NYIMBO ZA WOKOVU COLLECTION (2023) - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (Swahili)

  Рет қаралды 2,274,739

PaPi Clever & Dorcas Official

PaPi Clever & Dorcas Official

Күн бұрын

#PAPI_CLEVER_DORCAS
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
TIMESTAMPS
SWAHILI COLLECTION
NYIMBO ZA WOKOVU (2023)
1.Mwokozi wetu 00:00 - 07:13
2.Roho yangu 07:13 - 13:59
3.Yesu ni furaha yangu 13:59 - 17:53
4.Fanyia mungu kazi 17:53 - 22:43
5.E'Mungu mwenye kweli 22:43 - 27:15
6.E'Mungu mwenye Haki 27:15 - 33:44
7.Msifuni msifuni 33:44 - 37:50
8.Nikikwenda mbali sana 37:50 - 42:01
9.Pendo la mungu 42:01 - 46:56
10.Yesu avukiy'i Betelehemu 46:56 - 53:02
11.Uzima ninao 53:02 - 58:34
12.Matendo ya Mungu 58:34 - 01:02:51
13.We mutima urira 01:02:51 - 01:06:35
14.Yanyinjiyemo 01:06:35 - 01:13:30
15.Kisima cha Lehi 01:13:30 - 01:19:40
16.Siku moja mavuno 01:19:40 - End
#kenyagospel #tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
rose muhando song

Пікірлер: 1 200
@PaPiCleverOfficial
@PaPiCleverOfficial 7 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/mny1oZKMlrhleposi=FYw48ZJZy9GQOxAJ NEW SONG - NIMEKUONA
@lydianjeri4550
@lydianjeri4550 7 ай бұрын
@lydianjeri4550
@lydianjeri4550 7 ай бұрын
0😊qqqqqqqqqqqqqq
@manassebinyerera7412
@manassebinyerera7412 6 ай бұрын
​@@lydianjeri45501111❤
@SylviaShivachi
@SylviaShivachi 6 ай бұрын
❤❤
@user-eb4jq5pl2j
@user-eb4jq5pl2j 5 ай бұрын
Naitaji kupata namba zenu za WhatsApp
@chanellamanariyo3699
@chanellamanariyo3699 Жыл бұрын
Mwebwe ga Yemwe ,murinsiguro igoye kubuzima bwnj,muri ishusho yumuco ,muri ikiyo nirabamwo ejo hanj ukonipfuza ,urugo rusenga mukmpwemu nomukuri ,,,hashimye iyabaremye ikabasiga ubutore nubutoni mumurimo wa Data ,,,amavug makene ng mbavug murumugisha kumahanga
@Saidi1581
@Saidi1581 Жыл бұрын
mungu awabariki sana wapendwa katika bwana wetu Yesu kristo sifa na utukufu zi mrudilie huko juu mbinguni
@hfbthydhfby179
@hfbthydhfby179 Жыл бұрын
❤❤❤
@bukeyenezaeloi9589
@bukeyenezaeloi9589 Жыл бұрын
Mubarikiwe nanje murampeziye. Canannnnnn
@janemuthoni723
@janemuthoni723 12 күн бұрын
Hawa wawili na Mbonyi siwez maliza 3 hrs kama sijatafuta nyimbo zao
@NkurunzizaAugustinAugustin
@NkurunzizaAugustinAugustin Ай бұрын
Amen Amen nyimbo nzuri sana Mubarikiw sana,na penda sana nyimbo za okovu
@mosesjingu6174
@mosesjingu6174 11 ай бұрын
BWANA YESU KRISTO ASIFIWE SANA NAOMBA KUTOA USHAURI, KWASABABU NYIMBO HIZI NI ZAWOKOVU TUBADILISHIE PICHA YA FAMILIA YA KIBAADA.
@paulajohn7901
@paulajohn7901 6 ай бұрын
Amina Hao ni mke na mume nafikiri tuwaache wa enjoy ndoa yao nzuri wakimuabudu Mungu.
@williammarube5672
@williammarube5672 Күн бұрын
Kweli. Maana ya picha hapo nnini ?
@user-to3nw6es8d
@user-to3nw6es8d 5 ай бұрын
From Kenya tumebalikiwa sana na Nyimbo hizi
@PASTORAMOSWANJALA
@PASTORAMOSWANJALA Ай бұрын
Amazing
@NtihinyurwaGaspard-ti2bz
@NtihinyurwaGaspard-ti2bz 9 күн бұрын
Merci watumishi wa Mungu
@albertdukuze3622
@albertdukuze3622 14 күн бұрын
Asante Kwa nyimbo hizi
@albertdukuze3622
@albertdukuze3622 14 күн бұрын
Nafulahi sana
@kf7018
@kf7018 Жыл бұрын
Mbega indirimbo ziryoshe; nigitangaza amajambo na amajwi yanyu, naho umuntu yayarya, ntago nayahaga. 🌈❤🤗💥❤🌈🙏 Muri marayika zi Imana aha muri iyi isi. Imana murema abandindire, abahe kyose mwifuza, kandi mwi ijuru murugo iwe, aho yakoreye umugore numugabo we bakundana neza mukuri gusukuye, namwe murimo mufitemo urugo rwanyu, kuko murakwiriye Imana Ibarimo. Bless you, i LOVE YOU .
@OlgaMazoro-kd2er
@OlgaMazoro-kd2er Жыл бұрын
Je vous aime beaucoup depuis la RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.
@elsiek7935
@elsiek7935 9 күн бұрын
Sioni choyo upendo mwingi kuwapa nyinyi, nyosheni nyoyo zenu muupokee. Huduma yenu huubariki moyo wangu sana. Naomba Mola awalinde na awabariki mnapoendelea kumtukuza na kuliinua jina lake.
@joelcisol8065
@joelcisol8065 17 күн бұрын
Mwenyezi Mungu awabariki wote kwa nyimbo nzuri za kufariji
@melvinwinde-xq7jg
@melvinwinde-xq7jg 11 ай бұрын
Wimbo zenye neema kweli... Ni za ku adilisha mtu mienendo na kumkaribia Yesu...mbarikiwe sanaa😊🙏🙏🙏🙏
@galaxyqwer7438
@galaxyqwer7438 11 ай бұрын
Aki
@jeremiahswallo2773
@jeremiahswallo2773 Жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kuwapigania na kuwainua katika kazi yenu nzuri ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo. Nimebarikiwa sana.
@samuelaron3252
@samuelaron3252 22 күн бұрын
Nawependa sana kwa nyimbo zenu
@dominickkitogwe5992
@dominickkitogwe5992 23 күн бұрын
😅nimebarikiwa sana na nyimbo zenu karibuni Kasulu ❤
@iratubonafloris
@iratubonafloris Жыл бұрын
Burundi tuko pamoja papy clever na Dorcas hii famillia imebalikiwa Sana
@naomiangolwise242
@naomiangolwise242 10 ай бұрын
Niko TZ Rungwe kwa kweli nabarikiwa sana na uimbaji huu.Yesu awawezeshe watumisi wa Bwana Yesu.Amina
@MariampetroPaulo
@MariampetroPaulo 24 күн бұрын
Amin mungu azid kuwatumia chombo cha faraja kwetu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lordorcas9344
@lordorcas9344 Ай бұрын
Batoto ya bien Balokole ya Kueli Beautiful Couple ❤thanks I I LOVE YOU All Remain Blessed
@bravinsengabravin2700
@bravinsengabravin2700 8 ай бұрын
Mumefanya nitafute hio kitabù cha nyimbo za wòkovu na nimefahuru kweri God bless you
@marrymakoi1588
@marrymakoi1588 Ай бұрын
Wakenya hongereni sana jirani zetu nko vizuri kumtumikia Mungu. Nafuatilia sana comments zenu nko hodari. Mungu awabariki wapendwa.
@henockngandu-3304
@henockngandu-3304 8 ай бұрын
Mungu akubariki n'a ngimbo ya wokovu
@user-me1cw6ky3h
@user-me1cw6ky3h 7 ай бұрын
Mungu azidi kuwabaliki nimeridhika rohoyangu ika turiya tanks fir your good work ❤
@veronenizigama2717
@veronenizigama2717 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah ayiiiiiiiiii ndafashijwe Imana ibakomereze intambuko zanyu ♥️♥️♥️
@user-vb3vq7fv1e
@user-vb3vq7fv1e 5 ай бұрын
Napenda sana nyimbo hizi zinanifariji
@FredNyakundi-vq8fm
@FredNyakundi-vq8fm 3 күн бұрын
Mungu Azidi kuitwa Mungu
@dancolinconstruction710
@dancolinconstruction710 11 ай бұрын
Wow a nice one, inapenya mpaka moyoni ndani kabisaa
@jeannettenyirasafari749
@jeannettenyirasafari749 Жыл бұрын
Mufasha imitima ya benshi ,, uwiteka abakomereze amaboko umugisha we ubahoreho ndetse nabazabakomokaho, abarinde ibicantege no gucogora kd turabakunda ❤
@josephshuma1975
@josephshuma1975 Жыл бұрын
Nashukuru kwa kazi yenu nzuri sana MUNGU awabariki sanaa❤❤❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@VenasiyaMusavimana
@VenasiyaMusavimana 7 ай бұрын
Xxxçvbnnnnķķp865fgss GG hjgfdrt❤😮😅😊😂🎉😢
@user-cy6bz6is5t
@user-cy6bz6is5t 8 ай бұрын
Blessed God bless you with more song am blessed .thank you .
@braniceomena7604
@braniceomena7604 7 ай бұрын
Mungu azidi kuwatumia kunguza mioyo ya watu. Mubarikiwe sana.
@hosiannabyukadusenge8742
@hosiannabyukadusenge8742 Жыл бұрын
Murantangaza bana bimana ❤ nukuri murumugisha wabenshi mubalikiwe Sana Kwa nyimbo za uwokovu.🎉❤ndabakunda cyaneeee ndabumvira Dk.mubalikiwe sanaaaaa
@user-bb5vw1rc9q
@user-bb5vw1rc9q 11 ай бұрын
Akika nabarikiwa na sauti zenu mnasifuu Mungu kwa kweli nipo serengeti Harmony camps nabarikiwa uku naendelea na kazi mbarikiwe wapendwa❤
@CharlesNgabo-dl1so
@CharlesNgabo-dl1so 8 ай бұрын
Mumbarokiwesa namungu a waNjaziyesa❤
@user-rn9tb4ws1x
@user-rn9tb4ws1x 9 ай бұрын
NA WAPENA SANA NA HIZO NYIMBO NAZIPENDA SANA. MUBARIKIWE SANA
@priscarfrancis8492
@priscarfrancis8492 Жыл бұрын
Hallelujah 🙏napata AMANI na utulivu kwa nyimbo hizi, Mungu awabariki sana.🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@tuyishimeannemarie8583
@tuyishimeannemarie8583 Жыл бұрын
Hallelujah 🙌🙌 ndabakunda cne❤ be blessed 🙏🌟
@HattaHatta-pk7hr
@HattaHatta-pk7hr 4 ай бұрын
Amen Sana mubalikiwe Sana kwa nyimbo nzuri na barikiwa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇬🇧🇬🙏🙏
@vinnyeboy3011
@vinnyeboy3011 6 ай бұрын
Omg hizi nyimbo unitarian sana kwanza hii ameniweka uhuru kweli
@geraldmasereka9779
@geraldmasereka9779 Жыл бұрын
Nyimbo izi Zina nipa faraja sana
@andremoisekatsuva1558
@andremoisekatsuva1558 11 ай бұрын
Mwenyezi Mungu apewe sifa sana, sana na tena sana. Nashukuru sana kwa ajili ya izi nyimbo zinazo upako tele. Ndugu Papi Clever na mama Dorcas, mubarikiwe kabisa.
@user-yq8lr9qp5f
@user-yq8lr9qp5f 8 ай бұрын
Naahukulu sana kuskia hvyo hata mie nabalikiwa San🙏🙏🙏🙏🙏
@victorareka1186
@victorareka1186 8 ай бұрын
Mbarikiwe kwa kazi nzuri ya mwenyezi mungu ......nabarikiwa pia kwa nyimbo zenyu nikiwa Qatar
@jeenjj1725
@jeenjj1725 Жыл бұрын
Waao this is what I wanted thank you for the mix...ooh my God be blessed now the work is easier when i put earphones in my ears listening to this mix am blessed go go go till you achieve it
@eliaskabwe4898
@eliaskabwe4898 Жыл бұрын
Nime barikiwa Na nyimbo hizi za wokovu!!! Nime kumbuka mwito wangu toka utotoni!🙌🙌🙌😊😊😊🎉🎉🎉👏👏👏👏🙏🙏🙏🇨🇩👌❤❤❤❤❤❤❤
@emmanueltshiongo
@emmanueltshiongo 4 ай бұрын
Mungu awa bariki sana, kweli nyimbo za wokovu
@brightbwalya4012
@brightbwalya4012 Жыл бұрын
I thank you so much to the best songs this song it in all languages around the world it was sing long time since then this song it for christianity it so powerful no one can bit what God put among us people continue my brother may the good Lord Jesus Christ bless you and the sister from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲👍💯
@josphinenganga7294
@josphinenganga7294 Жыл бұрын
My favourite song ..E mungu mwenye Nguvu this song makes me cry 😢from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪tunawapenda sana
@MariampetroPaulo
@MariampetroPaulo 24 күн бұрын
Nafarijika sana na nyimbo nzuri bwana awabariki❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-jn6zj4vo6y
@user-jn6zj4vo6y 8 ай бұрын
Nnimejuwa. Jana. Kijana. Wangu aliabbia kumuuhshi
@m.jeanpaul3603
@m.jeanpaul3603 Жыл бұрын
Papi na Dorcas ndi umukunzi wanyu ni gute umuntu atera inkunga umurimo wanyu
@PaPiCleverOfficial
@PaPiCleverOfficial Жыл бұрын
Yesu ashimwe? mwaduhaye contact zanyu tukavugana cg twe mwatuvugisha kuri Email: Cleverpapi18@gmail.com tugahana contacts.
@kazianicet7335
@kazianicet7335 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@michaelishara8329
@michaelishara8329 Жыл бұрын
Mutalipwa na Mungu wetu kwa Kazi nzuri sana munayo fanya kupitiya nyimbo
@Yegotego
@Yegotego Жыл бұрын
Ndabakundakuizindirimbo
@wivinemuderwa1874
@wivinemuderwa1874 9 ай бұрын
Haleluya 'mubarikiwe sana watu wa mungu nyimbo za tenzi ya roho kriston awape mwisho muzuri
@user-pp9tu1qo5i
@user-pp9tu1qo5i 8 күн бұрын
Minafungua na mukozi kifungo chaa wupendo.minashukuru sana kwa iyii familia!
@vedastodeogratias2941
@vedastodeogratias2941 8 ай бұрын
Papi na Dorcas, Mungu azidi kukuinueni katika huduma yenu, hakika tunabarikiwa na uimbaji wenu.
@Papichino254
@Papichino254 7 ай бұрын
Nyimbo tamu kabisa ninaposikiza na isi uwepo wa Roho mtakatifu mungu azidi mbarikiwe
@ToshaRebecca-tr7zm
@ToshaRebecca-tr7zm 11 ай бұрын
Kazi zuri sana kabisa Nimebarikiwa sana
@Erastosubeti
@Erastosubeti 14 күн бұрын
Nabarikiwa Sana na nyimbo hizi,mungu awabariki
@bisengobubasha
@bisengobubasha Жыл бұрын
Asanteni sana for this collection. Your songs bring so much comfort 🙏🙏😭. Mungu wa mbinguni awe pamoja nanyi
@NicholasEmekuiya-hg8nj
@NicholasEmekuiya-hg8nj 2 ай бұрын
Reggae
@damaristhuku7644
@damaristhuku7644 11 ай бұрын
May God bless Rev Ben he has made me listen to your songs they are powerful... working while listening to these songs is amazing team strong 💪 Les gather here🎉
@nicholausngwasi6505
@nicholausngwasi6505 5 ай бұрын
Mbarikiwe sana. Kazi yenu ni njema
@oscarmmbihi
@oscarmmbihi 10 ай бұрын
Barikiweni kwa kubariki nyoyo za watu.
@rachelmaina2680
@rachelmaina2680 Жыл бұрын
E mungu mwenye haki,napenda sana,may GODs grace be more on you.
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 Жыл бұрын
Thank you so much for this wonderful songs, umenikumbusha mengi tangu nilipo mpokea Kristo Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu hizi nyimbo zilituhimiza na zinaendelea kutuhimiza, ila ushauri wangu ndio huu, kwa title za nyumbo jaribu kuandika jina la Mungu kwa herufi kubwa mfano number 4,9. Ni hilo tu ndugu yangu Mungu ni tofauti na mungu.❤
@zainethkanyanye7459
@zainethkanyanye7459 8 ай бұрын
Asante kaka kwa observation nzuri. Barikiwa sana
@obedimunguachiza8434
@obedimunguachiza8434 8 ай бұрын
Amen, tubarikiwe sote ndugu
@mwibakechaassani6810
@mwibakechaassani6810 3 ай бұрын
​Zahlung ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OmolloTitus
@OmolloTitus 12 күн бұрын
Correction...well taken on, God bless you
@user-gb4kq9qw2j
@user-gb4kq9qw2j 8 ай бұрын
Amen wapendwa mubarikiw
@eliamichael6452
@eliamichael6452 10 ай бұрын
Mungu aendelee kukutia nguvu katika utumishi wako uendelee kutenda kazi kwa nguvu zote kwa ajili ya utukufu wa MUNGU
@uwonikundiyeamericaine4209
@uwonikundiyeamericaine4209 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na nyimbo za wokovu I can't stop listening this songs
@alicemuia6200
@alicemuia6200 11 ай бұрын
Roho yangu inaimba nimefunguliwa kweli ....blessed be the name of the lord
@johnkennedyadera7033
@johnkennedyadera7033 8 ай бұрын
Food to the soul,mbarikiwe sana
@ephrymayombo6847
@ephrymayombo6847 10 ай бұрын
nyimbo nzuri sana Mungu awabariki sana sana zinagusa mno be blessed guys
@joycewanjira6609
@joycewanjira6609 11 ай бұрын
After listen to your songs i feel like it's time for me to be born again
@omo926
@omo926 11 ай бұрын
Plz do. It's now or never
@rosewanjiru4650
@rosewanjiru4650 11 ай бұрын
Hurry sweetie.... receive salvation tomorrow might be too late ooh
@tommwangi7544
@tommwangi7544 11 ай бұрын
Yet to all who did receive him, to those who believed in his name, he gave the right to become children of God- John 1:12 NIV
@aginiwembilinyi6616
@aginiwembilinyi6616 11 ай бұрын
Amen
@Gorgeousij
@Gorgeousij 11 ай бұрын
What are you waiting for?
@bizimanaemmanuel267
@bizimanaemmanuel267 Жыл бұрын
Murakoze cyane, kuzidushyira hamwe disi!!❤
@user-mh5fm4xu6o
@user-mh5fm4xu6o 7 ай бұрын
Mungu abarikiwe sana
@user-dk1vp4kc3t
@user-dk1vp4kc3t 10 ай бұрын
Mungu wetu apewe sifa! Siku tutakuone Yesu wetu sijuwe bitakuwaka aye ile siku kabisa
@graceswai9166
@graceswai9166 Жыл бұрын
🎉 Not only today, but this is the forever albam........ Best Albam, God bless you all...!!!!!!! I'm from Tz
@iratubonafloris
@iratubonafloris Жыл бұрын
Ooooh nice song nimefika kwa Yesu pia nakaribia Kwake niw mfariji wangu sitalia kamwe roho yangu inaimba💃💃
@user-hj2ke4wt8h
@user-hj2ke4wt8h 6 ай бұрын
Mubarikiwe sana milele nawapenda sana❤❤❤❤
@MussaEmanuel-wj5mm
@MussaEmanuel-wj5mm 11 ай бұрын
Liinuliwe jina la yesu Kiristo nikiskia nyimbo hizi roho inajaa furaha aman inafuka barikiwa sana
@jefwakalama4336
@jefwakalama4336 Жыл бұрын
Ooooh very good Glory to God 🙏🙏 MUNGU awabariki sana
@kudakwashemichaeltagwireyi3944
@kudakwashemichaeltagwireyi3944 Жыл бұрын
Anyone with the patience to translate the songs to English. This is fantastic and my tune. From Zimbabwe
@fridahkhavere277
@fridahkhavere277 11 ай бұрын
You want full translation?
@radtest6531
@radtest6531 11 ай бұрын
Nimefika kwake Yesu. Na rohoni mwangu nimefunguliwa. niko na tumaini ya kesho
@user-eo4ko2ys4f
@user-eo4ko2ys4f 5 ай бұрын
Hakika Mungu awabariki sana
@Simoncleaning
@Simoncleaning Жыл бұрын
Nina shukuru kwakupokea iyo nyimbo
@nisilas7411
@nisilas7411 Жыл бұрын
Have seen the video of the first song,the video is so simple and the message is straight to the point🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥kudos and be blessed.
@thomsonlisuza9290
@thomsonlisuza9290 2 ай бұрын
Nabarikiwa kila siku napozicheza nyimbo hizi ,hasa kwa sauti nyororo ,vyombo vilivyo pangika kisawasawa na kucheza kwenu kusiko na madai wala maringo . continue in the faith and you are operating in coz God is taking you too far spiritually 🙏
@johnvukaya1721
@johnvukaya1721 11 ай бұрын
Roho yangu is the worship.
@syprosejapheth3144
@syprosejapheth3144 11 ай бұрын
My favourite too, brings joy to my heart
@kevinsumini6153
@kevinsumini6153 Жыл бұрын
Am from Uganda may God bless you brother and sister for the good song
@wangakim8914
@wangakim8914 Жыл бұрын
This is it. Mbarikiwe sana
@shila5463
@shila5463 5 ай бұрын
Napenda nyimbo hizi Zanibarikisana natoka kiambu gashie
@twizerimanadalila446
@twizerimanadalila446 8 ай бұрын
Mungu awabariki milele
@Liz-sc1sb
@Liz-sc1sb 11 ай бұрын
Asanteni kwa nyimbo hizi. Sifa zimrudie Bwana wetu Yesu! 🇺🇲
@fiofi-1811
@fiofi-1811 Жыл бұрын
Nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia ❤❤❤❤nafanya kazi nikiskiza nyimbo nabarikiwa
@sarahsiffa6323
@sarahsiffa6323 Жыл бұрын
Pop loo 0
@shilanakomolwa
@shilanakomolwa 11 ай бұрын
Barikiwa sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@clementntimpirangeza6970
@clementntimpirangeza6970 11 ай бұрын
@@shilanakomolwa pp
@MuhammadMuhammad-ys9fg
@MuhammadMuhammad-ys9fg 11 ай бұрын
,äZ
@muhizapacc
@muhizapacc 11 ай бұрын
​oo Lonoomojo O omjomoo😅okko😊oo😊m Lo Omo Looipjmomo Ljlooj Lomooom Lo mpboj😊 O Loooompj Loojmpj Oo😊 Lmonmojm😊😊I'm Moool Lo ompojpoo Lo Lolo Lo Jo Lo Mo😊lmollooo morningo L O Mo Lo mo L Lomo Looonmojooojmooo Loolo Loojlopmpjpjolooolo Look😅pjll😊mo P Loo M Loomo Jooloom kpo😅 Ljo Lojo Looo😊 Lo😊o Mjopo😊😊oooooompoookooomo Looooj😊o Omoom😊p😊a Lo Okojopomooom Joolo O Lok😊p Pooo Lo Lomomooo Lomo Lo Lo Loo Omko momooopmo Kpoko O Lmo Lo L O Moojo
@GermainKahozi
@GermainKahozi Күн бұрын
From Drc,God bless you
@user-nv7vx4zp9y
@user-nv7vx4zp9y 4 ай бұрын
Nabarikiwa nanyimbo katika inshiya Sud-africains ❤❤❤
@micabrownkamwela4132
@micabrownkamwela4132 Жыл бұрын
Jina la Yesu liinuliwe.Nabarikiwa Sana na HUDUMA yako.from Tanzania
@mysterekwibewabeby5269
@mysterekwibewabeby5269 Жыл бұрын
Je manque quoi dire Seigneur!!! Que le Très Haut, le Seigneur et Sauveur Jésus-Christ vous bénisse abondamment!! Vous êtes une bénédiction pour nous 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-rw7il6dv1m
@user-rw7il6dv1m 5 ай бұрын
Kabisa
@user-qi9tn9nn8n
@user-qi9tn9nn8n 8 ай бұрын
Nabarikiwa sana nikiwa Kinshasa Mungu awainuwe couple.
NYIMBO ZA WOKOVU 2nd ALBUM - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (2023 Swahili collection)
1:24:48
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 10 МЛН
Indian sharing by Secret Vlog #shorts
00:13
Secret Vlog
Рет қаралды 56 МЛН
Adrien Misigaro_Nkurikira_ft_Israel Mbonyi @Mbonyi  Official Video 2024
6:20
February 21, 2024
3:51
Adams mukosha
Рет қаралды 388
NYIMBO ZA WOKOVU  - Papi Clever & Dorcas ft Merci Pianist (2023 Swahili collection)
2:50:51
PaPi Clever & Dorcas Official
Рет қаралды 386 М.
NYIMBO ZA WOKOVU : Past. Jérémie Kapopo
49:49
Jérémie Kapopo
Рет қаралды 11 М.
10 GREATEST SONGS 2023 OF SIFAELI MWABUKA- SKIZA DIAL *811*29#
57:18
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 1,2 МЛН
Как быстро замутить ЭлектроСамокат
00:59
ЖЕЛЕЗНЫЙ КОРОЛЬ
Рет қаралды 10 МЛН