Gigy Money Hakumbuki Idadi ya Wanaume Aliowahi Kuwa Nao Kwenye Mahusiano (Part 1) Take One
Пікірлер: 520
@christinabiyengo29556 жыл бұрын
Msichana huyu alikosa upendo wa mama yake na kukataliwa na baba yake, nimepata jibu sababu ya yote anayoyafanya ni kuathirika kisaikolojia. Wazazi tujifunze kuwa malezi siyo kuwapa chakula tu watoto bali wanahitaji upendo wetu ili kuwajenga kitabia.
@rayaahamad55022 жыл бұрын
Gigi ulikua mzuri hapa mashaallah
@abdallahyusuf5874 Жыл бұрын
Na alikuwa hatumii viingereza fake kaa ssaivi
@catherinesmiles16968 жыл бұрын
this is so touching....i promise from now on,i wont judge anyone and will respect everyones hustle and mostly pray for them.
I feel so sorry to her and the story is so touching for real gigy you make me cry,but do not worry God is able and your suffering,pain will be over
@munezeroingrid Жыл бұрын
So sad 😭😭 maisha hayaaa tunayapitia wengi tu!! Kukataliwa n baba mzazi😭😭😭😭😭😭
@user-lq6mt5ji4l5 ай бұрын
Mimi nafanana nae lakini hanipendi nilipata ajari niliuguzwa na watu wengi na kuchangiwa michango hakuna na mama ametuzaa wa baba mmja watano wengine wanapendwa uwa ninalia bila kuelewa
@charleshaule40082 жыл бұрын
She is cute and bright, her story in not far from 2PAC. Her brain works too quick and she knows everything about everything. I like her a lot.
@nadanasser10202 жыл бұрын
Gigi alikuwa Mzuri mashaa alllah
@martinenashon98007 жыл бұрын
hongera sana mtangazaji kwa kuuliza maswali ya msingi!
@winniengogo27598 жыл бұрын
dah....nmeguswa sana na historia yako trust me nmelia kwakweli jamii inatakiwa kujifunza jambo ktk hili gigy umepitia mengi kutokana na mfumo ulio ishi tangu unakua pia mm sioni sbb ya kukuona umdhambi sana sbb ktk biblia hakuna dhambi ndogo wala kubwa wote tutahukumiwa tu. pole sana sana nmeumia na nimejifunza mengi sana umenibadlsha kimawazo na mtazamo ninapo muona mtu km ww. keep it up mamii love you sana sana
@SuperMilliy7 жыл бұрын
She should not be judged..her mum didn't take care of her good according to my understanding..
@rahelshausi1965 жыл бұрын
Nampenda Sana uyo dada
@amim669 Жыл бұрын
Gigy i love your courage
@benjaminmangu48338 жыл бұрын
Pole sana, usilaumu mtu bila kujua "behind the scene" yake!
@halimasmarthalimasmart56817 жыл бұрын
so touching 😭😭😭 sory BBY girl Allah akukingi Na mabaya
@famenaluck5678 жыл бұрын
Pole Gift(Giggy Money). Look, dear.. wacha kuzidi kujidhalilisha. maisha kamwe hayawi mazuri wala mawazo ya machungu yaliyo pita hayawezi kuondoka kwa kujidhalilisha utu wako. Mama yangu aliaga dunia nikiwa na umri wa miaka sita. Nimepitia machungu zaidi ya yako ya utotoni na hadi sasa naendelea nayo. lakini naishi maisha halali. nafanya kazi na kula kipato halali na sijawahi hata kuwaza kujiumiza zaidi kwa kuji dhalilisha. Tulia. Jipange. Jiamini. Kumbuka na Tambua thamani yako. Ushikilie. Mtimulie huyo Giggy Money. Mrudishe Gift Stanford kwenye utu na thamani ya maisha yako.
@jadjawhary86528 жыл бұрын
same here I lost both parents, I just grow without parental love, I have gone o many challenges but I succeed in life, without doing any thing unfair to God, no I am in abroad working.i am still waiting for a good husband from God I am only 21 yes old thanks God.gigy relax for now return to your God and things will change for the better, it's not something to be proud of
@suruser92787 жыл бұрын
matatizo yamemkuta binti
@manirakiza75045 жыл бұрын
Wakuace wangu kilamtu anamatatizoyake mungu akupe mwishomwema
@shadyaupete25955 жыл бұрын
sio mbya maisha hayaendi hvyo hacha kujiuza sio nia nzur maisha ni kusali na kumuomba mungu hata kupa maisha mazuri gigy wew ni mzuri fanya mambo kwajiri ya mungu
@Sunflower-dw9wg4 жыл бұрын
The hell. What type of questions is that lady asking 🙄I'm so glad she answered well. Poor girl.
@carolinemhando90836 жыл бұрын
for real I always knew there was something about her that is beyond love...gigy boo I'm ur no1 fan...this made me drop a tear for reals....
@evatesha79647 жыл бұрын
you've made me cry 😢 giggyyy.. poleee kwa yote uliyo pitia
@johnwilliam20138 жыл бұрын
Pole Sana Gigy. Im sure hujataka kuishi haya maisha.. Komaa kuna siku utaishi maisha unayoyataka wewe. Pole sana
@imahimah79675 жыл бұрын
Ooh giggy.nakupenda zaidi kwa hiyo story.umepitia mengi dada.i just respect you dear.
@yasminkituku38758 жыл бұрын
shida ni mbaya be proud of ur self gigi
@keithevans27228 жыл бұрын
We judged so easily coz it's not easy to think!!......Hold on baby girl,be strong!!even night doesn't stay dark all night,lazima Jua lichomoze,matatizo lazima yaishe
@triphainerlaizer28828 жыл бұрын
asante kwa point yako jaman km kuna anaeamini ni uongo anachosema cjui ila hata km mama yake nae anakosa siku zote anaeforce mwanamke afanye hivyo ni mwanaume mkatae mkubali
@florenceboniface46395 жыл бұрын
imenigusa sana hata Mimi nmejitoa mhanga kwa ajiri ya familia yangu BT sio kimwili
@umulkheirshivanhassan54644 жыл бұрын
It happenes for sure but it has the reason behind it
@delsbeatstz47327 жыл бұрын
She isn't psychologically fit, nimemsikiliza huyu binti hivyo alivyo ni athari za kifamilia !! Before nilimchukia sana nilimuona kama malaya, but to be honest after listening to her nimeona sio makosa yake. Na nimejifunza kwamba wazazi hasa single parents wanahitaji ku control emotions zao za kuumizwa wasizihamishe kwa watoto maana zitawaletea athari kubwa sana katika maisha !! Mimi simlaumu Gift if kama anachokisema ni real nawalaumu sana wazazi wake because they are the source of her kuishi maisha anayoyaishi !! Take care girl nakuombea kwa Mungu may be you should change one day before its too late !!
@jifunzekuhusuwewe74756 жыл бұрын
Dels Beats Naamini hiki kitu kipo sanaa kwenye Jamii, Pole sana G ,
@mcbensongraneck64836 жыл бұрын
Dels Beats yalio ajili Leo bungeni
@zuhuraburundi2138 жыл бұрын
😭😭😭 pole sana gigyy one day inshaallah utakuw mwenye happy sana na ayo maisha utaya sa au love u giggy
@afida.khalid71918 жыл бұрын
nimesikiliza interview nzima,haki ya mungu Gigi ni muongo aisee,ata kama kuna sehemu ya ukweli kwenye story yake but uwezi kumzungumzia mama ako mzazi hivyo ,
@anglemasala4336 жыл бұрын
afida. khalid ww achaujinga
@mwasitimohamed47228 жыл бұрын
kweli usimuhukumu mtu hujui kilichomtokea be strong gigy
@nsengiyumvabienvenu84915 жыл бұрын
mwasiti mohamed Ndio kbs
@naiemakwambo88858 жыл бұрын
namkubali sana gigy money kwanz yupo open then sio mnafki
@mperabanyankaabdouli36558 жыл бұрын
pole sana gigy money insha allah mung atakurahisishia utaishi maisha mazur unayopenda
@claramkisi52684 жыл бұрын
Very very sorry my young lady Gigy I really love you... Now I realize that your my best
@lovenesslameck16496 жыл бұрын
dah pole sana my kaa chin muombe mungu atakusaidia pia utayasahau machungu yote
@cheupestefano33036 жыл бұрын
this is a very very very sad story poor girl trust in God and one day you will settle down. pole sana binti you made me cry.
@huldavagheni61865 жыл бұрын
so sorry really, I feel very sad but I belive in change. she can change her story.
@abdallahshaib15826 жыл бұрын
muacheni gig na maisha yake.....
@happymargad45937 жыл бұрын
Inauma sana alichokifanya hyo baba pole gigy nakpenda
@gentillehassan3018 Жыл бұрын
🥺🥺🥺Gigy unanipa huruma hapa mwicho wa historia yako 😢pôle sana dear
@gloryjimson83536 жыл бұрын
dah gigy money umeniumiza Sana leo maana historia yako yafanana na yangu lakini naamini Mungu yupo Ipo siku atafanya wepes mamaang Daima Mungu ni mwingi wa upendo hawezi tuacha wanae tuteseke daima 😭😭😭😭😭
@fidecharles52108 жыл бұрын
muacheni bana kila mtu namaisha yake mwisho wa siku mbinguni kila mtu anaenda peke yake ss nyie mnaohukumu endeleeni mmh
@angelonesmo24917 жыл бұрын
dah pole kwa uliyo pitia kwa kweli yamenigusa naamini ipo siku mama yako atakupenda
@beegee27367 жыл бұрын
dah i say anatia huruma ssna. maisha na malezi mabaya ndio yalomfikisha kuwa hivi. pole sana. sitaku judge tena. i wish u seek help frm psychiatrists so u break chain ya tabiya mbaya.
@prettylove75345 жыл бұрын
Daah yan we dada stori yako kama yangu pure
@ifgodsayyes.nobodycansayno17968 жыл бұрын
gigi yote nimitiyani hakuna lisilo na mwanzo likakosa mwisho muombe mungu na yatapita. ramaradi you look smart frm czech republic
@hadijapazia82554 жыл бұрын
Gigy umejitahidi kupungua nw days, Apo ulikuwa kibonge hatar
@halimasmarthalimasmart56817 жыл бұрын
imeniuma Sana kweli😭😭😭😭😭
@godfreynyabuya28917 жыл бұрын
gigy nimekukubali sana zen nimekupenda unaongea ukweli sana upo vizuri sana big up sana zamaradi plz inabidi umuelewe gigy #ni maisha
@queenricky29358 жыл бұрын
so sad...mpk choz limetoka...so sorry gigy..people judge u but dey dnt knw
@suhraoman37617 жыл бұрын
mm
@eventelias2788 жыл бұрын
nampenda sana huyu Dada she is widely open and she is herself.
@nassirmasoud57195 жыл бұрын
Lop u gigy money yn daah unaongea mpk una nihuzunisha san pole my love sister wang mung akuweke akukuze yn maisha mtu kuongea maneno mazima km ayo anahis tabu ila dah hongera zako my❤😍😘🤩😘😍😊😚
@husnajumanne98018 жыл бұрын
bac amekiri n tumejuwa n life ilmfanya achukuwe maamuz hayo,bac kama kishajtambua abadl mwenendo wa maisha
@miaduana7 жыл бұрын
Una roho nzuri sana. Sio kama wengine watakazania kumtukana na kumkejeli, utakuwa mzazi mzuri.
@mangowidn4868 жыл бұрын
so sad muombe Mungu hakupe Peace in your heart ningependa kukuona nitafute we need to open charte this is serious issue for country
@Mku-wa-waku18 жыл бұрын
Pole sana giggy, roho ina uma sana kusikia matatizo na maisha yako, Mimi ni mshabiki wako sana
@khakeemafro62748 жыл бұрын
Nina uhakika katika walio comment mbaya kuhusu gigy wamo Kati yao ni malaya kushinda yeye pia wamo wezi wa waume za watu na wake za watu pia au kwa sababu yy amekua muazi acheni kujifanya nyinyi Ni mitume hamna dhambi
@hananmustafa64305 жыл бұрын
Maskin OMG Umeniumiza moyo wangu wallah
@bahatimasawe90915 жыл бұрын
Dh
@bahatimasawe90915 жыл бұрын
Naomba no ya gigg
@doubledritte3325 жыл бұрын
mim nampend gg jaman yan uag kwel
@kajelialininomasanaroma64255 жыл бұрын
khakeem afro lLove gg
@marselinerfoi86118 жыл бұрын
Inapendeza sana kama mtu umezaliwa mwanamke basi uwe na mshipa wa aibu na staha katika midomo.Kama ulifanya maovu huko nyuma yarekebishe umrudie Muumba wako na uonyeshe mtazamo chanya na sio kuanika mambo yako ya nyuma still unayaelezea kama vile yalikuwa bahati mbaya then unaendelea nayo.UZURI WA MWANAMKE SIO SHEPU TYUU NA SURA NZURI BALI NI TWABIA NJEMA.
@mariammwiso89558 жыл бұрын
Pole Gigy, siku kazigandi
@mlekwa8 ай бұрын
Hapo zamani za kale
@uwitekamimy34313 жыл бұрын
So sad oh Pole sana Gigy 😪 nafikiria hii Historia ingekuwa ndo yng 😭😭
@louisdavid81938 жыл бұрын
Dah! Pole sana gigy ,inasikitisha kiukweli
@aliyageorge6794 Жыл бұрын
Duh!
@yvonnechepchumba4907 Жыл бұрын
2023 who's here
@mariamjape17155 жыл бұрын
huwez amini amisha ya gigy ni maisha wanayopitia wasichana wengi sana huku mitaani
@annastaziakibole56036 жыл бұрын
maskin Gigi kumbe umepata shida ivo!!!pole San
@aishamashaka79358 жыл бұрын
Mungu akuhurumie gigy money daah😂😂😂😂 unahitaj msaada wa kiroho umeeleza mazito asee imenigusa nimekuhurumia mwaya pole ila badilika asee dunia mapito mama
@hemedslim27877 жыл бұрын
pole
@lwitikomatipa42837 жыл бұрын
Im touched, But there is a way out don't loose hope
@judyqueen46478 жыл бұрын
I cried 😥😥😥 sorry giggy I love and be strong
@fatmaalnabhani36094 жыл бұрын
Subhanallah, mungu atunusuru inshaallah
@didahbaebe3287 жыл бұрын
God have mercy cheeeeeei!!! 😢😢😢
@leaherasto929 Жыл бұрын
2022 Niko apa kumbe gigy ulikuwaga bonge
@lissaseif4744 Жыл бұрын
Baada ya yoote yaliyotokea nipen like 👍 leo nimemuangalia teen baada ya kua mama.mayr
@valerieshinia85264 жыл бұрын
None is perfect: dont judge we live and learn.Hope you find peace .❤❤❤
Mama Juh Juh❤❤mama salaa 🥰🥰mama shubi❤❤yule mdogo simjui 😂😂na mama Mayra❤❤
@mariacassian27385 жыл бұрын
Wa mama mudamwingine waongosana matatizo wanayo wao lakini wanawasingizia baba zetu ilikututenganisha nao lakini mm nashukuru mungu baba yangu nirafiki yangu sana
@dianaantony94458 жыл бұрын
I love u gigy, Ila sasa unakazi tulia kidogo kila mtu anavikwazo Alivyo pitia leo nimejifunza kitu kutoka kwako tusipende kumzungumzia mtu bila kujua undani zaidi
@beegee27367 жыл бұрын
wewe zamaradi u can see this girl is broken n she needs help. mtu analia hivo huoneshi any empathy or sympathy loh. ur heartless.
@ruthmussa56573 жыл бұрын
0=
@gracemoses30622 жыл бұрын
Ni mshamba huyo she doesn't know what empathy is anadhani akikaa hvo ndo ataonekana amesoma
@saadarashid19525 жыл бұрын
Mama yako amini anakupenda hebu vuta fikira watoto wangapi kila mwaka wanatupwa na kuuliwa. Lakini bado mama yako amekulea. Pia huwezi jua akili yake vipi imeathirika. Mpende mama yako daima
@lulugama1547 Жыл бұрын
from today am your sister Giggy aisee very touching
@azizaabeid1236 жыл бұрын
Hyo historia yko nikama una miaka 30
@leonidamukandala59896 жыл бұрын
Mpaka machozi yamenitoka story ya Gigy imeniuma sana.
@nsengiyumvabienvenu84915 жыл бұрын
Be strong Gigy 🙏🙏🙏
@hawashafii33757 жыл бұрын
pole.sana
@neemadanielkinduri31265 жыл бұрын
Zama una roho ngumu kma shetani
@pacifickabonga5189 Жыл бұрын
So touching
@complexionredaction58828 жыл бұрын
belief God with u
@mahadhmahadhhababuumahadh17837 жыл бұрын
Bas Money badilika kama ulikuwa hufnyi kwa mapenz yako.Ukiendelea Haiti kuwa na maan kukiri mbele ya jamii.
@hasiyakeniyausiachiebabu76345 жыл бұрын
ili neno lakujitoa kimwili kwaajili ya mamake uwa lamliza sijui ndo ampa ungojwa
@maroahkissiry48638 жыл бұрын
maisha hutengeneza mtu, na mtu huyo huyaishi hayo maisha yaliyomtengeneza! Leo watu wanamsema na kumsimanga huyu Giggy, lakini je wakati anayapitia hayo walimsaidiaje?? Kwasababu ya kukosa malezi, kutupwatupwa, kutopewa mapenzi ya baba na mama Leo kafika hapo alipo! It is so painful Giggy but you have to bear it coz it's not your fault, but your parents'! Tuko wengi tulioyapitia hayo, lakini tuliweza kusimama na sasa kwa kiasi fulani Allahabdulah tumefanikiwa. NB: What doesn't kill you makes you stronger
@angelangel41197 жыл бұрын
anachosema apo ni uongo sikiza vizuri kuna place anasema vitu kwa kujisahau unajua unashauriwa ukiwa muongo kumbuka uongo wako usije ukausahau story yake haina flow ni uongo mtupu
@kgxckitengejvcv23568 жыл бұрын
maskini g pole sana nimelia sana na kila nikiangalia machozi yanatoka tu jamani haya yapo tu g sio kosa lake.
@oliverosward7737 жыл бұрын
jaman mcmjaj sana coz mwenyewe amekil ilikuwa bahat mbaya kuzaliwa
@hassankayla40768 жыл бұрын
Gigy nasubir wakati uliojiwekea kuachana na mambo hayo ambayo binafsi yko hayakupendezi
@annaracheldaniel51327 жыл бұрын
yaan we mtoto una tabia mbaya sana,,,miaka 17 unasema umechelewa!! duuh kweli dunia imeisha hakyamungu,,,kwahiyo we ulitaka uanze mapenzi ukiwa na miaka ngapi,, Mm saiv nina miaka 24 na bado sijaanza mapenzi,,,,unadhani kuna mwanaume atakaye kubali kuoa mtu malaya kiasi hicho?? au ndio umepanga kuwa single forever
@evatesha79647 жыл бұрын
Rachel Kinanda amenishangaza pia kwa kweli 17!!!!!!...duh bado mdogo sana na anasema kachelewaaa hahaha
@twalibtz19367 жыл бұрын
true axeeeh
@twalibtz19367 жыл бұрын
true axeeeh
@jackliineurio80997 жыл бұрын
hahaha umeonaa eee wengine tunaingia 30 now daaaaahhhh mtoto umleavyo aiseee
@jackliineurio80997 жыл бұрын
hahaha umeonaa eee wengine tunaingia 30 now daaaaahhhh mtoto umleavyo aiseee
@SuperKibwana7 жыл бұрын
sehemu ya pili iko wapi Zamaradi?
@janethmayengo66796 жыл бұрын
inauma sana polesana khaàaaa
@maxwellshangali8 жыл бұрын
duhh ebhna eehh yan huyo a natakiwa a ende kukuona na psychiatrist
@toshirohitsugaya64218 жыл бұрын
watu wanasingizia wazazi Kwa tabia zao mbaya it's very unusual, Basi Kila maskini angegeuka na kuwa mwizi
@rubbymusa19718 жыл бұрын
Huko zamani kafanya kwasababu ya shida na sasa hivi je mbona kuna wengi tu wanashida kumshinda yeye na hawajiuzi
@daimavlog8 жыл бұрын
Bado hamjamuelewa
@najmaibrahim15362 жыл бұрын
understand life then judge
@antybabybintrashid23334 жыл бұрын
3yrsback to 2020 umekuamrembo by now
@stellahagala76685 жыл бұрын
pole sana
@taratara53508 жыл бұрын
video and audio synchronization ina tatizo.. work on it CLOUDS
@nasranasra81465 жыл бұрын
Jmn kwelii hata mm pia nilifanya vitu vya ajabu bila kupenda ni kwelii gyg
@christophertarimo88774 жыл бұрын
Ungetembea na Mimi ungekuta tupo Mpaka Leo mtoto mzuri maishani
@issamohamedissa88948 жыл бұрын
USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA..TUSIWAJUDGE WATU THE WAY WALIVYO TUWAOMBEE MUNGU AWAONGOZE..POLE SANA GIFT STANFORD,BUT U SHLD CHANGE..MWOMBE MUNGU ATAKUSAIDIA