Mungu akubariki sana MTU wa mungu na akupe kibali uendelee kutupa mafuzo za kiroo na kiakili
@RobertEmmanuel-pl9jj8 ай бұрын
Be blessed a man of God. Nimejifunza kitu kikubwa mno mtumishi hakika Nimefwatilia pande zote umefundisha vizuri Kuna wale akina ngoja nijaribu niusikilize moyo😅😅😅😅
@bahatisophie62119 ай бұрын
Apo kwenye sifa tatu (3)asante saana ❤❤❤❤ubarikiwe zaidi Amen
@boragrethahaule88538 ай бұрын
Kwa mara ya kwanza nimekoment ktk mtandao,umenibariki sana❤
@EstherKabika-b4v8 ай бұрын
MCHUNGAJI. UBARIKIWE SANA. TUPE MAELEKEZO. YA KUISHI NA MWANAMME AMBAYE UWEZO WA KITUNZA FAMILIA HANA. LAKINI ANAKULETEA. NDUGU ZAKE KIBAO. UWALEE. KWA KEEP PATO CHAKO. MWENYEWE UNACHOHANGAIKA KUKIPATA. EJ MASECHA
@Irenemollel-dh7yf2 ай бұрын
Nimekusikiliza kwa makini mno nanimekuelewa baba barikiwa sana asante mungu kwa ajili ya mume wangu
@victoriagalinoma45326 ай бұрын
Mwenyezi.Mungu azidi kukupakauli. thabiti .Mimi nasukuu Ninazo zote tatu(3) Amina
@BoniphaceKazimili10 ай бұрын
Asante pastor mi nimekuelewa sana,uko sawa kabisa ni ufunuo toka kwa Mungu ndoa zipone manake kizazi cha leo ni majanga tupu.!
@DeoSukambi10 ай бұрын
Barikiwa sana ndugu
@LovenessMwakajileke9 ай бұрын
Daah,umenena point kabisa pastor,labda kama wapo wanawake waliowaombea wachumba zao na wakawabadilisha waje watupe evidence tuone kama tunaweza kuwaombea😅😅 maana binadamu huwezi kubadilisha binadamu mwenzio zaidi ni Mungu tu
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Mi nimeomba weee Nimeamua kumuacha maana nimeona red flags sitaki kujitia upofu kisa kuonekana nimeolewa
@MogeElikana-gl1dv9 күн бұрын
Barikiwa na Mungu anisaidie
@qfuisso622410 ай бұрын
Pastor deo asante kwa elimu muhimu sana na imenisaidia sana na nitabadilika Naomba kujua je mwanaume unaweza mnyenyekea ivo na kumsikiliza ni yupi aliekuoa au ata ulie nae kwenye mahusiano! Na je nina haki kumkubalia kumzalia kabla hajanioa anadai akinizalisha kwanza ndo ataenda kwa wazazi wangu itakuwa sawa. Iyo!🙏
@DeoSukambi10 ай бұрын
1. Usithubutu kumzalia mwanaume ambaye bado hajakuoa achilia mbali kujitambulisha kwa wazazi..ndoa ndio ilete watoto na si vinginevyo 2. Hizo sifa ni za mke sio mchumba..kama bado hajakuoa hana haki na huna wajibu wa kumfanyia hivyo isipokuwa kwa mipaka maalumu ambayo itakuacha wewe salama Kama haoni kama unatosha jinsi ulivyo kiasi cha kukupa masharti ya ziada ili akuoe then HAFAI KUWA MUME WAKO atakuharibia maisha..
@godwineliya543410 ай бұрын
@@DeoSukambiumepiga kwenye mshono
@shanti-hd7zy10 ай бұрын
Upendo 0 uaminifu 0 kutawalika ajeee😊
@peterchesam57379 ай бұрын
Usithubutu Hilo Jambo Kama unataka kuolewa okoka muombe Mungu atakupa mume wa kweli wa Kufunga naye ndoa usizae ukiwa hujaolewa kwa msaada zaidi funga na kuomba Mungu atakujibu
@upendogidion51679 ай бұрын
@@DeoSukambiKwakweli mtumishii namm nmiongoni mwa wanawake ambao tunaambiwa tuwazaliee kwanza ndo watuoe, Ahsanteee Mungu kwa kujua na kunifundisha Kupitia ww Mungu akubalik na analazimisha saana kuanzia leo huyo mwanaume namkana na Naomba Mungu aniepushie mbali nae Ahsanteee mtumishii
@fanuelnjau9 ай бұрын
Aisee hizi nondo ni kiboko Mungu akubariki sana mtumishi
@GodfreyMnzava-wi8mt10 ай бұрын
Natural, judicial and Biblical law hii amazing sana Pastor.
@DeoSukambi10 ай бұрын
Thank you brother
@aishavogelmann50219 ай бұрын
Shukran sana Ila naona ninakibaruwa
@IngabireAisha381310 ай бұрын
😂😂😂yani umepigilia misumali kweli kweli khaa!? Shukran maana kuna ukweli mtu ❤
@DeoSukambi10 ай бұрын
🤣🤣🤣..barikiwa sana
@BarnabaBuhoma10 ай бұрын
Mimi sijaoa…ila kwa sifa hizi, napata wasiwasi kwa mabinti wa kizazi hiki… mimi najua ndani mwangu mnaupendo na huruma nyingi. Naweza kumpenda mwanamke mpaka akajuta kuchelewa kunijua. tatizo hawa mabinti wa sasahivi wamejaa ungangari. Unajua kabisa huyu akiwa ni mke lazima anitoe jasho. basi bwana. Mungu atusaidie. Asante kwa somo zuri sana. Nukuu ya leo “mwanaume akikupenda akakutawala, sio utumwa..kama hakupendi halafu akakutawala, ni utumwa..” hii nimeichukua……
@DeoSukambi10 ай бұрын
Umechukua point muhimu sana..changamoto ni kubwa sana kwa mabinti wengi kwa sasa hizi sifa hawana
@BarnabaBuhoma10 ай бұрын
@@DeoSukambi aisee ni hatari…
@joyceshile883710 ай бұрын
😆😆😆mbona Mimi nipo kaka usiogope kuoa.
@BarnabaBuhoma10 ай бұрын
@@joyceshile8837 kumbe!
@DoA-q1b10 ай бұрын
Kwakweli mapenzi yalikuawepo ezi zawazee wetu sio sasa kwakweli
@mariamlutenganija68898 ай бұрын
Thank you Pastor, I get something from your lesson, be blessed.
@HappyGabieli7 ай бұрын
Nakupenda kusikiliza ukweli maan humuweka mtu akiwa huru,thx pastor
@VictoriaShirima-s2x6 ай бұрын
Waooh naimani Mungu atanipa mume mwenye sifa stahiki. Ubarikiwe mno
@JEREMIAHMAKULA9 ай бұрын
Mawahidha j mazuri yakujenga familia be blessed pastor
@DeoSukambi9 ай бұрын
Amen
@esterjohn26614 ай бұрын
Asante Sana❤❤
@iluminatambilinyi5062Ай бұрын
Mungu akutunze
@StellaKalenga4 ай бұрын
Ameen mung akubariki mtumishi
@KarisaSulubu10 ай бұрын
Ubarikiiwe Deo,juu nilikuwa na hamu sana na hiking kipindi
@DeoSukambi10 ай бұрын
Barikiwa
@clarissanaomy38559 ай бұрын
❤❤❤📌💯💯💯Somo zuri sana
@CindyAoko7 ай бұрын
Am Soo much blessed am still a student ad have learnt alot hence am about to get married thank you pastor for the reasonable lessons
@DeoSukambi7 ай бұрын
You are very welcome
@SaraEmmanuel-f9d9 ай бұрын
Mtumishi wa mungu naomba plz hii clip jmn hahahahah mwanaume wangu ni level za mbinguni aiseeee ananihudumia na matunzo ananipa hajawah nauliza kuhusu pesa yangu
@christinewomanoffaith54796 ай бұрын
Muombee, shukuru Mungu
@JosephinaFransic10 ай бұрын
Baba Amina sanaaa sanaaa pia Asante baba jamani mungu akubalikie sana,.
@FatmaKale-l3o3 ай бұрын
Shukurni sana ❤❤
@HellenBoniface-l9t10 ай бұрын
Nashukuru kwa mafundisho mazuri pastor ila kwa kizazi cha leo waume na wake ni wachache,Mungu atusaidie
@PolyneKhandali-br9gj5 ай бұрын
Very educative,,,thanks 🙏🙏🙏
@emmanueltwaha14897 ай бұрын
Mtumishi nakukubari sana yaani umeongea points mno yaani upewe tu, maua yako Mungu akubariki mno mno. Daa
@AgathaMwapinga6 ай бұрын
Asante kwa somo zuri,nashukuru somo nimelipata kabla sijaolewa.
@mwlsimonitvchannel15778 ай бұрын
Kaka barikiwa sanaa kumbe nimechelewa KUOA Kwa sababu Mungu ananipenda
@glorylyimo603710 ай бұрын
Point ya mwisho nimekuelewa kabisaaaaaaaa yaani sanaaaaaaaa
@RizikiVincent9 ай бұрын
Ni kweli mke anastahili kumilikiwa na mme mwenye upendo wa dhati hivyo ndivyo vilivyo lakini wanaume wa leo wanapenda kumiliki kwakutokuonyesha upendo na ndomana wake wengi wanatumia hivo mwalimu ni kwasababu waume wamejiondowa kwenye uwanaume alisi ndio waliobadilisha mawazo ya wanawake kuolewa shida si wanawake shida imetokea kwa wanaume ndo wamewachanganya wake
@FlorenceNabintu5 ай бұрын
Mafundisho mazuri sana Mungu akubariki
@Coachsamwel10 ай бұрын
Madini sana umetema mkuu🔥 🔥 Be blessed & keep impacting
@DeoSukambi10 ай бұрын
Thank you bro
@ababelemobintu227810 ай бұрын
Asante sana kaka somo lako nilipenda sana mungu akupe nguvu zaidi🎉🎉
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen amen ndugu
@CeciliaYasini7 ай бұрын
Ubarikiwe pastor nimejinza sana
@NeemaMichael-w2w9 ай бұрын
Direct kwa point bro unazunguka sana
@DeoSukambi9 ай бұрын
Pole sana ndio ninavyofundisha
@FelisianaMapunda-dw3db9 ай бұрын
Be blessed pastor, from songea.
@bas282310 ай бұрын
TRUE I AGREED THAT👌 UPSOLUTLY CORRECT N WRIGHTS👍😆👌
@CharlesWilson-r1f9 ай бұрын
Mtumshi wa mungu mimi nimeoa lakin mke wangu katika sifa hizo Hana ata Moja nifanyeje niliingia bila kuangalia hizo sifa
@JackilineMoshi6 ай бұрын
😂😂
@CharlesWilson-r1f6 ай бұрын
@@JackilineMoshi ndugu najua coment hii inakama miezi 2 lakin hadi Sasa ninamwezi mimi na mkewangu hatupo pamoja na mtoto kamwacha kwangu hivyo nimemrudisha nyumbani kwa wazazi wangu moyo unawaka moto nashida tunaonana nae lakin Yuko kwake na mimi kwangu
@marryjonathan7735Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@JackilineMoshi
@theresiagisberth619710 ай бұрын
Ahsante kwa somo zuri, Theresia Malekela kutoka Njombe.
@DeoSukambi10 ай бұрын
Barikiwa Theresia
@happiness_71310 ай бұрын
Thank you very much for the powerful message. Nimejifunza mengi! .. from Kenya 👌
@DeoSukambi10 ай бұрын
Woow..thank you so much..my greetings
@happiness_71310 ай бұрын
Ukweli mchungu🙆 🫣! Am inspired 💯 . You just hit the nail on the head 👊....I like such 😭🤔bcoz, najua sasa cha kufanya 🫶...
@سيتيالسالم9 ай бұрын
Warching from Alhofu Saudi Arabia
@sylviesaidi574010 ай бұрын
Asante kwa hao mwalimu ❤
@SleepyBocce-lf4vr9 ай бұрын
Hilo nikwr kaka deo me nilipata mwanaume nikipata mshahala naleta nyumban namkabinzi mshahala yonte unayo yasema me ninafanya 2nalundi kw wanaume wamekosa uwaminifu kwenye miti hakna wajenzi😢😢😢😢😢😢me nalia kila siku sipati majibu mungu naomba anisaindie kila siku me nafanya maombi ila bado sijapata naomba sapoti yako 😢😢😢😢😢😢😢
@eliudmwakaghali10 ай бұрын
Thank you, pastor. Previous lesson ulitubonda wanaume hadi nilichoka Lakini leo nimekuelewa kumbe unagusa pande zote. "Thanks in advance pastor".
@DeoSukambi10 ай бұрын
Huwa nagusa pande zote..endelea kunifatilia
@AngelLazaro-n2o3 ай бұрын
Nimekuelewa saana
@wahidakisingo358810 ай бұрын
Mungu anatumia Mtu yeyote kufikisha ujumbe kwa watu wake,,,,,wanawake tulisikie somo hili kimwili,,,kiroho na nafsi,,,tujitafakari hatua zetu na mienendo yetu,,,Mungu anasema na sisi kupitia doctor huyu,,,Mungu yupo hapa kutusaidia,,,,,tumsikilizeni na kufuata mafundisho haya
@DeoSukambi10 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
@winiemajengo16799 ай бұрын
Mimi natamani mawasiliano yako mtumishi wa Mungu niongee na wewe binafsi,if possible
@MathaCloud10 ай бұрын
Wawooo amaizing sana! Somo zuri
@YustaOsward10 ай бұрын
Hongera sana pasta Somo ni zuri sana... Na pia nimecheka sana Kuna sehemu unafundisha najikuta nacheka tu eti mwanamke Kila kitu anafanya yeye kutengeneza tv kuweka bablu Hadi kutengeneza gri😂😂😂😂
@glorylyimo603710 ай бұрын
😂😂😂 what if havitengenezeki hata ukimpatia Hela Bado hafanyi mliyokubaliana imekaaje hii
@SaraEmmanuel-f9d9 ай бұрын
@@glorylyimo6037ahahaaaaa boss wangu ni mwanamke nakwambia anazo hzo sifa zakufanya kazi zote
@loisenyanzarora802410 ай бұрын
❤ Mafundisho hayo daah nimeyafurahia sana
@NdimyakeKennedy5 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@KristofaEMbigi7 ай бұрын
ahsante sana pastor mejifunza meng
@johnbaraka677610 ай бұрын
Asante kwa soma hiyi 🙏🙏
@filorammbaga57107 ай бұрын
Amen nakusiliza toka Same .
@EVODIAMBUNDA-in9ey10 ай бұрын
Asante kwa mafundisho
@mercyndunge71199 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EmmaProches10 ай бұрын
Golden message pastor
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen
@PoulMononi3 ай бұрын
Ujumbe huu ume Toka kwa mungu ubarikiwe
@MansuateJesca10 ай бұрын
Ubarikiwe kwa mafundisho sahihi
@NaumiBaya10 ай бұрын
Hallelujah ubarikiwe
@marychriss458810 ай бұрын
Asante kwa somo zuri
@zainba78127 ай бұрын
Very true pastor
@maiyasalenjashi23526 ай бұрын
Wooo nimefurahi ju ya somo lako mm niko nazo zote tatu ila bado sijaolewa ndiyo Nik na mchumba
@salesiomweda17479 ай бұрын
Obrigado pela aula
@LilianGawile3 ай бұрын
Mshala amiliki mh
@SALIMHASSAN-k8l10 ай бұрын
Asante sana nimeshukua ilimu kwa hi darasa
@MamaNabii10 ай бұрын
Asante sana pastor. I get it!!
@SalomeAlpha-y3o10 ай бұрын
Uko sahihi mtumishi! Ubarikiwe sana
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen amen
@RebeccaMwakibibi6 ай бұрын
Daaaah Pastor mume wangu naishi naye vizuri na ni mume kweli ila Kuna vitu Mimi niliingia bila kuvijua, nimemuonea huruma mume wangu kweli nimemnyanyasa duh!! Mungu anisaidie ninakwenda kubadilika kabisa!!!Barikiwa mnoo
@jameskalugo45839 ай бұрын
Waah God has a reason for everything
@janethstephen786910 ай бұрын
Asante Pastor umetueleza ukweli
@DidoPasteur10 ай бұрын
Aksanti mwalimu kwa utafiti huo nipasteur DIDO
@guelfasidanielsentitato51515 ай бұрын
asante, bom trabalho. MOZ
@RoseLutungulu10 ай бұрын
Amen kwa kipindi kizuri
@Lubango-gj3ud10 ай бұрын
Pastor we kiboko sana. Mafundisho mazuri saana barikiwa pastor
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen amen ndugu
@dariusmutalemwa149110 ай бұрын
Safi sana Mungu akupe afya njema,
@ALINEVIKALAVA6 ай бұрын
Nami nashukuru saana kwa kipindi hiki. Nimara ya kwanza kukufata nimebarikiwa.
@DeoSukambi6 ай бұрын
Amen amen
@nurulutembeja7 ай бұрын
Uko sawa kabisaa!
@kainibachungege343010 ай бұрын
Pastor Sukambi God bless you. You are Blessing The people God. Channel yako ipo vizuri Sana!
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen amen my brethren..glory be to God
@dativajoachimwai119410 ай бұрын
tunaomba uwe unaweka nba yako ya WhatsApp kwa screen .
@JimsonKyando-c9c10 ай бұрын
Naitwa Jimson kyando nipo Dar es salaam nakupata vizuri apostle endelea kuelimisha Jamii mungu akubariki
@JulianaMunisi-d5s10 ай бұрын
Kaka Deo hari ya asubuhi,Mimi ni mwanamke nimeishi kwenye ndoa miaka 13 mme wangu tunapendana sana lakini nilikkuja gundua mwanamme wangu amezaa nje hapo hapo nikasikia Tena amempa mwingine ujauzito na tayari amefungs nae ndoa nimeumia sana kaka ukiangalia tumepambana kimeisha tukapambana tukafanikiwa lkaka Deo nimeumia sana nakuomba ushauri nifanye nini
@DeoSukambi10 ай бұрын
Msamehe..ikiwa unakiri kuwa mnapendana basi itoshe tu kuona kuwa mwanadamu anaweza kukengeuka na kufanya maamuzi mabaya..ila kama unaona kabisa kilichotokea unashindwa kukumudu basi tafuta msaada wa kisaikolojia
@dativajoachimwai119410 ай бұрын
kaka mimi sielewi hapa anaposema kua wanapendana sana na mume wake. sioni kupendana hapo. ni upendo wa upande mmoja. miaka 13, azae na wanawake tofauti na kufunga ndoa na mtu mwingine bila mke kujua? hakuna upendo hapo. kuna interest fulani huyo mumeo anayo kwako ndo inamfanya asikuache.
@EverlyneShivayiru7 ай бұрын
Stor ni refu na unanaeleza polpol
@DonatilaMwacha6 ай бұрын
Nakuelewa sana mtumishi
@lidiamtweve10 ай бұрын
Baba nimekuelewa saana
@consoassenga715310 ай бұрын
Everyone has born for his/her own purpose. This principles are never applicable kwenye maisha ya kawaida. My friend angalia maisha yako, mazingira yako, uchumi wenu, uwezo wa Mume wako, na malengo ya kuolewa kwako lah! Sivyo unajiandaa kuua watoto wako.
@DeoSukambi10 ай бұрын
Kama unaongelea Purpose halafu unaongelea suala la kuua watoto then nafikiri unahitaji kujifunza upya kuhusu purpose..labda kama unazungumzia mishe mishe za maisha lakini purpose is self sustaining hakuna aliyewahi kuishi purpose akawa na njaa au watoto wake wakafa njaa. Umeweka vitu viwili ambavyo haviwezi kuchangamana kamwe..purpose na njaa, never
@preceenosent632410 ай бұрын
Asante sana pastor mungu anipiganie nipate chaguo langu🙏🙏🙏🙏🙏
@DeoSukambi10 ай бұрын
Amen
@eunicenjonge220510 ай бұрын
Mimi nimejivunza sanasana.. waa.. kumbe ??? Barikiwa sana mtumishi
@SimonThomas-i9c9 ай бұрын
Ubalikiwe sana Mr Deo
@lilyjones358410 ай бұрын
Bwana Deo, nitakutafuta pembeni.
@jonesshao82845 ай бұрын
Thanks
@rosinamtauka99338 ай бұрын
asante pastor kwa kunirudisha kwenye mstari
@JoseNtaho10 ай бұрын
Barikiwa sanaa mtumishi,
@samarabdullah951110 ай бұрын
Thanks paster be blasted ❤
@JosephineMapalasha10 ай бұрын
mungu akubariki mchungaji somo zuri
@Reema12-v5j10 ай бұрын
Asante sana brother
@JulianaKithi9 ай бұрын
Kweli kabisa juliana kutoka kenya
@ElizabethHiiti10 ай бұрын
Be blessed pastor I learnt a lot of things from your speech continue with that heart of helping us 👏👏