Cook with Wema Sepetu S04E11 Mwijaku

  Рет қаралды 53,714

Wema Sepetu

Wema Sepetu

Күн бұрын

Пікірлер: 134
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 2 жыл бұрын
Huyu ataongea huko jikon hadi mate yamtoke na hatimae Wema kaandaa mapishi yake mwenyewe nimecheka mpaka mbavu zimeuma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Nimependa vile wema ameona comment za waja kuhusu kuweka tissues masha allah kumbe unatupenda mafansi zako
@filletist1
@filletist1 2 жыл бұрын
Mwijaku mbona hausaidie madame. Kata hata vitunguu. Nice show
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 жыл бұрын
Mashaallah Wema Mungu kakuumba....kama wazuri tuu ndio wangeolewa basi wabaya angewaowa nani??? Subhana Allah...kila kitu kinaandikwa.
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Woow mwijaku kumbe umesoma niliposoma jabarihilah shule ya kiislamu yenye maahadili mashaa allah kumbe hapa dini ipo saaana kwa mwijaku wooow🥰🥰
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
ipo sana kwa huyo jamaa
@dorcasdorie6161
@dorcasdorie6161 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwijaku banaaa😂tuache,unamu hug madame utabarikiwa uyu mwaka .unapata blessing 💕💕
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
We Mwijaku kwa Tabia zako pale JITEGEMEE usingeweza kutoboa.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 жыл бұрын
Nawapenda saana jamanini nakupenda mwijaku kaka unaongea point
@rickyman1092
@rickyman1092 2 жыл бұрын
The way i like this lady wema sepetu big up i like your show
@christercheru8328
@christercheru8328 2 жыл бұрын
Mwijaku kapika sahani lake domo tamu kweli kweli tupe mwijaku Extra
@catherinecharles932
@catherinecharles932 2 жыл бұрын
Maanisha unachofanya bas my dear wema..hizo nywele sio zajikoni mpenzi❤
@g-rock1606
@g-rock1606 2 жыл бұрын
😂🤣😂🤣😂😂😂mwijaku ur my best comedian like. Tz
@Abidarass_huss
@Abidarass_huss 2 жыл бұрын
Wema nakupendaa
@rosemaryfaustine4692
@rosemaryfaustine4692 2 жыл бұрын
Love you so much 💗 💓 💛 💖
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Mwijaku mbn husaidii kupika ww kuongea tuu
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah Dada wema uko👌💞💞💞💞💞😍😍😍😘😘
@geomangi6123
@geomangi6123 2 жыл бұрын
Am your big fun watching from newyork. love you xo xo much wema.
@hashimsalum338
@hashimsalum338 2 жыл бұрын
Penda sana DC na madame wema
@angesignolinx5829
@angesignolinx5829 2 жыл бұрын
Wema wangu❤❤❤❤
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 2 жыл бұрын
Umedamshii Wema Sepeto 😍🔥🔥🔥
@dorcasloy7935
@dorcasloy7935 2 жыл бұрын
Waohhh god story umenip hamasa
@teddygabriel5662
@teddygabriel5662 2 жыл бұрын
Mwijaku unanichekesha sana
@marynjeri1408
@marynjeri1408 2 жыл бұрын
My role model 💯 muite Simba 🦁
@annaathuman3212
@annaathuman3212 2 жыл бұрын
wema nakupenda nakupenda......
@fredrickmatiku7783
@fredrickmatiku7783 2 жыл бұрын
Natamani kumuoa wema sepetu awe mke wangu katulia Huyu dada sasa hivi awe mke anafaaa nimpe na mtoto na watoto
@richardxon
@richardxon 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️
@abuomary8715
@abuomary8715 2 жыл бұрын
Jaman mwijaku khaaa huyu mzee anazeeka vibaya
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 2 жыл бұрын
DC Mwijaku leo anaongea na upole mwingi 😁😁😁
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 2 жыл бұрын
Sawa DC
@nancynuru7872
@nancynuru7872 2 жыл бұрын
From Kenya murch love
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 2 жыл бұрын
Sasa aliyekuwa anapika ni nan hapo...jaman mgen au mwenyej......?? mwijakuuuu wew noma
@mohamedmasud4037
@mohamedmasud4037 2 жыл бұрын
Asalam aleikum wema na mm natafuta mwana mke ambae ana wemaa kwenye moyo wake je vp naweza kuja kukuowaa
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 жыл бұрын
love you guys
@ruthmagogo3990
@ruthmagogo3990 2 жыл бұрын
All the best is yours wema sepetu
@stn4873
@stn4873 2 жыл бұрын
Mwijaku JAU JAU kweli🤣🤣🤣
@happyfihavango4151
@happyfihavango4151 2 жыл бұрын
Mnapika huku many well mnagusagusa vaa kitambaa wewe wema
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 2 жыл бұрын
Yaani kumbe uko vizuri
@janetshingira1165
@janetshingira1165 2 жыл бұрын
Mlete hamisa wema jamani
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 2 жыл бұрын
Dc umetisha
@sakinaamani1486
@sakinaamani1486 2 жыл бұрын
Cook with wema sepenga
@nolimittvonline6822
@nolimittvonline6822 2 жыл бұрын
Mwija
@mwanamisimatini5908
@mwanamisimatini5908 2 жыл бұрын
Wema wangu jaribu kufunfa kitamva kwa kichwa nyele hizi jikoni pls
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 жыл бұрын
Sijaelewa,mnapika ama mnastorika
@jcrackcrack1669
@jcrackcrack1669 2 жыл бұрын
Sasa mwijaku anajua kupika ama umbea tu 😂😂😂
@annakinyami2998
@annakinyami2998 2 жыл бұрын
Hizo nywele utashangaa zipo kwenye flampeni
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
Nakupenda ila naomba uwe unafunga nywele na pia tafuta zile kofia za wapishi ingependeza na ingekuwa usafi na ndio maana ya upishi na usafi ,ila hivyo ni uchafu minywele inakughasi mara uzishike sasa ustaarabu gani huo?.Natumaini mapishi yaendane na usafi kama fundisho la usafi wa mapishi na sio fashion show ya nywele.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
Tukipika nyumbani hatuzai kofia
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 Ustaarabu ni kitu cha bure,wewe umeona hayo manywele yalivyo marefu kila saa anayarudisha nyuma ndio ustaarabu? Afadhali hata angezifunga nyuma mambo mengine hayahitaji kufikiria sana.
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 2 жыл бұрын
@@leokamil6284 si nywele eti hiyo mikamba tu hahahaaa ni sawa na kujifunga mfuko nywele zimo ndani
@leokamil6284
@leokamil6284 2 жыл бұрын
@@sabihaibrahim143 ayafunge hayo makamba maana hata yeye mwenyewe yanamkera huoni kila saa anayashika shika mwisho yataingia kwenye mchuzi.
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 жыл бұрын
hawezi VAA kofia sababu hayo ni MATANGAZO yupo kwenye matangazo ya nywele yupo kazini
@kozbeahani2328
@kozbeahani2328 2 жыл бұрын
Haki wema umlete Paula plzzzz
@rehemamangi7271
@rehemamangi7271 2 жыл бұрын
👏❤
@emmanuellusambya7889
@emmanuellusambya7889 2 жыл бұрын
Mbavu zangu ehhhh!!! The Big fun of the DC from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Vraiment ce gaaa a toujours été marrant 🤣🤣🤣.
@rayanndizeyes3161
@rayanndizeyes3161 2 жыл бұрын
Wema unakazi kweli umemuweza mwejaku
@gazaomar2707
@gazaomar2707 2 жыл бұрын
My sister wema your Blass
@maimoonabakari1426
@maimoonabakari1426 2 жыл бұрын
Dc kama Dc wa taifa 🤣🤣
@bintiali4582
@bintiali4582 2 жыл бұрын
Mwijaku kama mwijaku much love kakaa
@ladysasty
@ladysasty 2 жыл бұрын
Mwijakuu😂😂😂
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 жыл бұрын
Mbona mke wake kamuacha
@cathreneachia8545
@cathreneachia8545 2 жыл бұрын
Nywele kwa vyakula mpenzi
@taitadollnicky273
@taitadollnicky273 2 жыл бұрын
Manywele jikoni dada wema hayafai Yavalishe basi
@fatmareshed9975
@fatmareshed9975 2 жыл бұрын
Wema ungefunika nywele wakati wa kupika...uzuri wa nywele ziwe kichwani sikingia kwenye chakula zina kera
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 жыл бұрын
Wemaa wetu
@joymsupagladysijeya8384
@joymsupagladysijeya8384 2 жыл бұрын
Aki mwinjikalu unanipa raha 🤣🤣
@christinekasemba6200
@christinekasemba6200 2 жыл бұрын
Vraiment 💖 💖 💖
@zou7470
@zou7470 2 жыл бұрын
💓💓💓🔥🔥
@shadhirimakokola4716
@shadhirimakokola4716 2 жыл бұрын
DADA WEMA NAPANDA KUIGIZA JE UNANISAIDIAJE!!!!!
@mrs2918
@mrs2918 2 жыл бұрын
kumbe mdogo sana huyu kijana ndio maana mropo sana
@zaynabmwanjovu8277
@zaynabmwanjovu8277 2 жыл бұрын
Li mwili tu hlo,,hata pale leo tena yeye ndo mdogo.da huu pia mkubwa
@karimhussein7540
@karimhussein7540 2 жыл бұрын
Fanya mpango umuite papa mafido.
@rscheallumiti146
@rscheallumiti146 2 жыл бұрын
😂😂lakini mwijaku mbona ukavaa overroll bac
@lissajuma4782
@lissajuma4782 2 жыл бұрын
Mmh mbea uyu alafu mlavichogo mnafk uyu baba ayu
@shikoshania953
@shikoshania953 2 жыл бұрын
Wema mzuriiii💞
@aishaukuthymwanachahaya4511
@aishaukuthymwanachahaya4511 2 жыл бұрын
Wema hongra sz
@alicenice1711
@alicenice1711 2 жыл бұрын
Nawapenda nyie viumbe 🤗🤗
@dorcaskahwarakaliza8190
@dorcaskahwarakaliza8190 2 жыл бұрын
Wemasepetu 🥰🥰🇨🇩🇨🇩
@sifaeltv4327
@sifaeltv4327 2 жыл бұрын
YANI MWIJAKU KHA
@stivo5355
@stivo5355 2 жыл бұрын
😍
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 2 жыл бұрын
Rest in peace Ruge Mutahaba
@aldafechi3573
@aldafechi3573 2 жыл бұрын
💥💥💥💥
@devothamagwaza4972
@devothamagwaza4972 2 жыл бұрын
I love you wemaaaaaaaaa
@abuomary8715
@abuomary8715 2 жыл бұрын
Hyo shingo ya mwijaku Yuko sawa kweli
@catherinefelician2148
@catherinefelician2148 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@wennceslausmushi2356
@wennceslausmushi2356 2 жыл бұрын
Shule ni kitu kizuri mnoo
@bonifacekisina
@bonifacekisina 2 жыл бұрын
Nywele jamani jikoni zinafaa zifungwe. Hygiene ni kitu cha maana sana watanzania wenzangu
@ramamwitason6705
@ramamwitason6705 2 жыл бұрын
Kizasi sana
@estherkamanzichania1871
@estherkamanzichania1871 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️ 🇹🇿 swthrt
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 2 жыл бұрын
Mwijaku hilo kovu usoni walichoma moto kwa ajili ya umbea wako
@alinebinozo5535
@alinebinozo5535 2 жыл бұрын
Dada Wema ujikaze kuwa tiya Kita Bahaa Kicwani wakati wa kupiga Chakula
@katherinlevina8772
@katherinlevina8772 2 жыл бұрын
💓❤️DC kama DC
@rachellebahati6126
@rachellebahati6126 2 жыл бұрын
ka Wema kazuri
@saifsawafi2773
@saifsawafi2773 2 жыл бұрын
With proper cooking dress code, the cooking show would have been more attractive. Secondly, Mwijaku has hijacked the show and there's more gossip about himself than the cooking itself
@tonnymasizi3331
@tonnymasizi3331 2 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏼🙏🏼🐘
@fatmareshed9975
@fatmareshed9975 2 жыл бұрын
Hahahaa mwinjaku bwanaa
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 жыл бұрын
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 жыл бұрын
Jabalhla naipata vzr
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 2 жыл бұрын
Mbona kokonda hivyo ?
@mwajumafuraha5819
@mwajumafuraha5819 2 жыл бұрын
Kipenzi changu mieeee
@christinekasemba6200
@christinekasemba6200 2 жыл бұрын
💞💞💞💖
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه 2 жыл бұрын
🧡🧡🧡🧡🧡💫
@mishikitendo4441
@mishikitendo4441 2 жыл бұрын
Wema akee
@HassanHassan-zr3nr
@HassanHassan-zr3nr 2 жыл бұрын
Next time funga kichwa kama unapika
@ashurakiswamba7085
@ashurakiswamba7085 2 жыл бұрын
Wema umevaa nguo ganiii???
@christinenibampa2675
@christinenibampa2675 2 жыл бұрын
😂😂😂DC kama DC
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 2 жыл бұрын
Mwijaku ana bwabwaja sasa 🙈
@rasheedwashee9112
@rasheedwashee9112 2 жыл бұрын
Malkia eka gloves za jikoni ama kofia za jikoni nywele ndefu sana
@devothamagwaza4972
@devothamagwaza4972 2 жыл бұрын
Nakuombea umiliki magari kumi nazaidi
@perisnanka2118
@perisnanka2118 2 жыл бұрын
Not come through ...come over
Cook with Wema Sepetu S04E12 RJ
8:08
Wema Sepetu
Рет қаралды 49 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E07 Tessy Chocolate
8:06
Wema Sepetu
Рет қаралды 44 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
Cook with Wema Sepetu - S08E02 Chris Mziwanda
8:05
Wema Sepetu
Рет қаралды 5 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E01 Christina Shusho
8:11
Wema Sepetu
Рет қаралды 51 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E11 DivaTheBawse
8:13
Wema Sepetu
Рет қаралды 100 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E12 Phina
8:09
Wema Sepetu
Рет қаралды 17 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E07 Gladness Kifauka
8:07
Wema Sepetu
Рет қаралды 14 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E02 Malkia Karen
8:01
Wema Sepetu
Рет қаралды 29 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E09 Feza Kessy
8:30
Wema Sepetu
Рет қаралды 11 М.
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
8:04
Wema Sepetu
Рет қаралды 78 М.
Cook with Wema Sepetu - S06E08 Jimmy Mafufu
12:39
Wema Sepetu
Рет қаралды 6 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН