Ukimsikiliza hanc kuhusu mabululu huwezi kupeleka Timu
@IbulaimudaudiMwanjalaАй бұрын
Wewe ulisema simba hawezi ktoboa kwa Tripoli sasa simba imemfukuzisha kochawao hiyo nitimu yapili kumfukuzisha kochawao jaribu kuwa unazungumza vizuri
@MagrethCostantineАй бұрын
Mabululu au mabololo?
@nemmythobias7976Ай бұрын
Kwanza simba alikuwa anakabia mind block sio low block maana ilifika msa wakaanza kupiga long balls
@User92.invisibleАй бұрын
Hans safi sana.
@flova7022Ай бұрын
Mtakojoaa njitiii subr jpili
@HajiAlly-fl1dmАй бұрын
Na hupaswi kuiongelea simba ww dogo hujui lolote, kaa uichambuwe utopolo wanao kushawishi uiseme simba kwa kuivuga
@kakore_jrАй бұрын
KUPAKI BASI FRESH . MBONA YANGA NA MAMELOD WALIPAKI BASI NJE NDANI AU MUMESAHAU
@maliadii4829Ай бұрын
Kupaki basi ndo game plan nzuri Hans acheni kuwa waongo hakunaga mpira wa kupaki unaokuaga una tija
@MgazaMhinaАй бұрын
Sasa ulitaka wafungwe,kila kitu ni mipango
@davidjoseph1143Ай бұрын
@@MgazaMhinamvumilie c unajua ujing ni ttzo😊
@relaxstarmanАй бұрын
Huyu hansi mchambuzi mzuri sana anajua sana🎉🎉🎉
@KhamisMahmudАй бұрын
afu ww hans ww jamaa ndiy huwa nimamluki wayang
@user-gc8jc1sh4zАй бұрын
😂😂Acha ujuaji ndugu...weewee sio kochaa na hujui mbinu za kochaaaa😂😂 chambua mpira ila usimalize maneno😂😂
@norregaraper5383Ай бұрын
Huyo mchambuzi wa mchongo c alitabili Simba anafungwa
@swabilimohamedi4630Ай бұрын
Kwani nyie mnatumwa na nani taifa lipo vitani nyie mnakatisha wachezaji tamaa
@benomdaile7081Ай бұрын
😂😂😂kinaona haibu eti simba itapoteza kiko wapi sasa.
@frankkatunzi6183Ай бұрын
Jamaaa tulikua tunamuamin kwenye uchambuzi lakin sijui aliiingiliwa na nn maana mm saiv nikimuona kweny uchambuzi napita tu sitaki kusikia uchambuzi wake
@abdallahshariff6555Ай бұрын
Hamna jipya,Mabululu Mabululu tumechoka
@IbuSimbaАй бұрын
Wakwanza naomba like zangu wadau wa 🎉🎉
@abubakarbajun3503Ай бұрын
Hans wee unataka tuukutukanee falaa wewe
@anithawidambe7543Ай бұрын
KWA UWEZOWA MUNGU SIMBA ITASHINDA. Na nyie mnaikatisha tamaa sana SIMBA. SASA SUBIRINI MUONE.
@KhalefMohammed-j6bАй бұрын
Amewapata tayari
@IbulaimudaudiMwanjalaАй бұрын
Huyo hansihamnakitu hajui kuchambua mpira yeye ilimladi anavyo waza kichwani basically yeye analopoka
@MauBondeАй бұрын
Aliosababisha penati ni mchezaji gani vile,watani wajikaze la sivyo jiji litakua kimya siku hiyo.tuwapeni Moyo ila watani Wana kibarua kikubwa Sana.
@SadamSarita-t7zАй бұрын
Kwaiyo kulikua napenat?
@ifmknowledgepower7333Ай бұрын
Hansi nilikua nakuamini ila sasaivi nimekushusha viwango, una uyanga mwingi sana.
@davidjoseph1143Ай бұрын
Yeye mwenyew hkuamini ,we c utopo au?
@samirshabani-yu4xuАй бұрын
Nawewe unachambua nn mafara
@naukichiwinga2374Ай бұрын
Kumbuken mlichokiongea kabla ya hik msije kupita mbali na maneno yenu mwanzo
@BachohusseinhusseinbachoАй бұрын
Duh jamaaa anatumiah nguvu kuongea
@mosesjacksonkarashani2642Ай бұрын
Low block usimfanyie Yanga. Utapigiwa sambusi mpaka uachie 😂😂😂
@flova7022Ай бұрын
Kwa beluizdad ilikuajee
@mosesjacksonkarashani2642Ай бұрын
@@flova7022 Alipigwa 4 kwa Mkapa. Ilibaki kidogo apigwe 5 kama Simba.
@flova7022Ай бұрын
@@mosesjacksonkarashani2642 tunaongelea away... Afu nyie limbukeni Sanna hiv 5-1 nna 5-0 kipi kikubwa vyura bbanaaa
@mosesjacksonkarashani2642Ай бұрын
@@flova7022Kama uliona mwenziyo kapigwa chache lete timu yako. Tunaibonda tu😂
@flova7022Ай бұрын
@@mosesjacksonkarashani2642 we jamaa Mpira umeanza fuatilia lini...au ndio naongea na mtoto wa 2000 nini..au umeanza shabiki yanga kipindi cha zahera....uliza wakongwe ndio utajua yanga hizo tano.bila sita bila ..mmebugizwa mnoo
@HusseinDudeАй бұрын
Uyo hans ni mwenu tu ana lolote
@mchumawilfred6529Ай бұрын
Nyie wala bahasha ngoja tu mtakanyagana Jumatatu baada ya Simba kushinda na kutia group stage