Dada Apokea Muujiza Barabarani Arusha, Baada ya Kukata Tamaa Muda Mrefu | USHUHUDA

  Рет қаралды 12,728

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@VickyNyela
@VickyNyela 2 ай бұрын
Mungu nakuomba uniponye kiuchumi mimi na mume wangu tuko sifuri.Eee Yesu kupitia ushuhuda huyu nakusihi ututendee ❤
@manyandatimoth7
@manyandatimoth7 2 ай бұрын
Mungu atatenda
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 Ай бұрын
😭😭😭😭 Mungu ninakuomba unibariki hata kwa kupitia kwa wazazi wangu,kaka yngu,dada zangu,maisha yangu yaweze kubadilika mwaka huu,nimekuwa na masikitiko sna, mtumishi naomba kupitia maombi Yako uniombee masamaha kwa mungu kwani Mimi nimekosa sana
@MariamPeter-tf1pe
@MariamPeter-tf1pe 9 күн бұрын
Ee mwenyezi mungu kwaimani naomba uniponye na mm niweze kuolewa nimechoka kulilia waume wasio nipenda wakunindaganya ndaganya tu nakuniacha nakuomba unipe mme mwema kupitia uhuuda huu wa mtumisi wako kwajina la yesu amina
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 Ай бұрын
Mungu naomba unipe kazi nzuri yenye kujaliwa
@isabelamaregesi463
@isabelamaregesi463 Ай бұрын
MUNGU akutunze sana Rev.
@mkulimatanzania
@mkulimatanzania Ай бұрын
Niguse na mimi ewe Yesu wangu!
@SaraUlaya-is2ch
@SaraUlaya-is2ch 2 ай бұрын
Nasikia kulia naomba na mm Mungu nikumbuke😢😢😢
@AnisaLema
@AnisaLema Ай бұрын
👍👍👍👍👍 haleluya mungu ni mwema kila wakati
@Norisi-c6u
@Norisi-c6u 2 ай бұрын
Amen NAMI napokea mujiza wangu
@jacklinemkay5547
@jacklinemkay5547 2 ай бұрын
Mungu mkumbuke Mwanangu
@Sophie-u6e
@Sophie-u6e 2 ай бұрын
Glory Be To Our Lord Almighty....nami natoka kwenda kuvuna
@peterjoseph-k5x
@peterjoseph-k5x Ай бұрын
I rely on you jesus
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 Ай бұрын
Amen
@williamshinini7896
@williamshinini7896 Ай бұрын
Amen 🙏🙏
@MarthaMangula
@MarthaMangula Ай бұрын
Yaani mtumishi mm Huwa nakuelewa Sana na nimekuwa nikifuatilia Sana maombi Yako na yameniusha na umenifanya nijuwe kiimani mungu akutunze iendelee kuwafundisha na wengine
@JaneyChigga
@JaneyChigga Ай бұрын
Mungu asante, najua na mimi kesho yangu umeiandaa
@NeemaMaiki
@NeemaMaiki Ай бұрын
Aminaaaa aminaaaa
@NancyMrangu
@NancyMrangu 2 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@DeboraDismas
@DeboraDismas Ай бұрын
Aminaaa
@felistamwakagile
@felistamwakagile 2 ай бұрын
Amen mtumishi ninapokea namimi ushuhuda wa kazi
@RafikiMjema-mq1sn
@RafikiMjema-mq1sn 6 күн бұрын
Mungu anayejibu maombi ya watu ngoja tumngojee kwasaburi
@NeemaMaiki
@NeemaMaiki Ай бұрын
Amina mchungaji ndio maana nakupenda sana maana nakuerewaa sana hakika Mungu akupe miaka mingi ya kuishi hapa duniani
@oldavidasemu2420
@oldavidasemu2420 2 ай бұрын
Amen mtumishi
@marymoshi-k4q
@marymoshi-k4q 2 ай бұрын
Ooh Yes hallelujah
@EdithaRobert-nj4tc
@EdithaRobert-nj4tc 2 ай бұрын
Mungu nitete na mimi nipate kazi yangu niliyosomea nisinyanyasike
@popScott-ch8bb
@popScott-ch8bb Ай бұрын
Yesu anatembea na wanao tembea
@PeterEmase
@PeterEmase 2 ай бұрын
Amen and Amen 🙏🙏🙏
@priscakimario4863
@priscakimario4863 Ай бұрын
Mungu utendaye miujiza na mimi nitendee...nifungulie milango ya kiuchumi amani furaha na pumziko la moyo......nitendee baba bidii yangu isiwe buree
@MariamSeleman-j1x
@MariamSeleman-j1x Ай бұрын
Mungu anitend na mm
@paulgobeka5063
@paulgobeka5063 2 ай бұрын
Amen baba Mchungaji kwa ushuhuda
@GRACENyanda-cn3pg
@GRACENyanda-cn3pg 2 ай бұрын
Amina
@MariamLewis-t4x
@MariamLewis-t4x 2 ай бұрын
Mungu nisaidie na mimi😭😭😭
@FadhilaKombe-q4h
@FadhilaKombe-q4h 2 ай бұрын
Fadhila@kombe Amina mtumishi
@gracerishandumilema278
@gracerishandumilema278 Ай бұрын
Mungu naomba unikumbuke na mimi kupitia ushuhuda huu
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 2 ай бұрын
AMINA.NMEJIFUNZA KITU,NGUVU YA IMANI NA UTIIFU
@EvaMunuu
@EvaMunuu 15 күн бұрын
Naomba namba ya huyu mchungaji jamanni
@esnathshop7780
@esnathshop7780 Ай бұрын
Naomba unikumbuke namimi
@truthch1642
@truthch1642 2 ай бұрын
Mungu uturehemu wewe😭
@williamjumbe1988
@williamjumbe1988 2 ай бұрын
Pastor tukumbuke katika maombi ,
@williamjumbe1988
@williamjumbe1988 2 ай бұрын
Kuna magumu tunapitia, tunaitaji mungu atuguse tufunguliwe , tumechacha
@nicksonshoo429
@nicksonshoo429 2 ай бұрын
Sasa ninatoka!
@RoseMrio
@RoseMrio 2 ай бұрын
bwana yesu nvushe
@fleviahella9818
@fleviahella9818 2 ай бұрын
Cfkfyjk
@sophiandaro3861
@sophiandaro3861 Ай бұрын
Amen
@pacifiquebarengayabo6205
@pacifiquebarengayabo6205 2 ай бұрын
Amen
@twitikebrown4945
@twitikebrown4945 2 ай бұрын
Amen
@cliffordmaboi684
@cliffordmaboi684 2 ай бұрын
Amen
@FloraHatia
@FloraHatia 2 ай бұрын
Amen
Changamoto ni Hatima / Kukimbia Changamoto ni Kujikimbia / Rev. Dr. Eliona Kimaro
13:25
Maisha Ya Watu Wengi Yanaaribiwa na Alaye | Rev. Dr. Eliona Kimaro
12:31
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 9 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 4,9 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,6 МЛН
Hakutakuwa Na Nyakati Ngumu Katika Maisha Yako I Rev. Dr. Eliona Kimaro
9:45
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 4,9 М.
Maneno Mabaya Yanavyoweza Kuharibu Maisha Yako
14:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 72 М.
Havitakoma | Shall Not Cease | Ibada ya Sikukuu yaMavuno | Rev. Dr. Eliona Kimaro
1:00:29
Usimnyooshe Mtu Kidole | USIHUKUMU | Rev. Dr. Eliona Kimaro
17:56
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 32 М.
Kumbuka Ulipotoka | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:37
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 13 М.
Nyakati Ngumu Hutengeneza Watu Hodari | Rev. Dr. Eliona Kimaro
14:25
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 11 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 147 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 164 МЛН