NI HUZUNI: MZEE AMWAGA MACHOZI 😭 AKIELEZEA KUUMIZWA NA MAREFA| SIMBA TUNAONEWA, TUHAME LIGI

  Рет қаралды 9,427

Bwigane TV

Bwigane TV

Күн бұрын

#yangaleo #simbaleo #live #taifastars #yanga #football #simbasc #simba #agm2024 #wenyenchi ##yanga #football #simbausajili2023na2024 #simbasc #sports #tanzaniafootball #soka #simbavsyanga #trending #taifastars #msuva #yanga #kagoma #fountaingate #football #simbausajili2023na2024 #yanga #worldcup #simbavsyanga #soccer #simbasc #taifastars #usajili #trending #ronaldo #youtubetürkiye #taifastars #yangavsvital #burundi ##tplb #tff #bodiyaligi #ligikuu #allykamwe #manara #breaking #kibu #nguvumoja #ubayaubwela #manara #simbaday #yangaday #baleke #azizki #kochampya #kochawasimba #chama #mukwala #usajiliwasimba #uchebe #singidablackstars #kambole #yanga #fifa #usajili #mpanzu #azamvsyanga #yangavsazam #yanga #azamfc #yangasc #feisal #zanzibar #newamaancomplex #caf #simbavsgeitagold #dodomajijivsyanga #dodomajijifcvssimbasc #ihefuvsyanga #crdbfederationcup #nbcpl #yangabingwa #kagerasugarvssimbasc #mtibwavsyanga #simbavsazam #azamfc #simbasc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #simbavsazam #azamfc #magoliyasimba #mzizimaderby #ahmedally #mzaramo #jobe #penatiyafeisal #azamvssimba #yangavskagerasugar #simbavstabora #simba #mashujaavsyanga #kigoma #simba #namungovssimba #muunganosupercup #jkttanzania #mechi #jktvsyanga #yanga #kariakooderby #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #eidmubarak #crdbfederationcup #asfc #tff #yangasc #yangavsmamelodisundowns #azamvsyanga #azamfc #simbavsalahly #basata #sanaa #tanzania #barazalasanaatz #simba #caf #pacomeday #wananchi #allykamwe #cafcl #exclusive #morison #vituko #trynottolaugh #mayele #mayeleleo #majini #mwamposa #majiniyamayele #yanganamayele#yangatv #yanga #yangasc #mayele #fistonmayele #simbasc #alahly #simbavsalahly yangavsmamelodi #simbavsalahly #simbascvsalahly #simbaalahly #yalayaahly #alahly #mudaday #mudathir #timuyawananchi #cafclcc #caf #cafcl #yangasc #simba #yangavsmtibwa #simbascvsalahly #highlights #duniampya #kochamkuu #kocha #dullamakabila #zaylisa #trending #trendingstories #entertainment #burudani #mapinduzicup #simba #ahmedally #allykamwe #azamfc #usajili #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #soka #live #ahmedally #azamfc #chama #usajili #mayele #allykamwe #simba #yanga #live #soka #yangasc #simbasc #simba #yanga #soka #live #ahmedally #allykamwe #azamfc #chama #usajili #mayele #baleke #usajilimpya #kocha #kochampya #simba #soka #yanga #ahmedally #allykamwe #simbasc #yangatv #yanga #yangasc #yangasc1935 #yangabeauty #yangampya #yangascbingwaupdates #yanga #simbanguvumoja #simbasctanzania #simbanagpal #azamsports2 #azamtv #azamsports1hd #azamfc #wasafimedia #wasafitv #simbasportsclub #simbar #simbaapp #simbasupercup #thisissimba #WenyeNchi #nguvumoja #daimambele #youtubeitalia #youtubeuse #youtubeindia #youtubelife #beautyyoutuber #youtubegamer #youtubebrasil #youtuberp #youtubetürkiye #youtubetürkiye #youtubeblogger #youtuberewind #youtubecommunity #youtubefamily #youtubeblack #jualviewyoutube #smallyoutubers #sub4subyoutube #youtuber #youtubetürkiye #yanga #simba #beautyyoutuber #indianyoutuber #jualviewyoutube #newyoutuber #nguvumoja #simbasc #simbasctanzania #tanzania #taifastars #tff #maroc #morocco #wcqualifiers #caf #soka #cafcl #kochampya #kochawasimba #robertinho #tabulele #simba #soka #yanga #live #ahmedally #chama #allykamwe #azamfc #mayele #usajili #kochampya #kochawasimba #simba #yanga #simbasc #yangasc #soka #nbcpl #kariakooderby #simba #yanga #soka #bwiganetv#bwiganetv #bwiganetv #tpa #sokaletu #bandari #simba #yanga #allykamwe #live #ahmedally #azamfc #chama #mayele #soka #usajili #bwiganetv #soka #tpa #interports #bandari #yanga #yangasc #kochawayanga #mechiyaleo #yangavsazam #magoliyote #azizki #simba #azizki #hattrick #yangavsazam #matchday #mechiyaleo #soka #sokaletu #nbcpl #simba #simbasc #yangasc #azam #azamfc #tpmazembe #esperança #esperance #tpmazembevsesperance #yanga #yangavsazam #yangasc #azamfc #afl #simba #simba #harrmonize #soka #ahmedallySimba SC #simba #afl #simbavsalahly #alahly #wataniwajadi #watani #simbanayanga #simba #yanga #simbasc #yangasc #ahmedally #allykamwe #sokaletu #afrika #afl #alahly #live #soka #simba #chama #yanga #ahmedally #afl #africanfootball ##allykamwe #azamfc #mayele #usajili #simba #live #soka #yanga #afl #afcon #drooyaafcon #ahmedally #barakampenja #upete #azamtv #live #chama #soka #simba #yanga #ahmedally #afl #allykamwe #live #soka #simba #simbasc #sokaletu #mechiyaleo #highlights #magoliyote #matchday #yanga #yangasc ##chama #ahmedally #allykamwe #bwiganetv#simba#yanga#live #tff #mechiyaleo #matchday #uefa #ahmedally #simba #yanga #live #allykamwe #usajili #soka #chama #azamfc #mayele #simbavscoastalunion #juakali #siasa #trending #raissamiasuluhuhassan #ccm #sokaletu #sports #ucl #uel #uefa #caf #cafcl #uefachampionsleague #europaleague #liverpool #bayern #bayernmunich #barcelona #joãofélix #namungo #ihefu #saido #baleke #kibu #chama #championsleague #sopu #job

Пікірлер: 137
@DjBufallo-jq5bb
@DjBufallo-jq5bb 7 сағат бұрын
Dah safi sana mzee wetu
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Asante sana wazee yanga anabebwa sana aisee
@AbuuMbarouk
@AbuuMbarouk 9 сағат бұрын
Safi sana wazee wetu kuluu haku walaukana Murraa sema kweli japo kuwa inauma
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Aaa yanga wanabebwa sana aisee huo ndo ukweli
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 12 сағат бұрын
Tuhamieni zanziba yanga wanabebwa sana aisee
@masanullahuzuni
@masanullahuzuni 9 сағат бұрын
Huruma sana makolo
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Kama kimyaa wewe
@JuliusPaul-b5r
@JuliusPaul-b5r 12 сағат бұрын
Kuwashona kuendelee!!!
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Kama kimya kwendraaaaaaaa
@afromancity593
@afromancity593 11 сағат бұрын
Simba matangazo yake yarushwe DSTV iachane na AZAM TV. Tukio lenye faida na Simba halioneshwi na tukio lenye hasara na Simba ndio linaonishwa. Hii ni hatari Kwa nchi 😢😢😢
@gabrielnybala2165
@gabrielnybala2165 10 сағат бұрын
I agree with you 100 percent
@jaywi5681
@jaywi5681 10 сағат бұрын
Sana na kama wanabisha waseme je wamechambua matukio mawili ya Mpira kutoka na kurudi uwanjani huku Moja likizaa gori? Lakini pia tuna mifano kibao ya matukio ambayo Azam wameshindwa kuyaonesha. Kama hawstatuomba radhi Azam nashauri tuachane nao kabisa ili washirikiane vizuri na Yanga. Hii si sawaaaaaa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Sahiiii Mimi nimependa ili la refariiii atokee njee ya NCHII Ilo ndooo lipiteeeee ASWA
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Сағат бұрын
Sajilini wachezaji muache kulalamika tutawachenyeta tuu Mbona mlipopewa magoli ya off side hamkulalamika mkasema refa kaonea azam😂😂😂
@jumarocky9544
@jumarocky9544 4 сағат бұрын
Young African ❤
@mussarukigwa3453
@mussarukigwa3453 8 сағат бұрын
Yanga anabebwa sana kabisa tena safari hii makundi mwisho ndo hivo mtaniambia
@masanullahuzuni
@masanullahuzuni 9 сағат бұрын
Mpira na siasa wazee hawataki lkn wanamshtakia rais mwanasiasa Ajabu sana poleni sana wazee
@DicksonKobe
@DicksonKobe 10 сағат бұрын
Karia anazalilishwa sasa hii nchi vipi maneno makali sna
@MriduAlly-yy2ce
@MriduAlly-yy2ce 11 сағат бұрын
Simba mlipokuwa na timu nzuri mlikuwa kimyaa Ila msiingize serikali ktk kufungwa
@godfreymasele8853
@godfreymasele8853 11 сағат бұрын
Kamiulize makamu aliongea nanikionhozi wa seriksli? Huyo Ally kamwe alichokiongea ninini? Uchaguzi na mpira vyahusiana na nini?
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 10 сағат бұрын
Cha msingi REFA achezeshe kwa HAKI .. ni hayo tu
@flova7022
@flova7022 9 сағат бұрын
2025 tutajua ukweli ogopa neno wazeee
@saimonntani6831
@saimonntani6831 9 сағат бұрын
HATA PESA ZILIZOKATALIWA NA BARBA GONZALEZ ZAUUDHAMINI WALIGI ZILEPESA HAZIKURUDISWA ZILICHUKULIWA NA VIONGOZI WA TFF KWA MAKUBALIANO YAKUWA YANGA AWE BINGWA MIAKA10.HAYOMAMBO TUNAYAJUWA.
@ludobudege1662
@ludobudege1662 4 сағат бұрын
Mzee mko sawa
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 11 сағат бұрын
Jamani Poleni Sana
@jumarocky9544
@jumarocky9544 4 сағат бұрын
Yanga itakutieni presha wazee wangu
@AbeidyMoraes
@AbeidyMoraes 9 сағат бұрын
Mzeee huyu kweli kuma sasa mtu kyongju masihara yeye kachukulia serious
@THADEOCHUNDU-eu3ez
@THADEOCHUNDU-eu3ez 8 сағат бұрын
Pelekeni mechi ya 19/10/2024 FIFA na CAF Ili waseme kilitokea hafu tuchukue hatua.
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Naona pointi wapewee simbaaa ili wazeee wasiachilieeeee rahaana
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
@athumanishabani1143
@athumanishabani1143 50 минут бұрын
Wananchiiiiiiiiiii
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Сағат бұрын
Sajilini wachezaji muache kulalamika kuwachenyeta kupo palepale Ally kamwe endelea kuwakeraaaa😂😂😂
@NikolasPius-fk9fn
@NikolasPius-fk9fn 10 сағат бұрын
Jamani mbona kwamagufuli kitukamahki hakikuwepo
@johaneskishenyi350
@johaneskishenyi350 28 минут бұрын
Huyo Mzee karogwa timu mbovu
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 12 сағат бұрын
kikubwa tajiri mo tunaomba timu yetu ya simba ihamishiwe ligi zanzibar tuachane na igi za bongo rushwa nyingi sana zinapelekea kuhalibu soka la bongo tutakua na timu ya taifa nzuri lini kama watu wanapata matokeo kwa rushwa ndo maana tim ya taifa tunafeli
@piufighter8380
@piufighter8380 6 сағат бұрын
Tulieni kila mtu atachanganyikiwa 😅
@OmaryKiduka
@OmaryKiduka 10 сағат бұрын
Ivi Wana chama WA Simba hao tupo wangap tukijijua tuko wangap bas
@filbertmahay32
@filbertmahay32 59 минут бұрын
Kwa kweli inaumiza sana kwa mtindo huu, lkn pia swali langu tulishajua refa atakuwa kayoko na hatendi haki, kwa nn kwenye pre match viongozi hamkumkataa?
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Сағат бұрын
Bado hamjasema😂😂😂
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 9 сағат бұрын
Duh Samia kweli anakazi ngumu
@terrence9477
@terrence9477 8 сағат бұрын
Ana kazi kubwa sana, hawa woote yeye ndio kiongozi wao
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 Сағат бұрын
Ulitaka aseme simba bingwa, wakati nyinyi siyo bingwa
@RamadhaniMkwama
@RamadhaniMkwama 10 сағат бұрын
Kumbe Simba akili Amna
@AbuuAtka
@AbuuAtka 11 сағат бұрын
Yaani Kuna vita ya uchumi wanataka mo apwae awe chawa
@JacobMsiganga
@JacobMsiganga 7 сағат бұрын
Wazee wetu mna akili nyingi sana..
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Ila yanga mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 9 сағат бұрын
Na bado hadi mtatwambia maana ya ubaya ubwela
@MikidadyAbdu
@MikidadyAbdu 9 сағат бұрын
Hyo yote ni baada ya kudondosha pointi wakati wanabebwa wao aah ndio illikuwa raha .
@franccoz94
@franccoz94 8 сағат бұрын
Kwann GSM ANADHAMINI VILABU 6 LAKINI ANASEMA YANGAA BINGWA
@FatumaRajabu-cu3tq
@FatumaRajabu-cu3tq 11 сағат бұрын
Kama.sio.kubebwe.msimuhuu.mngekoma
@mwelaabedi9076
@mwelaabedi9076 11 сағат бұрын
Kwani mahana ya ubaya ubwela ninini?😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@TimotweyMalashi-r9y
@TimotweyMalashi-r9y 5 сағат бұрын
Baada ya kufungwa mara nne ndo bameanza kuchangamka
@flova7022
@flova7022 9 сағат бұрын
Vita ya uchumi mbaya sana wenye mihemko hawata. Elewa
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 10 сағат бұрын
Hawa ndo wale vijana wa zaman waliokuwa wakimbia umande 😂😂😂😂😂😂
@flova7022
@flova7022 9 сағат бұрын
Kikojozi
@HamiduAbdul-t9x
@HamiduAbdul-t9x 20 минут бұрын
Nakumbuka mosimane alishawahi kuwaambia wachezaji wa simba tulipocheza na orando na kufungwa goli la of side mchezaji unatakiwa ugomee matukiotata uwanjani iliyafatiliwe na hata var kujiridhisha wachezaji wetu hawaelimiki
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 9 сағат бұрын
Kufungwa kubaya.
@AndrewMoses-c7c
@AndrewMoses-c7c Сағат бұрын
Clip ya ally kamwe isambazwe jamani, amaanishwe tu hadharani
@hamadimkunyulia5398
@hamadimkunyulia5398 Сағат бұрын
Nanyinyi mwambieni mo azamini vilabuvilivyo baki kamainauma
@UwesuMkiji
@UwesuMkiji 7 сағат бұрын
Kwanza jengeni ofisi maana hata huo mkutano wenyewe naona mnafanyia bafuni harafu jiulizeni kabla ya GSM, AZAM na KAYOKO hawajazaliwa mlishafungwa mara ngapi na yanga
@BabaMkuu
@BabaMkuu 11 сағат бұрын
Mm nipo na shauri kuhusu REFA ikifika Dabi ya pili mleteni MZUNGU NA SIO MUAFRIKA.
@EdinaLaulent
@EdinaLaulent 9 сағат бұрын
Zanzibar karibu au muende dubai😂😂😂😂
@saidngure6490
@saidngure6490 9 сағат бұрын
mkibebwa nyie safi
@PamelaHezron
@PamelaHezron 8 сағат бұрын
Simba wote tuchague chadema wametuanza wenyewe.wametushindwa kwenye game tucheze nao kwenye box.
@terrence9477
@terrence9477 8 сағат бұрын
Huko chadema hahahaa, unadhani hakuna wananchi
@SurprisedCherryPie-xp3fi
@SurprisedCherryPie-xp3fi Сағат бұрын
Ni kweli mnalalama kwakua mmefungwa hakuna kingine,mnasema mmehangaika mpk Karia kawa rais wa TFF,kwa maana hiyo mlitaka awe anawapendelea?
@mwelaabedi9076
@mwelaabedi9076 11 сағат бұрын
Ukiwa yanga Afrika furaha tele kila siku, wazee wanahongea upumba sana ,mna staili kupigwa fimbo nyie wotee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@flova7022
@flova7022 9 сағат бұрын
Shida yyako bdo mtoto
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Aisee ingekuwa MUNGU ALIEUMBA MBINGU NA NCHI anasikia mambo ya mpira tungemuomba atusaidie
@AwadhAziz
@AwadhAziz 16 минут бұрын
Mama samia anacheza mpira?mpira siyo maneno
@maestro_keysdcloopsbrand8372
@maestro_keysdcloopsbrand8372 6 сағат бұрын
hahahahaha hahaha
@HamiduAbdul-t9x
@HamiduAbdul-t9x 25 минут бұрын
Kingine wachezaji wetu wajitambue na hasa kepten kwa matukio yote shabalala yuko kimya nini maana ya kiongozi wa timu uwanjani
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Kumbe ubingwa wa yanga kuanzia zamani dhuluma kwa kwenda mbele
@januarysila1569
@januarysila1569 Сағат бұрын
waziri gani aamuke saa tisa usiku mzee unazeeka vibaya
@dr.allyahmada
@dr.allyahmada 12 сағат бұрын
Nyinyi kila mkifungwa mnatoa sababu za ovyo, sajilini wachezaji wa maana.
@oscarluwi5142
@oscarluwi5142 11 сағат бұрын
Wewe Tim ya simba nzuri sana ndio maana ulizidiwa juzi mnacheza faulo tu
@swaijeremia
@swaijeremia 11 сағат бұрын
Muhindi mbaili wa kudhamini tim zingine
@madarakamarumbo6102
@madarakamarumbo6102 10 сағат бұрын
Nilikuwa najiuliza kwa nini simba wengi wana roho mbaya! Kumbe wametokea huku😅😅😅😂
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Mbona ww mwizzi umetoka wapi??
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 9 сағат бұрын
Tupeleke fifa ttf hovyoo kabisa
@MsevenSaudisaidi
@MsevenSaudisaidi 10 сағат бұрын
Kubari mzee Simba mbovu na badooo mnaongea Sana toa ushaidi mzee utafungwa ble ujielewi
@sera.8bomani502
@sera.8bomani502 10 сағат бұрын
Apana Simba ya safari hii sio Mbovu vinginevyo juzi wangefungwa mapema sana..
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 8 сағат бұрын
Goli lenyewe moja tu mnalalamika nini
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 Сағат бұрын
Chadema nyie
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 9 сағат бұрын
Alikamwe shoga
@ArnoldMwambaya
@ArnoldMwambaya 9 сағат бұрын
Ubaya ubwela😂 mbna mnaomba poo sasa
@FatumaRajabu-cu3tq
@FatumaRajabu-cu3tq 11 сағат бұрын
Wazee.washapoteana.bila.kubebwa.hamfiki.popote
@OmaryKiduka
@OmaryKiduka 10 сағат бұрын
Nyie sio wazee waazee ni wayanga tu wanajua kucheza dabi
@AbeidyMoraes
@AbeidyMoraes 9 сағат бұрын
Me mbona nasemaga man city bingwa na anakuwa bingwa 😂😂😂😂
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 9 сағат бұрын
Karia mbwa kabisa ndiyo amefumbia macho hata swala la lameki lawi .
@HaikasiaJames-gm7xs
@HaikasiaJames-gm7xs 10 сағат бұрын
Mzee wa hovyo ww
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 11 сағат бұрын
Kawaharibia ligi GSM ndie aliecheza muitadhimini timu yenu ongeeni na vio ngozi wa timu yenu wazeee wazima hov yoooooooo kabisa
@masanullahuzuni
@masanullahuzuni 9 сағат бұрын
Hawa inabidi wagongwe kumi ndio utani uishe
@swaijeremia
@swaijeremia 11 сағат бұрын
Mlitaka magoli ya Of side wapewe tuu daah mnauzunisha duuh
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 11 сағат бұрын
Wazee wa simba ha mna Sera wala nini mkubali tu yanga bi ngwa mpira ni dakika 90 kama sio malimbukeni kelele za nini hovyoooo kabisa mnaushahidi mbona kelele nyingi
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Kayoko na arajiga ni marefa wa yanga huo ndio ukweli
@maigerichard9862
@maigerichard9862 9 сағат бұрын
Mmegongwa. Mmechanganyikiwa. Mkipendelewa mnakenua meno
@iddmsewa3229
@iddmsewa3229 11 сағат бұрын
Ubaya ubwela
@PaskalPius
@PaskalPius 10 сағат бұрын
Makamo ana haki ya kusema kwa kila timu ni bingwa acha kuongea pumba mech ya azam na simba zanzibar mbona hamjasema kama mmebebwa au mkuki kwa nguruwe tu kwa binaadam mchungu
@cassianmbunda365
@cassianmbunda365 11 сағат бұрын
😂😂😂😂
@KijaMaige
@KijaMaige 11 сағат бұрын
Hata sisi yanga tulipokuwa na timu mbovu tuliwatukana sana tff tengenezeni timu
@FedrickEmanuel-ld2vk
@FedrickEmanuel-ld2vk 8 сағат бұрын
Sasa simba ni mbovu wapi simba ni ya saba afrika haya ninyi huo mda mnaousema kwamba mlikuwa wabovu mlikuwa wangapi Afrika?
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 8 сағат бұрын
Ehhhhh Na Makamu wa Rais Mpango mmemtaja ile ilikuwa Yanga day .sasa asiseme akipendacho jamani... Kilio chenu ni kufungwa. Hivi ile ya Musonda hukuiona. Unataka kugombanisha Serikali . Marefa wa nje mtaumia ... Sasa refa ligi ni yako. Mbona mlianza kushinda mkawa mnatamba.... Dodoma jiji ile penalt mmesahau
@AbeidyMoraes
@AbeidyMoraes 9 сағат бұрын
Me ndomana baba angu alisema simba wachawi 😂😂😂😂
@HOLINESSPIUSE-gv8ud
@HOLINESSPIUSE-gv8ud 8 сағат бұрын
Jee wewe na BABA ako MPO milembe naona kaeni uko uko
@norregaraper5383
@norregaraper5383 10 сағат бұрын
Tuhamieni Zanzibar
@AbeidyMoraes
@AbeidyMoraes 9 сағат бұрын
Toa ushahidi sass
@thobiaskasian6560
@thobiaskasian6560 9 сағат бұрын
Sajilin wachezaji wazuri achen lawama, mpira n pesa kipigo mlichopata kimewatoa kwenye reli.wazee hawa wafunguliwe kes kabsa tubain wanao hujumu ligi mana kauli yao inaonesha wanajua
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 8 сағат бұрын
Na wao ndo wanavyotaka ifunguliwe kesi kbsa uone hao mawaziri wanavyotajwa
@espoti4300
@espoti4300 Сағат бұрын
Kipindi mnachukua ligi mara 4 mfululizo yanga na wao walikuwa ivi???
@minaniormar5841
@minaniormar5841 11 сағат бұрын
Vip offside ya ya azam mlikula wapi na kesho mnafungwa tuone kama mtajitokeza
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 7 сағат бұрын
Asie kubali kushindwa siyo mshindani mmefungwa tulieni atutaki kelele nyamaza mzee
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 10 сағат бұрын
Afe tuu mjinga kama unamaumivu kufaaaa
@TimotweyMalashi-r9y
@TimotweyMalashi-r9y 5 сағат бұрын
Na bado we sbl dawa ikiingie
@terrence9477
@terrence9477 8 сағат бұрын
Mbona hamkusema kabla ya mechi?
@JumaSemindu
@JumaSemindu 10 сағат бұрын
Wapumbavu nyie mbona mlivyokuwa mnashinda mlikuwa hamsemi haya😂😂😂
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 12 сағат бұрын
Usajili wa bilious 7 bado mnatoa machozi
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 11 сағат бұрын
Mnabebwa sana hamna timu hapo ni msaada wa refa kwa kwenda mbele
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 10 сағат бұрын
@@JohnJoseph-qq7ow mechi ya dodoma jiji mulipewa penalty ya mchongo uliona malalamiko mechi ya azam ngoli la pili sio halali muliona malalamiko wako mkae kwa kutulia tumepiga kwenye mshono ubaya ubwege yanga bingwa
@muddymuzungu4357
@muddymuzungu4357 9 сағат бұрын
Sasa lile goli refa anausikaje? Mbona zile 5 hamjaja mbele na kuongea? Muheshimuni kocha fadlu mpira mzuri
@AnoliasiKope
@AnoliasiKope 7 сағат бұрын
Kumq
@thobiaskasian6560
@thobiaskasian6560 9 сағат бұрын
MASHABIKI WA SIMBA ACHEN KUTAFUTA HURUMA SERIKALINI IONEKANE MNAONEWA, MECHI NGAPI NYNY MMEBEBWA DHIDI YA YANGA? AU TIMU MPINZANI?TOKA LIGI INAANZA SIMBA NDO KANUFAIKA SANA NA MAKOSA YA WAMUZI ILA HAMUKUONGEA.MECHI NA AZAM,DODOMA,COSTAL MLIBEBWA MBONA HAMKUONGEA?
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 9 сағат бұрын
Wacha uongo wewe kolo kama kweli hayo unayo sema kwanini mmeleta timu uwanjani,halafu pale dodoma mlipo mdhulum dodoma jiji mekisime si alilalamika mbona hamkujitokeza tulieni dawaiwaingie.
@ShabaniYosia
@ShabaniYosia 11 сағат бұрын
Mbona azam kazamini timu zote na yeye ana tim yake halafu inafungwa na tim nyingine?
@PaskalPius
@PaskalPius 10 сағат бұрын
Mech ya marudiano njooon mchezeshe nyiny na uwanja uwe bunju hahahahahahq
WAZEE WA SIMBA WACHAFUKWA| WAIPASUA BODI YA LIGI, TFF & GSM
9:57
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 24 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 18 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 34 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 11 МЛН
PROF KABUDI ASHANGAZA WENGI KWA HOTUBA YAKE
37:31
Ngasa Tv
Рет қаралды 191 М.
KIMENUKAA!! WAZEE WA SIMBA WAAPA KUMUUA RAMADHANI KAYOKO
13:55
TOP 10 TV TZ
Рет қаралды 1,9 М.
What's in the clown's bag? #clown #angel #bunnypolice
00:19
超人夫妇
Рет қаралды 24 МЛН