Mungu awatunze sana wazee wetu Mzee Ulimwengu na Askofu Bagonza, elimu yenu inatufikia vizuri sana🙏
@bonabonala5559 Жыл бұрын
bagonza nimtumishi wa mungu sio mchumia tumbo kama gwajima na lusekelo mungu mlinde ameni
@DominickBoniface-e4c Жыл бұрын
Hawa wazee nawapenda sana wametimiza na wanaendelea kutetea haki ,watu wengi wamekimbia jukumu hili! Viongozi wa dini wengi wataulizwa kwa dhambi hii ya kutokemea uvunjwaji wa haki!! Lkn viongozi wa dini wa jue hata Imani haiko salama kwa UMASIKINI, huu na kuogopa kuikemea uovu!!
@NelsoniJamily Жыл бұрын
Jenelali ulimwengu na bagonsa nimewafuatilia sana mko vizuri sana selekali yeti imetufanya sisi hatuelewi tunaelewa ubabe unao tumika Iko siku ubabe utaisha ccm isifikili wamejiwekea hati miliki hapana watu wamewachoka watakuja kusababisha vita amini usiamini
@NSAMBELAGEORGE2 ай бұрын
Kitafsiri;huwezi kutenganisha dini na siasa.mungu ni mwanasiasa no 1 .siasa mwanzo wake ni mungu mwenyewe!
@ziyadanyandwi290811 ай бұрын
Mbarikiwe sana wazalendo wa nchi yetu
@phillipmasungwa7365 Жыл бұрын
Big up Jenelali na Baba Askofu Benson Bangonza.
@batwelimahenge7850 Жыл бұрын
Nimewaelewa 100%mungu awabaliki
@mubarakmohammed7311 Жыл бұрын
Imedhihiri kuwa dini haiwezi kutenganishwa na Siasa. Thanks.
@EvaristoSanga-ry7by Жыл бұрын
Nawaelewa sana.
@SamwelKatabila Жыл бұрын
Hongeren sana watumish wa mungu kwa kaz nzur ya kuwaelimisha uma
@kaizamulinda633 Жыл бұрын
Two big brains
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Ahsante general usichoke tunakuomba baba itusemee tusipkuwa na sauti
@StewartUkason6 ай бұрын
Emperial Presidency....!! Hii ni mpya kwangu, ila nimeielewa vizuri.
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Nimenufaika sana kwa kujiongezea upeo wa kimantiki wa maarifa kutokana na mada hii.
@EzeckielMzungu Жыл бұрын
Ameongea vyema sana hongera baba askofu
@denisschacha497110 ай бұрын
Duh Aiise chuma
@baghabaghaingwengwe1750 Жыл бұрын
Huyu askofu hakika ni hazina kubwa, Chanzo mzidi kuleta kwenye interview ili elimu yake ipate kumea, Ahsanteni Chanzo
@anosiata8242 Жыл бұрын
Kazi ipo
@dassustephen731 Жыл бұрын
Kazi kweli kweli
@bonabonala5559 Жыл бұрын
wa tz tumeichoka ccm tunasubiri amri tuu mama wa kambo tumkimbize tumechoka bado dakiikaka au sekunde tuu tuwakimbize ccm
@fabby1181 Жыл бұрын
Nimesoma karibu comments zote, nimegundua watazania wengi wanaelewa vizuri kilichobaki ni kuchukua uamuzi katika kuleta mabadiliko. Nawashauri ccm wasithubutu hata kidogo kuzuia mabadiliko kwa propaganda zao, nchi itapasuka na hawata kuwa na pa kutokea
@abdallahnkrumah6237 Жыл бұрын
Hili Ni Darsa Tosha
@dismasmtui729 Жыл бұрын
Hii mifumo mibovu imewekwa na CCM ili kucompromise utawala wa sheria na uwajibikaji!.
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Jenerali nakufuatilia ukiwa na Askofu Bagonza
@scolasticakaduma5143 Жыл бұрын
Dawa ya kukomesha ujinga ktk. Nchi hii ni kurekebisha katiba na Tume ya Uchaguzi
@NelsoniJamily Жыл бұрын
Tunaomba muendelee kuwapa elimu hivyo hivyo watu waneewa
@philimonndinadyo2120 Жыл бұрын
Kwqkweli tuko hatarini
@wamisangi2801 Жыл бұрын
Dini ni Siasa kwenye upande wa Kiroho zaidi.
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Kijana mmoja ambaye baba yake alikuwa mbunge alinidokezea ili ugombee na kushinda uchaguzi unatakiwa uwe na shilingi milioni 300 na zaidi
@samwelkavwanga4491 Жыл бұрын
Kweny WiGo wa kidemocrasia Magufuri aliturudisha nyuma sana😢😢ilikuwa ni kipindi kibaya zaidi kuwahi kutokea
@eliajimmy95 Жыл бұрын
Ni kweli
@sholavalencemgimwamgimwa2812 Жыл бұрын
Watawala hawaoni hilo. Macho yao hayaoni, masikio yao hayasikii. Wanaona na kusikia kile wanachodhani Ni Keri.
@NelsoniJamily Жыл бұрын
Iko siku watu watakuwa kama watu wa mbeya na mbeya ndiko kutako anzia wambeya wabishi kumbuka maandamano ya machinga
@h77-f8m Жыл бұрын
Mbona hamkumuasi Magufuli ambaye alileta giza katika nchi nzima Watu walipotezwa wacha unafiki ulimwengu
@mosesngendello Жыл бұрын
mjadala mzuri. Suala la Rushwa Ni baya kuliko hata Katiba, Hata Kama katiba ikibadilishwa Kama Hali ya Rushwa itabaki hivi ilivyo, uchaguzi utakuwa Ni ovyo TU.
@iddmasyen425810 ай бұрын
Sauti km ya Buraza K wa futuhi
@josephaturio8624 Жыл бұрын
Usisahau pale viongozi wa nnchi walipoacha falsafa ya baba wa taifa kuitwa ndugu wao wakajibatiza waheshimiwa Ili sisi tulio chini Yao tuwe wanyonge wao tuwasujudie hapo ndiko chanzo hiki Cha watwana na mabwana.
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe!
@eliudimwakasenga9754 Жыл бұрын
😊😊😊😊
@nkwazigatsha Жыл бұрын
Hata makanisani, kwenye magazeti na vyombo vya habari hakuna demokrasia. Demokrasia wakati mwingine ni kama aina fulani ya udikteta uliohalalishwa na wakoloni ili kutuchonganisha. Waswahili walikuwa na namna ya kujiongoza tena kwa haki bila kutegemea hii domoghasia au demockery tuliyo nayo sasa. Ndugu Bagonza yuko sawa kuhusiana na siasa. Mbona matapeli kama Gwajima, na Rwakatare walipoingia siasa hadi kuwa wabunge hakuna aliyetokwa povu au ni kwa sababu walijiunga na CCM na kutafuta ulaji kama wachumia tumbo wengine wanaotumia siasa? Rais wa Malawi ni mchungaji. Papa ni kiongozi wa kidini na kisiasa sawa na Ayatollah wa Iran au mashehe wa mashariki ya kati.
@joycemosha1898 Жыл бұрын
Ni lazima kuwa na dini maharishi popote pence mkusanyiko wa watu hasa kwenye siasa kwani hukoo kwa mm mathematics wanaamini ndiyo maana wanaanza na wachungaji na hao wezetu waamini sana mabundi na kuwaweka mashehe wa kuwalinda na kuwajengea na kodi zetu
@omolomaxfitnessbodylifetim8252 Жыл бұрын
Africa inahitaji Meritokrasia siyo demokrasia maana yenyewe ilikwishafeli badala ya kuwa demokrasia kinadharia na kivitendo demokrasia ya Africa ni kinadharia ilihali kivitendo ni Idiokrasia ( Idiocracy) hivyo jibu la Africa kujikwamua kisiasa ni kutoa nafasi kwa Meritocracy ili na uchumi uweze kushamili
@edwardmizambwa237 Жыл бұрын
Mtu avae au asivae gloves, uchungu wa ngumi upo palepale.
@innocentraymond3301 Жыл бұрын
baba askofu Bagonza kizazi cha sasa kimeathiliwa sana na emperor power or presidency ndio maana hata kwenye familia kuna huu ugonjwa sana na ndio maana hata vijana wa sasa wamejaa hofu,hawajiamini, hawana uzalendo na hata hawajui wafanye nn,
@sylvestercameo6263 Жыл бұрын
Hakika huo ndiyo uhalisia! Hása vijana wamepoteza ujasiri wa kuthubutu na kujisimamia!
@JUMAHASSAN-j4j Жыл бұрын
Hongera , sana mzee ulimwegu
@BakenaKegwa Жыл бұрын
Naomba niwalaani wanaojifanya wasomi na huku hawajui wamesoma nn nakubaki kuwa wasifiaji
@dennisrwelamira1259 Жыл бұрын
Katiba mpya ndiyo itakayo tupatia hayo yote uliyoyataja Baba Askofu
@mdmahammad3278 Жыл бұрын
Tuna hitaji katiba mpya kwanzia sasa ndio mwongozo
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌️。
@aminieljohn5475 Жыл бұрын
....kuna haja mahusus ya moral and political reconstruction katika taifa hili.....wako wapi "watu" wanaoliona hili!!....Baba Jenerali, asilimia kubwa wapo kwenye lepe la usingizi wamefungwa kwenye gereza la usingizi mzito!!....tukija kuzinduka blanketing litakua lishaenda!! We will pay the cost unspeakable mediocrity!!...lazima watu waseme "wakati ni huu au never!!
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Haya yote ni manyarwanda ni maadui wa taifa hawa! Mambwa kabisa hawa
@eliasnganira7661 Жыл бұрын
Ni kweli hali ya rushwa ni mbaya sana
@abedymtore2707 Жыл бұрын
Bagonza ukisema kwamba rais akiamua kuzba masikio na macho sio kwamba atakua kiziwi2 Bali few years later nchi itakua na machafuko makubwa sana inawapasa viongoz walijue Hilo na waache kujidanganya kua wanainch wataenderea kua wajinga miaka yote