KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE 0625466848 AU 0753393036
Пікірлер: 25
@drallan6879Күн бұрын
chama abaki Simba madeni FC watamkopa
@GodfreyJames-zt6ig2 күн бұрын
Simba ni chama na chama ni simba na atabk kuwa simba
@luckygmdegela8477Күн бұрын
Chama nakubali uwepo wake simba
@EsterMasimba2 күн бұрын
Wanasimba mnaonaje chama aondoke hili tuishi kwa amani
@msemakweli...2 күн бұрын
Madunduka akili zenu zipoje asee!? Aondoke mara ngapi
@danielchamoto9376Күн бұрын
Acha makasiriko wew tako😅😅@@msemakweli...
@lonesomekabora5547Күн бұрын
Aondoke tu kwa kweli vije vyuma vingine vipya
@user-so1iu4vd2v2 күн бұрын
acha mpira brother umekushinda
@anithawidambe75432 күн бұрын
Chama bakia Simba tunakupenda sana
@Ommybabaa472 күн бұрын
This is Simba brother welcome Mwamba wa Lusaka si unawajua wachambuzi wa bongo wapoteze tuu💪
@charleskuyeko4400Күн бұрын
Anayetakiwa kuongoza msafara wa kwenda uchi kwa ajili ya umbeya wake ni yule anayejiita profesa salamba. Huyo ndiye aliyethibitishia dunia kwamba Chama anaenda yanga huku akiiponda sana Simba. Kama hatembei uchi basi awaombe radhi mashabiki wa Simba kwa siku 7.
@kakorejrboyz64472 күн бұрын
SIMBA HATUTAKI DHARAU #MO NITAJIRI NAMBA MOJA TANZANIA. YANI TUZIDIWE NA MUUZA MAGODORO😂😂😂😂😂
@msemakweli...Күн бұрын
Muuza juice huyo na pia mali ni ya familia na ndo maana kutoa hela hadi ndugu zake waridhie🖐
@user-qw9zu3ly8m22 сағат бұрын
Wewe bwege
@anithawidambe75432 күн бұрын
CHAMA NI KIPENZI CHA WANASIMBA
@swaiplanb734218 сағат бұрын
Wew ndo falaa
@halimalachpat192717 сағат бұрын
Wanasimba mtamwaza Chama mpaka lini?fanyeni kama mmefiwa na mama
@AnsufatAfidhКүн бұрын
Uy chama jaman dah?
@sadih53332 күн бұрын
Umetoa password ulipo sema Chama Kai brand timu yetu.
@EsterMasimba2 күн бұрын
Wamepita wengi na akienda yanga awezi kuimbwa kama simba alivyokuwa anaimbwa
@msemakweli...Күн бұрын
Chama anataka hela na makombe mambo ya kuimbwa ziachie nyimbo🖐