Kama umeskia alikiba akisema "vitu vitamu ndo vina garamiwa"gonga like tukiendaga
@mkijomutv96334 жыл бұрын
Mzigo wa moto aiseee! Gonga like twende zetu
@RIZIKI-WENGA4 жыл бұрын
Wa kongo tupige like kwa awa wajembe wa 2. Mwaka mpya na mambo mazuri.Alikiba and darassa good song. Félicitation à vous.
@babramediatv92284 жыл бұрын
Team king tiifanye iwe trending 2 on you tube amna mtu wa kuingia zaid ya Al ft dj sbu na darrasa ft kiba
@michaelmdoe93683 жыл бұрын
Ngumu sana kuskiliza magoma makali kama haya halafu nisiache comments, darasa na fundi wa music mzuri. King kiba atari nanusu ngoma kama imeachiwa jana
@hamadiabinlahi73264 жыл бұрын
Nilikua nimetega Alam yasaa6 kwaniaba yavideo proud of you nanimeludia kuitazama zaidiyamala5 kamakweli tunamkubali mfalume KING KIBA kwamba akoseagi bilauchaw anaweza like 20 nizionekwangu
@hassankimata53444 жыл бұрын
Darasa na kiba wote mafundi nawakubali sana
@wizdady82294 жыл бұрын
Wadau mnao penda mziki mzuri tujuane kwa like humu
@kideboy46054 жыл бұрын
Like
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Yeeeeebaba
@asinatjuma80884 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Never Dissapoint 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 King Of Bongo Fleva
@K257954 жыл бұрын
TEAM KIBA NATAKA LIKE ZENU HAPA TUJUANE AMBAO WANA TAKA ONE MILLION VIEWS CHINI YA MASAA 24
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Yeeeeebaba
@brianmakori80594 жыл бұрын
Jaman kama ni uking ni halali yake hayakosea 100000000000%
@sophiaabdalla93554 жыл бұрын
Team kiba oyeeee
@asinatjuma80884 жыл бұрын
@@sophiaabdalla9355 yeeeeebaba
@sophiekambi77524 жыл бұрын
Make swabrina babby kutoka 254#001 yeeeeeeebabaaaah
@MichaelMwakibolwa4 жыл бұрын
Muziki safi ndio huu ! Like Kama unawaelewa Kings with nicest voices na Kama uko East Afrika Tujuane Kwa likes
@omarykarangula89584 жыл бұрын
Kama umemuona Tommyflavour achia like yako hapa
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
👑👑💯💯🔥🔥
@josephsigiwana17794 жыл бұрын
😀😀upo vzr
@johnnm3207 Жыл бұрын
Abbah is SUPER GIFTED, SOMEONE GIVE THIS PRODUCER HIS FLOWERS
@anwarhassan854 жыл бұрын
"Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani"😅..........🇰🇪 wanaijuwa hii sentensi maanake...... usipite bila kunipa like🇰🇪
@adamsaid70374 жыл бұрын
Nakubal
@pascalpeter50564 жыл бұрын
Sante aly kwasaut nzr😀😀😀
@ruwaidamohd29954 жыл бұрын
Pamoja sana
@immaculatejohn99063 жыл бұрын
Ww ndo umenirahisishia
@canny2554 жыл бұрын
Like kama umemuona TOMMY FLAVOUR kakamatiaaa mtoto mzuri! 🤗
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Kumbe hadi ww umeona
@elianyika89814 жыл бұрын
Wap sjaona
@asinatjuma80884 жыл бұрын
@@elianyika8981 tizama vizuri 🤣
@franksemiti38554 жыл бұрын
Mmi nilishawambia moto wa alikiba hapa Africa ni mwingine ona maajabu kwenye ngoma hii hakuna mfano yaan mm naomba nieleweke kuwa huyu ndo baba wa mziki hapa bongo 👑👑👏👏🙏🙏❤️❤️👊👊
@mudymsuya45473 жыл бұрын
Stres kuleeeeee king unatoshaaaaaa
@fredyrenatus70983 жыл бұрын
Mdogo wangu anapend sana huu wimbo king kiba noma
@jecintagithiomi47393 жыл бұрын
Ulivyojidapika oh mama eeh Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio (heee) Na hakiombeki namkiya uwooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh Ah, you make a man wah wah wah Woman why you do me la la like that You make me sing nah nah nah nah She got that beauty kampa mama Mapenzi yanaweza kuchipua jangwani Mapenzi hayadanganyi usifanyie utani Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani Yakikushika mapenzi mambo hadharani Nikubebe mgongoni nikuzungushe mtaani Au ufungue moyo ndani uone thamani No game, game-over nimesurrender Sina-sina sera, sina agenda Sina pakwenda mtu ukipenda danger Unaweza kusaga chuma kwa blender Ulivyojidapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki namkiya uwooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh You too much sweety Unapotabasamu hunionyeshi hamu My lemon my sugar tam tam I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Nawe ndo nyota ya kamchezo Hii karama hakuna cha dezo dezo Waambie kwangu ushatulia bila kiungulia Anachotaka nakata Pochi namnunulia Namwaga manoti nahudumia Hahitaji tochi namulikia Kashavua upweke vua koti namkumbatia I need you by my side, need you in my life Girl I wanna marry you, can you be my wife? Sikumwagii sera za kuja kukulaghai Me I tell you no lie, walai mama I'm die Unaniipandisha mizuka, zuka Narukaruka matuta, tuta Sifa nyingi za kukupa, nakupa Mwendo kama umejisusa, unajitupa (aya!) Funga kazi namba moja top top Umkute mwanamke wa uswazi anajua soap soap Chochote anachovaa kinafaa dope dope Akiinuka akikaa ndo balaa oh oh Ulivyojitapika oh mama ee Yaani we ndo my woman Itabidi wakushangae I'm proud of you my woman Mi siogopi eh Kwani ye ndiye wa moyo pambio Na hakiombeki namkiya ooh Fagio oh-oh Fagio eh-eh Fagio oh-oh, eh eh eh
@patrickmakoye5911 Жыл бұрын
Tunakoelekea utakuw mwandishi🤣🤣🤣🤣 lkn kama itatokea wao wamechelewa
@kaptuiya Жыл бұрын
Walai one of the most beautiful songs of the century
@raymondrobert6560 Жыл бұрын
Nimekubali
@omarijunior76094 жыл бұрын
King Kibaaa.... Likes za Kenya zishuke
@wazirinyoso63052 жыл бұрын
Ngoma kalisana hii
@princekheri94714 жыл бұрын
Here in Kenya this is a big hit song guys congrats wapi likes za kiba
@chenalusofficial57574 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY
@majeedkenya4 жыл бұрын
DARASA the king
@royalroyal86334 жыл бұрын
Kig alikiba falumewamuziki
@chriswabs4 жыл бұрын
2022 Collabo ya Darassa, Rostam na Khaligraph Jones
@CyimSky4 жыл бұрын
kwa kweli tumetoka mbaili tizamama movie ya kwanza kabisa kutengenezwa duniani inafurahisha sana kzbin.info/www/bejne/qaunnI2CjaeBbKs
@irenenyolobi19064 жыл бұрын
Ni nooma🔥
@hamidjuma88534 жыл бұрын
ipo vyema
@KelvinKigamu10 ай бұрын
Anyone in 2024
@hemedabdallah89424 жыл бұрын
I swear Darassa doesn't get the right credits he deserves.Proud Of You Darassa
@michelleeva36243 жыл бұрын
He deserves more his such a talent.habahatishi👌🏻
@medrackmbwiga93583 жыл бұрын
No doubt
@lulumichael64813 жыл бұрын
Fr
@khamisjay4883 жыл бұрын
Fr bana, he doesn't get the right credit he deserves
@jasminewarda96963 жыл бұрын
True walai
@ramaacaketz66964 жыл бұрын
Ngoma kama hii dia like wanatoka wapi jaman daah THIS GOOD MUSIC
@AjayTheBlaze4 жыл бұрын
Ngoma moto sana 🔥🔥🔥 Like za Darasa kutoka 254 ziwapi jameni?! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mutumamuriungi69522 жыл бұрын
Shikwa na polisi utafungwa ukae ndani,darasa is a gem
@ombenkallenge19244 жыл бұрын
🎶"yaani we my woman👩" wapii like zangu kwa warembo wa tz
@chenalusofficial57574 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY
@umazichannel12424 жыл бұрын
Naipata sana nyimbo nzur sana watching from Dubai +971wale dubai gonga like kwa king kiba na darasa kama unawakubali kama mm😍😍😍
@anguzamwasiagi35174 жыл бұрын
darassa asharudi level zake sasa mambo ni fire, king kiba alway on point
@happinessshirima32794 жыл бұрын
Exactly. 😘
@iddindikumwami71974 жыл бұрын
Kizaz
@rashidamohamed99272 жыл бұрын
Nyimbo anguu boraa 💯🔥🔥🔥😘😘♥️♥️♥️💪💪💪💪mliuwaaaa sanaa 🙏🙏🙏🙏 mziki mzuriii unaishiii mpalikiwee 🙏
@jayvardytz4 жыл бұрын
Mmm Jamani darasa ni mtumwingine kabisa kwanza nataka lik zake hapaaa kama wewe kweli unamkubali Darasa & alikiba mzeee wa yooooo
@dobba783 жыл бұрын
Ooooh Alikiba you Raelly kili me iyoooo,,yeee,, baba Ata like 10 peke yake nitafurahi sana much love from kenya Ali kipenzi cha watu
@hidayaking33833 жыл бұрын
Yeebaba
@mullahkaposo66634 жыл бұрын
King + King=Fire. Nakusanya likes za making hapa
@luykhoogan16 Жыл бұрын
Imenibi niilrudie hii goma, sijui Uyo mixer alikuwa kwenye mood gani, Abbah#🔥
@khadijajuma67854 жыл бұрын
Mafund wamekutana yan bonge la ngoma!huyu ally kiba sio mtu mzur kabisa anaukonga moyo wangu kw kweli hii nyimbo haichosh kusikiliza big up
@stephanemanuel36804 жыл бұрын
kwel kabisa yan hat songs zake hazichujag
@mnyampaa_kisasa4 жыл бұрын
King kiba ana ladha yake flan hvi anaongeza ktk colabo hakunaga yani...cheki hii cheki colabo yke na bella cheki ile kiboko yao na mwana Fa.....huyu jamaa ni KING walah
@oscaroscaroscar79744 жыл бұрын
Huyu demu Alonyoa Nywele Anae shikwa shikwa na Bro Darassa Bonge la demu Afu Anajua kucheza na Video 😘
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
👑👑👑👑👑🔥🔥🔥
@milkahndhiwa22782 жыл бұрын
Alikiba🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@nambilili42694 жыл бұрын
King ndo amenogesha. Now. Song. Gong like km uwakika tujuan👍👍
@asanalisalumu38744 жыл бұрын
"vitu vitamu ndo vinagharamiwa,,,,,,!" KING KIBA
@asinatjuma80884 жыл бұрын
Haswaaa 😊😊😊😊😊🔥🔥🔥🔥
@asanalisalumu38744 жыл бұрын
@@asinatjuma8088 nakubali pacha wangu
@hidayaking33834 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@danmoclassic33484 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnnIc32mmJqWoKc
@livingstonking98184 жыл бұрын
Wapi like za darasa ft alikiba nimekuwa wakwaza comments na kulike nioneshe wanaekaje like
@bobashaguy95482 жыл бұрын
Ukihambiwa king Uwe naelewa ni mtu wa haina gani, Darassa umejuwa kutufuraisha kabisa kutuletea king
@abubakaryabdallah37284 жыл бұрын
Alie muona #Youngking #Tommyflevaur gonga like zakutosha hapa tujuane
@hamadiabinlahi73264 жыл бұрын
Aina mchawi
@collinswambani36764 жыл бұрын
The best year for king 👑 kiba 💣💯 the most e sparing man wolan king kiba
@mdl64634 жыл бұрын
Acha ipepeee kabisa
@TherealNoVva4 жыл бұрын
He was horrible this year, I mean it’s no surprise he barely gives a good music year after every decade.
@adamhashimu44624 жыл бұрын
Fact
@chenalusofficial57574 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/fp6Qe5Kjn6qehpY 🇰🇪
@aerpleofficial14724 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/hpjFeZqHbdSenpI
@adamsaga67004 жыл бұрын
Tusiingie mwaka mpya kabla kufikisha 1m in Sha Allah
@paulnjau53173 жыл бұрын
Darassa is on Fire 🔥🔥. The guy can Rap Swahili an hour straight!!. Ongeza sauti Safi ya Ali kiba. Hii ni Moto Kama pasi ya makaa. 🔥🔥🔥🔥
@UkweliTopic4 жыл бұрын
Slaver became a king 🤴🏾 Team kiba tufikishe 1 million in 24 hours plZ fire 🔥 on hii jamani 🔥🔥 “proud 🥲 of you my woman”
@mtumweusy46524 жыл бұрын
LIKE kama umemwona TOMMY FLEVA kakumbatia
@micheltito16464 жыл бұрын
I’m waiting it from South Africa 🇿🇦
@mwanamisimwambeni49422 жыл бұрын
Awa watu wawili ndo wanajua maana ya kuimba wengine n taarabu
@hidayaking33834 жыл бұрын
Tunakusubiri uachie mambo leo natamani niwe wakwaza 🔥🔥🔥
@tidesadoofficial99874 жыл бұрын
Moto zaidi ya fire 🔥🔥🔥🔥🔥 Nouma sana wapi like ya Alikiba
@mwanjalaipyana95754 жыл бұрын
Tunakubar mfalme ni 1 king kiba
@CollinzOboteTV4 жыл бұрын
Mzigo mzito ushatua huo, ngoma imeenda darasa gonga like kama unakubali hili ni jiwe.
@mosesmusyimi94012 жыл бұрын
Kiba has been at the top of this game ever since the first track...how many years again? Legend #icon #superstar much respect for this dude 🇰🇪
@barakasimkoko2 жыл бұрын
Kiba niatali hakuna kama king hao wengime kenge kwenye safali ya mamba
@danmunjaru89844 жыл бұрын
King Kiba....big up from Swaibake Ali from Mombasa,Kenya. Kiba amewapeleka Darasani.
@D-ZoneTv4 жыл бұрын
Inaenda number one trending leoleo mamae 💪
@naymomohammedntandu66594 жыл бұрын
Umeonaeeee 😂 danger ⚡
@adamhashimu44624 жыл бұрын
😅😅huo ndo mpango
@erickgulayi20894 жыл бұрын
Wanasemaga kimeumana, moto huu sina hakika kama kutakuwa na wakuuzima
@jonesiha19454 жыл бұрын
Ni shidaa...wala wa kuuzima moto huu sijamuona...
@victorbugobola22762 жыл бұрын
Kingkiba all MyLife Msanii nnae kukubali sana basi Burudan iendelee
@KrizSnazzy4 жыл бұрын
much respect straight outta South Sudan . wapi likes za Darasa na King Kiba?
@alfamkama42434 жыл бұрын
Aisee wamekutana wakali wa mashairi, twende kwa like aisee🔥🔥🔥
@kimmelody42444 жыл бұрын
What a way to start the year...two kings under one throne..hatari ...wapi likes jameni
@danmoclassic33484 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnnIc32mmJqWoKc
@daudimpoli59133 жыл бұрын
We darasa ni nomaaa, kiba boy, mbayaaaaa aaaah, kanipandisha mizukaaa aaaah, funga kaz, jaman mnajua
@faudhiaabdallah91554 жыл бұрын
Duh 4 on trending achen masiharaa ebu tuifikixhe 1 fastaaaa
@ericklastboy3354 жыл бұрын
pic kali ya kufungia mwaka gong like za king here
@djumaamisi22904 жыл бұрын
Big up Guys all the way from Namibia much more for king Kiba
@alphabriton4 жыл бұрын
Hmmm🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦
@hamidjuma88534 жыл бұрын
sana2
@alibachirofficial39392 жыл бұрын
This chap he's on his own level... King kiba. From Mozambique 🇲🇿
@ericksonombisa7723 жыл бұрын
Leo nipewe like kwasababu ya hio part ya mwisho.... "Vitu vitamu ndo vinagaramiwa"
@zaudiakawina87373 жыл бұрын
Kwel
@aizakimkenda92053 жыл бұрын
Nawe nijibu hii
@felix_empereur3 жыл бұрын
😂 😂
@ibrahimhussein23584 жыл бұрын
Team kiba let's support this hitsong atlst 1milioni views we can make it let's go
@dogoshazzy7614 жыл бұрын
👍👍👍👍👍💯💯
@andersonyshauri92204 жыл бұрын
Ngoma Kali wamakata wanaojua kulifyatua aisee
@paulokore73794 жыл бұрын
Play with anything else but never play arround with king kiba again his abeast his alegend in the game, proud of you and Africa all over. We love you here in Uganda,Kampala city blessed
@cutegirlfriend64264 жыл бұрын
U can say that again
@LethalBattleSpace2 жыл бұрын
This song ni taste yangu till now ...loving this from Kenya ....show some love here 💕💪
@mohammedmmari54594 жыл бұрын
Mimi majicho yangu yalikuwa kwa WATOTO WAZURI TUU😀🤣🤣😂😂😂😊😊😊🙌🙌 SHIKAMONI D&K
@danmoclassic33484 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/pnnIc32mmJqWoKc
@happinessshirima32794 жыл бұрын
Umemuona na Tommy flavour alivyomshikikia yule manzi lkn.🤣
@jumamohammed26964 жыл бұрын
Ngoma kali sana ...... i like the lady the way she dance ooh my........ she is so sweet
@todokkiptoo15124 жыл бұрын
Tanzanians you are killing us Kenyans with music!!! #muchlove..........Likes zishuke
@rukiaiddyyahaya95063 жыл бұрын
Nyinyi Wa cheni tuu tuku oeni wachumba zetu wakenya🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪🇹🇿
Hatari Sana inachezwa on rotation na ma Djs wangu Kama ibada
@pizzaz43334 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@williamndunguru4 жыл бұрын
...”anachotaka...nakata, pochi namnunuliaa.. Namwaga manoti, nahudumiaa.. Kahitaji tochi, nammulikiaa.. Kashavua upweke, vya koti namkumbatia!...”🔥🔥🔥
@alisuleiman33214 жыл бұрын
Mamamaeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥....this is wat we call....ARTIST.... ....sio kuimbia pua na hueleweki nini unaongea ....kila siku unanung'unika....🦂🦂.... ....King Kibaaaaaaa🔥Darasa la 100🔥🔥.....weka like kama unakubali kuwa hawa ndio wasanii 2020+2050
@TheAlesry4 жыл бұрын
Well said
@briankenyan17994 жыл бұрын
Nani anaimbia pua 😂
@briankenyan17994 жыл бұрын
Nani anaimbia pua 😂
@wanjiruwarui44412 жыл бұрын
It's the voices for me 💯
@chugarealist7894 жыл бұрын
Collaboration nlokua naisubir sana....two talented stars made a big hit.... Tanzanians are proud of you keep it up