pole shukuru; mungu ni mwema utapona; kazi nzuri dr. stela nakuaminia mana nami ni mgonjwa wako tangu nimeanza tiba namshukru mungu naendela vizuri; ingawa bado shida ya kupenda kutafuna mchele sana
@elizabethusangira91037 жыл бұрын
Pole sana Mama Shukuru pamoja na Shukuru.Asante Dr kwa maelezo yako,nimepata elimu.
@shufaamohameed26037 жыл бұрын
Dada Allah akuongoze katika kazi yako hakika allahu alipangalo hatuwezi pangua
@shufaamohameed26037 жыл бұрын
dadaangu Allah akuzidishie kwa kweli ni doctor wa kipekee Sana
@hemedymayega1487 жыл бұрын
tunataka madaktari wenye faida kama nyie mungu aendelee kuilinda kaz yko kuokoa maisha ya wengi pole sana mdogo Wang Shukuru mungu yupo pamoja nawe.
@rizkimantasha57 жыл бұрын
Nice doctor!!!
@mariamfaki11667 жыл бұрын
shukuru pole sana zingatia maagizo ya doctor utapona inshallah
@waukweelinikkon65557 жыл бұрын
asante doctor kwa ufafanizi mzuri
@kinakithemr10427 жыл бұрын
mwenyez mungu amjalie aweze kuwa salama insha allah
@marthasilas43047 жыл бұрын
POLE SHUKURU. MUNGU AKUPONYE
@zenamilanzi14717 жыл бұрын
Pole sana shukuru
@zuwenaself76347 жыл бұрын
mungu atakufanyia wepes
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
kwakweli ina skitisha mungu ampe afya yake
@familylove54177 жыл бұрын
Maskn Allah atakuaf inshallah atakupungiza maumivu inshallah
@marynjeri49427 жыл бұрын
mungu wetu nimuku kuriko mungaga
@jojoba47917 жыл бұрын
Sickle cell anemia ndio jina la ugonjwa huu. Viungo vya damu haviko round inavyotakikana. Nikama vile mwezi nusu na, havitanya kazi yake itakikanavyo. Maybe hata kubeba oxygen kwa vile viko nusu-ish?. Sijui. But tumeshukuru kujua ni maradhi gani, na sio mambo ya kichawi. Pia tumeelezwa ni hereditary. Kumaanisha unapitia mbegu ya uzazi - DNA. + wengine can get it wengine not, But, wanaweza/na wata pitisha bio DNA kwa future generation/s. Pia sehemu tofauti tuna magonjwa na faida fulani kwa mwilli wetu. For example watu wa mahali panaitwa Murarang'a Kenya na kwengine, sickle cell anemia ni more common, + kwengine duniani. Why? Wengine hatujui. But tunamshukuru huyu Daktari kutufafanulia vizuri jambo hili. Shukrani sana dada dakitari. Kazi yako ya kutujulisha pamoja na calling yako, will Definitely saidia mwengine out there. Hata kama ki elimu au awareness, inasaidia. Tafadhali wenzetu wooote tuelimishane na mambo muhimu tupunguze mabaya ambayo tuyaepuka before it is too late.
@mushxwaggz52587 жыл бұрын
Utapona dogo shukran
@saumukaduara48927 жыл бұрын
M.Mungu akuzidishie afya njema
@joycemkeka37696 ай бұрын
Amina 🙏
@hamisidale36487 жыл бұрын
DR Stella Rwezaura" Job well done Captain Hamisi Dale Boston Massachusetts"+7814888652 USA
@thurayyaomar6555 жыл бұрын
dokta naomba kuuliza nliwahi kutumia dawa ya minyoo ya maji nikichupa chake kidogo tu rangi ya pink ndani na kichupa chke cha manjano naomba kujua jina lke nmelisahau nshahaika sjaipata naomba jpo box lke tu ntajua plz naomba no yngu 0626893814