BASATA WANATAKA KUNICHEZEA MCHEZO/ WATANZANIA SIYO WAOGA NI WAVUMILIVU TU

  Рет қаралды 45,058

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 95
@PaulYuda
@PaulYuda 15 күн бұрын
crown media kwl hapa ni nyumbani yaan kitendo cha kupost wimbo wa ney wa mitego mmeonyesha kua mmekuja kivingine sas nasisi mashabiki tutawasaport kivingine❤❤💥💥💥
@SangaliPower
@SangaliPower 14 күн бұрын
Tuta wasupport mpaka washangae crown
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 күн бұрын
Yaan mukiendelea hivyo tupooooo nyuma yenu🎉🎉🎉
@Abuunuwayra
@Abuunuwayra 15 күн бұрын
Mimi Ni Mwana Crown 👑 Je wewe niko Nyumbani
@abdallahmeli3109
@abdallahmeli3109 15 күн бұрын
Nyie crown media mmekuja kuwa media ya wananchi kwa kweli tunashukuru sana
@franckmaya4068
@franckmaya4068 14 күн бұрын
Kiba mwenyewe CcM sas unasema wamekuja kwaniaba ya wananchi gan mzee😂😂
@abdallahmeli3109
@abdallahmeli3109 14 күн бұрын
Bahati mbaya umekosea kuelewa kitu hapo nakukumbusha kuwa Mfanyabiashara na Biashara ni vitu viwili tofauti huwezi kumdai Kiba ukaenda idai Crown au hauwezi Kuidai Crown ukaenda mshitaki Kiba hivyo ndo mambo yalivyo unajua walihoja na kurusha maandamano media ipi ilikuwa mstari wa mbele halafu unadhani Kiba kwa UCCM angekuwa anamiliki hiyo Media angeruhusu hayo ? Biashara inayofanyika hapo yeye hawezi kuingilia ndo maana inaendeshwa na wengine
@SangaliPower
@SangaliPower 14 күн бұрын
​@@abdallahmeli3109hii kichwa ni hadhina ya taifa😂😂😂 daadek umejibu swali kwa ubongo wa 2050 yaani wajao ndo wangejibu 😂😂😂 peace bro
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 күн бұрын
Una kiti chako binguni 🎉🎉🎉🎉
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 15 күн бұрын
HAWA NDIO WATANGAZAJI SASA❤❤❤❤❤❤ SAFI.
@ChanceAmido
@ChanceAmido 14 күн бұрын
Crown this gentleman nay wamitego he is a gift from God to all nations that never get peace yet this guy never fake nothing Africa we should be proud of him because isn't everyone can stand up and talk through God bless you nay viva nay live longer ❤❤
@RahimChilumba
@RahimChilumba 15 күн бұрын
Hapa crown kuna kiba na kikekee,hawa wote hawafundishwi nn cha kufanya.....Kuna makubwa tutayaona na kuyasikia hapa ambayo hayatotokea kwenye media zingine
@nangasixmshamba
@nangasixmshamba 14 күн бұрын
Kama kuna wanangu wa Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 wapo hapa nyumbani tujuane ❤❤
@YusuphRajabu-hz3pv
@YusuphRajabu-hz3pv 9 күн бұрын
Nakubali majeshi ya crauni halafu chakupendeza boss hawapangii wafanyakazi wake chakufanya sio zingine ooo msimzunguzie fulani
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 15 күн бұрын
Media zingin aziwezi kumzungumzia et kwa sababu ni mwanacham wa chadema kumbe amna lolote ni Rais wakitaa anayeongelea maisha ya wananchi
@SangaliPower
@SangaliPower 14 күн бұрын
Yeye anasema hana chama mwamba kweli kweli
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 11 күн бұрын
Nafurahi crown mdia mkifurahia msanii wetu Ney Mungu awabariki
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 күн бұрын
Nyie crown munaviti vyenu binguni 🎉🎉🎉
@hamadikondo8817
@hamadikondo8817 15 күн бұрын
Daaah Crown mko vizuri kiukweli hapa ni Nyumbani ❤
@BabamdogoChris
@BabamdogoChris 12 күн бұрын
Naomba like za Grown media jamen
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k 15 күн бұрын
Hapa ni nyumbaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@JoyceMwita-e3w
@JoyceMwita-e3w 9 күн бұрын
Mbona Sauti yako kama Ney au ni ndugu yako🎉
@FatmaAlabri-lz2cw
@FatmaAlabri-lz2cw 9 күн бұрын
yaan copy mpaka sauti
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 13 күн бұрын
Crown ni redio ya taifa mko powa sana
@fundivigaetzchannel1899
@fundivigaetzchannel1899 10 күн бұрын
Crown 👑 kweli hapa ninyumbani nipo Mwanza nyegezi 🔥🔥🔥
@SangaliPower
@SangaliPower 14 күн бұрын
Crown hapa ni nyumbani asee mmejua kutukaribisha
@nickynason958
@nickynason958 10 күн бұрын
Big MEDIA CROWN 🙌👊
@yktitho6493
@yktitho6493 15 күн бұрын
Big up sana crown🎉
@franciskomba8057
@franciskomba8057 15 күн бұрын
Saf sana crown🔥🔥🔥🙏
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 12 күн бұрын
Tulisema walioenda kwa P Didy tunawapiga mawe kwenye show zao😂😂
@IgnatusMushy-kh6tl
@IgnatusMushy-kh6tl 6 күн бұрын
Crown media mnatisha sana
@sokastreet
@sokastreet 14 күн бұрын
Magufuli alisema mwacheni aongee hisia zake
@PendoKaaya
@PendoKaaya 15 күн бұрын
Crown media kitaa we appreciate kazi zenu hamna ubaguzi. Hapa ni nyumbani trna kwa mpigo zaidi.?
@ahadisalum1989
@ahadisalum1989 13 күн бұрын
Dar mike mnazifanyia kazi 🎉 salutes Kwa wana mfalume
@SajaliAmri
@SajaliAmri 15 күн бұрын
Crown midia the super best Mungu awalinde awa2nze awajalie kila lakher kwenye majukumu yenu
@JASTINSEZA
@JASTINSEZA 15 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉Crown TV 📺 and Fm Redio
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 9 күн бұрын
😅😅😅😅😅 Dunia iko hivyoo ,anapohisi panashikika basi shika
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 10 күн бұрын
Noma sana😂😂
@JescaNaga
@JescaNaga 14 күн бұрын
crown mmetishaaaaaaaaa sana hapa n nyumbani❤❤❤🎉🎉
@NicksonRajab
@NicksonRajab 14 күн бұрын
Mko vizur wanangu crown media mko smart sana
@josephfrank4446
@josephfrank4446 15 күн бұрын
Crown ni nyumban kweli🎉🎉🎉
@YusuphuMakange
@YusuphuMakange 10 күн бұрын
Safi sana makamanda wangu unyama nimwingi mwaisa woyooooo
@fidelissayejo5856
@fidelissayejo5856 11 күн бұрын
Tunaomba namba ya mchango asee
@theboyofficial7441
@theboyofficial7441 12 күн бұрын
Huyu mtangazaji ni ney wamitego mtupu
@mwanaidikingazi4222
@mwanaidikingazi4222 13 күн бұрын
Jmn hii radio isibadirike huko baadae maana sikuhizi hakuma wakuttetea wasanii wamekua machawa waserikali nihuzun kwakweli 😢
@AsumaniJuma-u2r
@AsumaniJuma-u2r 15 күн бұрын
this is now the real meaning of media big up to you crown media 🎉💪💪💪
@JosephAntony-ec7vs
@JosephAntony-ec7vs 13 күн бұрын
Mmeuwaaa watangazaji pekee tz hiii
@AmaniMgalla-eb2ll
@AmaniMgalla-eb2ll 15 күн бұрын
Crown 👑 this is family ❤
@NemesMasawe
@NemesMasawe 14 күн бұрын
Nay true fact broo
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 15 күн бұрын
Full package hawa jamaa
@oscarowenya-gr7xi
@oscarowenya-gr7xi 14 күн бұрын
crown👑
@gangan4618
@gangan4618 2 күн бұрын
Safi sana.
@shaibushalo9805
@shaibushalo9805 15 күн бұрын
Crown media
@SylivesterKilunga
@SylivesterKilunga 14 күн бұрын
Sijapata namba ya kumchangia naipataje Ney hongera
@BuraramaKwibe
@BuraramaKwibe 15 күн бұрын
Uyu jama anajuwa imba umetisha bro
@TanganyikaChakupewa
@TanganyikaChakupewa 3 күн бұрын
Daah jamaaa kaogea kwa uchungu sanaaa
@IsayaMalinda45
@IsayaMalinda45 14 күн бұрын
🔥🔥
@reginamayuto1357
@reginamayuto1357 15 күн бұрын
Powa sana ❤❤❤
@JulesBdi
@JulesBdi 6 күн бұрын
Nay yupo sawa njoo vile wa viongozi wa inchini zote hawataki ushauri
@PembaWimbi-w2c
@PembaWimbi-w2c 11 күн бұрын
Motooooo
@BabamdogoChris
@BabamdogoChris 12 күн бұрын
Rais wa kitaa nimeona pacha wako
@Lebabaz
@Lebabaz 15 күн бұрын
Daah kweli hapa ni nyumbani
@PeterJohn-sg4oe
@PeterJohn-sg4oe 9 күн бұрын
Matumizi mabaya ya Ofisi
@ArabiDua-ct8bl
@ArabiDua-ct8bl 15 күн бұрын
Wakitaka kumteka
@bahatimugabo9642
@bahatimugabo9642 13 күн бұрын
tunaomba namba ya kichangia
@User92.invisible
@User92.invisible 13 күн бұрын
Crown
@TakatoYasini
@TakatoYasini 10 күн бұрын
Vp jamani ney wa mitego yupo salama
@NuwayraHamidu
@NuwayraHamidu 14 күн бұрын
Huyu jamaa ni pacha wa ney !!
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 10 күн бұрын
Ney nimkuu wamuache raisi wakitaa aseme ukweli
@pastorlazarosamwelkilala5795
@pastorlazarosamwelkilala5795 12 күн бұрын
Kikeke na fikiri ana chambe chambe za BBC
@BuraramaKwibe
@BuraramaKwibe 15 күн бұрын
Nyumbani kweli ni hapa
@HajiAbdallah-x6m
@HajiAbdallah-x6m 11 күн бұрын
Nakuwaga simpng ney wamitego
@Ganzaboke
@Ganzaboke 10 күн бұрын
Humutangaji anasiti kuimba ana weza kweli
@emanuelrais2950
@emanuelrais2950 12 күн бұрын
𝐎𝐲𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐦𝐩𝐚𝐭𝐢𝐚 𝐤𝐢𝐧𝐲𝐚𝐦𝐚
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 15 күн бұрын
Yaan niseme ukweli huo wimbo wa ney hutoona mtoboaa pua au mtoboa masikio kucomment au kutoa honger
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 14 күн бұрын
Hapa ni nyumban
@yasrikomba7874
@yasrikomba7874 15 күн бұрын
Mtupigie nyimbo zake redio mbn kikwete alikua poa tu zinapigwa tu
@VyamuBwoy
@VyamuBwoy 12 күн бұрын
Hapa ninyumbani
@NemesMasawe
@NemesMasawe 14 күн бұрын
Hapa nyumban
@estaodasi-bg6om
@estaodasi-bg6om 13 күн бұрын
Hapa ni nyimbani
@saumuabdallah198
@saumuabdallah198 15 күн бұрын
Ney ni mwamba tumpe urais bora tuongozwe na mhuni kuliko ms*g*ji📌📌📌 basata wanatumiwa na s*mia
@AmourAmour-ux3nm
@AmourAmour-ux3nm 10 күн бұрын
Tumeelewa punguz ukali wa maneno
@NassoroRupia
@NassoroRupia 15 күн бұрын
Apa ni nyumbaanii❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jumarajab5316
@jumarajab5316 15 күн бұрын
ajisemee yeye asitusemee sisi watanzania
@emmanuelrweikiza6117
@emmanuelrweikiza6117 14 күн бұрын
Kwa wewe ndo watanzania si ujiseme wewe mbona yaleyale na wewe umeamua kutusemea
@HalimaRamadhani-w8l
@HalimaRamadhani-w8l 12 күн бұрын
Wewe ni mpuuzi sana kwanini unasema asitusemee sisi watanzania? Unayo akili wewe nzuri tafakari kabla ya kucoment umu ndani kwanza ujalazimishwa shwaini mkubwa
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 10 күн бұрын
Haya ndio majizi yenyewe Sasa hana uzalendo wanataka kukuza matumbo tu ndio maana Kila siku hatuishiwi majanga kwa watu wapuuzi km hawa elimu yenyewe tunasoma tu hapa bongo lakin hamna kitu kabisa
@mwesigyeglory215
@mwesigyeglory215 8 күн бұрын
Sema asikusemee ww kibaraka na mtumwa wa utawala wenu wa kipumbavu
@HagaiKisaka-et1uk
@HagaiKisaka-et1uk 6 күн бұрын
Koma
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 15 күн бұрын
HAWA NDIO WATANGAZAJI SASA❤❤❤❤❤❤ SAFI.
@EvaristDaniel-y1x
@EvaristDaniel-y1x 14 күн бұрын
Hapa ni nyumban
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 32 МЛН
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 3,1 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 81 МЛН
MIMI NI MTANZANIA | KAZI  MWANJESHI NIMEAJIRIWA MAREKANI | AKUTANA NA BABA LEVO
13:39
Mbarikiwa amvulia shati Ney wa mitego
6:54
Yusufu Mahendeka
Рет қаралды 15 М.
MPOKI / BROTHER KEY_ MJOMBA CHIZI
23:09
BONGO LAND
Рет қаралды 76 М.
MTU TATU NDANI YA MEZA MOJA HAPA NI VINA NDANI YA MICHANO
23:43
Crown Media
Рет қаралды 7 М.
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 32 МЛН