DAMU YAKO YENYE BARAKA (SMS SKIZA 6930220) - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNG WRSHP 145

  Рет қаралды 1,511,263

PaPi Clever & Dorcas Official

PaPi Clever & Dorcas Official

Күн бұрын

Пікірлер: 602
@PaPiCleverOfficial
@PaPiCleverOfficial Жыл бұрын
LYRICS WITH ENGLISH TRANSLATION 1 Damu yako yenye baraka inayo tuosha makosa, - Your blessed blood, which washes away sins ilitoka msalabani, Bwana Yesu, ulipokufa. - was shed on the cross, Lord Jesus, when you died Nastahili ‘pata hukumu, na siwezi mimi kujiosha. - I deserve to be judged, and I cannot wash myself Unioshe katika damu nipate kuwa safi kabisa. - Wash me in the blood that I may be completely clean Safi, safi kweli, safi, safi kweli! - Clean, really clean, clean, really clean! Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa! - Wash me in the blood, may I be completely clean! 2 Yesu, ulivikwa miiba, kuangikwa juu ya mti. - Jesus, you were covered with thorns, hung on a tree Ulivumilia mateso, maumivu na majeraha. - You endured suffering, pain and injury Ninataka kijito hicho, n’ende na nikasafishwe sana! - I want that stream, go and be very clean! Unioshe katika damu, nipate kuwa safi kabisa. - Wash me in the blood, that I may be completely clean 3 Baba, kweli nina makosa, moyo wangu wa udhaiffu; - Father, I am truly wrong, my heart is weak mimi mwenye dhambi rohoni nitaona wapi Mwokozi? - I, a sinner in the soul, where will I see the Savior? Yesu, kwako msalabani naja, ninakuamini sasa. - Jesus, I come to you on the cross, I believe in you now Unioshe katika damu,, nipate kuwa safi kabisa. - Wash me in the blood, that I may be completely clean 4 Bwana,, nimefika karibu,, unilinde kwako milele! - Lord, I have come near, protect me forever! Ufungue kila kikamba, unijaze moyo mwenyewe. - Open every cord, fill my heart with yourself Na karibu ya msalaba nitakaa hata kufa kwangu. - And near the cross I will stay until my death Unioshe katika damu,, nipate kuwa safi kabisa - Wash me in the blood, that I may be completely clean
@dillisalum2384
@dillisalum2384 Жыл бұрын
How can i get this book ministers?
@PaPiCleverOfficial
@PaPiCleverOfficial Жыл бұрын
@@dillisalum2384 Where are you?
@dillisalum2384
@dillisalum2384 Жыл бұрын
@@PaPiCleverOfficial Here Tanzania
@judysewe4469
@judysewe4469 Жыл бұрын
@evanceotieno3478
@evanceotieno3478 Жыл бұрын
Very powerful
@mwalimujnr2056
@mwalimujnr2056 Жыл бұрын
Hii huduma imepakwa upako wa hali ya juu
@yohanaJoseph-ig9ki
@yohanaJoseph-ig9ki Жыл бұрын
Kuna nyimbo zinagusa sana mioyo jaman unaweza kuoka bila kuweka mikono na mtumishi
@rachelissa115
@rachelissa115 Жыл бұрын
Kwa kweli nimewapenda Sana watumishi, Dada Yuko natural kabisa bila mapambo, na mavazi Yao ya kulinda ushuhuda, Mbarikiwe Sana🥰❤️❤️❤️🇷🇼🇷🇼
@billyotty8575
@billyotty8575 Жыл бұрын
Kabisa ni mfano mwema
@norahmwendwa5941
@norahmwendwa5941 Жыл бұрын
Kazi ya waokovu
@rwampororosamuel2329
@rwampororosamuel2329 Жыл бұрын
hapo ni kweli.watumishi wa kweli
@oscarmushi3212
@oscarmushi3212 Жыл бұрын
Ifike wakati watu wa njia hii wawe barua inayosomwa na watu wengi waujie ufalme Hongereni mmekuwa kiolelezo kzr
@naomytom1646
@naomytom1646 Жыл бұрын
My favourite too I like her simplicity 💕💕💕💕👆🙏🙏🙏🙏
@Masawa8342-s3p
@Masawa8342-s3p Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na nyimbo zenyu.kokole
@felixlemashon9495
@felixlemashon9495 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana Amina
@lydiabukumbi
@lydiabukumbi 8 ай бұрын
Mungu awabariki sana nabarikiwa nanyi sana Amen
@AlexisSunguma
@AlexisSunguma 10 ай бұрын
Shukrani kwamungu kwakaziyenu mungu azidishe uduma tumebarikiwasana
@MargaretAsiko-h2y
@MargaretAsiko-h2y Жыл бұрын
Amen hata wanadamu wakini kataa nitabaki na yesu
@esthermigire
@esthermigire 8 ай бұрын
Mungu awatunze wandugu.......
@YustaMkimbila
@YustaMkimbila Жыл бұрын
Nabalikiwa sana
@bayajulius2868
@bayajulius2868 Жыл бұрын
Safi safi kweli powerful song be blessed
@CocoISUMBAVYOSE
@CocoISUMBAVYOSE Жыл бұрын
Amen Amena Imana Ibongere amavuta Ibahezagire cane
@LatifaAgustino-u6n
@LatifaAgustino-u6n Жыл бұрын
Mungu wabarki sana❤❤❤
@Muhozabella-xu4kz
@Muhozabella-xu4kz Жыл бұрын
😢murampimbara kandi ndabakunda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JudyNjoroge-cc3pk
@JudyNjoroge-cc3pk 8 ай бұрын
Mimi nimmoja wawale mnafurahisha na mnanimbariki tusana nawatoto wangu pia
@anastaziasamson593
@anastaziasamson593 Жыл бұрын
Karibuni Tanzania kwa utumishi
@JumaAliy-xr3xw
@JumaAliy-xr3xw Жыл бұрын
hakika mungu awainue zaidi nimepona kwakupitia huu wimbo pia nimeinuka kiiimani sana
@Patrickmuthin20Patrickmuthin20
@Patrickmuthin20Patrickmuthin20 Жыл бұрын
Asant sana
@nsengiyumvatheogene8376
@nsengiyumvatheogene8376 Жыл бұрын
Waw iyindirimbo ndayikunze IMANA ikomeze ibagure kd umwetewanyu ntagarubusa kumwami🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@sophiaraymond5966
@sophiaraymond5966 Жыл бұрын
Mbarikiwe nyimbo zenu hazichoshi kabisa
@GeorgeWachira-e9j
@GeorgeWachira-e9j Жыл бұрын
Mm dio hapa Wacha sasa nimefika safi safi kabisa
@Niyukurijanvier
@Niyukurijanvier 6 ай бұрын
Asante yesu
@justineombulu3771
@justineombulu3771 Жыл бұрын
Huu wimbo n wa baraka sana naupenda
@ONESMOKIWONE-oh9jv
@ONESMOKIWONE-oh9jv Жыл бұрын
Mbarikiwe sana nyimbo nzuri,muendelee kutuinjilisha watumishi.
@charlesezekiel1554
@charlesezekiel1554 Жыл бұрын
Mungu aendelee kuwatumia vyema, nabarikiwa na nyimbo zenu...
@EuniceWanjiku-c6p
@EuniceWanjiku-c6p Жыл бұрын
Kwa kuelewa kwangu hawa ndugu wametoka Rwanda ndugu watanzania wengine hawafahamu hilo, naomba kukosolewa kama sivyo
@GeorgeWachira-e9j
@GeorgeWachira-e9j Жыл бұрын
Hii bado sijaijua kama Ile ya imeniweka huru kweli lakini pia safi kabisaa
@happinesspius-pp9wv
@happinesspius-pp9wv 9 ай бұрын
Mbarikiwe sana nawapenda sana
@stephanopaul83
@stephanopaul83 Жыл бұрын
Sichoki kuusikiliza huu wimbo
@ADELAMALILA
@ADELAMALILA Жыл бұрын
Nawapenda sana from Tanzania
@ChisanoNgaya
@ChisanoNgaya 8 ай бұрын
Mbarikiwe sanaaaa
@chebetstella7387
@chebetstella7387 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana,nyimbo zenu zinahimiza nyoyo za watu wengi.
@janemurimi4486
@janemurimi4486 Жыл бұрын
Ndio nioshe bwana niwe Safi kabisa good song have blessed my heart
@JosephMuchiri-l1e
@JosephMuchiri-l1e 11 ай бұрын
Nawapenda sana endeleeni vizuli
@tulivumacha
@tulivumacha Жыл бұрын
Natamani niwe apo jaman,mbarikiwe
@JosephMuchiri-l1e
@JosephMuchiri-l1e 11 ай бұрын
Nyimbo nzuli sana sina ponya mioyo
@omondijackline6307
@omondijackline6307 Жыл бұрын
Waaaah Sijui Mm niseje!!Mungu awapatiki kabisa nahisi tuu Uwepo wa Mungu ninapo skiza nyimbo zenu 😭🙏🏼
@Elizabeth-qi6bw
@Elizabeth-qi6bw Жыл бұрын
Nimefrahia wimbo zenu sana muendelee hivyo
@ceciliawanga1248
@ceciliawanga1248 Жыл бұрын
Napenda nyimbo zenu kweli❤❤cha kufuraisha zaidi ni kwamba nizakudownload
@JamesOmondi-n1l
@JamesOmondi-n1l Жыл бұрын
Doing good job mbarikiwe sana
@paulsimfukwe9170
@paulsimfukwe9170 11 ай бұрын
Asante mungu anderee kuwatumia
@ShangaziShangazi
@ShangaziShangazi Жыл бұрын
Mungu awabariki
@gladysmusa2133
@gladysmusa2133 Жыл бұрын
Nioshe baba 😢
@neemamazimba6805
@neemamazimba6805 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana watumishi wake..mko vizuri.
@MIRIAMWANJIKU-sb4qh
@MIRIAMWANJIKU-sb4qh Жыл бұрын
More grace watumishi (KENYA
@Alzirangueve
@Alzirangueve 7 ай бұрын
Glória deus aleluia amém ❤❤
@michelnkurunziza6222
@michelnkurunziza6222 7 ай бұрын
J'aime tellement mes chers
@NiyongaboDennis
@NiyongaboDennis Жыл бұрын
Mubarikiwesana nyimbohizi ,zinanisaidiasana❤
@YustaMkimbila
@YustaMkimbila Жыл бұрын
Nawpenda Sana Mungu azidi kuwapabkipawakikubwasana
@JosephJumanne-e5y
@JosephJumanne-e5y 7 ай бұрын
Mung awabarik na huduma y Mungu awa fugulie mlango mwinginee
@DeborahAchieng-cl3wd
@DeborahAchieng-cl3wd Жыл бұрын
Mungu awainue sana. Napenda nyimbo. Zenu. Zana. Zinanibariki zana
@IssaBright
@IssaBright 4 ай бұрын
Jamaani Mungu awahongezeye mafuta yabaraka🎉🎉amen
@BenardOmbuna-d9v
@BenardOmbuna-d9v Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri mnayoifanya
@eliasjanuary5941
@eliasjanuary5941 Жыл бұрын
Watching this from Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@PeterKiarie-b4f
@PeterKiarie-b4f Жыл бұрын
Waimbaji poa🎉❤
@EzraIbrahim-kv6uy
@EzraIbrahim-kv6uy Жыл бұрын
Jamani mungu awabaliki nimebalikiwa vya kutosha nyimbo HiZi zimejaa uwepo wa mungu ndani yake
@Omitidani
@Omitidani Жыл бұрын
Ameniweka oukweli
@kisiimilka2063
@kisiimilka2063 Жыл бұрын
Nimependeswa na hizi nyimbo zimenia moyo emeni 🙏 mwende viwango vya juu zaidi good 👍🌹
@ezekielmichael9431
@ezekielmichael9431 Жыл бұрын
Huyu ndio wito na winjilisti katka kulihubili neno la mungu Amen
@johnnyakambili
@johnnyakambili 8 ай бұрын
Nyimbo muzuri❤❤
@kihimageorge6037
@kihimageorge6037 Жыл бұрын
hata walevu kama cc tunaccmuka na kukumbuka kwamba Kuna Mungu na mwishowe kule mbinguni kabla kumwona Mungu hii ndio butdani... Safi kabisaaaa
@jamesnyamasyo2908
@jamesnyamasyo2908 Жыл бұрын
Nyimbo zenu zimejawa na upako ..Mbarikiwa zaidi
@wilberforceshumwe5481
@wilberforceshumwe5481 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana
@annetvuseletse4509
@annetvuseletse4509 11 ай бұрын
Mwaka huu Yesu unikubali ,uniitike kwa kila kitu.
@bitutuirene2083
@bitutuirene2083 Жыл бұрын
Haaa team natural mama wimbo safi safi kabisa husijipake makeup Io sauti itapotea kabisa n venya napenda Io sop haaaaa ❤❤❤❤❤❤❤ I can't explain dears
@harrymusonye640
@harrymusonye640 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Touching souls here in Hefei P. R China ,🇨🇳🇨🇳🇰🇪🇰🇪
@DotoZuberi-r6e
@DotoZuberi-r6e Жыл бұрын
Nawakubali niatari❤
@godfreysanziki1461
@godfreysanziki1461 Жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi wa Mungu mbarikiwe Kwa kutumika vyema
@rwampororosamuel2329
@rwampororosamuel2329 Жыл бұрын
Damu yake yesu safi yatuosha dhambi kabisa❤
@uwasesolange8096
@uwasesolange8096 Жыл бұрын
Yesu abahe umugisha ndabakunda
@diomede8795
@diomede8795 Жыл бұрын
Watumishi hawa Mfalme Yesu awabariki sababu nao wanatubariki. Tunawaombea mafanikio
@danielnguku4090
@danielnguku4090 Жыл бұрын
More grace upon as you continue serving God's purpose to this generation, much love from Kenya 🇰🇪
@alfredghandi2001
@alfredghandi2001 Жыл бұрын
For sure I'm blessed with your songs🙏😭mubarikiwe na Mungu , Mukutane na mahitaji yenu, O Lord you are God of wonders 🙏🙏🙏
@kubwimanaumurwanashyaka4054
@kubwimanaumurwanashyaka4054 Жыл бұрын
iyindirimbo inyure umuntu wese uzayumva
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 11 ай бұрын
Hongereni Sana Watu wa Mungu, Mungu akainue kazi yenu ya Kumtumikia ktk viwango vya Juu❤❤❤
@JaphetGitonga-zp8oh
@JaphetGitonga-zp8oh Жыл бұрын
Company is good l like it
@eliamasukumba1619
@eliamasukumba1619 Жыл бұрын
Mungu wetu awabariki Sana.wa Tanzania 🇹🇿 Tunawapenda
@RamazaniMtambwe
@RamazaniMtambwe Жыл бұрын
Mungu awabariki watumishiwakeote
Жыл бұрын
we be blessed early as possible
@RuthJelagat-q9l
@RuthJelagat-q9l 3 ай бұрын
Wakenya mko wapi wekeni like tukibariwa na hii wimbo❤❤❤
@djcanardo8375
@djcanardo8375 Жыл бұрын
bakozi bimana indirimbo zanyu zirabica bigacika ino iwacu so muzokwigumire uko nyene muri batatu badatana mundagano IMANA ibahe umugisha.
@catekariuki3567
@catekariuki3567 Жыл бұрын
Mimi nitahamia huko....where there are real praises
@AlexMwamba-i4p
@AlexMwamba-i4p Жыл бұрын
Muzuri sana
@ianosore4375
@ianosore4375 Жыл бұрын
Nawapenda sana watumishi wa Mungu,... good music 🇶🇦🇰🇪🇰🇪
@everlinemuhadia2754
@everlinemuhadia2754 Жыл бұрын
True lnjili ln the house . God bless u. 100%lam blessed
@ElizabethBetty-zn6yu
@ElizabethBetty-zn6yu 9 ай бұрын
Nyimbo hii kiboko nimeipenda dada yuko vizur
@simongichama5360
@simongichama5360 Жыл бұрын
Mko sawa mungu awabariki....
@martinehussein7261
@martinehussein7261 Жыл бұрын
Ameen mubarikiwe sana nyimbo nzuri
@manirakizaapplollinaire9593
@manirakizaapplollinaire9593 Жыл бұрын
God bless you!
@SebastianSalamba-eb3rf
@SebastianSalamba-eb3rf Жыл бұрын
You truly are musical artists of the highest calling. Your gospel songs touch so many spiritually, emotionally and physically. God bless you all! 🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@sarahezekiel5170
@sarahezekiel5170 Жыл бұрын
Amen and true❤
@Lynnetonui
@Lynnetonui Жыл бұрын
Very true
@KennedyLibamira
@KennedyLibamira 8 ай бұрын
❤so touching..may you be blessed a bundantly
@DavidNgari-s2v
@DavidNgari-s2v Жыл бұрын
How I pray that before I leave this world, I will have met you. David. Kenya.
@stanleymwangi8483
@stanleymwangi8483 Жыл бұрын
Wow amazing umeniguza
@roselineachieng9073
@roselineachieng9073 Жыл бұрын
Continue Dorcas,let no fame nor money change you and conform to the world in dressing and decoration..our God is natural,maintain His image,,you are beautiful and being natural makes you more beautiful..i pray you all make heaven.maintain humility,,ul be lifted up beyond your thoughts
@josephshuma1975
@josephshuma1975 Жыл бұрын
MUNGU awabariki sana watumishi tunawapenda sanaa❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@IsaacBirori-he4lh
@IsaacBirori-he4lh Жыл бұрын
Imana ibahe umugisha muratunejeje
@carolinebarongo9220
@carolinebarongo9220 11 ай бұрын
Feeling blessed with ur songs....be blessed
@lindamatine7729
@lindamatine7729 Жыл бұрын
I'm so much blessed
@marthaiha
@marthaiha Жыл бұрын
You are a blessing to me
@nanubob1969
@nanubob1969 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana uimbaji wenu. Mnaimba na kuc heza kutoka moyoni mkiwa na lengo la kumwimbia Mungu kwa dhati na sio kwa lengo la kuwaburudisha wanadamu. Kweli Mungu awabariki!!
NI HERI KUONA NDUGU - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 174
8:08
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 4,8 МЛН
OCCUPIED #shortssprintbrasil
0:37
Natan por Aí
Рет қаралды 131 МЛН
TEGEMEO LANGU NIWEWE BWANA, DAMU YAKE NA SADAKA & LINA NGUVU, JINA LA YESU By Minister Danybless
23:54
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 130 М.
MAJINA YOTE MAZURI NI YAKO
10:35
Minister Danybless - Topic
Рет қаралды 521 М.
Moyo Wangu by Patrick Kubuya dial *811*406# to download this song
7:19
Patrick Kubuya
Рет қаралды 75 МЛН
4hrs 44min Nonstop Best of Guza Worship Mix
4:44:41
𝗚𝘂𝘇𝗮 𝗧𝘃. (𝑻𝒐𝒖𝒄𝒉𝒊𝒏𝒈 𝒍𝒊𝒗𝒆𝒔)
Рет қаралды 1,6 МЛН
TU WATU HURU (SMS SKIZA 6930253)  - PAPI CLEVER & DORCAS Ft MERCI PIANIST : MORNING WORSHIP 149
6:08
NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili)
1:26:48
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 2,9 МЛН