MashaAllah Sheikh Walid Allah akulipe kila la kheri na sisi atufanye wenye kuzingatia na Atuongoe sote kwa Rehma zake Amiin
@Sijafahai228 ай бұрын
Asante..shekh naona leo mepanga kunizungumza mimi mana hio nitabia yangu ...sipendi kumsikiza shekh zaidi yashekh wangu..hata kisikia lazima nikamulize....
@salumhassanallymkurdistan70068 ай бұрын
MASHALAH SHEKH WALID ALLAH AKUPE UMRI MREFU WENYE KHERI NA WEWE TUZIDI KUFAIDIKA NA MAWAIDHA MAZURI MAWAIDHA HAYA YANAPASWA KUANDIKWA KWA WINO WA DHAHABU MAWAIDHA MAZURI MASHALAH
@W.Engineer1258 ай бұрын
Mashallah naona masheikh wengi Ramadhan hii mmejipanga vizuri Kila Miskitini DARSA za Quran zinaendelea alhamdulillah. Allah awahifadhi.
@abuushakiraddausiy86668 ай бұрын
Maashaallah yaan shekh walidi darsa hazichoshii hata kidogoo........
@abdulrahmanbakar54168 ай бұрын
MashaAllah
@FarajiSalimu8 ай бұрын
sauti iko chini
@faisalkamal-q3r8 ай бұрын
Darsa Lina Anza Sanaa ngp
@Yu.178 ай бұрын
Baadya ya swala ya Ala'sri masjid kichangani
@shafiihussein47538 ай бұрын
Hukumu za janaba kwa wenye kufunga kzbin.info/www/bejne/pJeWZGCYnch_i9ksi=1Gw5xsGZZbnigU0A
@YusuphRamadhan-y1m8 ай бұрын
Ndio naaza kusikia shekh wa kisufi akianza mukaddima kwa kukataza bidaa Allah akuongoze ktk haki
@malickhemeid9308 ай бұрын
Shk wewe ndio huwafuatilii
@muhidinmawe-vz7dh8 ай бұрын
Utayajua mengi kupitia mwao ukiwa teari kuwasikiriza
@MohamediHussein-o9b8 ай бұрын
Licha ya kua Sheikh wakisufi hata akiwa sheikh wa kipamba Na bendeji Ni Sawa Na Yule jisheikh wenu wa kuwahabi aliekubali Kua Suudia wana muandamo wao Na mufti wao Na Tanzania pia wana muandamo wao Na Mufti wao na ndo haki Iko hivyo Kama Mtume Muhammad S.A.W Alivyotuachia hadith yake Kua tuuone muandamo kwenye nchi yako Na mji wako Sasa mbona Hao wanaojiita masalafi hamufuati haki hiyo alituachia mtume Au mufti wa Suudia ndo Mtume wenu akisema Tu kesho mufunge nanyi mnafinga Sasa si Bora muende huko Kwa mufti wenu Na mtuachie mufti wetu wa Tanzania Bara Na visiwani Mawahabi Bhana duuuuuh noma sana
@abdulrazaqsaid94738 ай бұрын
Soma nduguu
@abdulrazaqsaid94738 ай бұрын
Shk walid ALLAH akubarik
@SeifRupatu8 ай бұрын
Wewe @user unamatatizo gani wewe, hivi tunataka kutuambia nyinyi mawahabi ndio mumeanzisha kuipinga bidaaa!! Wakina Muhammad Ayuob hawajawahi kuipinga bidaaa?