CASSY POOL: WANAMUZIKI WA KIKENYA WANAWAIGA SANA WANAMUZIKI WA KIBONGO,WANA FAKE SANA MAISHA

  Рет қаралды 49,928

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 199
@JohnSichone-y7e
@JohnSichone-y7e 2 ай бұрын
Kama umegundua kuwa cassypool anaakili kuliko mwijaku wetu gonga like
@manofthepeople5014
@manofthepeople5014 4 ай бұрын
Cassypool usirudi Kenya baki huko na kakako Mwijaku uchinjwe December mbwa ww 🤣🤣
@coolbz133
@coolbz133 4 ай бұрын
abaki huko huko asirudi atu muder kwa wabogo😂😂
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 4 ай бұрын
Hii nido sabab mnakuwa nyuma nyie roho mbaya zenu, na ubinafs.
@nomineetz255
@nomineetz255 4 ай бұрын
😂😂
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 4 ай бұрын
Jamani tuna wanyama wengi 😂😂😂😂
@ramamakelo3780
@ramamakelo3780 4 ай бұрын
Tanzânia, Kenya na Uganda all together we are family, you know white mens they try to devide our territory
@AishaMiraj-c5x
@AishaMiraj-c5x 4 ай бұрын
Machawa..wamekutana..mzeee
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 4 ай бұрын
Following from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Onekenya93404
@Onekenya93404 4 ай бұрын
Cassy Pol is that fellow that you will never like to invite for any meal, he eats everything including oxygen in the surrounding environment, but is a good guy anachapa kazi safi na hizo mambwembwe zake. Chawa wa rais mwenyewe.
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 4 ай бұрын
Nimeipenda sn hii interview
@FredWaiyaki-ix7gz
@FredWaiyaki-ix7gz Ай бұрын
Listening from Kenya..much love ..
@AROMAA-KING_MUSIC
@AROMAA-KING_MUSIC 4 ай бұрын
Cassy pool ni mjinga sana😂😂😂😂
@Nikita_8017
@Nikita_8017 4 ай бұрын
KING KIBA ❤ AND I SALUTE
@rajabu4irrigation931
@rajabu4irrigation931 4 ай бұрын
Cassypool Chawa la East Africa
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 4 ай бұрын
ila katika digital platform itune huko apple music wanatukimbiza sana kibiashara......
@MussaMbarouk
@MussaMbarouk 4 ай бұрын
Kweli wamefanana mpk vichwa!
@Aziza-z4f
@Aziza-z4f 4 ай бұрын
Mashaallah tabarika allah
@philo_the_barber
@philo_the_barber 4 ай бұрын
Bitter truth, we consume a lot from tanzania than ours here in Kenya 🇰🇪
@MohamedyNabil
@MohamedyNabil 4 ай бұрын
Mashaallah❤❤ jamaa nimeielewa 254
@pablowiseboykenya
@pablowiseboykenya 4 ай бұрын
Cassypool king
@jacobsimkoko3096
@jacobsimkoko3096 4 ай бұрын
Chawa promax ya TZ kutoka Kenya BIG UP BROTHER
@philo_the_barber
@philo_the_barber 4 ай бұрын
I like the interview ❤
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 4 ай бұрын
Kenya tatizo ni ukabila na kuamini wao wanajuwa english😂😂😂
@iddyjuma3795
@iddyjuma3795 4 ай бұрын
Yacoub maalim
@judithkirenga9977
@judithkirenga9977 4 ай бұрын
Cassypool kachoka kusifia watu wasio na hela ameona aje zake bongo ❤😂😂
@WillfredOnesphoro-in1lp
@WillfredOnesphoro-in1lp 4 ай бұрын
Kwaiyo uchawa saiv Ni carrier na mentor wao Ni jaku boy 😂😂alooo
@bancholatino
@bancholatino 4 ай бұрын
Casy pool amepigwa maswali mawili akabreak charachter 😂😂😂😂😂😅😅😅
@mwerrymsabatto254
@mwerrymsabatto254 4 ай бұрын
Kenya wasanii kiukweli hakuna ushirikiano kwa aina yoyote ile!kila anaye sikika basi aombwapo support na upcoming artists huleta dharau!
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 4 ай бұрын
Mapacha
@StanoeAdore
@StanoeAdore 4 ай бұрын
sisi si weusi, ni rangi ya kahawia🤣🤣
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 4 ай бұрын
😂😂😂
@Dcreature-Tz
@Dcreature-Tz 4 ай бұрын
Asante for hio respect
@izzablandamusic5572
@izzablandamusic5572 4 ай бұрын
Unachomea wakenya bro au unechukuwa citizenship ya Tanzania
@brigidlumwaji4387
@brigidlumwaji4387 4 ай бұрын
Ahame kabsaaa
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 4 ай бұрын
MashaAllah Allah endelee kumuongoza❤
@raviancitygeng
@raviancitygeng 4 ай бұрын
Casspool we ni Mafi usirudi hii Kenya ubwa sana Malaya ww ..u must protect your country if you're really patriot...ukae hapo tz
@swalehehamza9636
@swalehehamza9636 4 ай бұрын
Jamaa yuko smart
@rukeittorvald3450
@rukeittorvald3450 4 ай бұрын
U mentioned willy paul....????? 😊😊😢Eeeh u will dance
@nikkitokke8162
@nikkitokke8162 20 күн бұрын
😂😂😂😂 wakenya majirani wana hasira hapa...wazungu wa East Africa
@barbiepixie92
@barbiepixie92 4 ай бұрын
Atakua anataka kuoa mke wa pili ndo maana kaamua kuslim😂maana wanaume duh! Mke wake akae chonjo
@DaudiDollar
@DaudiDollar 4 ай бұрын
Huyo cassy pool ata kenya hatumjui....mshamba tu
@musasulaiman8881
@musasulaiman8881 4 ай бұрын
We sio Kenya. Tz music is far men. You can't stop good music, the only thing you are left with is pure hate, period
@dieumerciciruhula
@dieumerciciruhula 4 ай бұрын
Courage saaaana
@urjohn_1
@urjohn_1 4 ай бұрын
"hechii araa" Wharra these 😂😂
@Lupasson
@Lupasson 4 ай бұрын
huyo ni kaka ake mwijaku
@Yangaone-h8j
@Yangaone-h8j 4 ай бұрын
Nikweli kabisa yaani wanafanana hadi vichwa🤣🤣😂😂
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 4 ай бұрын
nmependa2 vile ameslim kua muislam allah amjaze kher na hekma zaid...💐💐💐 ila ninachochukia kwa huyu kaka huaga ni mbinafsi sana📌📌📌 kuna kipind alikua anatukandia sana watanzania na kujarib kueka matabaka baina ya tz na kenya
@tonie5447
@tonie5447 4 ай бұрын
Yaaan unaamini unayo sikia machawa wakiongeaaa😅😅😅😅😅 duuuh
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 4 ай бұрын
Unapenda ujinga anasilimu kwa sababu ya mziki na uchawa
@MasanjaMasanja-mz3ll
@MasanjaMasanja-mz3ll 4 ай бұрын
Kwahiyo Hilo ndilo uliloliona la maana
@georgelay5426
@georgelay5426 4 ай бұрын
Unawaamini hawa wewe?
@vinny.morales
@vinny.morales 4 ай бұрын
Kweli Waislamu mna akili fupi kweli😂... kwahyo unaamini kabisa chawa kaslimu??😂😂😂
@patrickmwangangi5724
@patrickmwangangi5724 4 ай бұрын
Kweli classic fm mama hasupport +254 music
@GabrielMwoya
@GabrielMwoya 4 ай бұрын
Badala ya kuokoka au kuslim Kwa ajili ya Mungu unaslim Kwa ajili ya dini.....mfano tu: Kuna mtu anaonyesha tabia nzuri nje lakini akiwa pekee ni balaa na Kuna yule anaonyesha tabia zake hadharani akienda Kwa Mungu anajua tabia zake mbaya haendi akijipiga kifua...Kuna hadithi hio Kwa bibilia mtu mwenye dhambi alieomba msamaha na Kuna yule mtu mwenye tabia nzuri alikua anajipiga kifua. Na Kenya Wana Ngoma za gengetone na Urban tone na tunazipenda.
@danmatiku5840
@danmatiku5840 4 ай бұрын
Huyu haelewi urbanton...ni mzee sisi tunasikiza set it dyna cods
@zakayomuhindi3726
@zakayomuhindi3726 4 ай бұрын
Cassypool ni matako😅 Sasa ameenda kulamba watanzia matako juu ya kuwafurahisha🤣🤣🤣🤣
@hassanamani2131
@hassanamani2131 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bIHbmmOXjLqhl7csi=gTbcmV46joUu9pM3
@naibei_Tv
@naibei_Tv 4 ай бұрын
Sisi ni others😮occupy cassypool
@dadychaps7527
@dadychaps7527 4 ай бұрын
Rep...+254🇰🇪....🙌✌️💪
@faithngendo2064
@faithngendo2064 4 ай бұрын
Huyu cassypool achinjwe December siet!
@Kenyanspy
@Kenyanspy 4 ай бұрын
Bure kabisa😂😂
@JuicyVybz
@JuicyVybz 4 ай бұрын
Hata cassypool anaiga mwijaku na H-baba😂😂sasa hakuna kitu anatuambia! Yeye ana wimbo upi???😂😂 Kweeeera!!!
@Fatema-l9s
@Fatema-l9s 4 ай бұрын
Mzee wa kutairii😂😂😂😂
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 4 ай бұрын
Wacha huyo cassypool afike kenya mtamuona atakavyo wasalitii 😂kipetero kiesu huyo anajaribu tu asiteleze maana ako kwenu
@hassanYusuf-n4o
@hassanYusuf-n4o 4 ай бұрын
Mashaallah
@kizazisanagang
@kizazisanagang 4 ай бұрын
Cassypoool 😂😂😂 anaongea fact
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 4 ай бұрын
Proud of president who has done nothing,hata hakuna maendeleo tangu hakuwe rais
@ashtivkenya
@ashtivkenya 4 ай бұрын
KENYA Mimi ndyo mnoma2
@OCHUMASIHI
@OCHUMASIHI 4 ай бұрын
Khaa hy mwijaku wa Kenya mbn anawanyea sn wakenya wenziwe
@khadijaabdalla8652
@khadijaabdalla8652 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@AggreyHamisi-og2fm
@AggreyHamisi-og2fm 4 ай бұрын
Yaaan hata mfanyeje , lzm mmtaje tu diamond, msijifanye mnamkwepa 😂😂😂.... Kama hapo cassypool anasema Kuna watu Kenya had wanaweka nguvu kujifananisha na wasanii wa Tanzania kama ....... (Akastop kidogo, ilibidi ataje diamond ila akahairisha 😂😂😂).
@KHALFAN-m4o
@KHALFAN-m4o 4 ай бұрын
Katajwa saa ngapi
@JumaJaguar
@JumaJaguar 4 ай бұрын
Hapo ni nyumban mbona katajwa au ujasikia
@AggreyHamisi-og2fm
@AggreyHamisi-og2fm 4 ай бұрын
@@KHALFAN-m4o ndo nasema wanakwepa. Kutokumtaja , ila Sasa haiwezekan..... Zipo situation lzm ziwabidi wamtaje tu
@KHALFAN-m4o
@KHALFAN-m4o 4 ай бұрын
@@AggreyHamisi-og2fm huna uhakika na unaloliongea
@familyone2083
@familyone2083 3 ай бұрын
Kiswahili ndio kinawaangusha Kenya. Kwanza wana Muziki wa kenya wajifujze kuongea kiswahili sawasawa.
@BunjunjuTv
@BunjunjuTv 4 ай бұрын
Cassypool njaa itakumalisa wewe umezoea kwenda kuomba chakula kwa ringtone 😂😂😂😂
@livekutsmedia8139
@livekutsmedia8139 4 ай бұрын
Yakub Makachieth
@KalenjeMasoud-vg3om
@KalenjeMasoud-vg3om 2 ай бұрын
Wanaukiza maswali ya kipuuź wangekua pale jana na leo wasaf kipnd kingekua bora sana
@karimkinwary4668
@karimkinwary4668 4 ай бұрын
Hyo marshpool mbona hammwongeleshi yko kimyaaaaa😂
@BantuNation2
@BantuNation2 4 ай бұрын
Eeeh casypool bana yaani unachoma aisee
@fredkeya5637
@fredkeya5637 4 ай бұрын
Casspool ni ng'ombe sana
@rayanjoseck4458
@rayanjoseck4458 4 ай бұрын
Hawa tutawatumia Og to silence them
@Lovy254
@Lovy254 4 ай бұрын
Huyu huwa hatujamtma manake anapenda sana kupapatkia watu ili ajikidhi kimaisha.Mpelekeni kwa Adam ampapase mndanda
@kelvinmarcus7436
@kelvinmarcus7436 4 ай бұрын
Wabongo mtajua hamjui sema sarcasm😂😂😂😂😂 hamumjui cassypool nyinyi😂😂😂😂
@hassanamani2131
@hassanamani2131 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bIHbmmOXjLqhl7csi=gTbcmV46joUu9pM3
@hus-keenwizer679
@hus-keenwizer679 4 ай бұрын
Mziki wetu ni Kenya flavor
@alexkadzomba1423
@alexkadzomba1423 4 ай бұрын
Ruto hapendwi Kenya wacha kudanganya wa tanzania
@MAINA_THETHERE_1704
@MAINA_THETHERE_1704 4 ай бұрын
Nashangaa
@tumainimayala8187
@tumainimayala8187 4 ай бұрын
Hata huku TZ Samia hatumpendi..Mwijaku th na chawa wenzake ndiyo wanamfagilia
@Mwakalehillary
@Mwakalehillary 4 ай бұрын
Majirani... Mmemwalika tahira
@AnthanusMutava
@AnthanusMutava 4 ай бұрын
Watanzania mnafaa kujua Kizungu kwanza mwache kuwa hivyo 😂😂😂
@mangofish9079
@mangofish9079 4 ай бұрын
Ukijua kizungu halafu ukienda uingereza au popote pale ukiingia duka la chakula hutolipia kwa sababu wee unajua kizungu? Watumwa wa fikra nyie wakenya but sio wote.
@AnthanusMutava
@AnthanusMutava 4 ай бұрын
@@mangofish9079 wewe sijui shida yako ni gani lakini kwanza pimwa ugonjwa wa akili 😂😂😭
@hassanamani2131
@hassanamani2131 4 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bIHbmmOXjLqhl7csi=gTbcmV46joUu9pM3
@senziashwaibu3219
@senziashwaibu3219 4 ай бұрын
Mpuuzi wewe
@ericstichy4390
@ericstichy4390 4 ай бұрын
Lambistic..bomboclat
@urjohn_1
@urjohn_1 4 ай бұрын
Cassypool anawahadaa tu hapo... Hana Sauti yoyote huku Kenya
@YusufAlid
@YusufAlid 4 ай бұрын
Cassypool ni njaa inamsumbua
@toilidaniel4278
@toilidaniel4278 4 ай бұрын
hapa kwetu wasani wapo ni wachache mnoo
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 4 ай бұрын
Wakenya tunaimba matusi
@SHADRACKWANDERA-s4n
@SHADRACKWANDERA-s4n 4 ай бұрын
Vipara vikuu
@israelmkaka2807
@israelmkaka2807 4 ай бұрын
Acheni Kuzungumzia UDINI,
@sethgoldsgym8039
@sethgoldsgym8039 4 ай бұрын
Baki Tu huko bro
@Jontekany254
@Jontekany254 4 ай бұрын
Cassy pol kwnza wee ni msanii wa ngoma gani ..
@Num3er38
@Num3er38 4 ай бұрын
Mwijaku katulia kama mzima kweli vile, Kumbe...... Hongereni interview iko poa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@drblaiz-z2t
@drblaiz-z2t 4 ай бұрын
Jitu na akakwota
@Bobbrownjumbo
@Bobbrownjumbo 4 ай бұрын
Huyu mbwa mnampa airtime ya bure, akirudi kwao na kiki yake imeisha. Uchafu huu
@Ethanmutugi
@Ethanmutugi 4 ай бұрын
Wewe kaa uko usirudi 🇰🇪 😂
@AntonymMacharia
@AntonymMacharia 4 ай бұрын
Cassypol ww ni mkumbafu sana mzee ana kitambi kikubwa lakini akili una otile brown ni nani bein,nyashiski,nandia arrow ni wafanya kazi wa mkeo acha umalaya
@habarikazanzibar3667
@habarikazanzibar3667 4 ай бұрын
Kenya wasome kinachofanyika Tanzania kukuza sanaa zao
@vanjay8685
@vanjay8685 4 ай бұрын
Sanaa ipi io mliotuzidi kenya?? Mziki?? Tuonyesheni grammy maana tunazo zaidi ya kumi... Kama ni kuigiza Hollywood wakenya wamejaa uko, riadha hata usiseme... Usidanganywe na mbwebwe za wehu... Tanzania mna safari ndefu sana
@hemajosephat
@hemajosephat 4 ай бұрын
@@vanjay8685😂
@NurdinOzil
@NurdinOzil 4 ай бұрын
Unafirwa ukiwa wp?​@@vanjay8685
@emmanuelopiyo6408
@emmanuelopiyo6408 4 ай бұрын
Ma djs na maredio presenters wameua mziki wa Kenya kabisa
@senziashwaibu3219
@senziashwaibu3219 4 ай бұрын
Kenya watulie hawana jipya wao wanajua kingereza tu mengine hawana maajabu
@kevolution6769
@kevolution6769 4 ай бұрын
Huyo ni mtafta tu kiki hata kenya hatumtambui
@chachumoo5178
@chachumoo5178 4 ай бұрын
Wewe ndo uliwalipa cassypool tuheshimiane
@NijimbereGREGOIRE-u4u
@NijimbereGREGOIRE-u4u 4 ай бұрын
Com
@damianmcba9525
@damianmcba9525 4 ай бұрын
Mjanja sana angalia anavyokwepa kutaja Diamond,, anaona asilete matatizo bure""" Kuna Diamond wa kenya ndie anamzungumzia alieiga muonekano wa Mondi
@naibei_Tv
@naibei_Tv 4 ай бұрын
Huyu asiingie jkia
@KINGGEORGE007
@KINGGEORGE007 4 ай бұрын
Cassi fool 😂😂
@hassanodiwa
@hassanodiwa 4 ай бұрын
Cassy pool hapo Kwa Ruto unatucheza.Ruto is taking this country to its knees.We are literally taking him home,come 2027
@loycekarisa2890
@loycekarisa2890 4 ай бұрын
Acha ujinga wasanii wko kenya
@djbushmeatfans9825
@djbushmeatfans9825 4 ай бұрын
Cassypool anatuona kama.matako yake
@yusufwabwire
@yusufwabwire 4 ай бұрын
casypool yanfaa usalimiwe
@KalenjeMasoud-vg3om
@KalenjeMasoud-vg3om 2 ай бұрын
Mbona mwijaku anaingilia kazi ya kuhost yan anaendesha kipindi ajulikan
@AliDyeka
@AliDyeka 4 ай бұрын
Uyo casapool ni mgonjwa wa akili na si mkenya ni mganda
@MobarokIddy
@MobarokIddy 4 ай бұрын
huyu jamaa yuko straighty
VITUMBUA
13:12
Joti TV
Рет қаралды 240 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
#zandaaani MAKOMANDOO WAMVAA KIJANA, WATAKA JEZI YAO
5:43
Wasafi Media
Рет қаралды 24 М.
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН