All newlife branches are meeting at Mombasa at Mavuene it's good to obey your spiritual father even though he's your blood brother
@merrabokinyo12176 сағат бұрын
May the Lord help you and show you how to respect your spiritual father. Mungu akusaidie
@EuniceOtano2 сағат бұрын
Enda kwa babako wakiroho pst
@janetkerubocongr7301Күн бұрын
God protect pastor gillack umchaze na nguvu
@jacintakanini70402 күн бұрын
Bt listen him please..kuja meza ya bwana..tafadhali..uone ukingàá zaidi ...please please please we need you..
@lynneimali41302 күн бұрын
WE NEED YOU PASTOR PLEASE PLEASE USIPOTEE KUJA MAVUENI MUNGU AZIDI KUBARIKI 🙏🙏🙏🙏
@idaobonyo7151Күн бұрын
Sote tukutane home in Jesus name🙏🙏🙏
@bresnkyodipo66782 күн бұрын
Mungu akutie nguvu pastor Gilack God is faithful always
@JemmimahKimanzi2 күн бұрын
Mungu amekuinua pastor,, asante
@BrianEdwin-bl7otКүн бұрын
Nyinyi watu wenye mnaleta vita comment section kitawaramba,mtaona tu pst ezekiel anabadilishia pst gillack gari na kumpa gari ingine kubwa,sifkiri kama pst gillack hamueshimu babake wa kirohoho,they are in good terms and gillack always tetifies everyday about ezekiel as his bro and as his spir. Father
@IrineSikabo-ls2fwКүн бұрын
I receive it in the name of Jesus Christ 🙏🙏🙏
@DorinBosiboriКүн бұрын
Mungu akupiganie pastor wetu
@lynneimali41302 күн бұрын
MUNGU KOMBOA PASTOR GILLACK AWACHE KUDHARAU BABAKE WA KIROHO MKUMBUKE 🙏🙏🙏🙏
@VeronicaOucho2 күн бұрын
How? Gillack anampenda Sana babake wa kiroho, ni wewe ndiye hauelewi kenye aliombea
@lynneimali4130Күн бұрын
@@VeronicaOuchowewe ndio hujui pastor amesema branches wote wakuje mavueni ama iyo si branch church asikuje unasupport
@SofiaMutua-hd5yhКүн бұрын
All branches are meeting to mavueni for the holy communion lakni yeye
@maggiekanorio4905Күн бұрын
Na wale hawatafika wakae nyumbani mpaka 14 days siishe ama
@DoriskwambokaOnsongo2 күн бұрын
I receive it in Jesus name
@VascahbosiborionchariOnchariКүн бұрын
Amen amen nifunguliwe nipate ndoa,nizae mungu nimepokea nishinde vita nyumbani in Jesus name amen amen God 🙏🙏🙏 remember me open my doors of marriage God 🙏🙏🙏 remember me open my womb nimetezeka mm nimlevi niombee baba,nilikua nashiriki newlife nikaanguka nikumbuke Kwa maombi
@judykeyah465117 сағат бұрын
This is painful 😭😭😭😭
@mariakomba24682 күн бұрын
Hooo pastor wangu so sadly 😢Mungu azidi kukupigania pastor
@judykeyah465117 сағат бұрын
God ,is above all ,Its well well u will be through
@teodoramlelwa54622 күн бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi
@GraceWasai-m2r2 күн бұрын
I received it in Jesus
@JemmimahKimanzi2 күн бұрын
Inauma sana kweli
@KwambokaNyabwanga13 сағат бұрын
Pastor plz enda kwa babako wa kiroho everything will b fine
@marymack12202 күн бұрын
Mungu ako nawe pastor
@teresaliruma42182 күн бұрын
God is with you pastor
@DoriskwambokaOnsongo2 күн бұрын
Mungu ni mzuri sana
@IrineSikabo-ls2fwКүн бұрын
God is with you papa🙏🙏
@AgnesBiyogo2 күн бұрын
Umenikumbusa mbali 🫂😭😭😭😭
@elijahnyamwange3520Күн бұрын
Just respect your spiritual Father
@VivianOnyango-yc4xk2 күн бұрын
Pastor tunakupenda lakini rudi tu kwa babako wa kiroho follow his instructions bure unapotea Pastor
@Dorine_lifestyle2 күн бұрын
Am not feeling ok pastor why whhy this church is under mavueni main church ,pastors wote wa branches wako mavueni .Heri nichome fare sasa kuenda mombasa
@nashonangaya41342 күн бұрын
I thought branches zote wanaenda mavueni.obedient is better than sacrifice
@melisaokado2618Күн бұрын
I think it's pastor Ezekiel himself who told him to hold it there in kisii otherwise he would have chosen different dates and not the same as the spiritual father
@JaneMaina-rm6te2 күн бұрын
But obey the one who annoited you and God will use you more than you thought
@emmyowino11 сағат бұрын
All branches psts yeye pekee ameyapitia, mungu ni mwema anamuinua kweli, usicho kijua ni usiku wamanane yeye ndiye pst Ezekiel mdogo Nyanza.
@MariaGati-ym2tbКүн бұрын
Mungu akupe nguvu
@Elizabeth-u5k1k2 күн бұрын
PASTOR MATESO NI YA MDA 😭😭😭😭😭😭😭
@marymack12202 күн бұрын
Asante Yesu
@judykeyah465117 сағат бұрын
Watu wa mungu wakristo dont throw stones on this pastr if u are member or not keep silent, Ev Ezekiel and his brother leave them alone
@paulmkono7036Күн бұрын
Baba ni baba Rudi omba yaishe Kumbuka Kuna kesho.
@Faith-o8z2 күн бұрын
Kutii ni bora kuliko dhabihu mbona hauheshimu baba wako wakiroho all branches za newlife Wana meet mavueni we umeamuwa kuwa kivyako hiyo ni Sawa kweli ata mbele ya Mungu😢 heshimu Sana aliyekupaka mafuta or else... 1:21
@vicklyneochieng364615 сағат бұрын
Why do you people keep on judging pastor Gillack? , He belongs to new life and pastor Ezekiel is his blood brother ,they know each other well than us wafuasi wao.
@KwambokaNyabwanga14 сағат бұрын
Temptations are real
@juliusbahaticharo87902 күн бұрын
Sio kwamba alijitenga na pastor Ezekiel kile anafanya anapokea maelekezo kutoka main church. And remember this people are brothers so wakifanya huduma pamoja saana sasa itakua huduma ya familia ndo maana wakaamua hivyo.
@janetkemmy15792 күн бұрын
Don’t forget all branches na pastors wako main church for meza ya bwana only him absent more was anaweka meza ya bwana Same date na main church he should obey him even if ni ndugu yake
@lynneimali41302 күн бұрын
Aky all newlife branches already washakuja mavueni ni yeye tu peker haji aky huduma haitambui ndugu wala wazazi akuje tu PLEASE tunampenda
@SimonMutembei-hs9om2 күн бұрын
Walijitenga wakiwa watatu na wote wako na meza ya bwana same dates in their churches. Kwani kisii ndio mbali kuliko Congo?Mungu awakumbuke aki asiwaadhibu
@lynneimali41302 күн бұрын
@@SimonMutembei-hs9om Plz gany na gany na mbona wafanye ivo aky mungu wakumbuke waokoe wasipotee
@AnnLukaziva2 күн бұрын
Stop misleading us ,kama ni huduma moja pastor agesema ,mwambieni gilack amhushimu babake wa kiroho jameni ministry itajipata Mali na fedha ni zake mungu
@hildakerubo1831Күн бұрын
Iam just thinking maybe kwa kuwa kisii ni first child wa new life,,so waliamua waifanyie huko kivyao but still wako kimoja
@AAa-po6tg2 күн бұрын
Pastor😂 don't cry my father God has done u somebody❤
@NeemAmani-t7l2 күн бұрын
Only God now
@janetkerubocongr7301Күн бұрын
Nifunguliwe nipate kazi nami niwe mtu
@Triza-eo7guКүн бұрын
Wooooi😢
@Madamkeisha-u5y2 күн бұрын
Amen pastor
@Naomi-tl9zq2 күн бұрын
Only God knows
@cketertv55602 күн бұрын
Mimi nitaenda mavueni
@AAa-po6tg2 күн бұрын
😂mungu zidi kupea pastor wetu nguvu so painful I remember when iwas regected but God❤ came to my side
@AgnesBiyogo2 күн бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@AnnLukaziva2 күн бұрын
Kama si huyo ezekiel tungekujua ,na haya mapito unasema wengine tumepitia ,lakini kumbuka ,ijashinda wa babako wa kiroho ,kutii ni bora kuliko dhabiu ,kiburi jameni , pastor gilack ,ukifanya ivi kondoo tutafanya nini ,mungu muinue ezekiel azidi kutawala
@SarafinaMoraa-m9q2 күн бұрын
Pastor ni wewe na mungu to mungu God is good❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯
@GraceAble-r4f2 күн бұрын
Amen
@MarthaNamvwayaКүн бұрын
Nyinyi watu mnao nyosha vidole kwa pstr Gillack you don't know what's going on nyamaxeni ni msicheze na mpakwa mafuta achaneni na hizo vita
@hellenmaina523Күн бұрын
Wacha vitisho baridi mama, sisi kama wana wa new life twafwata bibilia na mafunzo ya baba wakiroho... I knew pst Gillack thro his bro and pst ezekiel so without pst ezekiel nobody knew pst Gillack
@polly-h8z5 сағат бұрын
Comment section bfr listening mmecomment tu,n vizuri kusikiza instead of arguing here na kumuambia amsikize sijui Baba wa kiroho
@AgnesBiyogo2 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭
@Eva-wo2wz2 күн бұрын
💥💥💥💥💥💥👰👰👰👰
@AinekishaDpetro17 сағат бұрын
SASA SIKIA KAMA UMESHINDWA KWENDA KUMSIKIA BABA YAKO ARIE KUREA NGOJA MIMI NISIE NAKITU NIENDE ANIPE KILE AMBACHO ANGEKUPATIA NGOJA NIENDE NA KWAMBIA ATANIPA
@debbiekiss67682 күн бұрын
Mbona upakwe mafuta na Ezekiel akuufungulie kanisa na Pastor Ezekiel then then ujione waeza jitegemea my advice is Rudi kwa baba wako wa kiroho utangaaa zaidi .... Ukishindwa kusikiza aliekupea hio roho na kumueshimu na halikulea waona mbele itakuaje...... Kutii ni Bora kuliko dhabiu we need you pastor na twaomba urudi kwa babako wa kiroho na umuombe msamaha mungu nae atazidi kukubariki
@bettykotut-gakuo91732 күн бұрын
@ Debbie...what do you mean. Is he no longer connected to the main church at Mavueni?
@RoseKungaOnyango2 күн бұрын
Aaah debbie usiongee hvo please, pastor gillarck anapewa maagizo na babake wa kiroho please,,sioni ubaya hapo ... Just apoint of correction
@marymutavi2 күн бұрын
he is not @@bettykotut-gakuo9173
@janetkemmy15792 күн бұрын
@@RoseKungaOnyangosai all pastors wako mavueni hadi namba zao zasimu zimewekwa kwa utube platform ya main church but yeye hayuko alikataa kuenda na pastor Ezekiel alisema if unaona hajataja branch zingine just know hawako pamoja wako kivyo more worse Mbona aweke meza ya bwana same as pastor Ezekiel
@Kanze-f3y2 күн бұрын
Kila mmoja anamapito yake. Na historia yake. Hata ungewa wewe ungekimbia. Achia hapo.