Familia moja Nakuru yalilia haki baada ya jamaa yao kufariki punde baada ya kuachiliwa na polisi

  Рет қаралды 26,363

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

3 жыл бұрын

Idara ya polisi mjini Nakuru imetiwa lawamani na familia ya mtu mmoja aliyefariki punde alipoachiliwa na kufikishwa hospitalini na maafisa wa polisi kwa matibabu. Mtu huyo alikuwa amezuiliwa na polisi kwa kukiuka kuvalia maski alipokuwa katika shughuli zake mapema mwezi huu. Upasuaji wa maiti umeonyesha kuwa Peter Kamau alikuwa na jeraha lililosababishwa na silaha butu.

Пікірлер: 95
@josephkimondo1315
@josephkimondo1315 3 жыл бұрын
Kazi ya police imelaniwa
@lucymwai7645
@lucymwai7645 3 жыл бұрын
Haki si uongo,
@sadiasharif779
@sadiasharif779 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@maulinegesare5106
@maulinegesare5106 3 жыл бұрын
Ifikapo siku ya kiama kunao watakao lia zaidi kuliko wengine,,God is really watching
@blessedkenya8640
@blessedkenya8640 3 жыл бұрын
Poleni sana police jamani bona hamna huruma kwa wenzenu
@oletip-tipmarion5463
@oletip-tipmarion5463 3 жыл бұрын
Alipigwa rungu na askari
@alicembugua5246
@alicembugua5246 3 жыл бұрын
Mungu tu ndie ajuae poleni Sana
@karendikitchen8439
@karendikitchen8439 3 жыл бұрын
Polisi ni serial criminals!!
@rachaelw580
@rachaelw580 3 жыл бұрын
Woi uhai umetokana na mask tu woi
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 3 жыл бұрын
Mm siwezi shauri mtoto wangu awe police kenya Mola awaepushie hii kazi ina lana huku kenya...💔💔
@lucymwai7645
@lucymwai7645 3 жыл бұрын
Haki si uongo, kazi ya police haina radthaa.Kila siku maneno maneno
@clemencianyaboga8946
@clemencianyaboga8946 3 жыл бұрын
Police mungu anawaona 😢😢
@carolinemwangi8248
@carolinemwangi8248 3 жыл бұрын
Some policeman are good.. they have humanity
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 3 жыл бұрын
Mr kinoti come hapa ukatae si polisi
@lilylilian8729
@lilylilian8729 3 жыл бұрын
Huyo inspector amemuwakilisha akasema Police walimpeleka kama wasamaria wema😂😂😂
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 3 жыл бұрын
@@lilylilian8729 kesho watakataa si unawajua wakora
@catherinehusi-burge9426
@catherinehusi-burge9426 3 жыл бұрын
Mandamano kinoti must go 👈 ameshindwa na kazi yake kuzimamia usalama wa inchi 👈 kinoti must go 👈
@enockrotino3722
@enockrotino3722 3 жыл бұрын
Hello
@enockrotino3722
@enockrotino3722 3 жыл бұрын
Mapolisi wali mkill
@rachaelw580
@rachaelw580 3 жыл бұрын
Police majabazi watu bure kabisa
@wildahmwanza9969
@wildahmwanza9969 3 жыл бұрын
Mr kinoti kuja uniabie ka awa c polisi... Wangemuacha afe tu na corona Polisi 🚮🚮🚮
@suleimanmaxamed395
@suleimanmaxamed395 3 жыл бұрын
To be honest Kenya Police need proper scrutiny by an independent body right from the I.G downwards. Thorough investigation is necessary, an example like Kinei's death ,firearms handling and alot more. People like DCI are proper lies custodians
@davismate6999
@davismate6999 3 жыл бұрын
Wont solve anything since the problems in police are inherent right from recruitment to training. Entry to police is like D, once recruited they are just trained to handled firearms and beat pple, i doubt even many in the force knows about law especially bill of rights.
@lilylilian8729
@lilylilian8729 3 жыл бұрын
Police wanaua wanaume wanaume wanaua wanawake 😥
@SSs-to7ju
@SSs-to7ju 3 жыл бұрын
Roga mtu akule nyasi akuna justice hii Kenya
@bintrashid6967
@bintrashid6967 3 жыл бұрын
Mwenyewe anabangaiza kwaajili ya familia yake wewe unamueka ndani sasa kama hana mask na umeueka ndani nani akulipe na uko nae ndani. Sahii amekufa familia yalia hapo kunafaida gani mmepata. Officers hio yenu ni njaa mnaumuza wanyonge simjui huyo aliekufa ila inaniuma sana sana sana 😭😭😭😭
@andrewwangui7379
@andrewwangui7379 3 жыл бұрын
Hii kenya Mimi naogopa mambo najionea na macho, may he rest in peace
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 жыл бұрын
Rais please fungua inchi🙏🙏🙏🇰🇪
@marynjeri6049
@marynjeri6049 3 жыл бұрын
Kabisa
@mariahprettyvlogs
@mariahprettyvlogs 3 жыл бұрын
So sad 🥺🥺🥺
@bracoozito5461
@bracoozito5461 3 жыл бұрын
The Kenya Police have been so cruel ever since the pandemic...taking advantage of people not wearing masks and extort money and bribes....unlsee something is done by Matiangi, IG and IPoa they will be seen as enemies of the people
@royaltymolly3197
@royaltymolly3197 3 жыл бұрын
Mapolisi wamelaaniwa
@selectorterminal4502
@selectorterminal4502 3 жыл бұрын
Let GOD....
@thevineyard7149
@thevineyard7149 3 жыл бұрын
Heri wangeacha afe corona. Aligongwa kwa nini? RIP
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
poleni sana
@adhiambosphenser9276
@adhiambosphenser9276 3 жыл бұрын
Poleni lakini itaisha hivo to stay in county without justice is very harder
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 жыл бұрын
Police brutality
@wincute4306
@wincute4306 3 жыл бұрын
Brathy ile movie isha toka ama bado?
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 жыл бұрын
@@wincute4306 bado we are waiting
@wincute4306
@wincute4306 3 жыл бұрын
@@kevohwapipelinetransami4351 utu alert kwa utube chanel yako
@kevohwapipelinetransami4351
@kevohwapipelinetransami4351 3 жыл бұрын
@@wincute4306 safi i will
@bbyhoney300
@bbyhoney300 3 жыл бұрын
Mask?? Only
@cezzdankenya6812
@cezzdankenya6812 3 жыл бұрын
Malipo ni duniani tu....Mungu yupo😢😢😢
@julandakauri8751
@julandakauri8751 3 жыл бұрын
Kenya tuko wapi jamani police wanafaa kutulinda siu kutumaliza
@josephmwangi9556
@josephmwangi9556 3 жыл бұрын
So sad
@cherotichsamoei6789
@cherotichsamoei6789 3 жыл бұрын
Kwani walikuwa wanampika mtoto wa mtu kama nyoka??eti alipikwa na rungu?? Kasia ya polisi walaaniwe kabisa
@kagamedimaria4787
@kagamedimaria4787 3 жыл бұрын
Ipoa,mko wapi???
@hellenopiyo3391
@hellenopiyo3391 2 жыл бұрын
Nimeogopa navenye Niko na beste yangu polisi ama pia mm anaweza nigeuzia aniue unajua sahi wameharibika sana
@sophiamacdonald2711
@sophiamacdonald2711 3 жыл бұрын
Ndio maana police cku hizi wanapigwa na wananchi
@janekamau7169
@janekamau7169 3 жыл бұрын
Pole kwa Familia only God's know
@sarahwaswa5819
@sarahwaswa5819 3 жыл бұрын
Sasa huu ndo usalama gani jaman serikali😭😭😭
@joycekarimi6070
@joycekarimi6070 3 жыл бұрын
May his soul rest in peace. Mungu anawaona mapolisi.
@edwardkinyua5091
@edwardkinyua5091 3 жыл бұрын
Police imegeuka kuwa wauaji Siku hizi sio uko tu tuombe mungu tu
@aminashabani2850
@aminashabani2850 3 жыл бұрын
Mnafikilia hii dunia mtakaa milele mkivaa hayo masale yenu mnafikilia kuua wenzenu tu
@aishachambo3293
@aishachambo3293 3 жыл бұрын
Ila polisi muogopeni Mungu jamani mbona munapenda kuuwa watu jaman😭😭😭
@lenaosore6710
@lenaosore6710 3 жыл бұрын
Good Good what??? do you know you can be prosecuted for that
@mariegosset7482
@mariegosset7482 3 жыл бұрын
Kenya sio ya wanyonge tusibashane..period!
@aminashabani2850
@aminashabani2850 3 жыл бұрын
Police iko siku yenu ya mwisho mtajibu nn siku ya mwisho
@ozzyjama145
@ozzyjama145 3 жыл бұрын
Killers...
@catherinehusi-burge9426
@catherinehusi-burge9426 3 жыл бұрын
Mandamano kinoti must go amekonganisha wakenya kuuwana kila wakati akisema atawashika wenye waliuzika mbaka wa leo ajawai kushika hawa wenye kuuwa watu..na mshahara anapokea kila mwezi.ameshindwa na kazi yake kuzimamia usalama wa inchi 👈 kinoti must go 👈
@samwelobego5120
@samwelobego5120 3 жыл бұрын
Kwa dunia mko huru kusema..."kama msamaria mwema"...God knows it better
@BG-gt1xy
@BG-gt1xy 3 жыл бұрын
I celebrate kapendo heroes. Hope they do it again.
@aminashabani2850
@aminashabani2850 3 жыл бұрын
Njaa zimezidi uhuru fungua nchi watu wanaisha na kuuliwa na asikali
@bernardmuoki4241
@bernardmuoki4241 3 жыл бұрын
Polisi wa Kenya ni wapubafu tu,,,wanakuanga mafala wote,,,,,hawaelewangi ata kwa barabara wako ivo tu
@rosekadzokadzo1401
@rosekadzokadzo1401 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄🤔🤔🤔
@lucymwai7645
@lucymwai7645 3 жыл бұрын
Wooiyie Ngai mwathani, 😭😭😭🙏 mungu wangu kila siku mauanjii
@sadiasharif779
@sadiasharif779 3 жыл бұрын
Mwathani ehakuhe goka
@happytimes9747
@happytimes9747 3 жыл бұрын
Lala Salama babaa 💔
@sarahmutsami5006
@sarahmutsami5006 3 жыл бұрын
Haki itendeke
@joemagige846
@joemagige846 3 жыл бұрын
No haki in this Kenya of murderer's. Haki itendeke is usually the end of the story.
@polepoletutafika3
@polepoletutafika3 3 жыл бұрын
Matiangi saidia tafatali
@marygithinji1310
@marygithinji1310 3 жыл бұрын
Polise tunajua venye mmefurahia kazi imekua rahisi sasa ya kushika na kuua wenye hawana mask dio mpate pesa, kahua kanyu ni keru but kuna mungu mbinguni nyinyi mmelaaniwa Rip kamau.
@roseluhazo6709
@roseluhazo6709 3 жыл бұрын
Police
@richardray2680
@richardray2680 3 жыл бұрын
Kenya is funny. You put rules in place to save lives then you start taking lives in order to enforce those rules. It's like sinking a ship in order to stop the ship from sinking. 🤷🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 3 жыл бұрын
It's high time now for kenya police force to dispense their duty responsible for the good and benefits to the country and citizens security at large hence this will improve security in our country coz citizens will see police performance in regards to policing in different counties of our Nation coz if their performance is ok and good interms of their intergrity as police officer, Loyalty to the government of the day , their superior in line of duty ,the president and citizens at large,also police officers must be honest among themselves in the line of duty ,superiors and the country at Large. Equal justice in regards of arresting a person during time of arrest, until taken to court in another words they should be obliged to criminal justice law equally to all suspects or arrested person regardless of their social status in our country and final our courts should also adhere to the constitution and any other laws of the country in order to achieve equal and fair justice to every Kenyan .
@elizabethnganga
@elizabethnganga 3 жыл бұрын
Criminos. Wanamaliza kesho yetu. Wao ni macriminos. Mabiriri magagatu.
@rachaelw580
@rachaelw580 3 жыл бұрын
Hahaha kama wasamalia wema after kujua ako hali mahututi
@swabirali1276
@swabirali1276 3 жыл бұрын
Police itabidi iondolewe
@fedilesfediles2183
@fedilesfediles2183 3 жыл бұрын
Sasa mafisa wapolisi hiyo ni haki kweli kumbuka ata nyinyi hua amuvai mask kwani mask ni tiba?ikiwa sindano sio tiba mbona mumeanza kujerubi watu na silaha yenu yeyote alie husika ya mungu ni mengi tarajia
@madhuru2554
@madhuru2554 3 жыл бұрын
This is the government of UhuRuto serikali ya Uwizi na Mauaji.
@fatmamdigo1848
@fatmamdigo1848 3 жыл бұрын
Laana thuwahi serekali ya kenya yote jahannam inshaAllah..akuna kubaki mtu wewe mungu nisikize maombi yangu leo nimefunga...
@highflyer2547
@highflyer2547 3 жыл бұрын
So sad Fvck the popo
@shadrackmbogo4009
@shadrackmbogo4009 3 жыл бұрын
Kenya police imepadilika xaxa Ni Kenya police kuhua units ama?.
@purple4463
@purple4463 3 жыл бұрын
Polisi wacheni kuwauwa wakenya wenzenu.
@philiswanjiru2328
@philiswanjiru2328 3 жыл бұрын
Kama wasamalia wema, nonsence ma mbwa nyinyi.
@gracemutiti8477
@gracemutiti8477 3 жыл бұрын
😃
@wanguibundi4017
@wanguibundi4017 3 жыл бұрын
Very sad situation where people take oath to protect civilians and instead they become their killers. Remember whatever you do in secret God will expose you at some point.Cursed you're with your generations good luck. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@lilchris5633
@lilchris5633 3 жыл бұрын
Can the word 'policeman' be on the same sentence with 'a good samaritan'? That can never be possible. I tried to write such, and my pen stopped at 'a good sam..................
@marykinuthia6067
@marykinuthia6067 3 жыл бұрын
Fear the police, keep away from the devil.
@rahabwaseykarim1507
@rahabwaseykarim1507 3 жыл бұрын
My condolences to the family
'Day of Rage' protests in Pipeline
7:53
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Please be kind🙏
00:34
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 172 МЛН
We Got Expelled From Scholl After This...
00:10
Jojo Sim
Рет қаралды 65 МЛН
Can teeth really be exchanged for gifts#joker #shorts
00:45
Untitled Joker
Рет қаралды 17 МЛН
Protesters and police clash during anti-government protests in Rongai
6:36
Aua ng’ombe kisha kujitia kitanzi, Nakuru
1:59
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 4 М.
Legislators drawn from the region accuse DP Gachagua of tribalism
3:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.
Protests rock major towns in the country in another day of chaos
4:31
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 13 М.
Jinsi ardhi ya kutetemeka huvutia watalii wengi kaunti ya Nakuru
4:03
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 73 М.
Watoto watano waliozaliwa kwa mpigo Nakuru wamefariki
2:36
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 13 М.
Afisa wa polisi Njoro amempiga risasi mpenziwe na kumuua
3:10
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 29 М.
Mtoto Huyo Alipatikana Nakuru
2:21
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
Получилось у Вики?😂 #хабибка
00:14
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН