After being in the hospital for the past one month....and discharged yesterday, I'm here to sing this song n thank Him for another chance in life...#mythanksgiving song
@sammbaroret2 жыл бұрын
These same year the song was released my wife was at ICU I thank God she's alive to date
@lirastanley3904 жыл бұрын
Niliwahi kuumia sana sana nikijua tulikua tunaelekea kumpoteza mkali huyu...Nakuoenda sana broe...kazi yako itadumu milele hata kama husipokuwepo hakuna kitakachodumu milele...Mungu atazid kupigania Afya yako na zetu pia hata kama umepata kilema cha maisha...😘😘😘😘pole sana
@sweetyjanne2554 жыл бұрын
Daktari Kama Daktariii Tunaoangalia 2020 Tujuane 😄
@sifatiiman3 жыл бұрын
22..12..2021
@elvishabib73715 жыл бұрын
Mungu akusaidie omy,utaimba na round hii awataweza
@ojb-star4 жыл бұрын
Kazi poa bro BT mungu n mkuu
@gbqjimmytotolapwani57544 жыл бұрын
Wonderful bro Mungu akulinde siku zote uishi siku nyingi . Much love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@muniraahmed6245 жыл бұрын
Ommy alifanya ki2 kikubwa kuliko wasanii wote👏
@jumalove26315 жыл бұрын
Munira Ahmed muuu
@petermgogosi61284 жыл бұрын
Sana munura
@petermgogosi61284 жыл бұрын
Nimekupenda munira
@saramwinuka50335 жыл бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼makofi kwake upo vizr umenifany nifalijike👏🏼👏🏼
@khadijakhadija62125 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Ommy mungu amekusaidia umepona mashallah nawish baba angu naye siku moja aje apone awe kam ww maan ametesek miak mingi na anaopereshen kam ww anapat shida kula bila maji chakula haipiti kwenye koo 😭😭😭😭mungu msaidie baba angu pia apone awe km ss apate kula vizur🙏🙏
@mussachahe125 жыл бұрын
Allah atamfanyia wepes inshallah
@kacheali47775 жыл бұрын
Atapona kwa uwezo wa mungu Dactar wa madactar
@christophersoty1015 жыл бұрын
@Khadija Khadija Pole Sana #MUNGU atauonyesha ukuu wake kwa baba yako ni imani yangu atapona
@yusuphmussa65895 жыл бұрын
Pole sana dada angu
@abduliazizabasskusaga13795 жыл бұрын
Pole sana Allah amsimamie na amponye arudi ktk hali yake ya mwanzo inshaallah
@cuenicegal73255 жыл бұрын
Ommy nyimbo zakoo nazielewaaa sanaaa big up
@Allybest5tvshow11 күн бұрын
Nice work 🎉🎉🎉🎉
@valentynemkamburi97135 жыл бұрын
Hii ngoma imenigusa hakuna kama mungu mungu ndio kila kitu huku duniani
@rehemamshiko67532 жыл бұрын
Safi sana ommy endelea kumtanguliza mungu
@munnyissa96964 жыл бұрын
Mashaallah big up brother Omar
@minajose66025 жыл бұрын
May God bless and keep you Ommy. We love you from 254.
@alicenjoroge21075 жыл бұрын
We love you ommy....God can do all
@judykendi54273 жыл бұрын
thank God u made it Ommy,, much love from Kenya ❤️❤️❤️❤️,, u look strong en better than before
@anjelinakasembe8455 жыл бұрын
Pole Ommy unaniliza huu mziki unanikumbusha Dussedorf😭😭😭
@mariamally90905 жыл бұрын
Big up kwa mwijaku hyo inaitwa kazi kazini
@zashamloli12334 жыл бұрын
anayaweza mwanaume uyu kah
@petermasapa28305 жыл бұрын
Bro duniani kuna mengi sana kaka yangu mungu ndio hanapanga wamesema umekufa mala shoga lakin mungu ndio hanajua yote kaka we fanya kazi mungu yupo kaka good kazi nzuri unafanya hongera
@fatumaadhiambo10163 жыл бұрын
Oh my God glory be to God, it's happy and a blessing to be back
@christinendunge35685 жыл бұрын
This song has tauched my heart,I listened to you this morning in milele FM, God bless you ommy.
@tobynasheimani79695 жыл бұрын
It's so I motion waaa big up bro ommy dimpo
@perismurimim83355 жыл бұрын
True
@marynjeri51765 жыл бұрын
Emotional
@rama2ification5 жыл бұрын
Best show ya ommy dimpozi...kila kitu kilipangiliwa vizuri kuanzia mavazi appearance taa nk...nice ommy dimpozi
Mwijaku ndiye aliye kuwa dactari😂😂 mungu mukubwa ommy dimpoz wetu from Congo Kinshasa 🇨🇩 nalikuwa na ku ombeya kila siku msani wangu kipenzi 💋
@bellahmadambby39593 жыл бұрын
Hahaha
@freshiahwanjiru49885 жыл бұрын
This was extra mile..extra love though so emotional.... People may say talk but our heavenly father hold our future.. Much love ommay
@hairayoussouf25235 жыл бұрын
Muimbie mungu sasa achana na dunia ....mungu anamakusud na ww
@amranisuba42115 жыл бұрын
Mungu. Akupe maisha marefu inshallah
@dorylaisery96925 жыл бұрын
Pole kak wanguu mungu so at human umepona nakupenda sna
@bananatz42165 жыл бұрын
Yaan mnatuliza huku jomoon 😭😭😭😭😢
@mutheundinda82844 жыл бұрын
Who is cutting onions with me 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@enockkitomary21335 жыл бұрын
Mungu amekuponya ommy unastahili kumshukuru
@mikapmwalimu45555 жыл бұрын
Big up ommy piga kazi mzee
@gladyskininga67323 жыл бұрын
Mungu abaki kua mungu hasante kwayote Kimbilio letu 🙏
@ngemabohero28535 жыл бұрын
pole sana ommy mwijaku nimependa umesimama kama dokta 😤😤
@justinanicolous32825 жыл бұрын
Aliemuona mr mwijaku alike hapa
@محمدالقايد-د6ب4 жыл бұрын
Nililia Sana kumuona ommy katika hali ile nimefurahi Sana kumuona Tena jukwaani Mungu mzuri sana
@joyceleah76554 жыл бұрын
And thanks to Almighty God,he came out strong like never before 💪💪
@kbmsouth5 жыл бұрын
ALIEMUONA MWIJAKU GONGA LIKE HAPA 😂😂😂
@danielmndeme37405 жыл бұрын
Jamaa kama doctor vile
@fatmarashim63535 жыл бұрын
Hahaha nimerudia kumtafuta mwijaku
@athumanimwarogo715 жыл бұрын
KB Msouth ndy nimemuon
@honekisebwa2265 жыл бұрын
Nimemuonaaaaaaaaa
@faridaessa78444 жыл бұрын
Mwijaku noma sana kila sekita anaweza
@florenthboy73105 жыл бұрын
Sija wayi kukocomet lakini ya leo ommy mungu akulinde sana kumbe una mjuwa ubarikiwe sana wengine wajinga wange jitaja majina yao lakini wewe ume mtaja mungu malaika wa bwana wawe nawe popote pale uendaka ufunikwe kwada yayesu cristo 🙏🏽
@joyceruth33155 жыл бұрын
Always crush ommy may God give you health
@boraramadhani2703 Жыл бұрын
inauma sana pole sana kaka
@agnesblidadi50293 жыл бұрын
Mungu ni mkuu siku zote
@Afrimobo5 жыл бұрын
Doctor anapima mgongo 😀😀😀😀
@maicorashidi62425 жыл бұрын
Hongela sn Aidia zuri sana tu
@fatmarashim63535 жыл бұрын
Duh mungu makubwa omy 🙏
@mrwisdom47104 жыл бұрын
Nimeishi kukusikiza Sana pole aisee
@neemajoseph38234 жыл бұрын
kigomaa oyeee🔥🔥🔥🔥🔥
@tumainlession4113 жыл бұрын
Mungu amemponya na kumpa wimbo wa shukrani
@amenahussien61345 жыл бұрын
😢😢😢😢Mungu aendelee kukulinda Ommy
@binhemed3265 жыл бұрын
ww wala sio wakiimba ten achana na mziki muabudu mungu kwa sana
@zulfamangapi29625 жыл бұрын
Ommy Kaka angu now ungefanya Toba na kuzidisha swala Sana
@ednaalayna19833 жыл бұрын
pole
@aminafrancismwandu57893 жыл бұрын
Pole Sana Mungu akusaidie
@molimasumbuko41135 жыл бұрын
pole sana kipenzi umeimba vizur
@veronicadaniel11224 жыл бұрын
Nikichelewa kuiona hii Sifa na utukufu kwa mungu juu
@naumydan98174 жыл бұрын
😭😭😭mungu n mungu kweli🙏🙏🙏utasimama imara
@missmueni_2545 жыл бұрын
God is faithful. Happy for you.
@charlesmyamba85313 жыл бұрын
ommy noma wale 2021 like zangu
@Ann-vr7ti3 жыл бұрын
Really gospel song
@helenrupia8092 жыл бұрын
🙏🏼♥️😩love ue God
@dorismbunda30153 жыл бұрын
We are learned from u to say thank to our Lord
@witnessnobby70394 жыл бұрын
God is good all de tym and all de tym God is good and that is the nature of wow wonderful
@umikuruthumamasi77605 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭poleeee omidipozi mungu yupo
@ramadhanipachella24305 жыл бұрын
Yani inatia had mhuruma kwakweli Allah ni mwema🙏
@hadija8464 жыл бұрын
Pamoja sana Ommy🎉🎉🎉🎉🎉🙏🏼😍
@anjelinakasembe8455 жыл бұрын
Sana tuu umesimama waliokutilia summ waumbuka aibu tupu
@nasruudiinhabib21933 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 kweli tawakal anla llah
@marymamntine19094 жыл бұрын
Dahaaa!!! Ila Mungu acheni aitwe Mungu
@saraphinasalila92023 жыл бұрын
Kwel kbs
@hamisaismail23883 жыл бұрын
Adi nimelia daaah
@annahkinuthia14865 жыл бұрын
Woie aky am literally crying aky... Am glad u are now well nd strong
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Wangapi wanaangalia 2021
@dorcaswede81545 жыл бұрын
Now U should start singing gospel songs....our God is great
@ummyalirashid16075 жыл бұрын
Matendo ya mtu ndio yatampeleka motoni au peponi..sio kuimba Gospel
@swesschao30954 жыл бұрын
AMEEEEEN!!!
@rehemaabinelynyagawa28784 жыл бұрын
Sifa na utukufu apewe Mungu maana hakuna jambo linalo mshinda
@realmeamyna304 жыл бұрын
Atukuzwe Mungu alietupa uhai kila kuitwapo Leo anaetuepusha na mabaya
@irenemoraa88184 жыл бұрын
Mungu anakupenda sana na utazidi kufaulu. All haters 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@faridaessa78444 жыл бұрын
Mwijaku wewe ni noma
@deboradebs63094 жыл бұрын
Pole sana BRo
@aniphalookmoneylookmoney88815 жыл бұрын
Mungu azidi kukupigania
@ericajeremiah20084 жыл бұрын
Mungu huyu anaweza sana
@eugeniechirwisa28724 жыл бұрын
Mungu kaku towa bali
@jumachicoco88364 жыл бұрын
pole Sana kaka
@jumachicoco88364 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@judithgeorge17564 жыл бұрын
Masikini ommy Mungu akupiganie
@fubanjenjele5215 жыл бұрын
Huo ndo uhalisia, Ommy ft Christian bela
@wambuiwamuikiaministry45483 жыл бұрын
Nice one
@victormethod12905 жыл бұрын
Fanya yote unayoyajua ww lakin Mungu ndo kila kitu
@victormethod12905 жыл бұрын
Big up Ommy keep it up bro endekea na mapambo ya maisha
@honekisebwa2265 жыл бұрын
Mwijaku kama docta vile
@saumuhassan63655 жыл бұрын
Pole sana kipenzi chetu 🙏
@faybaibe90235 жыл бұрын
This is so touching
@sakinamubaraka12465 жыл бұрын
Mwijaku doctor 😀😀😀
@magrethjojo76563 жыл бұрын
09
@josephmwangi95563 жыл бұрын
Apewe sifa Mungu
@yunnewangechi40235 жыл бұрын
😂😂mwijaku ndo dokta, menina atakuw nesi
@juliuskulokhoma80204 жыл бұрын
Anafanana na alikiba
@suzanabalondanicharles77894 жыл бұрын
Hallelujah😭😭😭😫😫😫🙏🙏🙏
@aishasilivest84555 жыл бұрын
Swali Mdogo WANGU,,,,, hayo ni mapito tu
@محمدالقايد-د6ب4 жыл бұрын
Pokea uponyaji mara mia 🙏
@barakaonjero59153 жыл бұрын
Kila nikitizama video hii huwa kuna hisia zinakumbusha ... Kuwa mungu yupo
@dr.tumainiandrea69575 жыл бұрын
Kila Mmoja anaweza kufanya kitu Tanzania, Bofya Hapa #KijanaNaAjira