Naomba nikupongeze Wema kwa kuweza kuongea na Chidy, the dude has lost but still mmekua na good chemistry , imedhihirisha unaweza kuongea na mtu yoyote, you have a big heart congrats.
@nyendochamwela30314 жыл бұрын
Big heart. For Sure.
@josephstephen77224 жыл бұрын
@@nyendochamwela3031 yeah great
@HassanAli-vy3kb4 жыл бұрын
Hi
@cathbertjohnson4084 жыл бұрын
Lost !!!! Dude what do you mean??
@aminanamoyo834 жыл бұрын
Jamani penda sana huyu kaka walaah, interview zake sijawahi kosa. ❤❤ you guys
@nalkisaqueen36374 жыл бұрын
Wapili ku weka comment love you sepetu😍😍
@khadijamzee27394 жыл бұрын
Chiddi Benz amependeza sana amekuwa mzuri sana MashaAllah Allah azidi kumng'arisha
@esterelias81894 жыл бұрын
Mmmh kupendeza huko da khadija?? Ndo atoboe pua dunia imeisha
@khadijamzee27394 жыл бұрын
@@esterelias8189 aah namaanisha mwili tu kuwa amenawiri sasa. Hayo ya kutoboa pua na masikio ndugu zetu wasanii kwao ni kama kawaida ingawa mimi ni mmoja sipendelei mambo hayo.
@zulfahhussein5054 жыл бұрын
Wema kwakweli unatubania sisi wenye tuko inje ya inchi hatufaidi hataaa daa Wema wetuu twakupenda bureeee🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
@josephmasokola83434 жыл бұрын
Chid benz jamaa ana akili nyingi sana.... Anakwambia inawezekana hata hajui anachokielezea :-))
@yunushamady88364 жыл бұрын
Madama na sisi wa Zanzibar tuite tufanye balaa la kizenji huko mjengoni so star tyu...but the way I like what you do this is beautiful.
@justrach84634 жыл бұрын
Tz sweetheart ❤️❤️❤️❤️❤️❤️👌 ,kipenzi cha watu❤️🥰☝️
@babymansouth11644 жыл бұрын
Nakupenda Madam Wema❤❤Mungu akuongoze zaidi🙌😻
@siriyangu47244 жыл бұрын
Mashaallah chiddi yuwarengia kuwa mzury all thanks to god
@lilianipetro22584 жыл бұрын
Kumuelewa Chidy Lazima Uwe Na Akili Kubwa Sana
@najmagudeh2034 жыл бұрын
Kbsa
@najmakikula49294 жыл бұрын
Haswa akili ya chidy mmh
@delisterkihundwa21614 жыл бұрын
Yap
@faudhiatmasoud40254 жыл бұрын
Sanaaaaa yan
@evagervas79004 жыл бұрын
Sanaaa
@adolphinajalala64544 жыл бұрын
Ongera mb mama kwamoyo wako mkunjufu nakupenda sana mdogo wako ongera