Chibi mwiba w kijichoma mwenyewe huambiwi Pole,lkn mm nkwambia Pole,ndhani wtu wmejifunza kipitia hii movie pambe sana hongereni sana mungu awaongoze vipaji vyenu much love from kenya 🇰🇪 💖
@HadijaSaid-n1l11 ай бұрын
Chibu pole bal ulifanya ujinga
@Fatumahassan-h5m11 ай бұрын
Wanza leo nipeni lk zangu ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@martinetimotheoofficial330411 ай бұрын
Jamani sijachelewa leo na mimi nipeni like Hata chache jamani❤
@Yosiafreddy11 ай бұрын
Leo wa kwnz from DRC ❤❤❤
@Sayd-pi5lq10 ай бұрын
Me ctak like naomba maelekezo kiduchu anapatikana wap?
@JacksonFaustine-ju6vv11 ай бұрын
Me ndo nikuwa wakwanza naomba like zenu
@JacksonFaustine-ju6vv11 ай бұрын
Poa
@kirapadiherbalstv995311 ай бұрын
Hivi nyie mnaoomba like mnazani tuko hapa kwaajili ya kuombana Like? Ukiwa wakwanza like hoples kabisa
@mealiichaurembo11 ай бұрын
Funzo chibu ilo
@rukaiyaali614811 ай бұрын
Wa kwanza❤
@aishaomar228711 ай бұрын
Auuch! Ati ni sawa ameokota maganda ya muwa akatafuna tena😢
@SalmaPurity11 ай бұрын
Mke haikwi, bonda, kisa hauna pesa onee Sasa yanayo, kukuta, chibu 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@martinetimotheoofficial330411 ай бұрын
Chibu hii bona inafaa kuwa na mwendelezo
@Supershopdubai-ck8td11 ай бұрын
Good job from 🇧🇮 tunawapenda
@BahatiKadenge-n5r11 ай бұрын
Much love from saudi
@gakobwaadija794910 ай бұрын
Kazi nzuri mauwa yenu nyiote
@twagirimanaaisha11 ай бұрын
😢nime kuj kwer kuraj😊😊😊
@aljazzytechno11 ай бұрын
Aweee❤❤❤❤❤ so poa
@mariammariam572311 ай бұрын
Fundisho zuri❤
@ayshaaysha348911 ай бұрын
Mbona inaisha vibaya duuh
@MwanalimaAbdallahKea-x9y11 ай бұрын
Leo mapema kabsa ❤
@DianaMkembelwa11 ай бұрын
Chibu ❤❤❤❤❤
@NoorEesa11 ай бұрын
Congratulations 👏👏❤❤❤❤
@ismailjuma-x2b11 ай бұрын
Nice kazi nzuri
@aishaomar228711 ай бұрын
Chibu suala la talaka mlivyolizungumzia apa kuna kosa kdgo,upande wa mume na watu wa kwa mke...mke akirudi kwao na adai kuachwa ni jukumu la wazazi kuwasiliana na mume ili kujua ukweli kama kuna ugomvi na iwapo n kweli mume kapeana talaka#tumejifunza pia hkn mchongo wa kupeana mkeo kwa tamaa za hela❤❤❤
@neptunezanzibar55529 ай бұрын
Daahh inauma kweli ila🪳😭😭😭😭
@mamaaanmar126111 ай бұрын
Chibu. Kumbe. Mtam. Nahausemi. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lyidiajuakaly333511 ай бұрын
😂😂😂😂 elfu 1
@kennedysang401511 ай бұрын
Much love from kenya
@janethmdollo526811 ай бұрын
Yaani umemuua Alafu akupigie
@EspoirJames-nd9bt11 ай бұрын
Powa
@husnatjh596911 ай бұрын
😂😂😂pole chibu kimekurambaaa😂🙌
@AhmedSaid-um4ox11 ай бұрын
Jamani uyo muzeshaj iyo alhamdulillah vp
@WillyChard11 ай бұрын
Mtu mwenyewe sio mtam Wala😂😂😂
@SimonMichael-c5u11 ай бұрын
Chibu pisi kali kama hyo waikataaje
@ARONPaul-bz3ws11 ай бұрын
😅😅😅😅tatizooo siooo mtamuuu wala niniiii hiii kitu inaumaga hiyooo😅
@NasraUmmyhesham11 ай бұрын
Mbona imeishia hapo jqmani tunaomba iwe na muendelezo ili tuelew vizuri
@nyamburimakoye-ox1vl11 ай бұрын
keep it up kakaa
@BahatiKadenge-n5r11 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@sabinibra351311 ай бұрын
Hii inawezekana vipi, unaoaje mke wa mtu na hawajatarakiana😂
@twagirimanaaisha11 ай бұрын
Namim nime fik
@ARONPaul-bz3ws11 ай бұрын
😅😅😅😅😅kumbeee sio mtamuuu wala.nn😅
@ARONPaul-bz3ws11 ай бұрын
We chibuuuu kumbeeee ni mtamuu ivooo.alafuuu hausemiiii😅😅😅😅