SHAFFIH DAUDA AFUNGA MJADALA WA WAAMUZI WA DERBY| ALAANI KAULI YA MZEE MAGORI SIMBA

  Рет қаралды 23,925

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@festokemibala5832
@festokemibala5832 17 сағат бұрын
Uko vizuri, maneno yako ya kuelekea mwishoni ni somo kwa viongozi wasiojua nafasi wanazokalia. Kauli zao zina madhara sana
@SecqiSekwao
@SecqiSekwao 17 сағат бұрын
Shafii bonge moja la mchambuz nchini
@geofreykazaula7940
@geofreykazaula7940 17 сағат бұрын
Well said Shaffih...
@mrentertainment1329
@mrentertainment1329 17 сағат бұрын
Well said
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 13 сағат бұрын
Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
@ernestkamata2555
@ernestkamata2555 14 сағат бұрын
Acheni uchambuzi wa kishabiki
@ShafiiSaid-v5n
@ShafiiSaid-v5n 39 минут бұрын
Hivi ww kaka wa jina nilikua nakuhishimu Sanaa, huna msimamo hivi ni we Ni kweli umeangalia mpira Au ndiyo umepiga tango pori Acha siasa nyingi mpira mchezo Wa wazi kama refa kafanya vizur Apewe sifa,kwa hili mtu yoyote,mwenyekutambua mchezo wa football,anafamu refa hakua vizur,kabsa 🙏
@peterkanja4765
@peterkanja4765 15 сағат бұрын
Haya makosa ya kibinadamu yanasaidia yanga kuwa bingwa .Katika ngao ya jamii yalifanyika pia. Tukubali unazi wa usimba na uyanga ni kubwa kwa marefa.bora katika derby na katika ligi pia waajiriwe marefa wenye ueledi wasaidie huku tukijenga ueledi wa refa wetu.
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 11 сағат бұрын
Hizo penalty mbili kama zingetolewa zilikuwa na red card kwa sababu waliomchezea kibu Faulo wote walikuwa na njano hivyo hiyo ya hamza ingekuja wakati simba kashapata matokeo... Kwa kifupi marefa hatuna kwa sababu makosa ni mengii ya kuegemea upande mmoja kuonyesha ni kufuata maelekezo
@AbuuMbarouk
@AbuuMbarouk 9 сағат бұрын
Kaka umeonge kitu kikubwa sana sana sana kapisa❤❤❤❤
@KelvinMtavangu-ow8yo
@KelvinMtavangu-ow8yo 12 сағат бұрын
Mchambuzi upo vizuri sana. Pengine unawashaurije wazee wa simba baada ya kufungwa?
@thobiasmwambeta6990
@thobiasmwambeta6990 2 сағат бұрын
Hivi kwanini wachambuzo wengi wanapenda kuisifia Yanga hata kama imecheza chini ya kiwango, bado watasema yanga ni bara sielewi, Jamama hizi supu mnazonyweshwa mjiangalie maana 2 utasema 10
@FrankJohn-q3x
@FrankJohn-q3x 16 сағат бұрын
Farawewe simba wanjitafuta
@HalyaMohamed
@HalyaMohamed Сағат бұрын
Madhulma yameanza miaka mingi kuna mwaka malota soma pamoja edwad chumila walikuwa wanachezewa kun fuu chumila elienda kuamkia hospatal siku hiyo na yanga walishinda ila goli walilofunga simba ni kama wao ndo walishinda kuanzia issa athuman aswile kabunda walipigwa chenga mpaka kips wao sahau kambi
@gilbertmaganga9370
@gilbertmaganga9370 16 сағат бұрын
Kwenye eneo la penati ndio ubinadamu unapokuwepo Ila nje ya penati Ubinadamu haupo
@OsmanSiame
@OsmanSiame 12 сағат бұрын
Kolo sajiri wachezaji wazuri mmepigwa kiharali
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 7 сағат бұрын
Hujui mpira pumbavu wewe umeangalia mpira ulivyo chezwa? Simba wanajitafuta kwa mpira waliocheza?
@JonasAthanas-m5n
@JonasAthanas-m5n 54 минут бұрын
Wakiajiliwa marefa kutoka nje mtakula nyingi maana ukumbuke kuwa magori mengi.ya yanga yanakataliwa ngao ya hisani mwaka hadi mwaka huu yamekataliwa jumla ya magoli manne
@JosephMwaitete
@JosephMwaitete 8 сағат бұрын
Kama itagundulika mawaziri wamehusika na tuhuma za dabi watawajibishwa?
@AbdallahMkumbila
@AbdallahMkumbila 14 сағат бұрын
Uyo ndio mchango'mbe wa cluds
@christophaoscar8295
@christophaoscar8295 8 сағат бұрын
Nawewe nimnafiki sijui mnaogopaga nin kusema ukwer
@JOSEPHKAJORO
@JOSEPHKAJORO 14 сағат бұрын
Kayoko hamna kitu pale.
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 2 сағат бұрын
Weka ushabiki pembeni,tunakubali ni binaadamu bt ndo unyime penati 3 within a game? Kwa nn ubinaadam wake uwe na faida kwa timu moja tu??
@HalyaMohamed
@HalyaMohamed Сағат бұрын
Yanga wana cheza wakiwa na uhakika wa ushindi toka nje ya uwanja kwa kuwa wanakuwa wanamaelekezo ya umafia kutoka kwa watu wazito kabisa waliokuwepo na waliopo nyazifa xa juu kabisa pia kwa vile simba inafansi wengi duniani wanataka kiki
@harounmaarufu3241
@harounmaarufu3241 15 сағат бұрын
Wewe siku hizi umekuwa chawa tu
@alphoncematukuta9968
@alphoncematukuta9968 8 сағат бұрын
Kayoko sio refa. kwa maana yy ananjaa sana tena sana ndio maana dabi inamsababusha kuchukua rushwa. kuchezesha hajui. pili anapenda rushwa
@IdrisaKagoma-kr6ql
@IdrisaKagoma-kr6ql 9 сағат бұрын
Kwan we shafii hukuona rafu ya mudathir Kwa kibu kua ilikua njee?
@johnjidalimi8787
@johnjidalimi8787 9 сағат бұрын
Hili neno Binadamu Kila nikilisikia nahukumu kuwa hakuna haja ya kusikiliza kinachosemwa na hususani huo ubinadamu upon sana kwa timu ya yanga tu
@KareemShabani
@KareemShabani 10 сағат бұрын
Huyo kayoko hajasoma hajui sheria anapangies Cha kufanya hakuna anachojua msimlaum Hana elim ya urefa anauza mpira wa Tanzania
@HalyaMohamed
@HalyaMohamed 55 минут бұрын
Lineman alikaa upande wanaoshambulia simba alikua utopolo kwenye sita kuna off side?pi kwa nini mtu afunge yeye ndo ananyanyua kibendera
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 10 сағат бұрын
Kayoko ni mkundu kabisa tena asipite mitaani hovyo hovyo atulie presha ya mashabiki ipungue maana watu hawampendi kazingua
@HalyaMohamed
@HalyaMohamed Сағат бұрын
Simba wamefungwa mechi nyingi na yanga kwa kuzulumiwa na bila hivyo simba wangekuwa wanaongoza kushinda mechi nyingi za daby
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 10 сағат бұрын
Simba ,Kayoko na harajiga mbona wanatubana sana mechi zote wanazochezesha????
@lucasanthony1644
@lucasanthony1644 11 сағат бұрын
Bonge la mchambuzi...!!! Hekoooo... !!!!
@pinomjata678
@pinomjata678 15 сағат бұрын
Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda? Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.
@FumaoFumao-d8w
@FumaoFumao-d8w Сағат бұрын
Nakiri simba wanajitafuta kwa hìvyo hawanahaki ya kupata penalties !
@KareemShabani
@KareemShabani 10 сағат бұрын
Huyo dauda yanga huyo wamezoea bahasha
@abbassmshaury7572
@abbassmshaury7572 14 сағат бұрын
na pale inapowekwa adhabu kwa ajili ya waamuzi ubinaadamu unakuwa haupo? au huwa wanakuwa wanaonewa ?
@mckobatz5861
@mckobatz5861 44 минут бұрын
Digala unang'ata sana maneno makosa ya kibinadamu huwa ni excuse mara moja sio mara tatu Bacca alimfanyia foul Kibu, Boka pia na Mudathir wote wamemchezea madhambi Kibu Denis
@gerphasntaziha4475
@gerphasntaziha4475 2 сағат бұрын
Huyu nae labda anapata bahasha yake gsm. Makosa ya kibinadam yanafanyika kwa simba tu? Huyu mchambuzi ashapotea. Hata goalline tech na var zikija haziwezi kusaidia kwani wanazicontrol wanadam, waamuzi wawe na hofu ya Mungu tu. Var inatumika kama mwamuzi haelewi tukio vizuri, akipeta poa.
@Malebojr
@Malebojr 2 сағат бұрын
MAKOSA YA KIBINADAMU YANAJIRUDIA ZAIDI YA M ARA TATU,BADO UNASEMA MAKOSA YA KIBINADAMU
@thobiasmwambeta6990
@thobiasmwambeta6990 2 сағат бұрын
KONGOLE GSM KWA KUZIKAMATA MIDIA KUINGOLEA YANGA BORA KWA WAKATI WOTE
@JonasAthanas-m5n
@JonasAthanas-m5n 46 минут бұрын
Kayoko hafai mlimtaka mkataa magoli sasi
@KILINDONI_MEDIA
@KILINDONI_MEDIA 11 сағат бұрын
Safi kaka
@AllyNalinga
@AllyNalinga 15 сағат бұрын
Digala
@RajabkhamisRajab
@RajabkhamisRajab 2 сағат бұрын
Penanti ya musonda mbona hamuisemi mnaiporezea hamukuiona kweli ntie ni wachangombe
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 15 сағат бұрын
Makosa yapi ya kibnadamu?angalien rekod ya huyu kayoko mech za smba,mwaka Jana krumba na Azam alitunyima penat ya Waz hata kipofu angetoa hyo penat,msimtete kabsa huyu mbwa anastahil adhabu Kali sana
@hassanmussa6129
@hassanmussa6129 17 сағат бұрын
Itachukuwa miaka miwili kwenda tena mkapa
@geraldgogadi7054
@geraldgogadi7054 17 сағат бұрын
Tangu sare ya 3-3 sijawahi kanyaga tena taifa kuangalia daby
@thehustlerafrica4368
@thehustlerafrica4368 10 сағат бұрын
Unaongea Pumba tupu mavi kabisa kaka usitetetee ujinga
@chrysanthushakaunga6560
@chrysanthushakaunga6560 13 сағат бұрын
Makolo mshukuru hisani ya mwamuzi kutompa red card hamza mnge ng'oa viti
@nuruabdallahmed9495
@nuruabdallahmed9495 14 сағат бұрын
Shafii wewe shida yako huwa ni mnafiki. Siku zote ukweli kwako ni jambo la ziada. Hivi hujui kwamba mpira wa Tanzania una makando kando?
@remmysanga8820
@remmysanga8820 17 сағат бұрын
Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.
@fettiemaganza1484
@fettiemaganza1484 16 сағат бұрын
Kwa hyo na ww una amini mna timu imekamilika?? Mnajazwa na nyie mnajaa timu yenu bado sana Sema tu ina spirit ya kupambana
@anthonymilinga8696
@anthonymilinga8696 7 сағат бұрын
​@@fettiemaganza1484 Ngoja tuone nyie mliojipata mtafika wapi kwenye mechi za kimataifa hizi baasha mnazotoa kwa marefa zitakuja kuwa aibisha huko mbeleni
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 13 сағат бұрын
Shafi wewe nimjinga tuu unaleta uyanga kayoko na arajiga ni marefa wa yanga huo ndio ukweli
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 14 сағат бұрын
Uyu Kabla Sijamsikiliza Bila Shaka Lazima Aongee Utumbo Nimkongwe Ambae Hajui ingawa Jina lake Nikubwa
@pinomjata678
@pinomjata678 15 сағат бұрын
Shafii Dauda ni kosa kutetea refa amekuwa akifanya makosa mara kwa mara ambaye anashindwa kutafsiri sheria 17 za football. Kayoko amekuwa wa hovyo ni nini anajifunza kutokana na makosa anayofanya na critisim anazooewa muda sasa. Yaani makosa yote yote aliyoyofanya juzi ni ya kibinadamu, siyo kwamba mchezo ulimshinda? Pili GOAL LINE TECHNOLOGY ndio ililetwa baada ya goli la Lampard kukatatlwa sio VAR, kuna matatu umesahau, umedanganya au hujui?VAR imekuja miaka 4 iliyopita goal line technology nimekuja baada ya 2020.VAR mpaka sasa ulaya bado inawasumbua.
@remmysanga8820
@remmysanga8820 17 сағат бұрын
Simba wanajitafuta?? Shafii nilijua unajua Mpira kumbe hakuna kituuu kabisaa.umeongea pumba kabisaa utopolo kabisaa wewee.
@FreeGod368
@FreeGod368 11 сағат бұрын
Kujitafta manake so lazima iwe kifedha au kiuwezo bali huenda hata kimfumo au kimuunganiko
@chotark1881
@chotark1881 9 сағат бұрын
Ulitaka aongeeje? Acha uduha wewe
@chotark1881
@chotark1881 9 сағат бұрын
Yanga dawa yenu inachemka subirini klabu bingwa mtaburuza mkia kwenye kundi
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 15 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 25 МЛН
Hukumu ya kesi ya Nyundo na wenzake wanne
38:03
CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Рет қаралды 394
LIVE:HILI GAME YA CLOUDSFM
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 42
WAZEE WA SIMBA WACHAFUKWA| WAIPASUA BODI YA LIGI, TFF & GSM
9:57
НАШЛА ДЕНЬГИ🙀@VERONIKAborsch
00:38
МишАня
Рет қаралды 2,8 МЛН