DAKTARI ATOA ONYO/MSITUMIE VILAINISHI KWENYE TENDO LA NDOA, MADHARA YA KUPIKA PILAU NA NYAMA

  Рет қаралды 4,325

TimesFMTZ

TimesFMTZ

Күн бұрын

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Пікірлер: 25
@nuruyakowewe
@nuruyakowewe 27 күн бұрын
Asante kwa masomo mazuri
@HileHile-ns9xv
@HileHile-ns9xv 4 күн бұрын
Asante kwa kutujuza
@samirali5040
@samirali5040 28 күн бұрын
Hongera Dr Greyson!
@ChristineChacha-zh7go
@ChristineChacha-zh7go 20 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz 20 күн бұрын
Nakukubali sana dokta utabibu wako uko sawasawa unakwenda sambamba na maumbile ya mwanadamu kulala mapema kufunga kulala bila feni kuna faida kubwa hata kwa nguvu za kiume inasaidia sana ni hatariii
@nuruyakowewe
@nuruyakowewe 27 күн бұрын
Nikweli kabisa
@bakariyusuph-uf7nc
@bakariyusuph-uf7nc 20 күн бұрын
Ni kweli kabisa
@mwakapalamwakapala8317
@mwakapalamwakapala8317 20 күн бұрын
Je vipi Kuhusu pilau ya kuku au samaki?
@MabinaNeema
@MabinaNeema 15 күн бұрын
Mimi ninavidonda vya tumbo Nile Nini maana dagaa situmii
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz 20 күн бұрын
Dokta unayosema leo ni kama umeyaona maisha yangu sinywi soda silali na feni napenda kutafuna karoti napenda ubuyu sipendi wala sijawahi kubeti wala sina tiktok nainjoi sana inaniongezea sana hamu na uwezo mechi kwa muda mrefu
@davidmagambo3001
@davidmagambo3001 20 күн бұрын
Huyu ni mwongo sana we mhaya
@ahmedissa1827
@ahmedissa1827 20 күн бұрын
Doctor, asante kwa miongozo yako, ila kuna mantic hii ambayo sijaielewa bado; kua tuige mfano wa panya kuhusu chakula anapendelea kula mahindi ambayo hayajakobolewa ambayo ndio tule, jee tufanye hivyo hivyo ktika Michele?!tule mchele ambao haujakobolewa?!😂
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 17 күн бұрын
Kwnn wa Tz hamna desturi ya kujifunza?mnaokosoa ndo nyie mnakula bidhaa badala ya chakula.
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 14 күн бұрын
ukwel lkn kufa kupo palepale alaf unaweza ukala vzr bado ukaandamwa na magonjwa, kifo hakikos sababu
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 10 күн бұрын
Ila kuna kukiwahisha kifo kabla ya wakati wake
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 14 күн бұрын
usile pilau kisa nn pilau ni chakula cha asili magonjwa yapo tuuuu
@guninaphthal9671
@guninaphthal9671 28 күн бұрын
Kumengenya 😂😂😂 au basi kumeng'enya 😂😂
@LillianS-qt6gi
@LillianS-qt6gi 16 күн бұрын
Sasa mwanamke akimtilia mume wake ale vera kwenye chai, mume hataulizia sukari ilipo ??
@ExodusMarcStanley
@ExodusMarcStanley 19 күн бұрын
Unapaswa uwe unatoa na vipimo sio tu kusema tumia alovera alafu ilete shida nyingine ya figo na maini
@AllyMadegeda-pz2wx
@AllyMadegeda-pz2wx 18 күн бұрын
We uwe mkweli ,chakula sa siku hizi uwezi kukwepa wanatumia mbolea ,utakwepea wapi?
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 17 күн бұрын
Wakati mwingine bora sembe maana dona inasagwa na dawa za kutunzia mahindi.na haioshwi
@davidmagambo3001
@davidmagambo3001 20 күн бұрын
Unaharibia wenzio biashara umezaliwa umekuta watu wanakula sembe ,majani chai Leo unapinga
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 16 күн бұрын
Acha aseme ukweli kwani ametoa mfano wa kampuni ya mtu
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 14 күн бұрын
anatoa ushaur kama ataish milele😂
@patrickmunisi7234
@patrickmunisi7234 10 күн бұрын
Naona anataka wauza majeneza wasiweze kulipa kodi
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 46 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН