Mungu akuongoze ufike mbali na ukikuwa usimtukane Simba...❤❤❤
@michaelboniface7003 Жыл бұрын
Kwelii
@HajjKombo-l9y Жыл бұрын
@@michaelboniface7003A❤❤❤❤❤❤❤❤
@Phanuel3009 Жыл бұрын
Kweli
@samielvutsipa52 Жыл бұрын
Aisse
@mudibojaffar9269 Жыл бұрын
Kweli
@irenembura8045 Жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki! Kikubwa ni Heshima na utulivu, kwani usije ukabweteka na umaarufu, kumbuka ulikotoka, mtangulize Mungu kwanza na wa pili Wazazi wako utafika mbali❤
@Sokomoko13 Жыл бұрын
Akizama gym aka gain muscle and weight kidogo atakuwa bonge moja la giant na hapo ndo ata gain followers wa nje wengi sanaa.. Na mimi ndo nampa jina La SWAHILI GIANT sio SWAHILI KID tena.. Godbless you brother.. i can see your 5 next years in music industry.. Your the future
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
Visionary
@tushylady3890 Жыл бұрын
He is only 19 no stress
@Officialmzula Жыл бұрын
D voice mdogo wangu kaza Sana tunakukubali Tanzania piya ukifanya na macvoice inakuwa good zaidi
@yohaneshamisy1632 Жыл бұрын
Asante Mbosso kwa kukiri ukweli kuwa ulikuwa unamsikia before. Maana madanga ya mke wangu ft Meja Kunta, Ilibamba sana
@Ndege254 Жыл бұрын
Swahili just sounds great i wish every African would be speaking it🇺🇬🇹🇿🇨🇩🇧🇮🇰🇪🇲🇿
@fettyrashid9042 Жыл бұрын
True🤝
@ronaldokumu7992 Жыл бұрын
Ila mwambieni queen Darleen tunamumiss kwenye game afanye arudi
@lyricalheist- Жыл бұрын
Uyu chado..ivi yupo wapi..thats a true brother 🎉
@Lilmg33 Жыл бұрын
Mungu akufungulie milango d voice but respect Kwa Simba usimtusi baada ya mafanikiyo
@flavaafrica017 Жыл бұрын
Kila nionapo hivi naimba siku mzima ,,I will be the next star
@King_damizo Жыл бұрын
mtengemee Mungu kaka Mungu ni wakila mmoja kikubwa usilizike tu sisi tupo nyuma yako kukusapoti unacho fanya
@EdwinElius Жыл бұрын
Tunawslea sisi halafu badsee mtutukane itakua sio vizur mdogo wetu heshim sana simba
@mratiscanaog1057 Жыл бұрын
SEMA all the best alaf Naona kabisa ujatupigia goma Letu la kihindi la SINGERi 😊
@Samiazke Жыл бұрын
D Voice welcome to this world.. You'll go far bro🙏🙏
@kijanayaaput8940 Жыл бұрын
Talanta ipo na mengi mazuri yatatendeka. Mungu akujalie mema, D-Voice kwa safari yako ya muziki...
@manuelpinyi2024 Жыл бұрын
If the documentary video had English translations, it would be great
@lucasthomas188 Жыл бұрын
Nadhani itakuja kutoka, WCB ni international
@salashbooben5563 Жыл бұрын
Fact🤝🤝
@wakisawakisa5455 Жыл бұрын
Sure, hii ni international
@swahilichannel7182 Жыл бұрын
You can autogenerate English caption on youtube, press setting then caption then you can choose the language ( English)
@DicksonMwita-lo6sw Жыл бұрын
Makini komaaa sana sio lelemama pambana sana mungu pia atakusaidia pia muogope sana mungu usijisahau
@vincentmushi1247 Жыл бұрын
Wote nimewasikiliza wanavyoongea na hongera sana D voice...ila mama yake D voice inaonekana ni mama pouwa sana ...mama wa kisasa amechangamka sana sister duuu fulani hivi...anenifurahisha sana...
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@triceyanga Жыл бұрын
zuchu kapaka mafuta ya lami😂😂🙌🙌
@jacklinejohnson4777 Жыл бұрын
He is just 19 yrs old wow ,may God guide you through your career D voice ❤
@Sophie-b7c6k Жыл бұрын
Amazing
@sultanaswaleh7813 Жыл бұрын
Usiseme WA TANZANIA Wenzako ttu...Wakupokee. jumlisha My son.Hata KENYA ,Pia tumekupokea. Kumbuka uta fika Hadi KENYA. Your well come my last bon son in WASAFI. LOVE YOU ❤️ SO MUCH 🥰🇰🇪
@HusseinOmary-b5u Жыл бұрын
Pambana sana
@ray45king84 Жыл бұрын
Dogo.anajua,I see great potentil...he got he looks,talent,voice,umri unaruhusu, na sasa upo kwenye biggest label.Reprent!
@MaryamAlly-cu4lr Жыл бұрын
Mashaallah mwenyezi Mungu akufanyie wepesi ufike mbali inshaallah
@DieudonneMwaka Жыл бұрын
Wcb wasafi 4life👏👏👏👏
@tee_brand Жыл бұрын
Naombeni like ZANGU ni wakwanza mm leo
@asaadalbusaidi1870 Жыл бұрын
Pamoja sana dvoive
@DorothyMwanguku-bp5ee Жыл бұрын
Keep it up D voice tuko apa kukusupport never give up
@Kaynat15 Жыл бұрын
Allah akujaalie ujasiri, uvumilivu hekima na busara upendo biidhin llah utafika mbali inshaallah
@martinonetv Жыл бұрын
Nilikuwa namkubali sana Dvoice toka Long time ngoma zake zote FROM ARUSHA 🎉🎉🎉
@Masterkhantz Жыл бұрын
naomba likes kwa D voice for the life🎉🎉🎉🎉
@ThomasMagoti-it4ty Жыл бұрын
Wcb for life❤❤❤❤
@1.bornfire Жыл бұрын
One love my brother ,Tupo pamoja nawe huku kwetu Kenya
@DorothyMwanguku-bp5ee Жыл бұрын
Kabisaa lazima tumpe support ❤
@tatuaamuuinyi9633 Жыл бұрын
Huyu mama.D kweli mama la mjini.anavyoongea sasa kweli wa temeke.
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
😂
@eshialabonita7736 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ChristinaOnditi-el3xo Жыл бұрын
Sauti ya baba D voice kama mmakonde vile,ninavompenda Dimond,sitaki kabisa yamkute Yale aliyofanyiwa na mmakonde aliepitta nana mmakonde chi ntu
@lbmaasai929 Жыл бұрын
LAVA LAVA MY GUY❤❤❤❤
@njoroboihastla Жыл бұрын
WELCOME BOY TO THE WCB UNAENDA KU TAKE OVER
@em_vee_josh Жыл бұрын
Kenyans are ready to support you in your journey bro❤
@salimsuleiman4480 Жыл бұрын
Stevo Simple Boy hana form kakaa
@DorothyMwanguku-bp5ee Жыл бұрын
Yeah 19years he is very talented keep it up tuko hapa kumsupport tuh
@juniorstanford1467 Жыл бұрын
Mungu kakuchagua ww kuingia apo. Its the matter of Time.. Piga kazi..ss mashabiki tushapewa moyo wakukupokea 🤣...piga hela hzo ndio muda Sir God kasema YES.
@phelgonaamondi8547 Жыл бұрын
May the lord stand with you throught your journey
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
Ameen..
@Zaharamohamed-xr1rn Жыл бұрын
Mashallah wallah unajua Allah akusimamie ufike mbali inshallah
Naskiliza Album Nzima Kila siku 24 hours Haiboi Wala haichuj kudadek Oyaaa we Unajua Wajina
@kwizeraathanazi5788 Жыл бұрын
Tumekupokea ila sis kma mashabiki ndaki ndaki wa wcb wasafi tunaomba huko mbele ubak na discipline km uliyo nayo sasa usije geuka kutukan ,ila kifup unajua sanaaa
@njombe_hood_dancers2023 Жыл бұрын
D voice ndio toto la Tanzania nzima hakuna wakubishaaa hakuna wakukushusha
@mlelwatv5831 Жыл бұрын
Fanya yote ufanikiwe Ila usije mtukana Simba wetu kummmmke 🥳🥳
@Lucykegoka Жыл бұрын
nyazembo
@Lucykegoka Жыл бұрын
nyazembo
@jeanpierrekiza Жыл бұрын
From USA 😊
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
Sky is limit dogo keep shining🎉🎉
@mcpwanako9091 Жыл бұрын
One day yes🔥🔥
@ClarisKedron8 ай бұрын
Mungu akufunguliy milango uimbe ufike mbal km wengene bro ❤❤❤❤❤
@Bongomovie1 Жыл бұрын
7:40 hii Ngoma inatoka lini Dadeeki 🔥🔥🔥
@dereckdavid9609 Жыл бұрын
Balaa sana😂
@GerrardnjugaKarissa-ix1tw Жыл бұрын
Uko na bidii... all da best.. unanimotivate bro..
@KalKam-f1q Жыл бұрын
Hongeraa cn Mungu akuepushie na hasad,,, lve you
@CaKaMu Жыл бұрын
Hongera sana dogo
@michaeljeremiah5364 Жыл бұрын
Wasafii wanajipanga na mambo Yao awakurupuki kabisaa
@TaarabChannel Жыл бұрын
Diamond Mange is right... Unatumia unga vibaya unakulemea.... D voice you are good... Mpitie na kwangu basi
@MrusiMweusi Жыл бұрын
Ila wasafi🔥🔥🙌
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
Dogo anajua sana Aisee
@DerickKavuka Жыл бұрын
D voice n mungu2
@mratiscanaog1057 Жыл бұрын
Kaka Mkubwa 😂😂😂 mrefu Sana
@binaljabirmshihirzanzibar8369 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Waallah
@KwizeraChanella8 ай бұрын
Umuheshimu Simba utafika mbali.unajuwa kuhimba❤
@faridapandu75796 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉watuwanatokea mbali kwakweli
@ushyentoabdulnunu8044 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤Nakupenda Mwanangu ❤❤❤
@bonirodi6301 Жыл бұрын
May God bless you D. Voice ❤
@hansprince_tz Жыл бұрын
This is wasafi and one day I will be there... Call me hansprince
@ErishaOliver Жыл бұрын
sawa mwanangu pamja sana
@EstherWekesa-gc9zu8 ай бұрын
Mungu akusaidue Sanaa device me oia n msanii na Nina imani siku moja ntafika@Timoze mnona ke
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
Mmetisha sana bt mngeweka subtitle ya kingereza na jina la kila anaetokeza na wadhifa wake kwa mfano (Salima Hemed Mother of D voice) ingeleta maana sana kimataifa kwakua naamini hii itatizamwa sio Tz tu km niwajuavyo WCB hamjawahi kuwa na jambo dogo.
@RottBlazerofficial Жыл бұрын
Saf sana❤❤❤
@DavidbecomeMalima-f6i Жыл бұрын
Namkubali sana lavalava🎉
@gagedamoursarusaru8079 Жыл бұрын
You have my support ❤ from Canada 🇨🇦 wcb4life💕
@mbaruksaid5775 Жыл бұрын
D-ameshika nafasi rayvanny
@AzaShamba Жыл бұрын
Davido, fally ipupa, alikiba, daimond, d voice, mboso na rayvan.❤❤❤❤❤NAWAPENDAAAA Ila wanaume WA ndoto ni DAVIDO, DAIMOND NA FAALYIPUPA❤❤❤😂😂😂
@SanaanJuma Жыл бұрын
You will succeed and be a big star InshaAllah👊🏿
@King_kid254 Жыл бұрын
D voice moto una kuja
@elarifmohamed5681 Жыл бұрын
Fantastique
@rahimsworld. Жыл бұрын
Nairobi tume kukubali bro 🔥
@YushanTz Жыл бұрын
Simba brother nakukubali sana
@pc_boy426 Жыл бұрын
Mungu ni mkubwa🙏
@the.sanJaco Жыл бұрын
Mungu mkubwa sana😊😊😊❤
@MujyarugambaVincent Жыл бұрын
Sogea mbele ndugu yangu 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🤟🤟🤟🤟🤟
@marshialmarshah9032 Жыл бұрын
This is so lovely
@aswaneliphas2271 Жыл бұрын
D voice respect forever
@ashooeamohammedkhamis7742 Жыл бұрын
Unajua sana 🔥🔥
@nesuutvofficial83 Жыл бұрын
Kumbe mungu anatutoa mbali aki❤❤❤
@SULEMEDIATZ Жыл бұрын
UnajüA sanaaa🎉
@ndindamwanza Жыл бұрын
Congratulations D Voice, your talent is truly impressive and we are here to support you as we push Kiswahili to the global stage
@kelvinmboya5846 Жыл бұрын
Keep it up D❤
@manajr9155 Жыл бұрын
God bless you 🙏
@SandreAlhlwah-bv1cx Жыл бұрын
Nakubali sana ❤❤❤🙌🙌
@kassimcassidy Жыл бұрын
Mungu akuongoze bro... keep your head up,put in the hard work,focus on your goals en be disciplined u will succeed...❤❤❤
@sebenmover Жыл бұрын
Uyu ana kipaji bwana
@SuleJuma-uk5bm Жыл бұрын
Apo kwenye msende sema ni kweli bd ata hii leo
@nesuutvofficial83 Жыл бұрын
Mungu akuzidi ufanya vema saidi🎉🎉🎉🎉
@bonykimory2772 Жыл бұрын
Sema D' voice unajua
@abdallahmafita6444 Жыл бұрын
Gooooooo man
@allymeso869 Жыл бұрын
Karibu sana d nakukubali toka🇨🇩🇨🇩
@MuniraShamte Жыл бұрын
Be proud of you broh... Rufiji nd hom ❤
@AbdallahMohamedi-h5m Жыл бұрын
Adi yamenitoka machoz mungu akubariki d voice
@LinahMichael-wp7tq Жыл бұрын
Wallah mazee
@SlsProductionTz Жыл бұрын
Naaam, documentary imekaa poa sana
@linnerphilip4260 Жыл бұрын
Diamond kafungua label ya pwani Mbosso Zuxhu sahv d voice