Daktari mwanagenzi aliyeuwawa Nakuru azikwa kwao Kitale

  Рет қаралды 10,455

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

5 ай бұрын

Familia ya daktari mwanagenzi Laban Lang’at aliyeuwawa na watu wasiojulikana na mwili wake kupatikana katika hospitali ya Nakuru level 5 imelalamikia hali ya uchunguzi kuendeshwa kwa mwendo wa kinyonga. Familia hiyo iliyompumzisha mpendwa wao katika kijiji cha Chematich, kaunti ya Trans-Nzoia inaitaka idara ya polisi kuharakisha uchunguzi na kuwanasa washukiwa. Collins shitiabayi na taarifa hiyo.

Пікірлер: 14
@micaangote2138
@micaangote2138 5 ай бұрын
Pole
@Paulinengoka4001
@Paulinengoka4001 5 ай бұрын
Hivi ndivyo serikali hufanya na uhalifu unaendelea 😢😢RIP DOC
@raelwekesa3873
@raelwekesa3873 5 ай бұрын
Muuwajii sasa amefurahia ii 😢😢😢rest easy homie
@carenchepkurui126
@carenchepkurui126 5 ай бұрын
Mutyo missing Langat
@jacklinemaravi8688
@jacklinemaravi8688 5 ай бұрын
Muaji sasa amefaidika na nini surely...😢😢😢😢
@user-co3pb6jn5d
@user-co3pb6jn5d 5 ай бұрын
Justice is what we want nothing else
@evanschaedirectoreffortcon6264
@evanschaedirectoreffortcon6264 5 ай бұрын
Very sad
@ruthwakoli7757
@ruthwakoli7757 5 ай бұрын
Rip 😢
@JenWamalwa
@JenWamalwa 5 ай бұрын
RiP
@dottymoh7574
@dottymoh7574 5 ай бұрын
Rip
@gracelichuma8849
@gracelichuma8849 5 ай бұрын
Rest in peace Daktari
@priscillawere8375
@priscillawere8375 5 ай бұрын
Rest in peace jirani 😢😢😢😢
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 5 ай бұрын
Kenya kuna mambo ya ajabu yani mtu anauwawaasipitalini,
@irineadisa7289
@irineadisa7289 5 ай бұрын
Wololololo...people are soo evil
CITIZEN TV LIVE
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,8 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Aua ng’ombe kisha kujitia kitanzi, Nakuru
1:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4 М.
Hundreds of passengers remained stranded in the city
3:10
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 12 М.
Jinsi ardhi ya kutetemeka huvutia watalii wengi kaunti ya Nakuru
4:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 73 М.
#iNooroTVLive
Inooro TV
Рет қаралды 877
CSs, MPs, Senetors and MCAs to get pay hike this month
3:22
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 46 М.
Property destroyed as goons cause mayhem in Nairobi
3:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 39 М.
سورة يس - عبدالباسط عبدالصمد | SURAH YASIN - Abdulbasit Abdussamad
34:53
موقع الشيخ عبد الباسط عبد الصمد
Рет қаралды 24 МЛН
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН