Dini si yaruhusu.. Baba punguza Jazba Acha kuangalia jamii
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
Dini hairuhusu kuoa dada wawili kwa pamoja
@HassanHassan-ix7cj Жыл бұрын
@@faudhiasaidi3669 yap but Yule kasha achika so dini ya ruhusu hapo
@faudhiasaidi3669 Жыл бұрын
@@HassanHassan-ix7cj Aha kama kaachika sawa ni sahihi Hii move sijaifatilia vizuri ndio maana sijaielew
@nadzuamrema5837 Жыл бұрын
Mashallah nzuri ya mwakaa jamani
@FatmaMohammedl Жыл бұрын
😂😂😂nsawa amba mali tazibodo sira😂😂😂
@halimakhalfanmwareko4649 Жыл бұрын
Wanichekesha nsahau niko kwa mwarbu
@farjallahubeydabdulrahman4845 Жыл бұрын
maashallah kipindi ya kuelemisha umma
@zeitunahmedibrahim933 Жыл бұрын
Mashallah nice much love from kenya 🇰🇪 ❤
@naumi2302 Жыл бұрын
Welcome 😂😂😂
@khajumkhamis7910 Жыл бұрын
Zaituni ❤
@HassanSadiki-l5c Жыл бұрын
Jimbo media Pongezi kw mafunzo haya ..ila nawakumbusha Mtakapo mtaja Mtume basi msimtaje kama watu wengne basi tulifundishwa tuseme Swalallahu alah wasalam(S.a.w).Najuwa mwalijuwa hili ila kughafilika bas nawakumbusha kama ilivyo amri ya Allah...Kumbushane hakika ya ukumbusho utawafaa wenye kuamin .....