Nawafatilia sana.nangojea hio episode ya pili😊😊. nawapenda sana ❤️💋🥰
@Abdourahman3457 ай бұрын
Twaongojea
@KongoJefwa7 ай бұрын
mke wa sheikh ataka onesha fashion
@SummaiyaKassim-zv5nt7 ай бұрын
Huyu mke wa bujra hajui abana sauti sana yani cjamkubali
@Mesalimmwadarashi7 ай бұрын
😂😂😂biashara iyo yakazi😂😂😂
@Fetty_bjay7 ай бұрын
Nsaut yake hio jaman
@chunaabdullah13337 ай бұрын
Kwani ujui Kuna watu wana izi sauti
@SummaiyaKassim-zv5nt7 ай бұрын
@@chunaabdullah1333 kaibana sana bana me mwenyewe sauti yangu ndogo lakini huyo kabana mapua
@kimshadyg45637 ай бұрын
Ni sauti yake.. Wacha zako
@JohnKarabu-dx5lj7 ай бұрын
Imeweza nategea nikiwa watamu malindi
@zulachama10677 ай бұрын
Huyo alovya buibui si mke huyo kiswaswadu huyo mke.bora na mwenye midhamu niuyo mwenye jialbabu mashallah mke bora.safi sana bro Bujra kwa kuelimisha watu .
@Sayd-pi5lq7 ай бұрын
Hahahah iko ni kiswaswadu kwl
@DelightfulPenguin-wk4kv7 ай бұрын
Dada mwenye jalbabu mashaAllah tabaraka Allah
@mwanamisimwapula83927 ай бұрын
Shibe kua serious ulishindwa wewe 😅😅 muendelezo baada ya eda jamani mashallah tabaarakallah ❤❤mnamafunzo
@mwanakupona6 ай бұрын
Namuona mdogo wangu MJ..KAKAKO MZEE BAKARI WA ALMASI
@SalmaZainab-nh5id7 ай бұрын
Maashallah ❤ tanaomba muendelezo tafadhali
@tungusaid82137 ай бұрын
Nawakubali ustadhi hongera tuwape mafunzo
@citykibonge29997 ай бұрын
Maa Shaa Allah Tabaraka Allah❤uko sawa dada mwenye juba nakupenda bure
@FatumaOmar-bm7sr7 ай бұрын
MashAllah ❤kazi safi ..huko n Tiwi kibwaga bila shaka Kwa mke wa majalbabu
@alinyamawi29687 ай бұрын
Maa shaa Allah kazi nzuri sana Shekh Bujra na team yko hongereni sana ndugu zangu
@aishamuhammad77857 ай бұрын
Wanakera wanapenda kushikana shikana
@omarchallah78857 ай бұрын
Ety Maji yatoka shemegy 😂😂😂😂. Jey ukona ufala sana
@zahraabdul96527 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Awlo-g6d7 ай бұрын
Mashallah Mashallah ❤❤❤❤❤❤ jamn nawapendaa kwa ajli ya allah
@taurehassan73997 ай бұрын
Natamani nione Hawa ndgu wakitembeleana baada ya wte kuoleana alfu natamn wasioneane wivu😅😅😅❤
@BiisheBugao7 ай бұрын
Kabisaa...😂😂😂
@Nusratsaidy20077 ай бұрын
❤❤❤❤jmn tupeni muendelez nione mweny kihereher atawez maish ya kijijin
@alikharoon60687 ай бұрын
Mashallah funzo zuri ❤❤next episode plz
@mwanalimasaid23687 ай бұрын
Shibe watka kuachiwa mke 😂😂😂
@MasnamussaPp7 ай бұрын
❤ mashaAllah funzo zuri sana kwa wale yenye ufahamu
Maa Shaa Allah Maa Shaa Allah Ujumbe mzuri sana lakini kadhi anafaa ajue vizuri aina za eda na muda wake. Kwa sababu hapa ndio wengine wanasoma ukubwani au wengine wanafunzi.
@zakariasheiza20907 ай бұрын
Yah katoa eda ya kufiwa
@SakinaSakinat-qd9rs7 ай бұрын
Naam edda ya kuachwa ni twahara 3 au heidh 3 tena aaachwe aikwa msafi yani hiyo talaka ipite wakiwa hawajaingiliana
@husna345627 ай бұрын
Unaamba kutsupwa😂😂@@SakinaSakinat-qd9rs
@aminachiziamina7 ай бұрын
Waaa ingekua kwelii kungelii tisha😂😂😂
@aboujanomarion61217 ай бұрын
Sijui mwanamke hua anashida gani yeye haja yake ni mume kwanni afanye vitu mumewe hapendi .?? 😂😂
@HhshshshswhwhwhOman7 ай бұрын
😂😂😂fashion sio ❤
@saay42737 ай бұрын
Mwendelezo tafadhali 😂😂
@martinaolunga6587 ай бұрын
Nasubiria the return..mashaka
@thehumblediti49397 ай бұрын
Ndo mana warabuni mtu na shemegi yake hawaonani na ndivyo inavyostahili bwana😂😂😂
@amanyali87247 ай бұрын
content nzur,,, tuleteee zaid
@majidwazir17055 ай бұрын
Mwanamke huyu anae lazimishwa baibui huyu Lana kabisa huyo mwana mke kwema ndio huyo wabaibui mungu akijalia mwaya mime mwema
@RahmaAymanayqanAyqan7 ай бұрын
Tuletee mwendelezo bro bujra
@sagoentertainment2547 ай бұрын
Wacha wivuu
@yusuddalila-ob4vb7 ай бұрын
Ma Sha Allah muko vizuri
@RehemaNgumbao-f1s6 ай бұрын
😂😂pendeza mke ❤❤
@rashidmbimbi30917 ай бұрын
Maa shaa Allah Nice one 🎉❤
@RehemaSalim-d3g7 ай бұрын
Mashaallah.tunaomba part 2 plz
@YahyaAzizi-g1l7 ай бұрын
Asante kwa mafunzo allah awabarik muendelee kutufunza
@Helen-vl8lb7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂keep good work
@kibibiabdalla14517 ай бұрын
MashaAllah hii imeweza❤❤
@zuwenakizere46877 ай бұрын
Hii iwe na next plz tuone baada ya ndoa❤❤
@bintyusuf57 ай бұрын
Jalbabu mimi nkifika nanuka jasho😂😂😂😂😂😂
@zahraabdul96527 ай бұрын
Shemeji maji yatoka ? 😂😂😂😂😂😂😂
@فاطمةفايز-غ1غ6 ай бұрын
Ni sawa kijistiri...ila tumeruhisuiwa mbele ya waume zetu halali tujiachie
@XhxhccVfhhxh6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Jamani nimecheka paka
@Malikamtajir7 ай бұрын
😂😂😂funzo mashallah
@user-ju9mi1ft4v7 ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah mafunzo mazur
@ZainabSetu-zv3om7 ай бұрын
Mashallah. Part 2 plz
@HassanHassan-ix7cj7 ай бұрын
Mkuki kwa nguruwe shibe 😅😅😅😅
@RahmaAymanayqanAyqan7 ай бұрын
Mwendelezo jmn nzur
@husseinbakromar58657 ай бұрын
laa ekra fii dini yako maigizo ila sio haya kucheza na sheria za ALLAH
@NorryNzorry7 ай бұрын
Mwendelezo plz😂😂😂
@zainabuali99156 ай бұрын
Shemeji mara anazima taa😂😂😂😂
@burhanmuhammed22346 ай бұрын
Labda jina sio zuri uloitwa na wazee wko, jina la bujra halipo Kwa wadigo mzigo😊
@الزغويالزغوي-ض3ن7 ай бұрын
MAA SHAA ALLAAH! SAMAHANI NAOMBA NISHAURI: MAIGIZO YENU NI MAZURI ,SASA JITAHIDINI IGIZO LIKIHUSU SHERIA MUWAHUSISHE WAJUZI. HAPA SHEIKHE KASEMA EDA MIEZI 4 NA SIKU 10 HII NI KWA EDA YA KUFEWA, AMA EDA YA TALAKA NI HEDHI 3 (TOHARA 3) AU KAMA HAPATI HEDHI BASI NI MIEZI 3.
@aishaomar22877 ай бұрын
Nahisi kaghafilika mzee wetu kwasababu mara ya kwanza alitamka vzr miezi 3
@ummusaad037 ай бұрын
MashaAllah Wana Jimbo nawapenda bure❤
@كامليا-ر7ز7 ай бұрын
Next jmn
@saidseif16057 ай бұрын
Mchezo Mzuri Nimeupenda eda ni pengine mmoja ana mimba y mwenzake ijulikane b4 waowane
@MwanashaMwabudzo7 ай бұрын
Kwaiyo namba pia ashapewa kitambo😢 subhaana Allah
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص6 ай бұрын
😂😂😂😂umbwa kipensel umbwa kuboeka
@MwanashaHemed-w3r7 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤❤nest plzz
@HabibaHassan-t2u6 ай бұрын
Uji haswaa😂😂😂😂😂😂😂
@mejumaabaraza39897 ай бұрын
Kadhi polepole bakora na glass usije ukaivunja bujra akanywa maji ya kombe la plastic 😂😂😂😂
@kimshadyg45637 ай бұрын
Kali sana 👍
@jalimibrahim83397 ай бұрын
Wallah this really story, mashekh wengi wapata shida na bibizao
@jumagakurya96797 ай бұрын
Mzee Mwadume mwnyweee
@yusufmwangichannel66927 ай бұрын
Masha Allah, movie nzuri yenye mafundisho ila Bujra improve kwenye microphone system sauti haziko clear na pia camera settings igeuze tulizoea kuwatch movie tukiwa tumeinamisha simu na labda at the same time ikiwa iko kwenye charging so unatupa kazi ya kushilikilia simu hatu enjoy simu ikiwa imesimama, Hayo ni maoni yangu
@aliroro93445 ай бұрын
😂😂😂😂...Maji yatokaaa ayooo😂 typing.....
@OmanOman-e8m7 ай бұрын
Twasubiri iyoo dowa ss
@katanaajonathan69877 ай бұрын
kazi nzuri ila hizo mic mngezificha kwa ndani nimaoni tu nawapenda sana..