P FUNK " Nimezaa Na Mama Ambaye Sio Sahihi | Paula Anatafuta Laana | Kajala Sio Familia Yangu"

  Рет қаралды 44,274

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 88
@amdunshomali3971
@amdunshomali3971 3 жыл бұрын
Tatizo liko kwa kajala P fank yupo sahihi pole sana brother
@dickmsaf
@dickmsaf 3 жыл бұрын
Qq1aq
@aliabubakar9144
@aliabubakar9144 6 ай бұрын
Dooh bro you're very right.Your words means a lot let's learn from you.Kajala MUST realize Her mistakes and be ready to be corrected by Majani,Social media DOESN'T guide any one to the right path.
@mwljuliuskiwovele
@mwljuliuskiwovele 3 жыл бұрын
Kweli wameleta upuuzi sana hasa ,kwA mzee wa watu Mwenye character zao kama P funk Majani👍,inauma kama mzazi aisee yaaNi daah
@yahyamkone5601
@yahyamkone5601 3 жыл бұрын
Majani umeongea vizuri kabisa wakulaumiwa hapo ni mama anaona kufanya upuuzi ndiyo kuwa star shida Sana hii yote haya kwakuwa hana hofuu ya mungu
@jennifermichaels6177
@jennifermichaels6177 3 жыл бұрын
Wewe baba hata wewe huko sahihi.siku unalala na kajala kwako ilikuwa sahihi. Yes matatizo yametokea but huwezi kumlaumu kajala tu na wewe umechangia. Yule mtoto ni mbegu yako.usingekuwa ume give up katika malezi yake. Na unalalami mambo yako hazalani ,si na wewe umeendeleza kumwaga mchele umukuja kuongea hazalani. Hata kama media wamekutafuta ungesema no comment. Hata sisi tusingekushangaa.it'a short interview but you said a lot.hukuitaji useme ni aibu kwa watoto wako Hawa wa sasa ,Paula naye ni mtoto wako no matter what or no matter what's different they have.nobody is perfect lakini bado una nafasi ya kumlea. You are always her dad no matter the age.basi ungesema namwombea. Show her LOVE .kuna siku atabadilika. She needs dad's love. Na Kajala she is always gonna be your babymother no matter what.pray for her.fanya hivyo be a super dad na utaheshimika. Deal with problem with a positive approach.
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 7 ай бұрын
Upo sahihi kabisa maana yy alimtelekeza mtoto kwa mama yake kajala kahangaika na mtoto peke yake leo baba anakuja mlaumu kajala kwa nini hakumchukuwa mtoto wake akamlea mwenyewe
@rumibarton2359
@rumibarton2359 3 жыл бұрын
Mzunguuuu napenda jamaa yupo real kinoma
@mwiraog2434
@mwiraog2434 Ай бұрын
Kweli kbs😮
@abdulishaban7795
@abdulishaban7795 3 жыл бұрын
Uko sahihi bn ata ingekuwa mm yaaan uko sahihi mara mia ctakagi mambo ya mamitandao tandao ujinga mtupu upumbavu mtupu
@ThaFunkHouse
@ThaFunkHouse 3 жыл бұрын
Hii kaka ndio definition ya laana. Baba au mama yako akishasema hivi juu yako... Kitu na box, imekwisha.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 жыл бұрын
Wazazi wote wakikuachia radhi inashika
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
👏👏👏👏baba kasema kweli
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Nilikua naajisemea hapa anamzalilisha baba ake sababu simtu wa maskendo.. Tatizo ni kajala ndoananemlea mtt vibaya na mtt hajielewi kusema kwamba Nina upande mwingine wafamilia ukiacha upande WA mama je upande WA baba watanionaje..
@adamjohn2108
@adamjohn2108 2 жыл бұрын
Kwa upande mwengine ni bora walivyo achana kuliko kupotezeana muda.
@nellyflo9736
@nellyflo9736 3 жыл бұрын
🙆🙆🙆Gaiii....na wengine wetu tuna tamani...complete family nq haiwezekani.😥😥😥😥😥
@irenemsumba6776
@irenemsumba6776 3 жыл бұрын
Usijali kaka angu kaka angu dunia itawanyosha
@fatmahf6354
@fatmahf6354 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa
@komboomar8275
@komboomar8275 3 жыл бұрын
*Nilizaa na mwanamke asiekuwa sahihi mm ndio nikechukuwa hapo kutoka kwa mkali wa bongo records P Funk Majani*
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
Kweli sana kaka 😘
@solemba595
@solemba595 3 жыл бұрын
Inasikitisha lkn ndio aina ya mwanamke aloe zaanae, But it is very strange family
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 жыл бұрын
Eti huwenda ndie anae leta mkate nyumbani 😀 m nilisema huenda Paula ni biashara ya mama yake 🤭
@adamjohn2108
@adamjohn2108 2 жыл бұрын
Ilo neno ... Uzuri hatakuwa nao miaka ya mbele....ni Uwekezaji tu
@mayrose9772
@mayrose9772 Жыл бұрын
Kwhy Paula ndo yupo sokoni analisha family
@user-og4wh1xr2c
@user-og4wh1xr2c 3 ай бұрын
Si we uliomwachisha kajala shule akiwa form two..mbona wazazi wako hawakukulaani...para ndezi
@bisafumaguy7959
@bisafumaguy7959 3 жыл бұрын
Kwa kweli p funk mimi ni mukongomani ila naumizwa nakauli yako kajala ni mzazi mwenzako haupaswe kumsema hivo
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Tiba ya nguvu za kiume kwa kutumia miti shamba kzbin.info/www/bejne/jYaTe56vbsZniJo
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Mvuto wa kupendwa na watu kazin biashara kzbin.info/www/bejne/qJWlc32ngbZrfac
@sirbinladen786
@sirbinladen786 3 жыл бұрын
Kumrudisha mpenz aliykukimbia kwa kutumia mshumaa na picha kzbin.info/www/bejne/oJfbmX6gaa2FrJo
@naimamwaibanje156
@naimamwaibanje156 3 жыл бұрын
Umemuelewa lakini?au
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@naimamwaibanje156 hajamuelewa huyo nn amemaanisha
@nurukhalifa9413
@nurukhalifa9413 3 жыл бұрын
P funk nimekuelewa kajala anajitiaga upole asokua nao ni mtu asojielewa kabisaaaaa ndo mana majanga hayamwishag. Alaf badae anasema why me God why you wakat hutumii akili umeenda jela hujajifunza tu mana nasikiaga mwalim wa mwisho ni jela na ugonjwa
@ezekielmugeta2427
@ezekielmugeta2427 3 жыл бұрын
One big point
@stellaloves9879
@stellaloves9879 3 жыл бұрын
Point
@fastlady3099
@fastlady3099 3 жыл бұрын
Pole majani inakera
@swafiyamansur4326
@swafiyamansur4326 3 жыл бұрын
Jameni tujiheshimu kama wazazi sisi watu wazima ukijiheshim na watoto wako wataheshimika
@tamaraseff.9707
@tamaraseff.9707 3 жыл бұрын
Kizazi bovu ii ya nyoka
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 3 жыл бұрын
Mama na mwana wote wadangaji hamo anataka kula kuku na maiyai yake
@separatebetres5315
@separatebetres5315 3 жыл бұрын
Yaali hili lidada limevunja record ya skendo mitandaoni na umri wote huu
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 3 жыл бұрын
Nani mama uyu hakili amna kabisa
@joycefelix9047
@joycefelix9047 3 жыл бұрын
Sio lidada...libibi
@mwajumahamisi2006
@mwajumahamisi2006 3 жыл бұрын
@@joycefelix9047 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@naimanurdin1354
@naimanurdin1354 3 жыл бұрын
@@joycefelix9047 🤣🤣🤣🤣
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 3 жыл бұрын
@@joycefelix9047 😂😂😂😂
@peterabeid8018
@peterabeid8018 3 жыл бұрын
nimemuelewa sana uyu bro
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
Mhhh hatwareee
@omarsharifa5606
@omarsharifa5606 3 жыл бұрын
Na nusu
@naamohamed1042
@naamohamed1042 3 жыл бұрын
@@omarsharifa5606 😁😁😁yetu macho
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 3 жыл бұрын
Tatizo kajala nimalaya ndomana anashinda kumu control mtoto wake
@kekekaka7315
@kekekaka7315 4 ай бұрын
Kumbi 😂😂😂 baby shower nimeludi
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 3 жыл бұрын
Hafu Paula kafanana na P Funk kchz
@sospeterkaponoke3789
@sospeterkaponoke3789 3 жыл бұрын
Mzee ameongea ukweli kma mzazi kweli
@ashirafubesta1018
@ashirafubesta1018 3 жыл бұрын
Kajala na paula wamekosea ila Mxhikaji nayy kakosea sana ipo siku nakwambia alafu wazaz wa kiume ndo wakwanza kukimbia huwez ukakata tamaa kwa mtt wako kizembe kama hivyo.
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 жыл бұрын
Mzazi akisema hivyo ndo basi
@joycefelix9047
@joycefelix9047 3 жыл бұрын
Mshikaji kakosea nini
@mariamfrance6557
@mariamfrance6557 3 жыл бұрын
Kakosea nini toto lenyewe akil za mamaake arf ujue c mtoto mdogo yule kashakuwa mtu mzima co awezekanik tena keshakuw mtaalam wa mambo baba hapo hana mtoto shida mtup mama mtu ndio kabisaaaa hovyooo
@abdulkareemseif1892
@abdulkareemseif1892 3 жыл бұрын
Hakosei mn mtoto hamtaki Baba ye
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
Mchomvu io pua iache kuichokonoa 🤣
@emmamatemu8225
@emmamatemu8225 3 жыл бұрын
Ila wewe P funk ulianza na kajala akiwa mwanafunzi hadi akaacha shule baada ya mimba Maisha ni duara yanajirudia
@teddylameck21
@teddylameck21 3 жыл бұрын
Amesahau uyooo
@ashnuhu1420
@ashnuhu1420 3 жыл бұрын
Kabisa
@nellymasengo1419
@nellymasengo1419 3 жыл бұрын
Ni mungu kamkipa p funk kufatana na tabiya zake za nyuma Sasa kasahahu lawama yote kwa kajala tu
@angelnyinge4139
@angelnyinge4139 2 жыл бұрын
UMEONAEEE!
@Iragibarune1.
@Iragibarune1. 3 жыл бұрын
Kajala alinyanyaswa sana alipo kua na uyu kwaiyo haya anayo yafanya kajala ni kumkomoa ili nayeye asikie uchangu
@isabellamethod1842
@isabellamethod1842 3 жыл бұрын
Sasa hamkomoi yeye anajikomoa mwenyewe sikuzote mwana mwenye hekima humfurahisha babae bali Mwana Mpumbavu nimzigo wa mamaake
@fortunatadispensary9614
@fortunatadispensary9614 3 жыл бұрын
Huo ni usenge kumbe zlipendwa
@yahyatoure4066
@yahyatoure4066 3 жыл бұрын
mtoto hairat wa aqZ
@mariabasily115
@mariabasily115 3 жыл бұрын
Yaan at majan asem katoa aiwez kabadilish machungu Yap pale sem yy no mwanaume anajikaz ss wadog Zak wanazomewa school is to much
@fatumamnyenze7489
@fatumamnyenze7489 3 жыл бұрын
Sorry fank
@methodeDM
@methodeDM 3 жыл бұрын
😳😳😳😳😳😳😳🙏🙏🙏🙏🙏🙏😘
@emmyemmyy4302
@emmyemmyy4302 3 жыл бұрын
Uyo nawanaume anaongea kwa hekima
@fredfreddo9743
@fredfreddo9743 3 жыл бұрын
He's a fAiled father...ata aongee aje🤣🤣
@deospackle2158
@deospackle2158 3 жыл бұрын
Do you have kids?!
@petronillamnyambi7607
@petronillamnyambi7607 3 жыл бұрын
Paula... asiye funzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu badala kwenda kusoma unauzamwili hakuna kazi? Nenda gerezani siku nyingine akienda kutombwa hata tagaza tena si muwe wazi tuu kwamba nyie ni malaya .Hamunaize kafanya vizuri kuwatombeni wote si hela mnatafuta heeeeeee
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 жыл бұрын
Mmmmh🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
@fortunatadispensary9614
@fortunatadispensary9614 3 жыл бұрын
Sio ela tu hata kiki za pkpk wamezipata k, hao
@susankahindi7904
@susankahindi7904 3 жыл бұрын
Makosa uliyaanza ww baba
@jumasherry9679
@jumasherry9679 3 жыл бұрын
Unamtetea Mwanamke mwezio... Unayajua yalipo kwenye hayo mambo yaoo...... Au ndo unahisi mwanamke hakosei
@chichimloli5926
@chichimloli5926 3 жыл бұрын
Lbd anfurahshwa na yanayoendelea
@damarisogoti316
@damarisogoti316 3 жыл бұрын
Hawajafanya vixuri kweli, kuwa na heshima malaya nyingi
@kipigapasilisungu2581
@kipigapasilisungu2581 3 жыл бұрын
.
@susankahindi7904
@susankahindi7904 3 жыл бұрын
Eti unajitoa kwa sababu kumeenda vibaya, je agekuwa mzuri ungeongea hivyo kweli? Nyinyi mwanaume ndio chanzo
Or is Harriet Quinn good? #cosplay#joker #Harriet Quinn
00:20
佐助与鸣人
Рет қаралды 47 МЛН
Apple peeling hack
00:37
_vector_
Рет қаралды 37 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 17 МЛН
FULL VIDEO: KAJALA Amuomba Radhi P, Majani wakumbatiana...
6:50
EFM TANZANIA
Рет қаралды 356 М.
INTERVIEW SHOW  BABA LEVO  at COCONUT fm ..ZMOTION
7:05
Zanzibar lifestyle
Рет қаралды 87 М.
MWANAMAPINDUZI: "TUTAWAPOTEZA, POLISI MSIWATAFUTE..." amtaja spika tulia
13:56
"Siwezi kumsamehe Khadija Kopa hata  Nikifa": Kaptaini Temba
14:27