SHAJARA YA COY MZUNGU: NIMELELEA NA MGANGA, SIKUTAKA KUKAA KAWAIDA, CHURCHILL ALINITABIRIA
Пікірлер: 104
@Bensonfrank254 ай бұрын
Sema Jamaa ni bonge Moja la story teller. Unaweza kumsikiliza hata siku mzima usimchoke..👍
@barakarobert10292 күн бұрын
Kwel kabisa
@bamdogo953 ай бұрын
I wish to meet this guy Wonderful story I like your passion since your struggle❤❤
@jamesoduororawo83794 ай бұрын
May you're pockets never lack.. May the Almighty God bless you ❤❤❤lots of love from Kenya 🇰🇪🇰🇪❤️❤️🙏
@HadijaSalum-kf6gy4 ай бұрын
Baada ya kukujua nimeskia mengi kuhusu ww na nimejifunza mengi,mungu akubariki Ili uwe daraja kwa kila mtu❤
@Sir.Patrick4 ай бұрын
Nimegundua jamaa anabahati Ya Kuwa Na Ndugu wenye Mtazamo sawa Na yeye. Hongera
@EduboyHekima21 күн бұрын
Story imenigusa Sana bro hongera sana kwa moyo wa upendo
@EduboyHekima21 күн бұрын
🙏
@onlinetrends11954 күн бұрын
Namshukuru sana Mungu kusikiliza hii story, imenipa sana moyo wa kupambana na kunga'ang'ana sana na Mungu,Mungu akaniinue,katikati ya machozi yangu nisisahau ukuu wake.
@saidbakari24084 ай бұрын
Huyu jamaa hata aongee mwaka mzima hachoshi anajua sana huyu story teller
@fakihichitanda28644 ай бұрын
Story like a movie,respect kwako
@daudimkuki80184 ай бұрын
Story ya wewe na dalali it’s was a miracle bro.. absolutely its was miracle 🙌🏻
@mariamandambike50134 ай бұрын
Daaah bro u the best,... Kupitia wewe Nimejifunza kitu, and I loved the way unamuappreciate mungu Kwa Kila jambo pia nimeona umuhimu wa familia kaka au dada kushikana pamoja Kwa nyakati zotee, thanks so much and God bless you 🙏🙏🙏🙏
@leahswedy48954 ай бұрын
Very interested story ... ukitoa kitu kumpa mtu wakati na wewe huna huo sio msaada ni upendo❤.. usisubiri uwe tajiri ndio usaidie wengine ... nimejifunza vingi😊
@daudimkuki80184 ай бұрын
Absolutely true 🙌🏻
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Kabisa yn❤
@samsongichogo9923 ай бұрын
Ukiweka yote pembeni maono ya huyu jamaa yalitimia kwasababu Mungu alimpa mama anaeamini kweny ndoto na kipaji, anaeamini kwenye mchakato, hii ni Aina ya wazazi ambao kila mmoja anawahitaji ili kutimiza ndoto
@ukhutfatumah11543 ай бұрын
Nataman kumuona nasri jamn daaaa jamn 😢
@restallen55813 күн бұрын
There is God in heaven who here our prayers 👏👏👏👏👏👏
@hadijamcha78244 ай бұрын
Hii Shajara haija isha coz bado hatuja jua kama yule kaka yake mkubwa walimpata wapi?
@hermanmtenga93093 ай бұрын
Napenda sana neno la mwisho LA huyu jamaaa
@joshuakimambo27654 ай бұрын
Anaweza kutengeneza Isidingo yake kabisa. All in all Mungu anajua namna ya kuwatetea watu wake
@neemamwakasape16304 ай бұрын
Jmn Mungu yupo, tuendlee kumwamini❤❤❤
@adelinachengula85192 ай бұрын
Unajua kuhadithia Mungu akubariki coy
@CatherineMvanga-oz8bd2 күн бұрын
God is good
@benjaminmlwisha56943 ай бұрын
More than one hour watching very interesting
@jrm94483 ай бұрын
Hii story ni ushuhuda juu ya uwepo wa Mungu
@nyotamy36784 ай бұрын
A good story teller 🙌🏾 very interesting
@Tariq_Tryagain4 ай бұрын
Mpeni shajara nyingine kuna point za msingi ambazo hakuzizungumzia kiundani
@husseynomar95234 ай бұрын
Salute bro Coy 🎉🎉🎉❤
@stafftortilis-en5dn4 ай бұрын
Keep it up bro
@sajojonas3 ай бұрын
Glory be to God
@NiceJob-m4n3 күн бұрын
Nasemaje ni marufuku kukata tamaa
@Tariq_Tryagain4 ай бұрын
U the real soldier brother.. mungu akubarik hadi uchoke mwenyewe.. Skujua kua mama mawigi ni agent wa CIA😁🙌🙌 mega S/O to her
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Yani coy nimejifunza mengi sana kupitia ww big up sana❤🎉
@AsminHakimo4 ай бұрын
Asante dj na like utapata
@daudimkuki80184 ай бұрын
Tunaomba sehemu ya 3 please
@imanimwakyeja41844 ай бұрын
Daaa nimecheka sana kwenye point ya mchungaji. " Mungu akikuinua, usijiinue" 😅🤣. Mchungaji imani ilishuka 😂
@daudimkuki80184 ай бұрын
Sana 😆😆😆
@1stladyafrica4023 ай бұрын
😂😂😂😂nami nimecheka sana
@mohammedkidody561824 күн бұрын
😂😂😂
@MaulidiNanga4 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu bro na uwezo wa kuendelea kusaidia watu zaid
@margrethamsechu70884 ай бұрын
Mbona coy ajamaliza tunaomba PART 3
@musaamos24313 ай бұрын
Story nzuri sana
@hildaombay65204 ай бұрын
This is the best
@evergreenmushi21714 ай бұрын
Mpatie shajara ingine he has a lot to tell 😇
@ezekielgarrans27194 ай бұрын
Nazani watanzania tumejifunza kitu unapo ona mtu anapambana plz usimvunje moyo hata kama unaona anafanya kitu ambacho hakipo kwenye kiwango unacho kitaka plz mpe mda usimu mvunje moyo
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Kabisa yn
@mohamedkige25354 ай бұрын
Tuendleeee kuomba Mung nakupmbna Mung yupooo❤
@joycenyagabona87123 ай бұрын
Akili nyingi kama mama etu waoh.🎉
@husseinanyitike36734 ай бұрын
Niwaza ni comment kitu lakini nimebaki na maumivu kwenye kifua changu only nitachoweza kusema MUNGU MWEMA SANA
@ukhutfatumah11543 ай бұрын
Inshallah na mimi nikilud nikuja kutoa historia yangu clouds Inshallah 😢😢
@mwanaidikingazi42224 ай бұрын
Mm nilijua coy mzungu mkenya
@beatricemagaga49584 ай бұрын
Kwani ni kabila gani?
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Yn ata na mm
@ostavinakitalika30843 ай бұрын
Nilijua Nina historia ya maisha kumbe ni title ya maisha dah it's so impressive and sad story😢
@mwanamiskirangare34293 ай бұрын
Du pole sana
@judithnyembela30274 ай бұрын
Hongera sana Coy una story ya huzuni sana na furaha sana. Mwacheni Mungu aitwe Mungu!
@khadijahbanana56023 ай бұрын
Mashallah
@zuwenasalim27944 ай бұрын
Nimejifunza ktk maisha wote walionyanyuka wamepita magumu mno kikubwa kueshim Kila mtu,kuwa na heshima ya pesa hata kama nikidogo
@remeniurasa48664 ай бұрын
😂😂😂😂 Idris tukutane mahakamani🙌
@EdwardAnthony-c7u4 ай бұрын
Naona bado hajamaliza, naomba arudi tena aisee
@kizzjojo-qp1lv3 күн бұрын
🙏🙏🙏
@maryamtan6824 ай бұрын
Nilikuwa naisubili sana.
@mjwiniPaul4 ай бұрын
God akubless sana brooo
@MartinMadimilo-z6w4 ай бұрын
Best storytelling
@AsmaAlly-m9i4 ай бұрын
Kweli mwenyezi mungu Amtup.mjawake
@AhmedRoro-px5iq4 ай бұрын
Salute 😢
@mrenjoyfootball84034 ай бұрын
Kutokana na hii story ya Maisha yako Bro coy nazidi kuamini kukata tamaa ni mwiko
@francismwakalile23104 ай бұрын
Very inspiring
@aziza90934 ай бұрын
Natamani isihisha😢😢
@qualitymediaproduction4 ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA
@NyamkaEnterprises4 ай бұрын
Tunaomba part 3 ya coy
@fakihichitanda28644 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@AbeidJames3 ай бұрын
Perfect
@kamigwasfamily11784 ай бұрын
God is good❤
@kigogosmart41214 ай бұрын
Bado kuna shajara ya tatu hajamaliza
@daudasajile8132 ай бұрын
God is really
@AnethKapingaInventoryControlle4 ай бұрын
Hiyo ya terehe 28 nilihiyona
@mourricetullah65194 ай бұрын
This interview is woooww😂😂😂
@mwaka434 ай бұрын
Good Show!!!!!
@1stladyafrica4023 ай бұрын
Hujamaliza bado hajasema kuhusu kaka yake
@Sarambikiofficial3 ай бұрын
Watu ulionza nao hautamaliza nao, wakiondoka baki na ndoto🙏🙏
@mohammedkidody561824 күн бұрын
Kabisa yn
@remeniurasa48664 ай бұрын
Respect kwako @Coy_mzungu
@ummusulaish55864 ай бұрын
Hii stori imeniliza saana , haya maisha achana nayo
@rewardyesse73143 ай бұрын
Coy mashajara
@christerChriss-jn7vm4 ай бұрын
I real apriciate that guy
@matchdaygoals86404 ай бұрын
Tumesubir sana 😄
@mbatatakiazi16784 ай бұрын
ukidasili kwa kimalkia: *WHITE COY'S DIARY: I WAS GROWN UP WITH A MEDICINE, I DID NOT WANT TO BE NORMAL, CHURCHILL FORECASTED ME*
@jrm94483 ай бұрын
Umetokea wapi na wewe😂
@mohammedkidody561824 күн бұрын
@jrm9448😂😂😂
@anseelatan77184 ай бұрын
Nimekumbuka ulikuwa ukidasi kanisa la shalom home
@musaamos24313 ай бұрын
Yaani sichoki kusikiliza
@mwasitiiddy10894 ай бұрын
Duuh nimejifunz meng mnoo
@luckiiinuswe17253 ай бұрын
Story yako imeniimarisha zaidi mim kwa hichi ninachopitia