Senior Dave hatumiyi waganga yeye hutumiya serekale na kanisa
@MbulwaMunyao6 күн бұрын
SD n madaktari hio no na true k waganga wanini sasa
@AliceNjeru-os1yb5 күн бұрын
Senior Dave alisema ataki daktari hao n wanganga bt Wacha wasunguke kw serikali adi wachoke, 😢
@JoyceWakio-pw1hf5 күн бұрын
Afadhali yesu mara 100 💯, yesu hawezi kusadia na pesa My brother Jesus is everything 🙏
@EvrenNajoko-h1x6 күн бұрын
Big up Doctor u are Genuine
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you so much
@silvestaskorir89516 күн бұрын
We have been waiting for this moha, but thanks 🙏 ,usikae sana bro, God bless you
@FidelisNduku-f6e6 күн бұрын
watching from saudi arabia good job moha.
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you
@ungwamseke95905 күн бұрын
I'm watching u from USA 🇺🇸
@SurprisedBirdBath-qh2nn6 күн бұрын
I have been waiting this guys God bless u so much
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you
@brendaokola38936 күн бұрын
Moha good job 😊Mungu azidi kuwalinda mnafanya kazi mzuri
@RebeccaMaunde6 күн бұрын
Watching from Saudi arabia kazi safi sana mnafanya
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Asante
@Flo-r3g6 күн бұрын
Kazi nzuri daktari
@AliceNjeru-os1yb5 күн бұрын
Good job moha, io dio tulikua tunakwabia kw ile kesi y Faustine ingekua raisi ivyo na Faustine arudi job, xx umejionea 😅😅😅 kazi zuri
@beatricebrownie6 күн бұрын
Nimepumua sasa aki waaah good job Moha and daktari I hope the documents are original. Sorry for what you are going through in relationship.
@AdelaMboya6 күн бұрын
Pole sana moho nakufatilia nikiwa Tanzania jmn
@NancyMuthoni-y6w6 күн бұрын
Gd jb MHA, keep it up..ad I am watching u from kanailo please 😊
@khadijaqatar90806 күн бұрын
Haki daktari Mungu akubarik pamoj na Moha wet Mungu akulinde ❤❤❤❤🙏🙏🙏
@preciouschild12466 күн бұрын
Ngai😮
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Amen
@Mamake-nk3tf6 күн бұрын
Dactari asanye hao wakora wotee😢😢
@user_faff846 күн бұрын
Tuko poa moha labda nyinyi...naona mambo yamekua mazuri wahhhh 😊😊😊
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Ndio maana nipo hapa
@user_faff846 күн бұрын
@@mohaclassicfamily Bravoo 👏 den pole sana kwa yalio kupata pia
@maggiemuxh-jp8wz3 күн бұрын
Moha nisaidie na naba ya daktari
@AliceNjeru-os1yb5 күн бұрын
Aki mm kuliko niende tukasubuane na police eli nitafute daktari one's mambo iishe
@JulietKitsao-j9z4 күн бұрын
Moha nipee no ya doctor na mm 😢😢
@Nthulihalima6 күн бұрын
Angalau kazi imefanyika, kiburi kimeisha😂
@elizabethmatolo65126 күн бұрын
Big up moha bt chunga huyo dem si mzuri anaeza kutumia goons ambia daktari akukinge wewe ni mkamba if you know you know
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Aaaah sawaaa
@nancymoraa64916 күн бұрын
We thank God 🙏
@MaryKinyua-kw3gt6 күн бұрын
🙏🙏🙏
@ShiddymuneshShiddymunesh6 күн бұрын
Moha trust God kwa kila kitu na itakua pouwah,,,,,,,salimia doc sana
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Sawa I will
@SilviaChepkemoi5 күн бұрын
good job
@tabbyjoshepat98356 күн бұрын
Moha uyo kdf alikuwa anafaa kuwa hapo juu yy ndiye anajua vitu zake zote
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Anerudi job
@BerrinahMuisyo6 күн бұрын
Moha Ug tuko ndani🎉🎉🎉
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you
@jeshlumash6 күн бұрын
Finally daktari pongenzi,but kdf angekwa apo coz hujui huyo kahaba kama amepeana doc zote.
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Ataconfirm aliitwa kazi kiasi
@AliceNjeru-os1yb5 күн бұрын
Daktari anajuanga Kila kitu kama izo documents hasingekua zote angesema 🎉🎉🎉🎉 good job doctor
@neemamwaura82226 күн бұрын
Thanks doctor warudishe camera pewe adabu
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Kabsaa
@AliceNjeru-os1yb5 күн бұрын
Wenye kiburi wapewe andabu warudishe camera yko
@مونيكا-ك3ك6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉wow naeza kula sasa😂😂😂
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
😂😂😂kabsaa kula nyamaa
@MaryMūriithi-v9f5 күн бұрын
Nice if at all hao goons watalegesha vitu zako za job ... Huyo amekushow poa
@LLl-p4r3l6 күн бұрын
Inafaa mwenyewe awe hapo ndoangalie juu yeye mwenyewe ndoanafahamu hizi vitu jamani any way hongera dakitari
@petermburu12686 күн бұрын
Good job daktari
@TabiiAkinyi5 күн бұрын
Moha nisaidiye huyo daktari Kuna mtu alikataa kunilipa deni yangu
@ChristineEtyang6 күн бұрын
Good job 👍
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Asante sana
@SharoEmmanuel-n4f6 күн бұрын
Moho unaweza saidia na no ya doctor please,,,,there are something going wrong ak😢😢
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Come inbox
@LydiahObungu-l9e6 күн бұрын
Woyeeee hugs moha
@neemamwaura82226 күн бұрын
Wenye waliiba camera warudishe
@NajatMajid-m7m6 күн бұрын
Moha hayo maongezi na mpenzi wk ungemueleza nje ya camera
@FaithCheps-qi9ww6 күн бұрын
sure,,coz ata familia ya the girl wanaweza mlaumu moha kwa story na daktari haiyaa
@LeahWanyonyi-tf8sz5 күн бұрын
True hapa hitaji ni camera sio mapenzi
@CharityOsebe6 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉moha ak kuna vimtu viko na pesa zangu😢😢😢😢
@UsilaChepchumba6 күн бұрын
From saudi
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you
@nzanzex78316 күн бұрын
0000h kumbe atununui dieper za mtoi. Ameogopah kifo
@JamesNjenga-dc2qb6 күн бұрын
Good job
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thanks
@MaryKalii-o9r6 күн бұрын
Wow finally
@modestajamada34966 күн бұрын
Twasubili 🇹🇿😁😎
@husnasaid13056 күн бұрын
Hello moha , camera inaweza kuwa doo ngapi
@FrankWamkota6 күн бұрын
Now am feeling gud en relaxed
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Thank you
@carolwaithaka22236 күн бұрын
Moha wacha zako na kama huyo mwanamke ako na mimba ingine unaeza Fanya aje ama alishaoleka na kwingine si uachane naye Tu utafute mwingine
@MarryNatasha5 күн бұрын
True mke wake Mungu amemwandali juu yy ana juwa Mungu aweke tumaini kwake
@Patriciamuiga6 күн бұрын
Waiting
@totiochieng41166 күн бұрын
Ni kweli moja mushikilie kabisa utasaidia ata your funs, maana tunapitia Sana hapa injee
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Kweliii
@trizahcate95826 күн бұрын
Moha hebu ambia Daktari asaidie melan na Mama yake kwa pL aki amefanyiwa the same thing na boyfriend
@BeatriceWaruhiu6 күн бұрын
Why moha unaweka maneno kama hii ya mapenzi kwa kamera je na wasazi wa huyu dame wakiona
@waltersimiyu-ig5su6 күн бұрын
Naweza pata number ya doctor
@austrinemutsotso15606 күн бұрын
Izi documents wangepeana kdf akiwa cz uyo Dem can dame play yu
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Aliitwa kazi gafla atarudi
@aishaaisha45495 күн бұрын
Tafuta Dem mwengine moha
@petermburu12686 күн бұрын
Lakini ww moha hii mambo kuhusu huyo msichana haungeweka Infront of camera
@nancyn57786 күн бұрын
Moha that's not the only woman. Get another woman because utalia mwenyewe
@MaryWangui-xd2di6 күн бұрын
Very true
@MaryWangui-xd2di6 күн бұрын
Imagine hata watu wa dimu hawamtaki😮
@rosewanjiku51536 күн бұрын
Sasa moha bona utenganishe boma ya mwenyewe naumesema mtoto sio wako jipe shuguli mungu atakupea bibi wako sio wa mwingine
@Mamake-nk3tf6 күн бұрын
Tuombee namba ya Dactari plzzz
@sdasongswithlyrics39786 күн бұрын
Eti😳😳 tafta yesu dadangu achana na wachawi
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Kujia inbox akusaidie
@Msaliti24Күн бұрын
Huyu daktari ni mkora
@Emilymama2boys6 күн бұрын
Waw doctor be blessed babaa ata ss tumefurahia
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Very happy
@ocholarose46546 күн бұрын
Sahi wanaeake ni kutengeza ndio wakae moha thats ukweli
@AishaOmaromar-w2t6 күн бұрын
Moja nipe namba ya iyo dokta kuna mwarabu ame nizulumu
@GetrudeAsembo6 күн бұрын
😂😂😂😂😂 AISHA amekuzulumu aje
@Ruthmueni-w1g6 күн бұрын
Wah mmbaya na aisha anaroga mwarabu na ndio wachawi wakubwa@@GetrudeAsembo
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
😂😂😂sawa inbox me
@totiochieng41166 күн бұрын
Dactari ni mkali Sana
@EmmaKache6 күн бұрын
Mimi ningetaman dakitar anisaidie 😢
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Nitafute nkuconnect na yy
@EuniceBett4 күн бұрын
Moha unipe namba ya daktari
@ShiroNgure6 күн бұрын
😳😳😳😳😳👌🏽
@ZenyGold-g7h6 күн бұрын
Sasa muha kwanini unkankaniye
@Marykim46 күн бұрын
Hizo documents n original au
@Lizzie-j5d6 күн бұрын
Guys tupitiane tugrow pamoja ukinipitia nakupitia plz
@jazshery10676 күн бұрын
Moha toa music
@nasrasway71436 күн бұрын
Naomba number ya uyu doctor please
@sheilagg15036 күн бұрын
Wambo,vile mkora labda alipeana fake documents😅
@mohaclassicfamily6 күн бұрын
Tutaconfirm na KDF
@sheilagg15036 күн бұрын
@@mohaclassicfamily sasa kama ni.fake wuuiii mapacha tena?hehe
@PaulNganga-d7x6 күн бұрын
Kijana jipange utafanyiwa vibaya
@NTANataliabosslady-w4o6 күн бұрын
Moha ebu niulozie dactari kama anaweza kufungia mali yako yaali ata kama auko katibu iwezi ibiwa juu wezi wamekuwa.wengi
@EmeverlyneZz6 күн бұрын
Asaidiye focitin
@MbulwaMunyao6 күн бұрын
Ata shetani anajua mambo mwanadamu atajisaidia n nini moha uliamua kufanya job n diviners fanya tu
@nasrasway71436 күн бұрын
Naomba number ya mganga jamani
@JESCAMUHANJI5 күн бұрын
Afadhali document zimeletwa sasa
@gloriakadzo65006 күн бұрын
Moha hii video km unaweza kata hebu kata ju umeongea kuhusu hio familia na huyo mwanamke na wataona den watasemaje surely
@rachelnjoki59875 күн бұрын
Wewe moha na wewe si utafte bibi yako yote uzae. Usimtake cha nguvu coz itakuramva tu. Uyo tu ndio umeona iyo Nairobi unakuanga😂😂. Ambia God akupee wako.
@irinemosati55576 күн бұрын
Huo ufimbe hautaleta shida mtu asi zae ama niaje?
@SharoEmmanuel-n4f6 күн бұрын
I think like you 😢😢
@adelaidemary55145 күн бұрын
Huwa dakitari anatengeza kila kitu mtu asipate madhara
@shikusteve6 күн бұрын
Atleast kiburi ya Bobo imeisha
@faithnasimiyu74556 күн бұрын
Alafu moha hyo ya watu kukufa kwenu ini maagano yalifanywa kwa familia yako na wachawi ikifika the appointed time mtu anakufa inafa kuvunga hiyo madhabahu.
@lovelywairimu69656 күн бұрын
Huyu daktari na mchuku
@NofelaJaco6 күн бұрын
Aje
@Mwaminiomar6 күн бұрын
Sasa si angekuwa apo KDF acunguze vitu zake kama zinaenea