Manala kauza Cody za Simba alfu Leo anataka kuja tena kusoma Cody mpya ya Simba hatutaki tusha mstukia
@manmanonline63942 ай бұрын
big up bro,Simba nguvu moja ❤❤❤❤❤UBAYA.....
@salumjuma63382 ай бұрын
Hatumtaki haji manala simba
@Omarimakuka2 ай бұрын
Babra bado yupo Simba Manara abaki hukohuko mnafiki mkubwa😢😢😢😢
@gerowadamwandika6692 ай бұрын
Gb upo vizuri bro. Msema ukweli wewe Asante sana tumekuelewa kaka. Manara akwendeee huko Utopolo.
@omarkhamis39092 ай бұрын
Na mm nipo a GB 64 huyo hafai hata kuakiungo chamchuzi mshenzi Sana kumbuka alosema yeye hajawahi kua mwanachama WA Simba sasa anafata nini Simba abakie hukohuko
@mustaphawelder70222 ай бұрын
Babra alimkuta manara nyumban kwa GSM alafu kesho yake kunamchezo wa dabi na Simba ikachezea kichapo kwahiyo hatumtakiiiii
Manara amekili kwa kinywa chake yeye ni Yanga Damu..Aende kwa Mobeto..mashabiki wa Aina hii malaya hatutaki
@mustaphawelder70222 ай бұрын
Kweli kabisa ushindi wa miaka 3 ya yanga Ni manara, hatumtakiiiii aende vitalo
@SalumMwankemwa2 ай бұрын
Hatumtaki manara maana ndo alikamata hiyo kamati ya ufundi y sisi Simba tufungwe
@eliasnicolaurobath68642 ай бұрын
Watu wa simba mtambue huyo manara ni mamruki mkimkalibisha tuu mjuwe mmesha uza timu Gb ni mkweri na kingine msemaji wetu ni chombo adimu hapa duniani nawaomba mkitumie vizuri kwanza ana Hekima tumieni hiyo Hekima ya shamed kira Jambo linawakati wake manara wakati wake umesha pita kwaheri wakulima
@hassanabdala73832 ай бұрын
Manara kama kweli ana mvuto aende kmc akajaze uwanja wataifa akalage huko huko mamluki mkubwaa hatumtakiiiiiiiiii
@michaelmweta9055Ай бұрын
Akaendelee na maisha yake manara nani ndani ya simba jamani kumjadir kimbunga
@JuliusMbikilwa2 ай бұрын
Wewe GB64,ni jembe la kazi penye no utasema no napenye yes utasema yes,nzuri sana hiyo,na uendelee hivyo hivyo mpaka mwisho wa dahari.
@EliasCosmas-qp6gn2 ай бұрын
Pamoja Sana kaka haji Manal ka supana malaya hatumtaki kbsa msalti aso jielewa akae huko2
@CareenJulias-iu7tf2 ай бұрын
Manara huyo Ni shetani mkubwa hapaswi haya kukaribishwa nyumbani kwa mtu mshenzi sana huyo kwa Nini asiachane na masuala ya michezo kwa Nini asitulie nyumbani na wake zake huko wawili. Manala wewe mshenzi Sana mavi ya nguruwe kabisa hauna adabu hata kidogo.
@RehemaRama-h8b2 ай бұрын
Kweli kbs, tumpokee huyo manala mnafiki TU,
@evodrimisho50692 ай бұрын
GB 64; UPO VIZURI, SANA Mung akubariki sana
@WiliamMisheck2 ай бұрын
fact kaka unaga baya🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@davidnziku24922 ай бұрын
Simba mkitaka mfel mrudishemanara tunawaachia timu yetu hata manula hakupaswa kurudi kikosin wasaliti mnawakumbatia mnatukera sana
@ShafiiSaid-v5nАй бұрын
Very nice Bro 🙏💪
@kelvinngenzi85782 ай бұрын
Kweli manara hatumtaki
@abdallahsaid41392 ай бұрын
hata kama ujasoma uwezi kumkubali manara
@MawazoKitumbo2 ай бұрын
Manara ndoo kahusika kumrubun inonga ,chama,manula,nawengine wote wakawa wanacheza chin ya kiwango aende huko hatakiwi Simba hata kidogo mbwaa
@WashingtonZablon2 ай бұрын
GB64 KAKA ANGU MPENDWA MUSOMO MWENZANGU NIPO PAMOJA NA WEWE KAKA VIONGOZI WA SIMBA WAKI MRUDISHA MANARA AKIAMUNGU BORA NISIWE NA TIMU TANZANIA HII TENA VIONGOZI WASITUTIBUE NA UYO ZERU ZERU ( SOPE)
@HancyIbrahim-b6i2 ай бұрын
simpendi huyo mnafiki xn japo ni simba lakini mnafiki atupishe
@gerowadamwandika6692 ай бұрын
Hatumtaki Wana Simba wote abaki huko huko kwa akina chura wenzake. Akwendeee zake.
@YahayaAbdallahMark2 ай бұрын
Akome kabisa huyo Ashura mweupe.
@JaphetAlex-m3vАй бұрын
Kwel kabisa yaan mm niko na ww hatumtaki manara simba
@YahayaAbdallahMark2 ай бұрын
Kama uongozi ukimpokea manara mashabiki simba tusiende uwanjani simba ikicheza.
@fabiaoeduardo72272 ай бұрын
I'm from Mozambique brother, but I understand what you're talking about, you're correct for 100%. He's not a serious man.
Hiyo ndo kazi mpya alopewa na GSM ya upelelezi ajuwe ubaya ubwela ina maana gani awapelekee
@EvodiaAntony-f6rАй бұрын
Etiiiii alikosea akosee mara mbiliiii. Tena Kwa dhalau ety nilipotea saiv nipo nyumbn kwadhalau kabsaaaa tena atuache kabsaaa nimetamani adiii kumtafta nimwerekezeeee
@Danfordfungo-m4y2 ай бұрын
manara ni nyoka mkubwa hatakiwi kuwa ubaya ubwela nakuunga mkono gb njama za kuja kuivuruga simba
@JohnMwambegeja-q1l2 ай бұрын
Atakaempokea inabidi wafukuzwe wote pamoja, maan at mm naamin kua ametumwa uyo
@selemanmaona58122 ай бұрын
KWANI MANARA MGANGA GB64YUPO SAHIHI WANA SIMBA TUACHE NA UTAPERI WAMANARA KAMA YEYE NI MTARAM WA KUPATA UBNGWA SASA AENDE AZAM MANARA AWE KAMA MACHICHA YA NAZI UKIRUDIA UKIRU KUCH KUCHJA
@KakeSimba2 ай бұрын
Manara nijasusiwa yanga. Hatumtaki
@abubakarishariff84892 ай бұрын
Atumtaki aende na demu wake wakacheze wanapochezaga
@AbdullrazackHussein2 ай бұрын
Akwende hatuhitaji wanafki simba
@EvodiaAntony-f6rАй бұрын
Aniiiii shetaani mkubwaaaa uyo anatak atufanye Kam vikaragosiiii wakeee sis sio watumwaaa wamanara asituendesheeee sisi atumtakiiiiiiiiii kwaherufiiii kubwa ATUMTAKII
@essaumapunda57662 ай бұрын
Manara msaliti hafai
@tituschavala11652 ай бұрын
Nyie hamuoni chama anachokifanya kule yanga ?Hamuoni mkude? Waneuma meno kwetu walikuwa hawataki hata pre,season .leo kule vipi?
@CareenJulias-iu7tf2 ай бұрын
Mtu Kama alitakiwa apewe jukumu ya kunyongwa kabisa Simba hatumtaki kabisa anajipendekeza nini
@salimmalaka2562 ай бұрын
HAKUNA MTU WA SIMBA ANAEMTAKA MANARA HAO NI MATOPOLO WENZAKE HATUTAKI UVUNDO SIMBA 😂😂😂😂
@waltermigambile51442 ай бұрын
Manara akija simba awe shabiki tu kama mimi. Simkubali. Mpira haunaga kuhamahama labda wachezaji tu.
@SaidMashinde2 ай бұрын
pamoja sana gb 64 huyo manara ni mamruki
@RehemaRama-h8b2 ай бұрын
Musimkubali kuja simba huyo manala
@KulwaMtisi2 ай бұрын
Safisana wambie ukweli kabisa huyu mamluki manala huyu hatumtaki viongozi wa simba msikubali
@GadiusNdiwago2 ай бұрын
Gb 64 una akili sana.
@AbisinaRashidi-c8d2 ай бұрын
Haji auawe tu
@TheresiaFransic2 ай бұрын
Akwendreeeee hatumtk ngurue pol
@malilosaid64952 ай бұрын
Atutaki mnafiki huyo
@PascalJoseph-u4n2 ай бұрын
Pamoja kaka ukoseyagi hunaongeya ukweli sana
@KasalamaAlly2 ай бұрын
Aende Singida united si tawi lao?
@ernestkamata25552 ай бұрын
Hawa ni waandishi wanaotafuta kick
@zainabumilanzi29092 ай бұрын
Hatumtaki hatumtaki hatumtaki hatumtaki akanye huko
Uyo tahila mkubwa kwani anagang'ania vilabuvyasimba nayanga? Yaniuyomanara nimchawi mkubwa siangeenda ata Azam au singida kwani hizosiyo timu?
@loner_wolf2 ай бұрын
Brother 64GB you re right and so right ....ila ongeza kwamba " we no want our players to be tricked by machionaries " 😅😅😅😅😅
@iginassales34332 ай бұрын
Manara hafai hata kwa kunywea chai aende akauze magodoro
@FaridatyRahimАй бұрын
Np pamoja naww
@FeristaKoku-it9nx2 ай бұрын
Apache umalaya atulie hukohuko
@brayanally2 ай бұрын
TUPO PAMOJA GB 64 MANARA AFIE MBELE
@hamisimsosi62372 ай бұрын
Mimi Niko na gb64 manara aende singida😅😅😅😅😅😅😅
@mwemajulius50362 ай бұрын
Sande mslam tokea wapi? Kama jina lake atulielewi nayeye atuto muelewa msimbaz. Ata mm sitomuelewa kamweee
@WashingtonZablon2 ай бұрын
MANARA nikama nyoka fulani ivi uku mgusa nyuma anasonga MBELE ukigusa MBELE anarudi nyuma , SASA JITU JINGA ASIEJIELEWA WANINI SIMBA NA KWANZA SIMBA HAMNA KIONGOZI LIZEE WOTE DAMU CHANGA SASA SOPE WANINI AKAUZE MAGODOROO UKO
@Sifa_film_tv722 ай бұрын
NI KWELI HUYO ANATAKA AJE KUTUCHUNGUZA
@MussaMarwa-z3nАй бұрын
Eeee ndiy hivyo atumutaki manara
@IsakaAchoko-jc4qsАй бұрын
manara simtaki ata bure
@AllyKimeme2 ай бұрын
Dudu kolokoji hatumtaki
@adudeswalehe87242 ай бұрын
Tusipokee kirusi kile
@hafidhhabib7116Ай бұрын
Manara hafai ni mnafiki
@AbasiAhmadi2 ай бұрын
Kaka nimekubali maneno yako uko sahihi kabisa me niko p1 na wewe kaka
@KifundaKingАй бұрын
Michezo iyo
@AbasiAlmasi2 ай бұрын
😂😂😂
@Mapesa-j8bАй бұрын
Aludi ukokwa yanga
@waltermigambile51442 ай бұрын
Akae hukohuko.
@Ramadhani-o3h2 ай бұрын
akanyonye anapo nyonyaga
@yasiri-s7u2 ай бұрын
Msimchukue uyo Mt sitak aludi
@rahimmarions57122 ай бұрын
Big brain?
@PascalJoseph-u4n2 ай бұрын
Uyo sio mtu mzuli hakuna mashabiki mwenye timu mbili mala simba mala yanga shabiki wakweri huwaga haami timu hapa bongo kuna mashabiki wa simba na yanga tu
@ZeldaBamba2 ай бұрын
Manara abak hukohoko tu hatumtak
@FrancoRestipisiousАй бұрын
manara mkundu wake
@EmmanuelFaraja-jy9uqАй бұрын
Namm nipo na GB64
@EnosNtelaАй бұрын
nakuaminia jembe kwaukwer ha2mutaki aede hata papa jiji
@Yangaone-h8j2 ай бұрын
Nanyiye waandishi sometimes huyu mpayukaji msiwe mnampa mic mala kwamala yaani kama anakula ngada vile anapenda sana kuongea vitu bila evidence huyu kijana akizeeka, lazima atakua mchawi
@aidaharuna55492 ай бұрын
Ww nani
@Leeeeeeee-962 ай бұрын
😂
@EvodiaAntony-f6rАй бұрын
Mjingaaaa Mmoja huyooo akafie kwaooooo aachane namambo ya mpira Kam ameshindwa kufia yangaaaa
@HABIBHASSAN-wf5mr2 ай бұрын
MBONA YANGA IMEWAPIGA ? MWAKA MMOJA SIMBA MSHAPIGWA GOLI 8
@tonyswalo2 ай бұрын
We huna akili mwaka gani huo
@salimmalaka2562 ай бұрын
HAKUNA CHA MBONA HAPA USITULETEE MISEMO YA KISENGE PUSTI WEWE
@DenisSanga-bj5ud2 ай бұрын
Manara ni mtu wa propaganda atatufaa Simba tumuwahi asije akagairi