Huyu Jamaa Ana juhudi,nguvu na maarifa kiasi,ninachomshaur aongeze juhudi kubwa asilewe sifa,maana wachezaji wetu akianza kuandikwa magazetin na kutajwa Tajwa au kujadiliwa sna kwenye media huwa wanaanza kubweteka na kujisahau mwsho wa cku wanapotea ghafla. Ajiazali xna na Manyakunyaku wa bongo movieeeee😂😂😂😂❤❤❤
@Nuru87002 ай бұрын
Sio tatizo wao ni mambo ya watu wanaowafunga minyororo ya miguu kikubwa tuwaombee wachezaji wetu mungu awalinde
@luluray21152 ай бұрын
Aongeze mazoez ya viungo nimemuona ni mzito sana
@badmanvibees2 ай бұрын
Wala sio mzito hujamuelewa tu @@luluray2115
@taseleli91812 ай бұрын
@@luluray2115 kumbeee
@Mengi-dt1ci2 ай бұрын
Simba tem wachezaji Woootee. Ogezeni kassi.
@LeahFabian2 ай бұрын
,akuna tm yakutisha mwaka ujao,waoooooooooo chama rang💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
@PakatJames2 ай бұрын
Dogo anajua sana kufunga. I like his calm composure on finishing line 👍
@MagretGunda-ly5dj2 ай бұрын
Simba nguvu moja ❤❤❤❤
@LeahFabian2 ай бұрын
,naiipenda simba mung iiibarik cmba💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕
@SaymonSonda-k8b2 ай бұрын
naipenda simba 💪💪
@TomasiklistophaMwinuka2 ай бұрын
Kocha Fadlu huna baya tunawapenda wote Simba nguvu moja
@adudeswalehe87242 ай бұрын
Best Striker Mzawa 👏👏👏
@josiacharles27782 ай бұрын
Dogo pambana bado aujawa bora kiivo ni bahati umekua nayo, uwe na bidii kwenye mazoezi uzito uishe❤
@patrickbukuku78202 ай бұрын
Kwakweli tumempata mshambuliaji mzawa so kama kyombo
@Mwombeki_david2 ай бұрын
Chama langu
@HawaUtegele2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤🎉simbaaaaaaaaaaaàaaa
@festomathias_jnr2 ай бұрын
huyu media personnel wa simba ni mtupu sana nafikiri wanahitaji kuwa na mtu ambaye yuko vzr kwenye lugha... wangepata somebody ambae ni multilinguistic
@AbdieeRasmos2 ай бұрын
Simba sports club raha😂😂
@MalikiKavindi2 ай бұрын
Nguvu moja 💪💪💪 ubaya ubwelaa
@YohanaJumanne-v3v2 ай бұрын
Mashaka ongeza bidiii ili uchukue kiatu cha mfungaji bora kila mechi funga goli 2,3
@wilbard-vv9nx2 ай бұрын
❤❤❤❤
@SalimRamsei-ok9el2 ай бұрын
Thank you
@fahilashukuru14762 ай бұрын
Valentino na velenteeee hapa wachezaji tunao mwaka huu tutawaua