Asante sana Lissu..mimi ntakupigia kura. Mbowe pumzika
@DeusAlly11 сағат бұрын
Tundu lissu unajuaa sana kuzungumzaaa ingekuwa kila m2 anapiga kula ningepiga hata Mara kumu.
@Gavi_2557 сағат бұрын
Unapiga kula kwa sababu ya kuzungumza boya kwelu
@PAULNYANDILE6 сағат бұрын
TUNDU LISSU wewe braza ni smart saana mpaka unajua Tena.Wewe ni nyota ya asubuhi TANZANIA
@iviejustified8109Сағат бұрын
Wanamuita SIMBA
@EmmanuelMoses-pb1zh11 сағат бұрын
Sisi Wapenda Siasa Ngumu Tunasema Hv MBOWE MUST GO
@BonnyMwajombe10 сағат бұрын
Chadema bila mbowe must go out 😂
@victorcharlesmwakikoti77648 сағат бұрын
@@BonnyMwajombesi kweli ukisema hivi manake yeye Mungu asimchukue inamana siku akimchukua chama kimekufa
@PhillyAmbilikile5 сағат бұрын
@@BonnyMwajombeHana haki ya kuishi milele chadema bila mungu must go badili kauli
@mwaamwetahussain99472 сағат бұрын
Who is Mbowe nyie ndio wale mnaosema bila boss siwezi kuishi f@@BonnyMwajombe
@stevesungura678910 сағат бұрын
Huyu jamaa ni tunu kwa hili taifa, ndo maana Mungu kamtunza. Haki iko ndani yake na upendo wa kweli
@lydiamsheri40956 сағат бұрын
Et eeee
@officialkamdudu5 сағат бұрын
Asante sana BBC kwa mahojiano haya Mwenyezi Mungu awabariki sana
@barakamwamasage-hy2jo11 сағат бұрын
BBC hii imekaa poa🎉
@djdugwaymaster672911 сағат бұрын
lissu anajieleza vizuri sana nimkubali..
@DonMooFILMES_Express11 сағат бұрын
Huyumtangazaji leo ndio mara yangu ya kwanza kumuona na nimetokea kumkubari ❤ Yupo vizuri sana ktk kitengo chake. BBC huwa inakusanya watangazaji wenye weledi wa kazi.
@nasirmmaka718810 сағат бұрын
Mwamba huyo anaitwa Sami Awami yupo muda sana pale BBC
@DonMooFILMES_Express10 сағат бұрын
@@nasirmmaka7188 Dah! Mimi nilikuwa nawafahamu Salim Kikeke na Zuhura Yunus. Huyu mtaalamu nimeanza kumuona leo 🙌
@kelvinmasungakilunguja753910 сағат бұрын
Mbona wa SKU nying uyo wa BBC
@DonMooFILMES_Express10 сағат бұрын
@@kelvinmasungakilunguja7539 mimi nimeanza kunfahamu leo
@nasirmmaka718810 сағат бұрын
@@DonMooFILMES_Express Yeye hauga hakai ofisini ni kutafuta matukio tuu na kuhoji watu
@kabujeasukile546210 сағат бұрын
Sijawai kumukubali TUNDU LISU ila kwa siku za hivi kalibuni ameanza kunivutia kilichonivutia kwake ni kusema UKWELI Yuko CHADEMA lakini hata maovu ya CHADEMA anayasema bila kupepesa macho
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
Huyu ndio anastahili kuwa kiongozi wa kitaifa
@greydonalds42866 сағат бұрын
Huyu jamaa ni mbinafsi. Anaweza kufanya chochote na kumkaanga yeyote kwaajili ya maslahi yake binafsi.
@herijaphet6 сағат бұрын
Lazma aseme mn anataka ulaji na hakuna namna
@gowekogoweko580310 сағат бұрын
GOD BLESS CHADEMA
@mozakhamis7253Сағат бұрын
tu. nampenda sana
@pellestianomasai12207 сағат бұрын
The Level of Maturity in this Guy, his Articulation and the Ability to Hold on the Productive and Constructive Conversations and Dialogues is Beyond Measure,He is Very Smart! Let's Go TAL the Mass is with You! Remember the Voice of the People Is the Voice God! 💪
@levisonfrank262011 сағат бұрын
Apa mmetisha sana sound iko vizuri👍
@BBCNewsSwahili11 сағат бұрын
Asante
@brog139410 сағат бұрын
TAL ni noma, kaweka sawa sana mambo
@peterlujuo16409 сағат бұрын
Hadi ccm wanafatilia huu mtanange, chadema imekua 👏
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂wenajikojolea Kwa Sasa 😂😂😂😂
@clarencesichila949710 сағат бұрын
Lisu umeteka mitandao kwel lisu siasa unaweza
@ThomasMwadia9 сағат бұрын
Hapo unenena mkuu
@josephmwita60129 сағат бұрын
TZ,, should invest in lissu
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
Twendeni na Mr lisu
@greydonalds42866 сағат бұрын
😂😂Lissu ni mwanasiasa wa mitandaoni, sio wa ballot box. Subirini uchaguzi wenu ufanyike muone wanaCHADEMA watakachomfanya Lissu. Hatoyaamini yake.
@deusdeditishengoma433510 сағат бұрын
Safi Sana Lissu
@saeedmagoda9651Сағат бұрын
Huyu mtangazaji anaijua sana kazi yake kwanza haulizi swali juu ya swali ana kuuliza Jibu ukimaliza lingine lina fuata na kwakuwa yupo BBC Swahili huwezi msikia akichanganya Lugha Hapa BBC Wana mtu sana hongera kwa kazi nzuri
@florencejohn642711 сағат бұрын
Akili nyingi sana hapa. Tz wachache sana wanaoweza kujenga hoja kama hili lijamaa. Mtu asiye na busara na hekima hawezi kutoa majibu kama haya
@mozakhamis7253Сағат бұрын
kweli. lisu. nakupenda. sana
@alexandernyamhanga421010 сағат бұрын
@bbcswahili mna watangazaji hodari wana subira hawaingilii mzungumzaji mtu anajieleza vizuri
@augustinookore617210 сағат бұрын
Tuna mtaka lissu
@stevesungura678910 сағат бұрын
Kuna point kubwa sana kasema, kuwa kugombea kwake ni kwa ajili oia ya kulinda LEGACY ya Mheshimiwa Mbowe
@zaxonygm770010 сағат бұрын
Tunakufa na Lissu wetu muraaaaa
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
Ni kweli muraaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@evodiusantony211510 сағат бұрын
Lissu oye
@emanuelmaraki97589 сағат бұрын
Mbowe tunakupenda sana sana lakini pumzika Kwa Sasa twende na lisu Kwa Sasa💪🤝👏
@hoseaMwangende7 сағат бұрын
Mi nishamchukia
@NdeshaPaul-uz9bw4 сағат бұрын
Bado mbichi sana , mpole sana busara nyingi na hekima hivyo aendelee ili watu wajifunze kwake.
@jamespilimo89868 сағат бұрын
Lisu mwenyekiti ajae umeeleweka sana
@gowekogoweko580310 сағат бұрын
CHADEMA NI YA UKWELI NA HAKI ✌️👏🏻👏🏻
@EmmanuelMandela-f7k9 сағат бұрын
Inahaki gani mbwe anakaa miaka 20 madarakani wakati huo yeye anakemea ccm kukaa madarakani mda mrefu Bure kabisa
@hopefully70904 сағат бұрын
Mbona Nyerere alikaa miaka 23+yakupigania uhuru@@EmmanuelMandela-f7k
@erickmkwera27848 сағат бұрын
I love you ❤ tumaini la watanzania wapenda haki
@saidrakwe87278 сағат бұрын
mr lisu ndio jemedari ❤
@ManaseJubilate-kk2gz8 сағат бұрын
Naiona dhamira halisi ya Lissu kwa sasa before hii interview nilikuwa sijamwelewa kabisa👏
@RaymondKanyama-y5b6 сағат бұрын
the pride of African Tundu Antipas lissu
@HamisiMatumla11 сағат бұрын
Tanzania hawahitaji watu waelewa kama hawa, ukiwa mtu wa haki ndani ya nchi hii utapitia magumu.
@EvaNgalaba9 сағат бұрын
Mwamba nakukubali Mungu akutunze.
@KelvinBamuhiga-f8n8 сағат бұрын
Lissu wewe ni mwambakweli🎉
@kelvinmushi50809 сағат бұрын
Lissu ✌🏻✌🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@allymkindigile522011 сағат бұрын
Hii sasa ina sauti safi kabisa.
@reginamwendwa67097 сағат бұрын
Big brain well said big up mtetezi wa wanting wa kweli
@ExodusMarcStanley10 сағат бұрын
Lisu hadi sasa ana 90% Mbowe ana 6%
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
❤🎉🎉🎉🎉
@IsayaJoseph-v3s10 сағат бұрын
Lissu ni mwamba kwelikweli Tanzania inapaswa kujivunia sio kumbeza kuna wasomi wangapi nchi hii wamefunga midomo hawatutetei wala kutusemea wananchi. Lissu ni sauti ya watu aishi maisha malefu.
@AlsonSemoka-xp6vl7 сағат бұрын
Sahihi
@AlsonSemoka-xp6vl7 сағат бұрын
Sahihi
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
AMEEENI.
@wiliamkatala9 сағат бұрын
Mwandishi makini sana,pokea 🎉🎉🎉🎉 kaka.
@oscarpanja54688 сағат бұрын
Mwandishi wa habari hapa amejisahau kuwa anahoji badala yake anakula shule
@swahilitherapytv38465 сағат бұрын
BBC mmetisha hapa. Big up
@erasmusaloyce439812 сағат бұрын
Kama Kuna mtu anahisi mwanaharakati ni mtu mbaya basi atakuwa zezeta.
@DavidMtoi11 сағат бұрын
Tundu yuko sawa naye ndie atatenda sawa sawa kwa kadiri ya ccm inavyo stahili ijibiwe na itendewe.
@jescabwimbo811210 сағат бұрын
Huyu mtangazaji yuko vizuri sana
@HumphreyNyiti10 сағат бұрын
Huyu jamaa anaakili sana asee
@mamudusaid-qk1bu10 сағат бұрын
Ambae hajamuelewa lisu sijui atakua na kichwa gani
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
Kichwa maji machafu
@BensonMpete9 сағат бұрын
Mzee wa mtiti kinoma noma
@songombingo10811 сағат бұрын
Lissu ni kichwa hasa😂😂
@apostlemelkizedeckmsechu62748 сағат бұрын
LEO LISSU AMEONGEA KAMA MWENYEKITI KABISA!! Ameonyesha kuwa Anatosha
@SebastianCharleskayanda11 сағат бұрын
Lisu tumbua majipu
@AyzalRicco-mi6iu10 сағат бұрын
Hiki ni chuma lisu ni zaidi ya politician.
@boniphacejohn29819 сағат бұрын
Lisu ni mwamba kweli kweli
@emmanueljohn79 сағат бұрын
Mi naipenda CCM lakini natamani Lisu ashinde Uenyekiti Chadema kuanze kuchangamka😂😂
@EmmanuelKiula8 сағат бұрын
Mshika mbili moja humponyoka. Wewe ccm imekuponyoka, kwa nn unajificha wakati wewe ni CDM?
@MiriamKhalid-z6o8 сағат бұрын
Kuwa muwazi bana unaogopa nini CDM iko poa
@emmanueljohn77 сағат бұрын
@@EmmanuelKiula Watu wanamaslahi yao binafsi ndio maana natamani Yule aliyenusurika kuuawa kwa sababu ya Uzarendo ashike Dora
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
@@emmanueljohn7 Ameni
@SimulizitulivuuСағат бұрын
Tundu Lissu yuko real sana huyu baba
@rogersiddy10 сағат бұрын
Aisee nazidi kumuelewa Lisu sasa yaan kama viongozi wakiendelea kukunja pesa za hongo alafu wakija mbele etu kututangazia uovu wa maccm huku wanakula hongo tukija kugundua uongo wao tutakimbia Chadema
@jumamayunga74725 сағат бұрын
Mbowe must go
@EdesAron11 сағат бұрын
Kila nikikusikiliza Wala sipati mashaka yoyote juu yako kabisa wewe ni MWAMBA
@Danielkashatila202410 сағат бұрын
Watu wajitahidi kufuafilia mahojiano haya
@Juma-e8lСағат бұрын
THE TRUTH IS NOT A MATTER OF OPINION IS A FACT OF THE WORLD. VIVA LISSU💪💪
@johnnzumbe7 сағат бұрын
Sisi wakunja Ngumi tunaondoka na Mbangaizaji mwenzetu
@thadeipeter2592Сағат бұрын
Lissu ni mpango kamili WA Mungu
@rosetreffert41798 сағат бұрын
Lisu kichwa kubwa ❤❤😂🎉
@wanainchitvrdc670511 сағат бұрын
Huyu ndie mpinzani wa kweli wa raisi samia na serekali yake na sio mbowe . Mbowe ni rafiki wa raisi samia . Huyu ndie ana takiwa kua mwenyekiti wa chadema ili apambane kikamilifu na mwenyekiti wa CCM.
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
AMEEENI. Na iwe hivyo kwa uwezo wa Mungu,AMEEENI.
@rogersiddy11 сағат бұрын
Asiemuelewa Lisu aisee sisemi kichwa maji wala kichwa ngumu wala hana elimu ila anapaswa kisema aachie kichwa chake aruhusu ubongo wake upate elimu ya Lisu ili atafakali kwa kina kabla hajabishana wala kupinga hoja za Lisu
Sami awami alikuwepo muda mrefu sana, kikeke amemuacha hapo@@jamalmwenda3278
@rwizafrolence42954 сағат бұрын
BBC you guys you know what y'r doing👏🏻 congrant
@WatsonMwaigaga-uy5jk5 сағат бұрын
LISU 💪💯👏
@GodfreyLuanda2 сағат бұрын
Lissu yupo makini sana🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@culturestoriez639710 сағат бұрын
Lisu kanyaga kichwani bado mbowe anapumua 😂😂😂
@cyprian.p8 сағат бұрын
Well said Mr Lisu
@eatlawe8 сағат бұрын
Moja ya interview bora sana ambayo nimepata kuisikia. Unaweza kuona passion ya Lissu na dhamira yake njema kwa nchi na chama chake. Hakika uongozi mpya ndio suluhisho ili tuone na kupima kazi yake. Baada ya miaka 5 kama ameshindwa ataondolewa tu kwa kushindwa kazi!
@licardymwampashe21645 сағат бұрын
Daa! Anahojiwa na hapohapo anatoa na Elimu. Big brain.
@josephmihayo623610 сағат бұрын
Awami ni bonge la muandishi wa Habari! BBC hawaajiri vilaza kwakweli. Tundu Antipas Lissu nimekuelewa sana!
Lissu utafikiri anaongea mahubiri sometimes ukweli ukiongelewa na mkweli unakuwa na kautamu flani hivi kuyasikiliza
@jasonwatz74578 сағат бұрын
Unajua ukiwa huna siri moyoni, ukweli unakuwa mtamu kuongelea
@westchugagang53234 сағат бұрын
ANASTAHILI KUWA RAISI ❤❤
@fabianmainchanyangachika501752 минут бұрын
Hahaha 😅😅 Moyo ukizima, hii kweli kabisa cammada
@mathiaszakaria70527 сағат бұрын
Lissu nlikupgia kura mwaka 2020 na sitaacha kukuunga mkono mpaka kiama
@kusudihalisi95377 сағат бұрын
Mwenyekiti alieingia gerezani na mwenyekiti alietoka gerezani ni vitu viwili tofauti Alieelewa hapo asemee waaaa 😢😢
@Mwl_Sanga3 сағат бұрын
Una maana Gani kijana wangu
@ELIAMbise-sy5ue3 сағат бұрын
Lissu for change
@AlexMagori11 сағат бұрын
Jembe
@josiahsimon53337 сағат бұрын
Lisu ni mwanasiasa makini
@barnaba30377 сағат бұрын
TAL nakuelewa sana
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
Tundulissu ndiye mtu sahihi kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa kwa sasa! Wajumbe mtuletee Tundulissu na makamu wake Heche. Mimi nimeshapiga kura yangu moyoni na Mungu aipitishe kwa uwezo wake,AMEEENI.
@Benj7228 сағат бұрын
Tundu Lissu 🫡🫡🫡🫡🫡🫡
@decoderhealthusa6 сағат бұрын
Awami wewe ni hodari sana
@mzeem-wg4tm5 сағат бұрын
Professional
@kakawataifa67528 сағат бұрын
Tunamtaka dictator anayeishi ndani ya sheria,tunataka mropokaji na asiye na busara kwa watu wachafu ,tunamtaka wasiyempenda