PST. GILLACK AUNGANISHA FAMILIA ILIYOTENGANA KWA MIAKA KUMI.

  Рет қаралды 16,159

NEWLIFE CHURCH - KISII

NEWLIFE CHURCH - KISII

Күн бұрын

Пікірлер
@estherbellmakokha3970
@estherbellmakokha3970 3 ай бұрын
Woow nimependezwa na huu upatanisho wa kiroho barikiwa sana pr. GILLACK UMENIJENGA sana mm kama mm sikuwaipata mafunzo ya ndoa niombee nami pia nipate ndoa yangu niheshimike watu wanacheka babangu ana wasichana na hawaolewi,Mungu pia atuheshimishe atupe utajiri wa kiroho na wa dunia amen
@muhammadbamus5767
@muhammadbamus5767 Ай бұрын
Pastor like father like son, mmmm am so blessed with words papa
@RobertMalaria
@RobertMalaria 3 ай бұрын
Pastor niombee nco namupango wakando plz arudi kwake amen,
@FaithKingoku
@FaithKingoku 4 ай бұрын
Mungu nibariki na ndoa..wote napata ni mipango ya kando na ni wazee waweyewe
@vivian4634
@vivian4634 2 ай бұрын
This is wonderful❤
@JanetMaoga
@JanetMaoga 5 ай бұрын
Mungu umukomboe mume wangu pia popote aliko ndoa yetu urudi kwa jina la Yesu .....barikiwa sana mtumishi wa Mungu Tunateseka
@whispersbrother9425
@whispersbrother9425 3 ай бұрын
Oooh God 🙏 give humble beginning In The Name Of Our Lord Jesus Christ Amen
@JosphineAchieng-s3g
@JosphineAchieng-s3g 4 ай бұрын
YESU 🤲 naomba ndoa yangu ipone katika jina lako YESU 🤲 mumewangu aachane na mpango wa kando in Jesus mighty name
@Kenyan-t2v
@Kenyan-t2v 5 ай бұрын
Amen 🙏🏻 kupitia hii ushuhuda Leo nirudi kwa ndoa yangu Mimi na Denis mungu tende kwangu nami niwe na hushuhuda Leo Katika jina la yesu Kristo 🤲🏻🙏🏻
@joycemwango943
@joycemwango943 5 ай бұрын
Ndoa ni tamuuu ndani ya yesuuuuuuu 🙌🙌🙌🙌🙌
@mercympole8625
@mercympole8625 5 ай бұрын
Amen Amen through this narudia ndio yangu in Jesus name
@beatricetsuma9096
@beatricetsuma9096 3 ай бұрын
God bless you servant of God We serve a God of again
@FlorenceMwangi-y8c
@FlorenceMwangi-y8c 3 ай бұрын
Yesu nipee roho ya ndoa nirudi kwa ndoa yangu
@Ogulmama777
@Ogulmama777 3 ай бұрын
Kwa Jina La Yesu urudi kwa ndoa yakow
@joycewafula935
@joycewafula935 5 ай бұрын
Amen NDOA yangu pia irudi kwa jina la yesu kristo wa Nazareth aliye hai 🙏
@rabeccakwekwemungumi6441
@rabeccakwekwemungumi6441 5 ай бұрын
Pastor umenikomboa sana ach mungu azid kukuonapa. ufaham zaid
@shizney.norry45
@shizney.norry45 5 ай бұрын
Ata brother yangu Richard afunguliwe pamoja na uyu kichana 🙌🙌🔥
@PaulineMarwa-v1q
@PaulineMarwa-v1q 5 ай бұрын
Amen mungu anapoponya waume wengine asimpite wangu pia.
@CatherineKawira-d8y
@CatherineKawira-d8y 4 ай бұрын
Mungu tengenezea ann ndoa yake kwa jina la yesu kristu
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu umrudishie boss wangu katan hii ugonjwa kwake
@JemmimahKimanzi
@JemmimahKimanzi 5 ай бұрын
Good teaching pastor gilack
@LenahNjoroge-r3z
@LenahNjoroge-r3z 2 ай бұрын
Pastor waambie
@shantiMickel
@shantiMickel 5 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏👏 Thanks God for joining ❤❤❤❤😂😂😂😂😂
@okothgordon1198
@okothgordon1198 3 ай бұрын
I see your brother Ezekiel is coming there soon to lift you up That is a prophecy man of God
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu rudisha hii ugonjwa ya mfupa kuuma in the name of juses christ
@naomybokid9088
@naomybokid9088 5 ай бұрын
Amen, Mungu unapo kubuka wengine usinisahau
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu uniokowe😊
@silviahnyakeri2891
@silviahnyakeri2891 5 ай бұрын
God give me a spirit of being humble,
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu odoa hii ungonjwa kwangu
@AAa-po6tg
@AAa-po6tg 4 ай бұрын
Napokea ❤ visa in might jesus through my children
@lilianowti5477
@lilianowti5477 5 ай бұрын
Thank you Lord for this couple.
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu unipene
@coldblooded146
@coldblooded146 5 ай бұрын
Amen hata yangu ibadilike
@ClareNanjala-co7rd
@ClareNanjala-co7rd 5 ай бұрын
Ata kijana wangu afunguliwe apata kazi
@CatherineKawira-d8y
@CatherineKawira-d8y 4 ай бұрын
That guy is so humble
@verononyango4917
@verononyango4917 3 ай бұрын
Pastor pray for my marriage so that i can go back to my marriage and raise my children together with their father
@Ogulmama777
@Ogulmama777 3 ай бұрын
Kwa jina la Yesu ikwa hiviow
@Esthermogire
@Esthermogire 5 ай бұрын
Hii njili ni moto lakini hizi ndoa za kuachana nazo. Wacha mungu atuonekanie🇸🇦🇸🇦
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mimi nilienda nifanye kazi nilee watoto wangu
@verononyango4917
@verononyango4917 3 ай бұрын
Pastor unganisha ndoa yangu pia
@LenahNjoroge-r3z
@LenahNjoroge-r3z 2 ай бұрын
Pastor niombee utasa ukauke nipate watoto mapachar Ezekiel na sarah
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Mungu unipone
@AgnesBiyogo
@AgnesBiyogo 2 ай бұрын
Ameeen
@روزكينيا-ض9ص
@روزكينيا-ض9ص 5 ай бұрын
Kupitia kwa hii ushuda mimi na Ruben turudia pamoja AMEN please pastor nikumbuke kwa maombi yako kila wakati ❤❤
@RosekinanuGitari
@RosekinanuGitari 4 ай бұрын
Pastor mungu akubariki nauongezewe miaka mingi nimekupenda umongea vizuri na hiyo family
@BrezyMary
@BrezyMary 5 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏🙏
@catrhine93
@catrhine93 5 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏
@ThomasMomanyi-m2s
@ThomasMomanyi-m2s 5 ай бұрын
Pst I live you so much but one thing is not right ni kuita mke wa mtu caretaker c kupenda kwake huyu alimtoroka akakutana na mti pia anaoitia wakaishi na wao plz naomba ujaribu kuwashikanisha plz
@shizney.norry45
@shizney.norry45 5 ай бұрын
👏👏👏👏👏👏
@abrahamotienojuma6910
@abrahamotienojuma6910 3 ай бұрын
Kubaliana na hii kabisa
@WinnieOmbaire
@WinnieOmbaire Ай бұрын
Utabaki na bank yako😅😅😅kiburi 😮😢
@lucykwamboka-hr9mc
@lucykwamboka-hr9mc 5 ай бұрын
Ameeeeeen Ameeeeeen
@maggiekanorio4905
@maggiekanorio4905 5 ай бұрын
Huyu mwanaume anakaa mnigeria
@nancyomboga2807
@nancyomboga2807 5 ай бұрын
Ndoa ni ujungu my dears wacha mungu ampiganie mimi na ndoa Hapana
@AAa-po6tg
@AAa-po6tg 4 ай бұрын
Naomba ndoa yangu ipone mpango wa kando atoke ndoa yangu regeza
@Clairesimiyu-c6u
@Clairesimiyu-c6u 3 ай бұрын
Kupitia hii unganisho na mimi niregereshewe ndoa yangu ya kwanza mchawi akufe na mama yake
@christineh990
@christineh990 5 ай бұрын
How do I reach new life kisii,kindly give me direction
@MungaPiri
@MungaPiri 4 ай бұрын
Hello naomba number ya Pastor Gillack
@BrezyMary
@BrezyMary 5 ай бұрын
Amen hata yangu irudi tuwe na amani Kwa familia yetu na watoto
@NellyJepchumba-d7u
@NellyJepchumba-d7u 4 ай бұрын
Amen
@CatherineKawira-d8y
@CatherineKawira-d8y 4 ай бұрын
Yesu mwana wa mungu rejesha ndoa yangu kwa jina la yesu kristu.
@iscaratieno1874
@iscaratieno1874 5 ай бұрын
Pastor uniombe boss wangu anataka kunibadilishia ungonjwa mguu yangu ya right side inani una niuma ndani ya mfupa Pastor mimi siku kuenda kazi kwake animalistic ungonjwa nilienda kazi
@josephineamujaro5283
@josephineamujaro5283 5 ай бұрын
Eeh bwana ninyenyekeshe naami..
@paulineaule1755
@paulineaule1755 5 ай бұрын
Amen
@angle3600
@angle3600 4 ай бұрын
Ila makanisa mnakosea ,sasa yule alie mzalisha akainge na watoto jamani hii sio poa.
@mercykuraru3875
@mercykuraru3875 5 ай бұрын
For real the my lady how can you ask forgiveness to your spouse looking other side
@PamelaChepkirui-ns4lw
@PamelaChepkirui-ns4lw 5 ай бұрын
Watu waje rudeness sai Ile baba zetu wanatuongelesha
@ColletaOngango
@ColletaOngango 5 ай бұрын
Huyu Mama ako na kiburi sana, Heshima hana why is she pushing the microphone? Nyenyekea tukombolewe, utabaki na bank bila Mume.
@dawni9464
@dawni9464 3 ай бұрын
Ameumia rohoni juu bwana ako na WA awake wengine. Mama amejaribu kusema bwana wake ako na mpaka picha za WA awake anawaita my wife my wife. Lakini Pastor hakumpa nafasi afungue roho wake. Mama, baada ya kuzaa, aseme anatoka kwake, anataka kuacha bwana, huyu mama ameumia. Asemi hivo bure. Nobody wants to leave a husband, marriage without so much pain, especially the pain of a husband seeing other women.
@EstherKanene-c7z
@EstherKanene-c7z 3 ай бұрын
Mama why are you like that
@dorcaswambui7821
@dorcaswambui7821 3 ай бұрын
Why dont you listened to this lady plus ongea na mwanaume you hear the side of the man, stop judging womem
@Godneverfailed
@Godneverfailed 4 ай бұрын
Huyu Mama anamakosa
@mercykuraru3875
@mercykuraru3875 5 ай бұрын
😂😂😂
@silviahnyakeri2891
@silviahnyakeri2891 5 ай бұрын
Very rude very arrogant, will her bank plate marry her?
@priscahlishindu941
@priscahlishindu941 5 ай бұрын
Amen
PASTOR GILLACK'S PAINFUL STORY IN MINISTRY
23:11
NEWLIFE CHURCH - KISII
Рет қаралды 27 М.
EV. EZEKIEL - BWANA NI WEWE TU (AUDIO)
27:01
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 1 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Prophet TB Joshua's Son Releases 2025 World Prophecies
17:34
Christ Our Choice TV
Рет қаралды 13 М.
NISHIKE MKONO BWANA ALBUM (NONSTOP) | BY PASTOR GILLACK (OFFICIAL AUDIO)
42:30
Pastor Gillack Music
Рет қаралды 474 М.
A YOUNG MAN WITH A HIGHER VISION, REQUESTS PASTOR GILLACK TO PRAY FOR HIM.
19:01
12 DAYS OF HOLY COMMUNION SERVICE - 6.12.2024.
3:04:46
New Life TV KENYA
Рет қаралды 32 М.
NON-STOP WORSHIP SONGS BY PASTOR GILLACK
30:01
NEWLIFE CHURCH - KISII
Рет қаралды 1,1 МЛН