kitendo icho dhambi itamtafuna hadi anaingia kaburini
@abuomary8715 Жыл бұрын
namuonea huruma aisee Tariq Allah akufanyie wepesi bur Sasa story zake zipo mbili tuelewe ipi
@GermanaThomas-tf8kw Жыл бұрын
Pole sana bro,naweza kupata namba Yako?! If you don't mind?!
@nikkimbishiunju2402 Жыл бұрын
Jamaa kazaliwa Moshi,kakulia Moshi anaishi Moshi na hajaathiriwa na ile lafudhi
@briceking24 Жыл бұрын
am so sorry bruh.....worry out Mwenyezi Mungu atakuonekania2
@raheliezekiel2913 Жыл бұрын
sauti tu😘
@millionbill7587 Жыл бұрын
WHAT'S ITS iG he has a clean heart
@Elineswai155 Жыл бұрын
Pole san talik,lkn napata hasira sana cjui kwann alafu na serikal imekaa kimya pumbavu
@ashurahaji4794 Жыл бұрын
Mi nakupenda hivyohivyo ulivyo uko vizuri tu
@mannyboytz Жыл бұрын
Daaah mzee pole Sana Ila ongea na clouds wakupe mchongo hao ni watu wa michongo
@carolinemariki4029 Жыл бұрын
oooh Tariq Mungu ni mkubwa
@davidnyaonge2035 Жыл бұрын
Maneno haya na ya Dkt Mwakyembe yana link siri yaushoga inasaportiwa na watu wa maghalibi kupitia NGOs....
@naomikatharinaandrewmnkai6760 Жыл бұрын
Kweli
@ShamsaHamisi-rd8cc Жыл бұрын
Pole Sanaa ❤️
@engelasimwe938 Жыл бұрын
duh inauma sana jaman haya maisha sio pole kaka angu utapona
@seciliasebastian6014 Жыл бұрын
Nyie nnae sema uongo utafikiri mnayajua yaliotokea 😏 acheni mtu aseme ukweli kutoka moyoni mwake fungeni bakuli zenu.mnakeraaah na pia halinawakuteni...
@luludenic4581 Жыл бұрын
Daa anasaut nzur blaa km ya milard jmn
@calvinkimario6718 Жыл бұрын
Huyo jamaa alie fanya ivi funga kwaajili yake sku 30 ala muachie mungu ukitoka hapo nenda same ndani ndani tafuta mganga 😢😢😢😢😢😢😢😢😢 alafu muachie mungu
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
Duuu umetisha ndugu!!! Afunge alaf aende kwa mganga!!?
@shamsahaji6202 Жыл бұрын
@@athumanikhamisi3377hahaha nimecheka sana
@hopeeve3558 Жыл бұрын
@@athumanikhamisi3377 😁😁😁
@rashidramadhan Жыл бұрын
oi pole sana ila unafaa kua mtagazaji
@saraphinasahani5104 Жыл бұрын
Dah inahuzunisha kwel yaan Mungu azidi kumsaidia apone Na Amsamehe huyo aliemsababishia
@tanzaniawomenyouthempowerm267 Жыл бұрын
Huyu kaka apewe kipindi Cha utangazaji. Yani ana bonge la Sauti.
@ummumansour Жыл бұрын
Kabisa anafaa kuwa mtangazaji
@sabanajunior3243 Жыл бұрын
Sikiliza mada acha uhanisi
@neemasamweli5221 Жыл бұрын
Uliambiwa utangqzaji ni sauti TU. Kuna wangapi wanasauti lakini sio watangazaji
@husseinkonz5192 Жыл бұрын
Ndio maana Hawa jamaa ni kuwaua tuu hakuna namna maana wao wanahatarisha maisha ya watu kama hvo
@jinikisirani7928 Жыл бұрын
Utakufa wewe na mabwege wenzako
@mainermgunga1952 Жыл бұрын
Mkaka mzurii Tuu
@samwelimwaim7136 Жыл бұрын
Pole ndugu
@janethmgonja409 Жыл бұрын
Pole mate
@Aishajj-ob8yf Жыл бұрын
Pol San brother
@shersaid7988 Жыл бұрын
Sauti yake kama ya Moj
@beatricemosha4215 Жыл бұрын
Mungu ni mwema 🙏
@fikiriseleman3460 Жыл бұрын
Jamaa ni msomi na anajieleza vizuri
@jabirysadick1677 Жыл бұрын
Story mwanzo ingine na sasa baada ya kurise vitu vya hizi taasisi tukabadilishiwa juu kwa juu kikubwa mche Allah kwasababu ukweli unaujua mwenyewe na hutausema wote .......
@elibarikimaganga9571 Жыл бұрын
Inawezekana hilo lijamaa lilianza kumfuatilia huyu mshikaji muda mrefu mpaka likagundua anapoishi na likahamia hapohapo ili liweze kumpata jamaa kirahisi.
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
Siamini kama mwanaume ndo anaongelewa hvi ama kweli tupo mwishoni mwishoni mwa zama hizi,,mwisho wa kiumbe mwanadamu upo mbioni tusiporudi kwenye misingi
@annethalfredmarealle3633 Жыл бұрын
Nyumba za kupanga hizi .... Jaman tusizoee watu ovyo watu wabaya #AmStillLearning
@rachaelmbega9691 Жыл бұрын
Nimewah kuchanwa Na nyembe kwenye nyumba ya kupanga Na mpangaji mwenzangu
@floramichael3053 Жыл бұрын
@@rachaelmbega9691 mhmm!!! Pole sana dear!!!
@domisonrichman6499 Жыл бұрын
Pole sana
@ammsuya9400 Жыл бұрын
Wanasaidia watoto wasiojiweza af wanawaingiza kwenye mambo yao
@westchugagang5323 Жыл бұрын
MCHOMVU AFUKUZWE JAMAA APEWE KAZI 💪💪💪💪 ANAJUA HATARI
@vickieeddie2230 Жыл бұрын
Nyie jamani Dunia hii daah pole sana kaka
@josephchristian1873 Жыл бұрын
Nakuitaji
@emmaleonard3040 Жыл бұрын
Jamaa alikua shoga na bado aliona wivu kisa tariq alikua anapendwa na wanawake wenye hela💴💸💸 akaamua amtumie wahuni wamfanyie ukatili sema pole bro mi mwenyewe naishi kwenye hcho chumba apartment ulipokua unaishi shant apo
@hanifa9153 Жыл бұрын
Hii ni shida tuchunge sana kuamiliana na madhalim. Hakika hii ni dhulma kubwa mno hyo jamaa anafaa kuuawa🤔 hawez mharb mwenzake ivi aki woiye nmeumia sana😢
@josephinemuselu-eq8ke Жыл бұрын
Kah jamani alikuwa mzuri hatari plus hyo sauti uwii,,,watu wanaroho ngumu aisee
@tumainirichard5678 Жыл бұрын
🤣
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Pole Sana Kaka mungu atakusimamia utapona.
@PROFESSOR_OF_THE_CENTURY Жыл бұрын
Sauti kama mbarouk khan
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Pole sana TaliQ ila mungu atamhadhibu tu tunamuomba mungu atoe hukumu yake kwa huyo shoga
@amriyalibent5900 Жыл бұрын
Pole sana tarik
@hafidhileylahassani1802 Жыл бұрын
pole kk utapona
@delverosedastan5730 Жыл бұрын
Mungu mwema,umepona kwa uwezo wa mola
@SulemanMakenzi-yk1fq Жыл бұрын
Subra tu fanya Subira mzee
@stn4873 Жыл бұрын
NGO's hizo zina mambo ya kishoga sanaaaaa kumamae hasa huko mikoani.
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Mungu wangu pole sana jamani
@harvaboy Жыл бұрын
Voice yake yeye na mo j ni zao la Millard hayo mpeni pandee
Kuhisi ni dhambi na kumzania mtu ni dhambi ila kikubwa uzima hayo yote ni mapito
@pendomarco8928 Жыл бұрын
Mungu wangu tuepushee na mashoga
@achirafisaid4322 Жыл бұрын
Kiukweli DC anamhurumiya
@mariamwandulusya8968 Жыл бұрын
umeona ee
@lutenganolukali2122 Жыл бұрын
Kuna jambo lingine hapo Siri za kiundani zaid ata huyu jamaa anazijua lkn hawezi kufunguka vizuri
@sajidabakari9809 Жыл бұрын
Acha uongo jmn, ww si ulisema hujui ni nani na kwann umemwagiwa tindikali... sasahv mbona story zinabadilika unaleta hbr za ushoga jmn!? tulosikia interview ya kwanza kbs na ndugu zako hospital hii story haikuwepo na uliulizwa ukasema ni uongo hujui mtu alokufanyia hvyo... Binadam jmn 🙌🏾 ili tu atrend 🤣
@pinogreentv4337 Жыл бұрын
Kensi ilikuwa kwenye uchunguzi asingeweza kuongea lolote
@josephineokama2200 Жыл бұрын
jaman kaka tarq jamani natamani kusikia kauli kwamba unaona jamani
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Naona ndo Hao wanao currently watoto kwenye ushoga. Wewe mkubwa anakumendea je Hao watoto wanaowasaidia? Si ndo atakuwa abawalawiti tuu.
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Nina maana wacurute
@2PAC.77 Жыл бұрын
👀
@josephjohnmagesa8256 Жыл бұрын
Jamaaa anafaa kuwa mtangazaji
@ruthkasumba7739 Жыл бұрын
Kosa lake kuwa HB jmn plus hiyo saut🤯
@siamuchunguzi Жыл бұрын
Mashoga na mabahasha wafe tu hakuna namna,, sijui bunge linasubiri nini yani,
Pole all this is because of someone who he'd a crash on you?goshhh pole sana bro
@ndrwdotts4347 Жыл бұрын
LGBTQ community support african youth financially to grow their community...Hizi NGOs zichunguzwe
@aminaabubakar4834 Жыл бұрын
sinalakusema Ila pole sana munguu atakulipiya,
@Elineswai155 Жыл бұрын
Eti anawasaidia watoto mbwa huyo ndo anayeharibu watt huyo
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Moshing kunaongoza haya masiku kwa mashoga ktk mikoa ya mwanzo kupeleka watoto boarding moshi arusha ndio kulianzaga
@hidayamotto7210 Жыл бұрын
Tariq ndugu yang mbn mwanzo ulisema vingne imekuaje Tena kaka
@estermathias8354 Жыл бұрын
Kuusema ukweli ni gharama alafu kuwataja wale watu ni ujasiri maana wanamtandao mkubwa ndugu
@emma-9525 Жыл бұрын
Anajua kutanganza
@matridamwalyoyo1735 Жыл бұрын
Uzuri umemponza huyu kaka
@loner_wolf Жыл бұрын
Machoko adimu moshi kweli bro? Mbona ndio mpk ndoa zipo huko twasikia.... 🙄
@bakarpaul5046 Жыл бұрын
Hawa jamaa tunakutana nao sana hasa hasa humu mitandaoni,chamsingi likikuletea hizo pigo unaliskip unafanya mambo yako,ulipofeli wewe ukamcharazia kwa wanao ndo mana akakumaindi akakufanyia hvyo..ila hawa jamaa ni wapo wengi hadi sio poa
@videozaaj1069 Жыл бұрын
Ma gay yanalazimisha uhusiano na watu wakikataa yanataka kuwaua,pumbaaavu zenu kuku nyie
@mimaemwiula385 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@wanchara184 Жыл бұрын
Daa kwelliiii pole jombaa
@naomikatharinaandrewmnkai6760 Жыл бұрын
Naomba huyo mtu asifungwe akatwe tuu umee na atobolewe macho. Nimeongea kutoka vilindi vya moyo wangu
@evahazole6320 Жыл бұрын
Vilindi vya moyo😂,ila tusilipe ubaya Kwa ubaya maandiko yanatufundisha tuwasamee bure MUNGU ni mwema
@naomikatharinaandrewmnkai6760 Жыл бұрын
Kweli dear 😘 Ila YESU atuhurumie
@carogachie5806 Жыл бұрын
Who Ever Did This 2 This Guy Will Suffer Fo The Rest Of His Life. Hes Very Evil Wicked..
@ahmedamary758 Жыл бұрын
jsjsja
@aseliusbyabusha6299 Жыл бұрын
Uongo mwingi
@mimikimanga3126 Жыл бұрын
Kivipiiii
@amriyalibent5900 Жыл бұрын
Tupe ukweli
@swaumuamani187 Жыл бұрын
Tupe wewe basi ukweli… kujifanya much know
@jenahando2747 Жыл бұрын
Tuambie ukweli
@sesymwango5614 Жыл бұрын
We nae walewale tuu
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
Huyu jamaa ni muongo hiyo stori ya mambo ya kishoga ametunga ili alipize kisasi kwa mtu anayemshuku ili amchafue na kumuangamiza. Wengine tuna kumbukumbu sana huyo aliwahi kuhojiwa mara kadhaa na alisema hajui ni nani amemwagia tindikali na sababu haijui. Anaongea mambo ya kumzushia huyo jamaa ushoga sababu in Tanzania ushoga ni today’s trending topic. Kuna mambo umefanya hadi kumwagiwa tindikali au chuki tu za wanadamu ingawa sio sahihi mtu kukumwagia tindikali
@denisimaliyaweni9183 Жыл бұрын
Kwan ww ndo mlengwa mzee, yeye ndo anayejua hvyo tutamsikiliza yeye
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@denisimaliyaweni9183 kusikiliza uongo mkuu huyo mwamba alihojiwa mara kadhaa baada ya kumwagiwa tindikali na hakuwahi kuongea hivi, sasa sababu ushoga unapewa sana airtime Tz na unatrend ndio anakuja na mambo ya ushoga ili akazie ushahidi wa kunywagiwa tindikali
@Elineswai155 Жыл бұрын
Wewe utakuwa mionngoz mwa mtuhumiwa kama cyo rafiki yako bas nawe unahusika na hayo mambo moja kwa moja
@kabwelasutiviraka4765 Жыл бұрын
@@Elineswai155 🤣🤣😀bwege kweli wewe eti shoga amemkataa kamwagia tindikali 😆😆 mwambieni aache kulala na wake za watu iwe fundisho
@beatricepaul3001 Жыл бұрын
Aisee wewe ni pia unatakiwa ukamatwe kwa mapovu. Ayo unahusika kwa njia moja au nyingine