DADA YANGU ALINILETA ULAYA NA KUNIHARIBU KISAIKOLOJIA | USALITI NA MAUMIVU YAMEBAKI MOYONI MWANGU

  Рет қаралды 60,647

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Moleni anaelezea safari yake ya kutoka Tanzania kufika Italy mwaka 1998 ambapo dada yake na mume wa dada yake walinchukua na kuishi nae kwa lengo la kulea watoto.
Baada ya miaka mitatu ya kuishi pamoja vituko vilitawala na kupelekea kuishi maisha magumu mno ambayo yanautesa moyo wake.
Walimpitisha mapito makubwa.
Usaliti, tamaa, chuki, na kutumiwa na dada yake kumeharibu saikolojia yake.
Thank you Moleni for allowing this to be online
www.oda.international

Пікірлер: 486
@sophiajoseph136
@sophiajoseph136 10 ай бұрын
Huyu dada anaroho nzuri sana sana. Nimeishi kwake alinikaribisha. Namimi yalinikuta kwa ndugu yangu..Kiukweli alinisimlia kidogo sakata lake na nudgu yake . Moreni muachie Mungu dadangu.
@lucymtitu3604
@lucymtitu3604 11 ай бұрын
MUNGU alishukutoa mahali, amekupeleka mahali, jaribu kuachilia ili mungu akubariki zaidi.
@Mazoea
@Mazoea 11 ай бұрын
Uyu Dada kwanini analamisha aombwe msamaha.yeye amuachie Mungu to handle the situation..msamaha aulazimishwi.anaweza omba msamaha na asimaanishe ..Kitendo alicho akichofanya mdogo wake sio Cha kibinadamu .ila msamaha aulazimishwi.Dada Samehe na umuachie Mungu uone Kama atakuacha..Mungu yupo..msamaha unaanzia kwako.wewe msamehe bila kuombwa msamaha..Mungu aendelee kukufungulia milango Amen
@marrypius576
@marrypius576 11 ай бұрын
Kusamehe sio kazi rahis dear wew unaongea tu unadhani ni rahis ee kumbuk hawa ni ndugu na itabaki kumpain milele
@josephinemsongole4315
@josephinemsongole4315 11 ай бұрын
​@@marrypius576samehe TU dada mungu akusaidie ona mungu anavyo tusamehe kama ni mkristo sali sala ya Baba yetu ameni
@leaherasto929
@leaherasto929 10 ай бұрын
Mama unamaumivu msamaha hautakusaidia kitu
@hellenshani1614
@hellenshani1614 10 ай бұрын
Ni kweli msamaha haulazimishwi. Ila huyu Dada anaongea hivyo kwa sababu anamhurumia mdogo wake. Anaona kama atapata laana fulani, hata yeye ataumia. Ndio maana anasema apmbwe msamaha.
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 10 ай бұрын
Me natoa pole kwa Dadayangu mpendwa ila namuomba yeye binafsi asamehe achilie moyoni kwake halafu awe huru ikiwa mungu amekushika mkono mpaleo umefikia ulipo. Kama msamaha wake anaona ni pesa aweke Bank awe Tajiri milele.. Ila ilo jambo ni baya hasa kwenye familia za Africa hua kutokana na mila zetu tunaambiwa ni laana kulala na mume wa dada yako kwani ni sawa na baba yako. Ila dadaangu ww samehe achana nae.
@eveabasi2469
@eveabasi2469 11 ай бұрын
Pole sana mama angu ndugu zetu ndivyo walivyo hawaaminiki haoni shida kukutoa roho, achana nae songa mbele muombe mungu akuondolee hiyo kumbukumbu kichwani. Samehee na achilia mama ipo siku atakutafuta
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 10 ай бұрын
Dada yangu, wengi tumeumizwa huku ulaya na wale tuliojitoa kuwapenda na kuwaamini pia kuwasaidia. Kitu nikuombe, uwa samehe, move on, kabizi uchungu wako kwa Mungu. Kuhusu msamaha usitegemee sana. Akikuomba ni sawa, asipo kuomba msamaha napo ni sawa, Muachie Mungu, shirikiana na watu ambao una amani nao, wengine wapende kwa mbali na uwaombee Mungu awape roho ya upendo na kutubu. Usiwachukie. Crest a limitation
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 10 ай бұрын
Amina
@nurumvungi2210
@nurumvungi2210 10 ай бұрын
​@@mwaminimwangaza🙏🥲
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Sana nami nimiliumizwa ila nili relax mpaka roho mtakatifu akinishuhudia kwa mtumishi wa Mungu nisamehe niachilie now nacheka nawapenda ila nipo mbali nao wasi nizoee sana ila nawaombea Mungu awabadilishe awake upendo
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 4 ай бұрын
mimi mwenyew ndugu wameniharibu kisaikolojia nikaondok kwend omani sasa miaka 5 sitakaga hat kusikia kuhus wao
@MoleniElia
@MoleniElia 3 ай бұрын
Asante sana
@fridabernadette6872
@fridabernadette6872 11 ай бұрын
Neno saikolojia limetamkwa mara nyingi kweli😂😂, Dada Mole,nikuombe achia moyo wako,unastory nzuri sana ila binafsi sijapata kile nilichotegemea kwasababu umekuwa ukisisistiza sana msamaha,ambao wewe mwenyewe haupo tayari kuupokea,Samehe uishi huru. Shena kazi nzuri,keep up the good work!umejaribu kumprob sana ila dada ameishia kwenye kutaka aombwe msamaha.
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 11 ай бұрын
🤣🤣
@lildraco_k8977
@lildraco_k8977 10 ай бұрын
🤣🤣
@user-xl5mq5ug2j
@user-xl5mq5ug2j 11 ай бұрын
Sawa pengine maisha ni magumu ulaya lakini kwann mliopo huko hamtaki kurudi 😢 kama inawezekana kupambana na kuishi bas yoyote mwenye nia anaweza kupambana na kukaa sawa kwaiyo sidhani kama kuna sababu ya kukatisha wengine tamaa ya kutoka na kwenda kujitafutia....kingine kila mtu ana riziki na njia zake za mafanikio dada.yote kwa yote pole sana kwa uliyo pitia maisha ndivyo yalivyo
@Queensagarika887
@Queensagarika887 11 ай бұрын
Wanaona aibu watarudi watupu
@neemajames5137
@neemajames5137 11 ай бұрын
Kama yeye hajakuomba msamaha mwachie Mungu Msamehe wewe usikae na uchungu. Kisasi mwachie Mungu. Achilia moyo wako. Na usimruhusu kuja nyumbani kwako ila mwambie nimekusamehe. Ila tabia yake ni mbaya sana kaa nae mbali atakuharibia maisha.
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 11 ай бұрын
Na mtoto wake kamchukua halafu anasema maisha magumu iyo pesa ya biashara angewekea na mtoto wake asaivi kishakuwa mkubwa afanyebiashara yote kwa yote pole dada na wewe mdogo umuombe msamaha dadayako yaishe maisha magumu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
@@Queensagarika887. Nop naona hawarudi kwa sbbu Ulaya hata km huna kazi utasaidiwa pesa utakula na kuvaa na nyumba utasaidiwa kulipiwa lkn Afrika atakusaidia nani???? Si wapo tele huko hawana kazi wala bazi na serikali hata haiwajali???
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 10 ай бұрын
@user-×I5mq5ug2j Haja mtisha mtu kwenda ulaya sema tu Akili yako ndio ni ngumu kuelewa Vinavyo Ongelewa..Alicho ongea huyo dada..Amesema kama Upo Africa na unapata zaidi ya million 1 kwa mwezi haina haja ya kwenda ulaya ni bora ukakomaa nayo Africa kutokana na maisha ya ulaya jinsi yalivyo.. Na Chengine amesema Kama una Ndoto Ya kwenda ulaya usiweke 100% yakuwa utatobowa maisha kirahisi...kutokana na mifumo ya huko ulaya ilivyo...Alicho shauri watu walio Africa kuwa kabla ya kwenda ulaya ni Lazima Wawe na Ramani Ya Kuanzia Maisha kwafano kwenye upande wa lugha kupitia hizo inchi wanazo taka kwenda..Maana Nchi Nyingi Za ulaya bila kujuwa lugha zao hapati kazi..But hakuna sehemu aliyo washauri au wakataza watu wasiende ulaya...
@asiaminja3556
@asiaminja3556 10 ай бұрын
Huyu dada anahitaji msaada hayupo sawa maskini...Mungu amsaidie
@blandinamrusha-pj2ro
@blandinamrusha-pj2ro 8 ай бұрын
Msaada wa maombi hasira ipo juu,Afya yake ya akili haipo sawa tress anazoo
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 11 ай бұрын
Pole sana dada Mwachie Mungu kila kitu ndio atakulipia
@nikitadiamorelivingstone2831
@nikitadiamorelivingstone2831 11 ай бұрын
Pole Dada, huyo mdogo wako ana tatizo la kisaikologia pia, kuna watu hawajali hisia za mtu kabisa, ukisubiri akuombe msamaha utazidi tu kuumia wewe.Cha kukushauri wewe msamehe huyo mdogo wako, halafu omba Mungu usahau hilo tukio, maisha yako yatakuwa na Amani.
@vero57
@vero57 11 ай бұрын
Pole sana dada, kweli wahenga hawaja kosea, tembele Ujionee
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 6 ай бұрын
Huyo Dada ana stesss saanaaa maskini na msongo wa Mawazo Mola amfanyie wepesiii 😭😭😭😭😭 lkn Kiukweli njooni Ulaya muse na akili timamu muje mutafute na uvumilivu makubwa na kusimama KTK Marengo lkn njooni mutafute riski za MWENYEZI MUNGU 🥰🥰🥰💖💖💖
@rosemaryjohannes
@rosemaryjohannes 10 ай бұрын
Dada kama unaona hii comment yangu mimi ningekushauri ungeendelea na maisha yako tuu. Muombe mungu akutie nguvu na kukusaulisha maumivu uliyoyapata, msamaha haulazimishwi. Usilazimishe kuombwa msamaha msamaha unatakiwa utoke moyoni na si kulazimishwa kuomba. Tayari uko na maisha yako wewe endelea na maisha yako , mambo yakusema sijui mie mkubwa natakiwa niombwe msamaha au niheshimiwe hayo no mambo ya kiafrica na ya kizamani. Unaumia sana kwasababu haujataka kuendelea na maisha yako na kuacha kila kitu nyuma ( MOVE ON ) . Nakuombea upate roho ya kusamehe na kusahau.
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 11 ай бұрын
Dah so sad mie sitaki ndugu yoyote nyumbani kwangu dunia hii imebadilika sana
@liannsambu7264
@liannsambu7264 10 ай бұрын
😅
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
Haaaaaa 😅 yaaaan uwiiiii Mume wangu kila Siku imekuwa wimbooo.😂anakwambia Kwa herufi KUBWA SITAKI MARAFIK NYUMBAN SITAK NDUGU MLADI NDUGU MAANA MAISHA TULIYOPITIA ASANTE MUNGU KWA HAPA TULIPO FIKA❤
@MamaLorenzo
@MamaLorenzo 5 ай бұрын
Sis Amina😂😂😂kitambooooo....
@valenakomba9218
@valenakomba9218 11 ай бұрын
Ulaya mambo ya mkwe, na mawifi, hayo kwao wao siyo muhimu Sana. Mika zetu na Mila za wenzetu ni tofauti Sanaa.
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 9 ай бұрын
Siyo mila ni uovu uliowakithiri historically hawakuwa hivyo.
@tinaminja5500
@tinaminja5500 11 ай бұрын
Huyu lazima awe na msongo wa mawazo kwasababu hana watu wakushea nae mawazo... Na ulaya kila mtu na mambo yake ndo maama... Pole sana jitaidi kumsamehe na kusali sana Mungu atakusaidia
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Ameishapata depressione
@RehemaKiangi-nz9gt
@RehemaKiangi-nz9gt 5 ай бұрын
Sema kweli Mama wanaenda ulaya kuteseka tu Maisha Bongo Bwana ulaya MOTO SEMA KWELI Mama
@RosemaryNyalandu
@RosemaryNyalandu 10 ай бұрын
Pole Sana Dada kwakuzalilishwa na ndugu wa damu kikubwa mwachie mungu huo msamaha wake utakua wakinafiki tu we endelea kulia na mungu kunapigo kubwa Sana linakuja mbele yake pia kaa nae mbali
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Shetanii ndio ufanya juhudi ndugu kwa ndugu wasipendane
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI 10 ай бұрын
Polee dada.hayo mambo yapooooo.Mimi nilikuja ulaya na nilikuja kukaaa kwa Masista lakin jaman yule sista alichonifanyia.....Alinichongea kwa sista mkubwa nikafukuzwa kama mbwaaa...sikuwa pa kwenda lakin nililala pale Airport kwa siku 3.Namshukuru Mungu sikupata na shida wakati nilala pale....yule sista jaman.Mungu amsamehe.
@waukweelinikkon6555
@waukweelinikkon6555 11 ай бұрын
Duuuh kweli tembea uone, hivi ulaya wazungu walivyojazana why unataka kushea na dada ako😢😢,Pole sana ndugu yangu,sema mdogo wako ana uswahili mwingi japo yuko ulaya
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 11 ай бұрын
Swala sio wazungu, hata ange kuwa mweusi, huyo mdada ita kuwa ana penda kulala na wanaume wa wenzie. kuna watu wako hivyo kua wana penda kulala na watu wanao lala na watu wanawajua au watu ambao wana wapenzi wengi.
@brendajulius2995
@brendajulius2995 10 ай бұрын
Ukute huyo mdgoake alikuaga changudoa mana miaka hyo wengi waliolewa na wataliano ndo mana haoni haya kulala na mume wa dadake. Mtu mwenye adabu zake hawezi fanya hvyo
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Huyu nimuongo Ana matatizo
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
​@@blandinamwarabu5025please vaaa KIATU CHA HUYU DADA JAMN UWIIII UNA ROHO NGUM WEWE
@mellenomenyi6897
@mellenomenyi6897 10 ай бұрын
Forget and go ahead what she did to you is blessing to you later
@RehemaKiangi-nz9gt
@RehemaKiangi-nz9gt 5 ай бұрын
Pole sana Dada msamehe huyo mdogo wako Mungu atamlipa mabaya yote
@HappynessSomon
@HappynessSomon 11 ай бұрын
Asante dada na pole,lakini unapaswa kumsamehe na kumuachilia mdogo wako toka ndani ya moyo wako ili na Mungu akusamehe makosa yako,fanya maombi ya kusamehe na kuachilia,nenda kanisani na funga kama inawezekana,maana hata mimi na wewe tunamkosea Mungu sana lakini anatusamehe na kutubarili tunapokuwa wepesi kuwasamehe wale wanaotukosea,tafakari sala ya Baba yetu❤
@Lizzyktd
@Lizzyktd 11 ай бұрын
Pole sana dada yetu 😢😢😢
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 11 ай бұрын
jaman tuliopo nje tuache kuwambia watu eti kaeni nyumbani tu, huku maisha magumu wakati sisi tume pambana na magumu hayo mpaka tuka weza, ni vizuri kuwambia ukweli wa maisha jinsi ya livyo, faida, kero, na manufaa yake. mtu akija nje ajue jinsi ya kujipanga. n
@user-xl5mq5ug2j
@user-xl5mq5ug2j 11 ай бұрын
Well sayed....haitakiwi kukatishana tamaa kila mtu ana njia zake na namna yake ya kufanikiwa jaman
@frankeliakim2267
@frankeliakim2267 10 ай бұрын
Fact ndugu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Well said 🎉
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 10 ай бұрын
Kweli kabisa, kla mtu na riski yake, haifai kuwakatisha tamaa wengine mhimu ashukuru TU mungu matatizo yake amkabidh mung tuu
@Lilian20248
@Lilian20248 10 ай бұрын
Pole sana. Adui ya mtu ni ndugu yake mwenyewe kwenye hii dunia. Kama una moyo wa kusamee wewe umsamee tu, siyo hadi akuombe msamaa
@queenlinda255
@queenlinda255 11 ай бұрын
Pole sana jamani mimi ulaya naenda kutembea tu siwezi kuishi huko mama yangu mzazi na mdogo wangu ninae muachia ziwa ni raiya ya BELGIUM 🇧🇪 .
@souksoukeventsandmarketing653
@souksoukeventsandmarketing653 10 ай бұрын
Wewe ndio mimi yaani nazunguka ma bara yote kutembea tu na nimeishi sana UK lakini hapana nyumbani napapenda nikikaa tu nje 3 months nakumbuka TZ
@fatmakombo9793
@fatmakombo9793 10 ай бұрын
Ni kweli dada maisha ya ulaya ni magumu sana hasa ukiwa mwanzo unahamia na watu hawapendani kila mtu anamkimbia mwenziwe
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 11 ай бұрын
Hii ni shida hoyo yarabi mimi nipo oman nikuwa nafanya kazi zanzibar nilipitiya shida nyingi sana kwa kaka yangu na wifi yangu sina iman nao kunikoshesha mavi ya mtoto wao na maradhi hata nikaumwa hanijali lakini mungu yupo
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 11 ай бұрын
Pole Sana ndugu yangu ndugu kaz
@arafaoman9504
@arafaoman9504 11 ай бұрын
upo sehemu gani ndug yang me pia nipo oman
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 11 ай бұрын
@@arafaoman9504 oman saham
@omarizoyussuf4022
@omarizoyussuf4022 11 ай бұрын
​@@arafaoman9504nipo maabella
@merycianachangarawe8979
@merycianachangarawe8979 10 ай бұрын
​@@arafaoman9504mambo vip dia naomba kujua utaratibu wa kuja Oman pls?@merycianacha hili ndo jina langu na Ig unaweza kunidm kama hautajali ,natanguliza shukrani zangu
@jacquelinelukambuzi5085
@jacquelinelukambuzi5085 10 ай бұрын
Mungu akupe neema ya kusamehe ili maisha yako yazidi kubarikiwa hukumu muachie Mungu
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 10 ай бұрын
Mh mnatukatisha tamaa lkn iwe mvua iwe jua ulaya lazima nije inshallah😂
@leahzuu6468
@leahzuu6468 10 ай бұрын
Meonaeee 🤣🤣
@user-pz3dx8wn3j
@user-pz3dx8wn3j 5 ай бұрын
Hahahah jmn
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 4 ай бұрын
Usikate tamaa dear ila jipange uje ukiwa na vitambulisho vitakavyokufanya uishi vizuri ukija bila vitambulisho utanyanyasika mno. Pia inadepend unaweza kupata mtu mwema na usipite pale alipopitia yeye kikubwa ni kumuomba Mungu ktk yote.
@stellabugingo4071
@stellabugingo4071 4 ай бұрын
Kanikumbisha mbali mwenzangu kateswa na mwenyeji mimi nimeteswa na mgeni niliemleta 😂😂 Mungu atusimamie tu ila ndugu wanajuaga kutunyoosha 😢 pole sana mpenzi Mungu azidi kukupigania. Tangaza msamaha hatakama hataki kukuomba msamaha ni kwaajiri yetu sio kwaajiri ya wanaotukwaza. Unauchungu mwingi mno piga goti chini mlilie Mungu akutue huo mzigo mzito ulioubeba kwa miaka yote Hiyo. Ni yeye tu awezaye kuokoa mioyo yetu❤
@hawasaid7151
@hawasaid7151 10 ай бұрын
Tujifunze kuomba msamaha jaman vinyongo vya watu wengine sio poa😢
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 11 ай бұрын
Nacho kushauri dada usi subiri kuombwa msamaha ndio usamehe, msamaha ni kwa ajili yako wewe sio yeye, mwenzio anaendelea na maisha yake yupo na furaha zake wewe ndio unae umia. Mimi ndugu yangu nili mwalika kwangu na boyfriend wangu akanitoa mimi akabaki yeye, kwneye nyumba nime mleta, nika samehe nika endelea na maisha yangu bila kuombwa msamaha, maana nilijua yeye ana furaha ila anataka kuaribu maisha yangu, nilikataa kumpa hiyo nguvu ya kupelekesha maisha yangu. wewe umekubali ndugu yako aendelee kukutesa miaka yote hii, ume kubali kuwa mfungwa wake, kusamehe sio kusahau, mimi nakumbuka ila siumii tena. Mtu anapo amua kufanya jambo ambalo anajua lita kuumiza ni ameamua kukumiza na wala hajali hisia zako. Hata siku mmoja usimpe mtesi wako nguvu ya kukufanya mfungwa wake,
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 11 ай бұрын
Pole Sana mpedwa udungu kaz mwenyezi mungu akutangulie
@helinahenry2363
@helinahenry2363 11 ай бұрын
AMEN 🙏, kabisa asamehe tu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Pole sana na hongera kwa kuweza kusamehe manake sio rahisi lakini Mungu alikupatia kibali kikubwa. 🙏
@hawababy120
@hawababy120 10 ай бұрын
Pole.san dear
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 10 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceExactly my dear
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 10 ай бұрын
Umeongea point Kwakweli pole mwaya nimekuelewa❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@dayana5513story
@dayana5513story 11 ай бұрын
Binadamu ndo walivyo nijambo la kumushukuru Mungu unauzima na Afya ndo la muhimu
@MiriamMlele-j8p
@MiriamMlele-j8p Ай бұрын
Msamee 7 sabini ili Mungu akusamee penda kumjua mungu kuliko mwanadamu huyu mdogo wako mtoe moyoni mwako alafu une mungu atakavyo funguwa milango ya baraka
@violethbosha1666
@violethbosha1666 5 ай бұрын
Unaumia sana kwa sababu hutaki kusamehe kusamehe samehe ukitoa msamaha utapona
@safiam5338
@safiam5338 4 ай бұрын
Subhanallah yasikumize dada ayo niya dunia tena yanatokeya sana tu alakini maisha yanaendeleya
@PriscaCassian-xd6dw
@PriscaCassian-xd6dw 10 ай бұрын
Sio Italy tu dada nina shost yangu yupo south Afrika alimnyanyasa mtoto wa mdogo wake huko south ikifika usiku anamtishia maisha mara wamfungulie mmbwa bahati nzuri akakutana na mama wa makamo huko akamchukua akafuatilia kilakitu ndio akamtaftia kazi huko Italy ya kusaidia wazee na mpaka sasa yupo huko huko Italy sasa hivi maisha yake mazuri anajiamini anajiamulia mambo yake anakuja tz nakuondoka tena
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 ай бұрын
Yaani SA tu hapo unanyanyasa mtu? Ila waAfrika tuna shida 🙌🙌
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju 11 ай бұрын
Italy kwa ujumla ni kugumu sana halafu wanapenda mapenzi sana halafu mila yao ni tofauti nchi nzuri za ulaya ni Finland , Denmark uswiz yaani kwa ujumla nchi za Scandinavia mambo hayo ni kidogo sana yapo ila sio sana wana utu na hofu ya mungu kidogo lakini sio ugirik Italy mmmmmh hakufai kimaisha
@immaculateakilimali7220
@immaculateakilimali7220 11 ай бұрын
Waitaliano wahuni sana na wakorofi hawana tofauti na wabongo wengine😅
@stamillusatila9084
@stamillusatila9084 11 ай бұрын
Waitaliano washenzi sana, niliwahi kwenda kikazi mji uitwao Veletri tulinyweshwa maji ya chooni pumbavu kabisa.😊
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Sanna na ndio wazungu wengi wao waliojaa Tnz.
@asnate8493
@asnate8493 10 ай бұрын
@@stamillusatila9084huku ni kawaida kunywa maji ya chooni huwa ni masafi hayana shida, tofauti na nyumbani
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 10 ай бұрын
Pole,wengi tumeumizwa tena huku huku nchini kwetu na hatujaombwa msamaha na tumemuaxhia.mungu tu
@everlinejerotich3605
@everlinejerotich3605 10 ай бұрын
Licha ya hayo yote mammy shukuru mola kwa haijili ya huwai wako na ukue na roho ya masamaha ❤🙏
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 11 ай бұрын
Mimi ndio maana nasema siku zote watanzania ulaya wana roho mbaya amuamini
@hejmabohejhej9
@hejmabohejhej9 11 ай бұрын
Sio watanzania tu wakenya noma
@marrypius576
@marrypius576 11 ай бұрын
Dada sio watanzania tu ni watu wote dunian sema hatufatilii tu
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 11 ай бұрын
Wtnz wamezidi roho mbaya lkn za wenyewe kwa wenyewe si kwa watu mbali.
@munirahassan5969
@munirahassan5969 10 ай бұрын
​@@marrypius576 hii kiboko,mimi nimefanyiwa ubaya rafiki yangu fitina kwasababu yeye kaolewa mimi bado sijapata mme maneno kejari zarahu 😢
@maggiemeggie897
@maggiemeggie897 10 ай бұрын
So wa tanzania pekee,,mimi mkenya na ni hivyo tu,, yani wafrika chuki kati yetu sijui niseme wivu…ukitaka kuishi na amani hii ulaya wacha tupatane huko inje lakini kutembeleana kwa boma sahau
@jaffaryhamiddy8939
@jaffaryhamiddy8939 11 ай бұрын
hapo kweny kusem nje maisha magum saw yp ila juhud za mtu ndo mafanikio yake mbon ww hujarud Tanzania km n pagumu huk ,usitishe watu kwa uliyoyapitia ww kil mtu ananjia yk ktk maish so ww hpo unatakiw kuwasihi watu wakiend huk wahakikish wanaend kihalali na wajue wanafikia wapi na n mahali salam bac hilo ndo muhim mana kma kufanikiw watu wengi tu wanafanikiwa vizur
@kazigembeleke5958
@kazigembeleke5958 7 ай бұрын
Kihalali ni ngumu labda kwa kwenda kutembea na kurudi au masomo
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 11 ай бұрын
Bado hayupo sawa kisaikolojia pole sana dada walionaye jirani wamsaidie
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 11 ай бұрын
Pole wasamehe, Mungu hawabadilishe. ❤❤❤❤
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 9 ай бұрын
Ulaya haijawahi na haiji kuwa sehemu nzuri ya kuishi mtu mweusi,baki nyumbani kwenu msikatae mkageuka kuwa watumwa,naam wahenga walitujuza kama mnataka mali mtayapata shambani. Pole sana
@veronicakassembe3718
@veronicakassembe3718 10 ай бұрын
La msngi pambana na maisha yako ka kuumizwa na ndugu wengi tumeumuzwa ahilia ili mungu zaidi kuku barikiwa mwanzo ni mgumu zidi kumuomba mungu an usweke uadui mumbe mungu amuoyeshe mdogo wako kosa alilolikufanyia na kama anakuja kwako siku moja kaa nae myamalize wewe ndie mkubwa then move forward maisha ya endelee
@rahimaamour2756
@rahimaamour2756 10 ай бұрын
Dada hakuna kitu kizuri km kumuachia mungu wee muachie mungu jaribu sana na muombe mungu akusaidie uwachilie machungu mungu analipa hapahapa duniani
@user-xw9kh3vm8i
@user-xw9kh3vm8i 11 ай бұрын
Tatizo dada wewe unawaza msamaha,wakati mwenzio hata wazo la kuomba msamaha hana,anaona kawaida tu,na usikute nayeye mdogo wako kichwa yake haipo sawa,unachotakiwa nikusamehe tu,fanya kama hamna kilichotokea japo ni ngumu.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 10 ай бұрын
😅😅😅😅 ,ila watu wa Dom naona wanavitabia hivyo ,ingawa vya kweli uyu mama analalamika mpaka HURUMA , nafikiri kweli APATE counselling
@felistanjeri7077
@felistanjeri7077 10 ай бұрын
Pole dada. Mimi ni mukenya hata mimi niko Brescia
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 11 ай бұрын
Inauma pole Sana Dada yetu
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 11 ай бұрын
Pole sana mama , yaani umeumia hadi ukiongea watu wanakuona hujielewi ila najua ni uchungu tu, lakini kwakuwa umesema basi tunaomba uachilie moyo ili uwe sawa
@mariansumari2179
@mariansumari2179 5 ай бұрын
Hayuko Sawa kabisaaaa
@betridadaniel1461
@betridadaniel1461 10 ай бұрын
Pole mi mdogp wangu alizaanae kabisa shemejiake
@user-zx9wg4ec2w
@user-zx9wg4ec2w 11 ай бұрын
Ila ulaya kuzuri unashauri watu wasije huko mbona wewe ulikata kuludi TZ
@leahzuu6468
@leahzuu6468 10 ай бұрын
😂😂😂😂 meonaeee 🤣
@AIKABAHATI
@AIKABAHATI 10 ай бұрын
Kuzuri sanaaa
@ngoni7944
@ngoni7944 6 ай бұрын
😅😅😅
@jennytugara9470
@jennytugara9470 5 ай бұрын
Ndio hayo mazuri yanayowakuta Watu ulaya uzuri wa miundo mbinu inaonekana buruburu lkn maisha ni Magumu.
@mercyndunge7119
@mercyndunge7119 10 ай бұрын
Pole dada mwachie mungu yeye ndie mwamuzi wakila njambo
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 6 ай бұрын
Pole sana sana, pia nakuelewa musamehe najua imekuumiza sana lakini ndo hivo kunandugu wamaajabu,pia kuna ndugu inawaleta ulaya na wanakutenda macho makavu what I can say wewe achilia moyo wako usije ukajiletea maradhi atajijua natabia zake mbaya
@estakapufi7582
@estakapufi7582 11 ай бұрын
Pole sana ndugu yangu kwa yote uliopitia ulaya ngumu kumi kwa moja anaekuja anapata furaha,bora nyumbani utafungua hata genge ila unaishi kwa amani.
@uwimana6533
@uwimana6533 11 ай бұрын
Kabisa hata mimi yamenikuta haya kikubwa kuvunja undugu ilikupata amani ya roho 😂😂
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 11 ай бұрын
Hii interview iimeniumiza roho 😨 pole sana dada. Mwenyezi Mungu atakulipia
@ShaniShebila
@ShaniShebila 10 ай бұрын
Pole sana dad etu mungu yupo nawe nahilo jambo piga moyo konde achana nayo malipo nihapa duniani
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 10 ай бұрын
Pole sana dada inauma sana😢😢
@user-yj3gy4jc1t
@user-yj3gy4jc1t 4 ай бұрын
Pole sana dada
@violethbosha1666
@violethbosha1666 5 ай бұрын
Pole uliumizwa nakushauli samehe bila kujali
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 ай бұрын
Sorellina tua è cattiva è senza cuore alikua hatari kukusaidia bora mungu alikufungulia Milango dada karibu Napoli
@MoleniElia
@MoleniElia 5 ай бұрын
Asante sana karibu nawe Brescia
@rosematiku1059
@rosematiku1059 10 ай бұрын
Kiufupi mimi naona uyo dada amwite mdogo wake amkalishe chini amwambie ni kiasi gani alimuumiza na amekaa na maumivu kwa muda mrefu , ivyo haoni vyena kuendelea kuumia na wakati mlengwa upo ivyo wasameheane wakiwa bado hai maisha yaendelee na Mungu awabariki na kupokea msamaha wao.
@Hawamoshi-j7r
@Hawamoshi-j7r 14 күн бұрын
Pole sana
@RehemaKiangi-nz9gt
@RehemaKiangi-nz9gt 5 ай бұрын
Msamehe tu Dada huyo mdogowako inaumiza sana kwa sababu ni ndugu msamehe tu
@irenenyachoti8303
@irenenyachoti8303 9 ай бұрын
Dada shukru mungu olipata Mme muzuri wachana naye dadako
@ledasultan9098
@ledasultan9098 11 ай бұрын
Pole achia maisha yaende,,mungu anakupenda
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 11 ай бұрын
Hawezi mpaka apate msaada wa saikolojia au maombi
@JaneAssey-x2f
@JaneAssey-x2f 10 ай бұрын
Pole sana dada ishi maisha yako achana na story ya ndugu
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 ай бұрын
Duh inasikitisha sana pole
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 10 ай бұрын
Msamaha nikitu muhimu sana Ami ni dada ukisamehe kuachilia utakuja kupokea mibaraka mengi mnooooo amin
@crownpress5512
@crownpress5512 10 ай бұрын
Dada samehe tu upone moyo….Msamaha ni kwa ajili yako…na afya yako na amani ya moyo wako …pole sana na usonge mbele
@hawababy120
@hawababy120 10 ай бұрын
Pole sana dada yangu inauma sana hio hali wew samehe tu umuachie Mungu usilazimishe akuombe msama kipindi hajajiskia kukuomba msama.shena tusaidie number yahuyo dada plz
@ZintanaAhmedy-pe4ou
@ZintanaAhmedy-pe4ou 5 ай бұрын
Daah Malaya hawafai😢😢😢 alikua anamuuza dada akee masikini polee
@florachogo243
@florachogo243 11 ай бұрын
Asante sana ,wambie wanaosema bora ulaya
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Pole dada naona umeishachanganyikiwa
@nashnene6326
@nashnene6326 11 ай бұрын
Pole na mtihani wako! Lkn sasa wewe mbona unashukuru kufika ulaya kwa nini na wengine wasije huko?
@sophiamatonya6067
@sophiamatonya6067 11 ай бұрын
Moleni muachie mungu
@habibamura5255
@habibamura5255 5 ай бұрын
Pole Sana dada😢😢
@SheilaMaregesi
@SheilaMaregesi 5 ай бұрын
Hataomba msamaha maana wao wanaona walitenda kwa makusudi na wamedhamiria.
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 11 ай бұрын
Piga moyo konde sahau mwamini Mungu hiyo ilikuwa njia ya kuweza kufanikiwa jaribu kusahau yaliyopita si ndwele tugange yajayo
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 10 ай бұрын
Yes yes ndio maana nasema sirudi nyumbani
@RuthBukuku
@RuthBukuku 4 ай бұрын
Huyu dada anamaumivu sana sana na mungu amsaidie
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 11 ай бұрын
Mimi pia nina shida kama hiyo hiyo kwa hivo hata usishangae mshukuru mungu tu
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 11 ай бұрын
❤❤❤
@user-iy1np9et3q
@user-iy1np9et3q Ай бұрын
Mungu wagu dunia niatari
@angeliquenduwimana5476
@angeliquenduwimana5476 4 ай бұрын
Muombee mungu amubadishe
@witnessfelix3336
@witnessfelix3336 11 ай бұрын
Daah polee sanaa
@zayumar2955
@zayumar2955 10 ай бұрын
Duuu pole sana dada huyo mdogo wako sijui ni kabila gani manake wasukuma hawana tabia izo kwakweli ila hatokua na aman daima na nikushaur tu dada usitegemee msamaha kutoka kwa huyo ndugu yako maana kwa maelezo yako nahis yeye anajiona hana kosa kwaiyo usitarajie msamaha kutoka kwake muhim jisamehe ww na omba Mungu akusaidie endelea na maisha yako dear
@joasitz9559
@joasitz9559 11 ай бұрын
Pole sana dada huenda huyo mdogo wake ni Narcissist, hiyo ni personality disorder ambayo mtu hajali hisia za wengine. Ni watu hatari sana hao, kwa vile ameongea leo you tube ajitahidi yeye tu kusamehe, japo inauma sana. Mm mke wa rafiki yangu alinitukana bila sababu nilimbana rafiki yangu mpaka aliniomba msamaha yule dada. But hii dunia jamani tuwe makini sana na watu, angalia maisha yako. Watu wanabadilika dakika yoyote ile. Unaweza mtendea mtu wema utakacholipwa utatamani uzimie.Take care guys.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Umenena jambo Kubwa sana ambalo watu wengine hawaelewi kabisa juu ya hii ishu ya Narcissist itabidi siku nifanye Video kuelewesha watu kabisa
@joasitz9559
@joasitz9559 11 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance asante, for sure. Ni jambo la muhimu
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 11 ай бұрын
Msamehe tuu! 🤷🏽 Ili upate amani ya Roho! Let go my dear 🙏🏼🙏🏼
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 10 ай бұрын
Dada yng nakuomba mshukuru Mungu. Waache na ujinga wao wasije kukudhuru bure.
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 4 ай бұрын
Dada, samehe, songa mbele na maisha na mwanao. Angalia positive side of it kuwa Mungu alimtumia kukuleta Ulaya. Ulaya kuna ka upweke ka social life, inakuwa si rahisi kusahau betrayals za ndugu, ndo mtu unakuwa na mastress tumepitia pia stress za ndugu in a different way. Ulaya ni kuzuri, it depends umekutana na experience gani. Bado una hasira, unaongea kwa gadhabu. Labda ongea na Shena inbox you need cancelling. But story yangu nzuri inafundisha pia. From Holland 🇳🇱
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Karibu sana kwa kipindi
@monadinadi5295
@monadinadi5295 11 ай бұрын
Acha nioshe vyombo oman 🙏🙏
@helinahenry2363
@helinahenry2363 11 ай бұрын
miwili tena ndg yangu😂😂
@Lizzyktd
@Lizzyktd 11 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 11 ай бұрын
Umehonae tunahosha ili mradi amani ipo
@monadinadi5295
@monadinadi5295 11 ай бұрын
@@Judy-dy4zt kbs 🤝miaka 7 jambo changamoto zipo lkn nalala bure nakula bure nk acha tu
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 11 ай бұрын
@@monadinadi5295 umehonae name niko uku changa moto zipo lakni tunapambana na mungu anatusimamia
@leominde8249
@leominde8249 10 ай бұрын
Duuh! pole sana Dada yetu.
@BemungaEnock
@BemungaEnock 10 ай бұрын
Dada unayoyasema nikweli kwelikweli mungu akulinde sikuzote Mimi nipo ujeremani nakumbuka kwetu kweli mtu akiwa napesa nyumbani afadhali afanye biashara nyumbani Maisha YA ulaya ni magumu mno tenasana kbs
@nattiehoka1772
@nattiehoka1772 10 ай бұрын
Mbona mnatutisha? Mi nipo Seychelles kikazi lkn mpango wangu ni kwenda ulaya
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 10 ай бұрын
Aise acha nikatulie hapa Tanzania uko unaweza kuuza mwili
@mangofish9079
@mangofish9079 5 ай бұрын
​@@ukhutfatumah1154maisha ni mipango popote pale. Naomba niulize jee umeshaolewa??
@AnastaziaHerman
@AnastaziaHerman 10 ай бұрын
Achilia halufu samehe lli mungu akuondolee uchungu
@irenemichael
@irenemichael 4 күн бұрын
Yaan mfano umemchukua mdogowako mmefatana uje ukaenae anasema dada. Napanga chumba kumbe anapangiwa na mumeo ambae ni shemeg yake naanapambana mpaka kwa waganga akutoe kwenye ndoa kumbuka umemeachia ziwa na mume nikabira moja wote na tumesamehe unasubili kuombwa msamaa akaaa😮 kunawatu hawajali ndugu😢
@saysophyfarm1780
@saysophyfarm1780 10 ай бұрын
Huyu hayuko sawa😢 anahitaji therapist😢
@GiantPaul
@GiantPaul 11 ай бұрын
Ukiachana na umaskini, Afrika bado tuna maisha mazuri sana trust me. Huyu dada watu wengine watamuona kama haeleweki ila neno saikolojia ni zito mno na ni tatizo kubwa sana ughaibuni. Afya ya akili ni changamoto sana.
@loveness09-k
@loveness09-k 10 ай бұрын
Naona angeachana naye huyo ndugu yake yeye asonge mbele maisha yapo tu kuna kesho yao
@LucyJoseph-pb4um
@LucyJoseph-pb4um 7 ай бұрын
Pole sana kama unamjua mungu atafuta mambo yote hayo
@ukhtyrayyan7884
@ukhtyrayyan7884 10 ай бұрын
Ulaya haa itali niumaskini tu hebu njooni london au canada nani atadubutu akutese waitali wenyewe wanakuja tanzania kujiuza kwakua maisha magumu mizungu mihuni inayotuharibia nchi naaataliana huski muengereza kuja tanzani kua mtalii akuja basi kaja kutafuta luha yakiswahili hebu tafautisheni nchi zaulaya zakutaguta maidha nanchi zaumasikni kwenda kujiresa nakufanya uhuni😊
@IANA2030
@IANA2030 11 ай бұрын
Jesus😭😭😭😭😭😭Pole saaaaaaana books is never thicker again
MZUNGU ANATAKA ANICHAPE VIBOKO NIKAKIMBIA | WATANZANIA NI RAHISI KUJA UJERUMANI KWA KAZI
1:00:25
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Men Vs Women Survive The Wilderness For $500,000
31:48
MrBeast
Рет қаралды 97 МЛН
WAZUNGU WANAPENDA KUKUHAMISHIA STRESS NA NDIO ZILISABABISHA TUTENGANE NA MWENZA WANGU
1:21:40
UADUI WA FAMILIA KISA MZUNGU | NILIKUA NABANDUKA NGOZI | NIMEBAKI NALEA MTOTO MWENYEWE
45:45
KAZI ZA KULEA WATOTO NA KULEA WAZEE UJERUMANI | MAPENZI YA WAZUNGU SIO YALE YA TELEMUNDO
55:20
RAFIKI AKAWA ADUI BAADA YA KUJUA MUME YUPO UK |MTANDAO UNAVYOSAIDIA KUANZISHA MAHUSIANO
1:35:30
У ГОРДЕЯ ПОЖАР в ОФИСЕ!
01:01
Дима Гордей
Рет қаралды 8 МЛН