Mungu wetu ana makusudi saaana, wao wanachukulia kwa kumuona lissu wa kawaida. hawajui kwamba Kuna kitu kikubwa sana, mungu amekiweka kwake na ndio maana. inaitwa m beba maono hawezi kufa mpaka yake kutimia, ila hili linchi ni la hovyo sana watu wanaishi maisha ya anasa sana kwa hiyo. wakisikia mwamba unataka kuchukua uwenyekiti basi, washaa anza kuhaha matumbo joto. hawataweza Kwa kuwa wanayoyapanga ndani ya chama dola, cha ccm pamoja na serikali yao yanafichuka kwa kuwa kuna watu wapo ndani ya mfumo huu. hawapo tayari kuyafumbia macho maovu yao na yatawapata wao wenyewe na ma familia yao, mungu mwangazie nuru za uso wako Ameen..
@harounmaarufu3241Ай бұрын
Mungu atamlinda
@adammjomba581422 күн бұрын
Interview yenu na mh tundulisu ni ni nzuri Sana tatizo hiyo mikelele ya hilo tangazo lenu Mimi binafsi nimeshindwa kusikiliza Asanteni Sana
@rastheuniqueАй бұрын
Kuna dalili zote kwa waandishi wa habari kumhoji Lissu huwa wanapata amani ya moyo na furaha sana😊😊
@magrethsengati2564Ай бұрын
Tundulisu huyu ni shujaaaa inatakiwa documentary na movie ya Tundulisu maana kuna somo kizazi kipya cha Tanzania watajifunza nini maana ya siasa za upinzani zilivyo na drama si mchezo❤❤❤❤❤❤Tanzania
@jeremiakalekezi2301Ай бұрын
Hongera Mh Lissu Leo Umeeleza Vizuri Nimefuatilia Mwanzo Mwisho Leo Ndio Umeongea Fact Siku Unatangaza Kugimbea Ulituchanganya Kwakurusha Lawama Moja Kwamoja Ndio Sababu Walio Wengi Walikuona Huna Nia Njema
@daudimaembe3360Ай бұрын
"Mtu mwenye haki atastawi kama mtende atakua kama mwerezi wa Lebanon". Zaburi 92:12
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@RESTITUTAMOLLED-mp3ppАй бұрын
Lisu will never die until he finishes what God sent Him to do therefore He is still at work.i really love Him.
@harounmaarufu3241Ай бұрын
Hou are absolutely right
@geraldaudАй бұрын
Amen🎉
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@SaraSara-i1l6 күн бұрын
Kabisa❤❤❤ we need lissu
@ghalibelghanim1151Ай бұрын
Mimi si mwana Siasa lakini Lissu ndie anaeweza Tanzania. MUNGU Amuweke.
@minazsaid2470Ай бұрын
Amiin yarab
@akramissa3393Ай бұрын
Aisee hata mimi naamini hivyo
@happinessmwaipopo7426Ай бұрын
Lissu Mungu aliyekushindia na lile, atakushindia na haya
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@Ntuli-o4wАй бұрын
Umetuelisha na cc wa chama kingine! Thanks for knowlege hasa Jaribu la kujiinua na kujipa Umungu mtu.Yesu alisema mtu atakaye kuwa kiongozi shari awe mtumishi wa wengine(Awe kama Mtumwa)
@MediatrixNgabonaАй бұрын
Lissu bwana ana uwezo Wa juu Sana aisee
@LevinusAlfredАй бұрын
Nakukubali sana mzee wetu,lissu.mungu akuweke sana inshallah utakuja kushika kiti
@zulishoo9496Ай бұрын
Nampenda Lissu jamani .
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Mimi pia
@ERICKMARTIN-w2h6 күн бұрын
The president of the United Republic of Tanzania
@ERICKMARTIN-w2h6 күн бұрын
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tundu Lisu
@YohanaNtanwaАй бұрын
Chaguo la mungu kamwe halipotei,maono lazima yatimie ni sawa na unabii.
@YUPOMFARIJI-2024Ай бұрын
Break nyingi sana inaondoa ladha ya kuangalia
@JemissNgaaka-t8lАй бұрын
Nakuona ukisoma meseji Mungu aweke shadema mikononi mwake
@akramissa3393Ай бұрын
Huyu jamaa ana IQ kubwa sana na ndo kiongozi aliyefaa kupewa nchi ya Tanzania kuiongoza
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@abubakarothman9043Күн бұрын
Kweli lakini IQ ya wa TZ ni ndogo kwa kumuelewa 😂😂😂
@rastheuniqueАй бұрын
We need you Lissu!!🙏🙏
@thomaskiponda6079Ай бұрын
KAMA NILISHAMPA KURA YA URAIS UTANIAMBIA NINI❤❤
@ERICKMARTIN-w2h6 күн бұрын
Sahihi kabisa
@RaulanceLucasАй бұрын
Wanao panga mabaya kwajili yako watashindwa kwanguvu ya Mungu
@Rm2024-x3d7 күн бұрын
Amen
@thomaskiponda6079Ай бұрын
Alichonacho LISSU NI kikubwa SANA KULIKO alichonacho HAJI SANDE MANARA NI MUNGU AMEKIWEKA NDANI YAKE ❤❤ HUWEZI KUSHINDANA NAYE KWA SABABU MUNGU ANAYEMBEA NAYE MUDA WOTE MSIKILIZE MWINGIRA AKIMZUNNGUMZIA HUYU MTUMISHI WA MUNGU❤❤ LISSU
@Classiccaptures3 күн бұрын
Great discussion! Big up Sana watangazaji!!
@msafirihaule9921Ай бұрын
Ila Lissu,, very real.
@hellenngwilla550Ай бұрын
Hakika Mungu anakupenda sana duh wanadamu ni wabaya sana 😢
@salehjuma9354Ай бұрын
Ndugu Lissu Allah hakuifadh kwa kwel ww ni mtu wa haki haki haki
@MukhutarAbdulshakurАй бұрын
Na mungu amewadhalilisha wengine wemekufa mungu awafedheheshe wote wanaouwa watu
@ridhwanabdallah-ev5rsАй бұрын
Mungu awalaan walio kufanyia motoni ndo yawe makazi yao
@SosthenessMisango-nh8icАй бұрын
Lisu ni shule inayotembea
@SalumKombo-sf5gs26 күн бұрын
Pole pole sana kiongozi mungu aendelee kukulinda pole mtarajiwa kiongozi mkuu
@athanasmasmami538910 күн бұрын
Huyu jamaa ni Genius anajua kupangilia point zake na kuzielezea 🙏Nina amini kabisa mwamba atakuwa rais miak 10 mbelen 100%
@FestoLalataАй бұрын
Zaburi 91:11-12 Mungu akuagizie malaika wakurinde
@thomaskiponda6079Ай бұрын
TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU?❤❤❤❤❤❤❤❤
@thomaskiponda6079Ай бұрын
DAAHH LISSU AMENYOOKA HADI RAHA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@peterminde40377 күн бұрын
Interview ni nzuri sana ILA hilo tangazo lina kelele sana na linachukua mda mwingi.
@PeterFaustine-v9s6 күн бұрын
Lissu leo umenifuraisha sana kuhusu mwenyekiti mbowe umetenda haki bila kuprovock mtu naendelea kukusikilixa nitakupa kura yangu
@FestoLalataАй бұрын
Mungu akurinde ktk jina la Yesu
@SaraSara-i1l6 күн бұрын
Congratulations uncle lissu in advance
@JemissNgaaka-t8lАй бұрын
Kisu atapita kama kawaida nampongeza sana Mheshimiwa
@kilimajohn5600Ай бұрын
Hii interview irudiwe kuna mambo mengi ya kujifunza kwa manguli wa siasa katika inchi yetu
@sambalistephen8541Ай бұрын
Kweli mbeba maono hafi
@passionfleva775Ай бұрын
Kuna simulizi ilikuwa inaendelea ila uharaka wa maswali yenu na subra kutokuwepo kuna kurukaruka kwa story ambazo mmekosa kutoka kwake... Yes,kuna maswali unayoweza kuuliza kutokana na maelezo ya unaemuhoji ya papo kwa hapo ..lkn ili upate mtiririko kamili wa kilichotokea mlipaswa kunote pembeni kisha mngeuliza ...kuna baadhi ya maelezo yalikuwa hayafiki tamat stor zinajump...But interview nzuri na mimi nishabiki yenu.
@gochamsoАй бұрын
Kikeke ni mtangazaji mzuri. Hawa wanazingua
@LazaroJohn-y6hАй бұрын
Mh lisu hao waandishi wa habari machawa kuwa nao makini
@dahoudherman2107Ай бұрын
Yani aise namuomba mungu ampe adhabu ya kaburi na motoni aliefanya aya kwa tundu na uko aliko mungu amuongezee adhabu asipate pepo na 100% kaishakufa na unyama wake eeh mungu kuna watu bado wanasema alikuwa bora sijui nn mungu wape nao adbhabu kari
@gwajimagwajimaАй бұрын
😂😂😂😂😂 Kaka umeua
@tahirnephessalum36786 күн бұрын
jamaa alihusika ndo maana had leo hakuna aliyekamatwa
@cosmasmbwilo5455Ай бұрын
Tundu antipas lissu
@Thevineyard9889Ай бұрын
Kwa scenario ya huyu bwana Lissu kupigwa risasi mwaka 2017 na maelezo haya, sijui serikali inaweza kujitetea vipi ili watu wenye akili wakaielewa. Kwa kweli ni aibu sana kwa serikali kutowajibika ingalau kupeleleza na kuwapata wahusika. Picha iko wazi sana kuwa ulikuwa mkakati wa baadhi ya watu wazito, wenye nguvu ya kimamlaka ndani ya serikali kumuua huyu bwana. Uondoe walinzi eneo linalolindwa 24hrs? Hatuwajui askari waliokuwa zamu? Hatujui kitengo kinachohusika na ulinzi wa eneo hilo? Kwanini walitoa ulinzi siku hiyo? Yaani maswali ni mengi yanayoitia hatiani serikali yote kwa ishu hii!!!!
@Settledmanrise8083Ай бұрын
Naamini kuna watu mw/mungu aliwaleta kw ajili ya kazi maalimu moja ya kazi ya mh lissu ni kuhakikisha anatuvusha ktk jwangwa hili la watala kutumia madaraka yao vibaya na kulipeleka taifa pabaya
@EliasKikwegaАй бұрын
God bless Lissu mwamba imara
@ZenaJohali8 күн бұрын
Amshukuru mungu tu
@DicksonJeremiah-u9b29 күн бұрын
Nakuombea Mungu akulinde na dhuluma yoyote iliopangwa juu yako
@divothdomician4061Ай бұрын
Master Lissu 🔥
@PhilipoMwita-b2xАй бұрын
Huyu bwana nibalaaa hua nashangaa sana kwakweli anakipaji huu niwito wake
@sittandaki2135Ай бұрын
Pole sana mwamba Lisu mungu atakulipia tu
@peterjames744527 күн бұрын
The man is very intelligent. I pray for you my brother Tundu
@ERICKMARTIN-w2h6 күн бұрын
Pole sana kaka
@gochamsoАй бұрын
Hongera sana. Mm ntakupigia kura
@wiza2309Ай бұрын
Mahojiano yyt akiwepo Masoud Kipanya huwa ya maana sana. Lissu Mungu analo jambo kwa ajili ya hii Nchi, siyo bure kusudi la Mungu lazima litimie. Mungu yupo lazime ufike mahali Mungu anataka
@sambalistephen8541Ай бұрын
Hakika unaweza
@mosesmlogani81128 күн бұрын
Haya mahojiano yalikuwa na tija sana, lkn commercial breaks ziliharibu sana ladha ya "interview" na mtiririko wake, zilimega dakika nyingi mno, na kwa aina ya mtu aliyekuwa anahojiwa ilibidi waandishi kujua aina ya hadhira ilokuwa ina hamu ya kufuatilia mahojiano. Clouds Mtahitaji kuboresha "organization" ya "interviews" za namna hii!! All in all nilivyowaangalia hawa vijana na kumkumbuka pia Chief Odemba, ninaaanza kuona dalili ya kuwa na waandishi wazawa ambao siku zijazo watatuletea aina ya mahojiano ya calibre za akina Marehemu Shaka Ssali (VOA), Tido Mhando (wakati akiwa BBC Kiswahili), Tim Sebastian na Stephen Sackur wa "BBC Hard Talk" au yule bwana Sami Zeidan wa "Talk to Al Jazeera" na "Inside Story"!!!🤔🤔
@YohanaPetro-xv9tpАй бұрын
Lisu Bila Kuchoka Baba
@FelixWilisoniАй бұрын
Tundulisu nimsema kweli
@leonardmartine662Ай бұрын
Nice
@mamohamed1252Ай бұрын
Mtangazaji , unaingilia sana wakati mwengine. Maswali ni mazuri lakini muachie Lissu azungumze
@stonetown578Ай бұрын
Break yenu inapoteza muda sana, anyhow interview nzuri.
@TNgwale-eu3xl21 күн бұрын
Break yao haijali wasikilizaji bali matangazo ya biashara maana wanahitaji kutengeneza fedha ili kuendesha program zao. Ila ingekuwa vizuri zaidi wangepunguza hasa kwenye kipindi kizuri na muhimu kama hiki
@isackjacob8127Ай бұрын
Me sichokagi kumsikiliza lisuuuuu
@allyjuma686926 күн бұрын
Tundu lissu mtu sana
@emanuelmwakamisa2511Ай бұрын
Break nyingi sana
@kindysuleiman5935Ай бұрын
Tundu you deserve to live you are God protected our leader
@hemedmsangi1697 күн бұрын
Hi ni power breakfast au power matangazo
@mangukasasali7614Ай бұрын
Lisu si tu n msaada kwa chadema bali na nchi pia
@stevenadogo377417 күн бұрын
This is a very interesting conversation but you have too many adverts.
@Voiceofpeopleotz27 күн бұрын
Clouds ni redio nzuri ila punguzeni matangazo.
@JustinKijangwa28 күн бұрын
Tunapenda viongozi wetu wote na sisi wenye chama chetu tunamuomba babaetu kamanda wetu mbowe ajitoe ktk umwenyekiti asimame kwenye ugombea wa raisi mwenyekiti abaki mh lisu
@hagaimwakilembe9255Ай бұрын
Ila mnaopost hivi video youtube mpo kwenye quality mbovu sana coz mda wote ni POWER BREAKFAST TU INAZUNGUKA akuna kitu
@stratonmugisha3577Ай бұрын
matangazo yanazidi mahojiano
@rajabuseleman8347Ай бұрын
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️
@henrymntangi7783Ай бұрын
hii nchi, ipo siku MUNGU atawakumbuka Watanganyika, kama alivyowakumbuka wana wa Israel
@Ntuli-o4wАй бұрын
Lisu umeelisha wengi kweli! Hongera
@AkiliWilondja-j5l4 күн бұрын
LISU MBELE
@wearemalinda5147Ай бұрын
Napingana na Lissu, sio kweli, viongozi hutengenezwa na kulelewa ila mazingira na misukosuko huwaimalisha
@harounmaarufu3241Ай бұрын
Huyu jamaa ana akili sana
@navvalenceАй бұрын
bigup
@leitonyngayama6882Ай бұрын
LISU Ni WETU, MBOWE ni WETU.... WANAOLETA USHABIKI HUKU NJE NI CCM TU,,, CCM WANAMUOGOPA LISU KULIKO MAELEZO.... NA CCM MDIO WANAOPIGA KELELE
@mongogwelaanthony68675 күн бұрын
Lissu anatosha
@ShusaSoteАй бұрын
Hilo nakubaliana na lissu kabisa watu wenye mamlaka nishida wengi nidhaifu sana Hilo sahihi
@ERICKMARTIN-w2h6 күн бұрын
Kabisa
@WachunyaTebeka20 сағат бұрын
Ww fety unajua kuliko kija
@danielsimwanza1046Ай бұрын
Siza ayupo jaman anamaswali mazuli sana
@HusseinMwale-b4iАй бұрын
God bless ub😢😢😢
@MunirDanifordАй бұрын
Inaitaji akili ya kichaa pekee ake tu kutokumuelewa lissu. Ni mtu ambae ni haki haki na yy
@BrunoNtogwaАй бұрын
Masudy imeshawahi kutokea siku moja ulinz kuondolewa?
@EmanuelNicholaus-of1qgАй бұрын
Namfananisha Tundu Lissu na Donald Trump
@solomongivemore9517Ай бұрын
😂
@alphoncewilliam43256 күн бұрын
Anajitaidi kutafuta huluma ya wanachi
@eseerchannel1995Ай бұрын
Hongera sana
@TheBastarrrdАй бұрын
Inahitaji akili nyingi kumuelewa huyu mwamba
@EzekielLesion-ht8nuАй бұрын
Kweli mungu c binadama
@kilindijoseph8723Ай бұрын
mmemchosha tu mheshimiwa ma vimambo vyenu vya waganga wa kienyeji, mko serios mnamhoji next president kwa style io